Kitengo

Categorizing posts based on content

Hatma ya Geita, Polisi Tabora Machi 20

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itatoa maamuzi ya upangaji wa matokeo unaozikabiri timu za Geita Gold Mine na Polisi Tabora, anaandika Regina Mkonde. Jamal ...

Read More »

Yanga yaibonyeza tena Simba, warudi kileleni

HESHIMA imerudi mahali pake, baada ya Yanga kuituliza tena Simba kwa kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es ...

Read More »

Museveni atangazwa kuwa Rais wa Uganda

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Dkt Badru Kiggundu amtangaza Rais Yoweri Museveni mshindi wa uchaguzi wa urais. 15:46 Kikao cha kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais kimeanza. Mwenyekiti ...

Read More »

Nape atumbua BMT, Malinzi amteua Kiganja

NAPE Nnauye, ambaye ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya kwa kutowajibika ipasavyo katika usimamizi ...

Read More »

Mashabiki wa Simba, Yanga waonywa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaonya mashabiki wa Simba na Yanga watakaohudhuria kwenye mechi itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kufuata sheria na taratibu za ...

Read More »

Wanavyuo ‘wamrudi’ Prof. Ndalichako

LICHA ya Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi kusimamisha kazi wakurugenzi wanne wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELSB), wanavyuo nchini wamesema, hatua hiyo ...

Read More »

Marekani ‘yachemsha’ Ugiriki

SERIKALI ya Marekani bado haijaweza kugundua nani ndiye mhusika mkuu wa shambulio lililotokea mapema wiki hii nchini Uturuki katika Mji Mkuu wa Ankara, shambulio hilo liliua watu 28. Akilaani shambulio ...

Read More »

Museveni atuhumiwa kuiba kura

CHAMA tawala cha NRM nchini Uganda kinachowakilishwa na Rais Yoweri Museveni katika ngazi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika jana, kimeanza kunyooshewa kidole kwa madai ya kushirikiana na serikali kuiba ...

Read More »

Matokeo Kidato cha Nne haya hapa

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne wa mwaka 2015, huku yakionesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 1.85 ikilinganishwa na asilimia 69.76 ya ...

Read More »

Upigaji kura Uganda wayumba

WAPIGA kura nchini Uganda wanaendelea kupiga kura vituoni kuwachagua viongozi lakini katika baadhi ya vituo upigaji kura umeyumba kutokana na kuchelewa kuanza. Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) limeripoti kwamba, ...

Read More »

Maangamizi yakumba Boko Haramu

JESHI la Nigeria limeeleza kufanya mashambulizi makali na kuharibu vibaya kambi za wapiganaji wa Kundi la Boko Haram katika Vijiji vya Doro na Kuda vilivyopo Kaskazini Mashariki mwa Jimbo la ...

Read More »

Taasisi ya Elimu Watu Wazima ‘yatumbuliwa’

PROFESA Eustelia Bhalalusesa, Kamishna wa Elimu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufunzi amemuagiza Dk. Tidelice Mafumiko, Mkurugenzi Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kuwavua madaraka wakufunzi wa kazi watatu, ...

Read More »

Obama: Trump hatakuwa rais Marekani

BARACK Obama, Rais wa Marekani amesema anaamini kuwa Donald Trump, mgombea urais wa Chama cha Republican hatakuwa rais wa Marekani. Chanzo BBC. “Ninaendelea kuamini kwamba Trump hatakuwa rais. Na sababu ...

Read More »

‘Ukivunja ahadi ya ndoa kifungo miaka 10’

POLISI nchini India wamemkamata mwanamume mmoja raia wa Scotland kwa madai ya ubakaji baada ya kuvunja ahadi ya ndoa na mwanamke aliyeshiriki ngono naye. Chanzo BBC. Mwanamume huyo atakabiliwa na ...

Read More »

Kuziona Simba, Yanga Sh. 7,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja ...

Read More »

Majengo ya KBC yatwaliwa

SERIKALI ya Baraza la Jiji la Nairobi imetwaa majengo ya Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC) kutokana na kutolipiwa kodi. BBC Baraza hilo limeweka bango kubwa katika lango la majengo ...

Read More »

Ndalichako amtimua Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo

PANGUAPANGUA ya Utawala wa Awamu ya Tano imeshika kasi ambapo leo jijini Dar es Salaam Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu Sayansi, Teknolojia na Ufundi amesitisha mkataba wa kazi wa ...

Read More »

John Walker afariki dunia

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dennis Mhina maarufu kama John Walker amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Muhimbili, alipokuwa amelazwa kutokana na kupata ajali ya kuripukiwa na mtungi ...

Read More »

‘Hakuna atakayejifungua kwa shida’

“HAKUNA mjamzito atakayejifungua kwa shida katika Hospitali ya Muhimbili” ni ahadi aliyoitoa Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto leo wakati akiratibu zoezi la uwekaji wa ...

Read More »

Yanga yakwama tena safari ya Mauritius

SAFARI ya klabu ya Yanga kwenda Mauritius kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Cercle de Joachim imezidi kukumbwa ...

Read More »

TCU yafuta chuo cha TIU

IKIWA ni siku 10 kupita baada ya mtandao huu kuripoti mgomo wa walimu katika Chuo cha Kimataifa cha Tanzania (TIU) kilichopo Kimara Stop-Over, Dar es Salaam, Tume ya Vyuo Vikuu ...

Read More »

Patricia apania nidhamu kwenye taarabu

PATRICIA Hillary ambaye ni mwanamuziki mkongwe wa Taarabu Asili nchini ameweka dhamira ya kurejesha hadhi ya muziki huo, anaandika Regina Mkonde. “Napanga namna ya kurejesha hamasa ya kuandika na kuimba ...

Read More »

Sanders, Trump wasonga mbele

DONALD Trump wa Chama cha Republican na Bernie Sanders wa Chama cha Democratic wanasonga mbele baada ya ushindi walioupata katika mchujo wa Jimbo la New Hampshire. BBC. New Hampshire ndilo ...

Read More »

Ummy aonya watendaji afya

WATENDAJI wa serikali katika sekta ya afya wametakiwa kuwajibika ipasavyo kwa kutoa taarifa sahihi kuhusu idadi ya wagonjwa wa kipindupindu nchini. Anaandika Eunice Laurian. Ummy Mwalimu ambaye ni Waziri wa ...

Read More »

Kinondoni kupekuwa wasio na makaro ya majitaka

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imesema kuwa, ifikapo Juni mwaka huu itawachukulia hatua za kisheria wenye nyumba wasiojenga makaro ya kuhifadhia majitaka. Anaandika Regina Mkonde. Akizungumza na MwanaHALISI Online jijini ...

Read More »

Kamusoko mchezaji bora wa Desemba

KIUNGO wa wa Yanga, Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Desemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga, Amissi Tambwe. Kamusoko ameisaidia timu ...

Read More »

UN: Assange wa WikiLeaks alipwe

MMILIKI wa mtandao wa habari za kiuchunguzi wa WikiLeaks, Julian Assange amekuwa akizuiwa, kinyume cha sheria za kimataifa, kutumia uhuru wake na analazimika kulipwa fidia, ndivyo usemavyo uamuzi wa Jopo la ...

Read More »

TGNP: Jamii ishiriki kudhibiti ukeketaji

IKIWA imebaki siku moja kufikikia siku ya maadhimisho ya kupinga ukeketaji duniani (6 Februari 2016), mwakilishi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Grace Kisetu ameeleza kuwa, lengo la kuadhimisha siku ...

Read More »

Nisha: Tuwasaidie watoto wa mitaani

MSANII nguli wa vichekesho kwenye Tasnia ya Filamu nchini, Salma Jabu (Nisha) ameitaka jamii kutoa msaada kwa watoto waishio kwenye mazingira magumu badala ya kuendekeza starehe. Anaandika Regina Mkonde. Amesema ...

Read More »

Kagame tuhumani kumng’oa Nkurunziza

SERIKALI ya Rwanda inatajwa kuendesha mafunzo ya kijeshi kwa wakimbizi wa Burundi waliopo nchini mwake kwa lengo la kumuondoa madarakani Pierre Nkurunzinza, Rais wa Burundi. Shirika la Utangazaji la Reuter ...

Read More »

Hatima ya Assange kesho

JULIAN Assange, Mmiliki wa mtandao wa kihabari maarufu duniani wa WikiLeaks, amesema atakuwa hana chaguo isipokuwa kusalimu amri iwapo Umoja wa Mataifa utaamua kuwa amezuiliwa ubalozini Ecuador jijini London kihalali. ...

Read More »

Wananchi watakiwa kupima afya

WANANCHI wametakiwa kupima afya zao ili kupunguza visababishi vya maradhi mbalimbali ikiwemo saratani. Anaandika Regina Mkonde. Kauli hiyo imetolewa leo na Dk. Ulisubisya Mpoki ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ...

Read More »

Serikali yajiondoa ulipaji wa makocha

SERIKALI imesema haitaweza kumlipa kocha yoyote nchini na badala yake wataviwezesha vyama vya michezo kuwa na uwezo wa kulipa garama hizo. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Waziri wa Habari,Utamaduni, ...

Read More »

Wito kwa wapenda michezo kufungua vyuo

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa ametoa wito kwa wadau na wapenda michezo kote nchini kufungua shule za michezo ili kuweza kuibua vipaji mbali mbali kwa manufaa ya taifa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

BBIO yatambulisha tuzo mpya

ASASI binafsi ya Broad Based Interest Organization (BBIO) inayoratibu mradi wa unaohamasisha na kuimarisha juhudi za utekelezaji mikakati ya maendeleo (AMAN), imetambulisha tuzo zinazolenga ujumbe na dhamira inayobebwa na kazi ...

Read More »

Lisu aichemsha serikali

SERIKALI imeshindwa kutoa majibu yanayoeleweka baada ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) kutaka kujua ni lini serikali itakamilisha ahadi yake kwa kupeleka madawati 708 yaliyotokana na chenji ya ...

Read More »

Serikali kuwapa mitaji wahitimu vyuo vikuu

SERIKALI imesema inaandaa mpango wa kuweza kuwapa mitaji wahitimu ambao wamemaliza vyuo vikuu ambao kwa sasa hawana ajira. Anaandika Danny Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na kuwapatia mitaji midogomidogo wahitimu ...

Read More »

Szubin: Rais Putini mla rushwa

RAIS wa Urusi, Vladmir Putini anatajwa kuwa miongoni mwa wala rushwa, kashfa hiyo inatolewa ikiwa ni siku chache baada ya rais huyo kuhusishwa na kifo cha jasusi wa zamani wa ...

Read More »

Cheka atambia kambi ya Zambia

BONDIA Francis Cheka amerejea nchini kutoka Zambia alipoweka kambi na kutamba amemaliza kazi ya kuchakaza mpinzani wake, Geard Ajetovic raia wa Serbia katika pambano la Mabara uzito wa super middle ...

Read More »

Kamati Miss Tanzania yajiondoa kuandaaji mashindano

KAMATI ya Miss Tanzania imekataa uteuzi wa kuandaa, kuendesha na kusimamia mashindano ya mrembo wa taifa. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Msemaji ...

Read More »

Tacaids yatoa tathmini ya mwitikio wa Ukimwi

TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) kwa kushirikiana na Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC) imetoa ripoti inayoonesha tathmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa Ukimwi nchini. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Waziri wa Afya aipa wakati mgumu MSD

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummi Mwalimu ameiagiza Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kujenga maduka ya dawa katika kila Hospitali ya mkoa hapa nchini ...

Read More »

Daktari feki anaswa hospitali ya Sekou Toure Mwanza

MTU mmoja aliyejulikana kwa jina la David Igwesa, anayedaiwa ni daktari feki amekatamatwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou Toure huku akiwa  amemtapeli mgongwa Sh. 170,000 kwa ajili ya ...

Read More »

Mkata vichwa wa IS atangazwa kuuawa

MKATAJI vichwa vya raia kutoka mataifa ya magharibi katika kundi la kigaidi la Dola ya Kiislam (IS), Mohammed Emwazi, ametangazwa kuuawa. Emwazi anatambuliwa zaidi kwa jina la Jihadi John, ndiye ...

Read More »

Bulembo atoa wito kukusanywa michango

BARAZA Kuu la Jumuiya ya Wazazi la Chama Cha Mapinduzi (CCM) limewatangazia vita walimu wakuu wa shule za sekondari za jumuiya hiyo ambao watabainika kutopeleka michango ya wanafunzi wa shule hizo katika ...

Read More »

Niqab kupigwa marufuku Uingereza

WAZIRI wa Elimu wa Uingereza, Nicky Morgan ameeleza kuunga mkono taasisi za elimu nchini humo kutokana na mapendekezo yao ya kutaka vazi la Niqab kupigwa marufuku nchini humo. Hatua hiyo inaelezwa ...

Read More »

Somalia hali si shwari

HALI ya Somalia ni tete kutokana na tishio la njaa ambapo tayari Umoja wa Mataifa (UN) umetoa wito kwa mataifa mbalimbali kuelekeza misaada yeke kwenye nchi hiyo. Umoja huo unaeleza ...

Read More »

Ofisa Elimu msingi Chamwino amzaba vibao mwalimu

MWALIMU wa shule ya msingi Ikombolinga, Peter Emma, ameeleza masikitiko yake ya kudhalilishwa na  Ofisa Elimu wa shule za msingi, Mohammed Msongo, wilaya Chamwino kwa kumzaba makofi mbele za walimu ...

Read More »

Jamii yasisitizwa kudhibiti maambukizi ya kipundupindu

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa rai kwa jamii, wataalamu wa afya na viongozi katika ngazi zote kutimiza wajibu wake katika harakati za kuudhibiti ugonjwa ...

Read More »

Al Shabab yaonesha jeuri yake Kenya

IKIWA ni siku mbili baada ya kuwepo kwa taarifa za mashambulizi ya kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab cha Somali kuua wanajeshi wa Kenya, kundi hilo linaeleza kuwashikilia wanajeshi kadhaa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram