Kitengo

Categorizing posts based on content

ANC chaanguka katika uchaguzi Pretoria

CHAMA cha African National Congress (ANC) ambacho kinatawala nchini Afrika Kusini  cha kimepoteza udhibiti baada ya kushidwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Pretoria, anaandika Pendo Omary. ANC kimeshindwa katika ...

Read More »

Mtoto wa Obama aamua kuuza Mgahawa

Sasha Obama mtoto wa Barack Obama rais wa Marekani ameanza kazi ya uhudumu katika Mgahawa mmoja nchini Marekani, anaandika Wolfram Mwalongo. Sasha mwenye umri wa miaka 15 ameamua kuhudumia wateja ...

Read More »

Vyuo vitano vyafutwa

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kufunga na kuvifuta vyuo vitano kwenye orodha ya Vyuo vya Ufundi nchini, anaandika Pendo Omary.  Akizungumza katika mkutano na waandishi ...

Read More »

Mapya yaibuka hukumu ya Katumbi

HUKUMU ya kifungo cha miaka mitatu kwa Moise Katumbi Kiongozi wa Upinzani na rais wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya nchini Kongo ilitolewa kwa shinikizo la Majasusi na ...

Read More »

Clinton, tumaini jipya la wanawake

HILLARY Clinton, mke wa rais wa 42 wa taifa la Marekani Bill Clinton ameidhinishwa kuwa mgombea urais wa chama cha Democrat cha nchini humo huku akiweka rekodi ya kipekee, anaandika Pendo ...

Read More »

Basata lamfungia Nay wa Mitego

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Emamnuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, msanii wa muziki wa kizazi kipya, anaandika Regina Mkonde. Godfrey Mngereza, Katibu Mtendaji BASATA amesema, ...

Read More »

JK: ‘Nilimpaisha’ Diamond

DK. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu amesema kuwa, yeye ni miongoni mwa ‘waliompaisha’ Nasibu Abduli maarufu kwa jina la Diamond Platinum, anaandika Dany Tibason. Amesema, akiwa madarakani amemsaidia kumuunganisha na wasanii ...

Read More »

Wadaiwa Bodi ya Mikopo kutajwa majina hadharani

SERIKALI imepanga kutangaza kwa umma majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao hawajaanza kurejesha fedha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), anaandika Regina ...

Read More »

Baba Kundambanda afariki Dunia

ISMAIL Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’, msanii maarufu wa vichekesho na aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CUF, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza ...

Read More »

Mahakama yamsaka meneja wa Diamond ‘Babu Tale’

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa kwa Hamis Tale ‘Babu Tale,’ ambaye ni meneja wa mwanamuziki wa bongo fleva, Diamond Platnumz, anaandika Faki Sosi. Mahakama ...

Read More »

Vodacom yadhamini ziara ya wahariri Nairobi

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambayo ndiyo wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni sita kwa ajili ya kudhamini ziara ya mafunzo ...

Read More »

Hofu kuu Uingereza

HALI ya wasiwasi iliyoanzishwa na upigaji kura wa Uingereza kuondoka Jumuiya ya Ulaya (EU) imekumba chama kikubwa cha upinzani cha Leba. Nusu ya Baraza la Mawaziri la upinzani linatarajiwa kujiuzulu ...

Read More »

24,528 waliomaliza kidato cha nne wameumizwa

JUMLA ya wanafunzi 24,528 sawa na asilimia 27.2 wenye sifa ya kujiunga na kidato cha tano pia vyuo vya ufundi wamekosa nafasi hiyo, anaandika Dany Tibason. Wamekosa nafasi ya kujiunga na ...

Read More »

Waziri mkuu wa Uingereza ajiuzulu

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika Muungano wa Ulaya (EU), anaandika Pendo Omary. Cameron akiwa amejawa na huzuni ...

Read More »

NACTE yatoa wito kutoa maoni ya utendaji wake

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeutaka umma wa watanzania na wadau wa elimu kutoa mrejesho juu ya huduma zinazotolewa na Baraza hilo ili kuweza kuboresha huduma zake, ...

Read More »

‘Ugonjwa huu si kimeta’

SERIKALI imeeleza kwamba, ugonjwa wa ajabu ulioibuka katika Wilaya za Chemba na Kondoa, Dodoma na kuua watu saba, hauna uhusiano na ugonjwa wa kimeta, anaandika Dany Tibason. Akizungumza na waandishi ...

Read More »

‘Vyeti viwe na sifa nje ya mipaka’

SERIKALI imevitaka Vyuo Vikuu vyote nchini kuhakikisha vyeti wanavyotoa katika fani zote vinakuwa na sifa ya kutambulika kitaifa na kimataifa, anaandika Christina Haule. Lengo ni kuwafanya wahitimu kukubalika kwa viwango ...

Read More »

Chaso wachangia damu Dodoma

UMOJA wa Wanafunzi wa  Chadema Vyuo Vikuu  (CHASO) Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kupokea wito wa kuchangia damu salama zaidi ya chupa 50, anaandika Dany Tibason.  Zoezi hilo lilifanyika juzi wakati ...

Read More »

Mohammed Ali afariki dunia

MOHAMMED Ali, aliyekuwa bondia wa kwanza maarufu na mwenye asili ya Kiafrika, Raia wa Marekani, amefariki leo asubuhi. Bondia huyo amefariki leo akiwa na umri wa miaka 74. Taarifa kutoka ...

Read More »

Magufuli ambabua Kikwete hadharani

RAIS John Magufuli amemwambia Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwamba ‘umeniachia mizigo’, anaandika Charles William. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo mbele ya Rais Kikwete kwamba, serikali yake (ya awamu ya tano) inakabiliana na ‘mizigo’ ...

Read More »

Rais Magufuli azua gumzo ziarani UDSM

ZIARA ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli kukitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo imezua gumzo, anaandika Charles William. Ziara hiyo yenye lengo la ...

Read More »

LHRC wamshughulikia Naibu Spika

KITENDO cha Bunge kusimamisha wabunge saba wa upinzani kuhudhuria vikao vyake kimepingwa vikali na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), anaandika Aisha Amran. Pia LHRC wamelaani hatua ya ...

Read More »

Laana UDOM

LAANA zimeanza kumiminwa kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDSM) hususan walisosababisha kusimamishwa masomo kwa wanafunzi 7802, anaandika Dany Tibason. Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udomasa) imetoa ...

Read More »

Mgomo UDSM; Hakijaeleweka

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kusitisha mgomo wao mpaka pale pesa za kujikimu zitakapoingizwa kwenye akaunti zao, anaandika Faki Sosi. Mgomo huo umeanzishwa baada ya kucheleweshwa ...

Read More »

Siri wana-UDOM kutimuliwa hadharani

SABABU za wanafunzi 7,800 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutimuliwa sasa zipo hadharani,ananadika Aisha Amran. Ni kutokana na kuwepo kwa mgogoro kati ya chuo hicho na wafanyakazi wake ambao ...

Read More »

VVU tishio

MAAMBUKIZI ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yanaedelea kuathiri na kutishia maendeleo ya nchi, anaandika Regina Mkonde. Kutokana na hali hiyo, serikali ina mpango wa kufanya utafiti na kupima wananchi ili kujua ...

Read More »

Kongo yaikomalia UN ripoti ya siri

TUME ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENI) imewataka Wataalamu wa Umoja wa Mataifa kutoa ripoti ya siri inayoonesha uwezekano wa kufanyika kwa Uchaguzi Umkuu nchini humo, anaandika Wolfram ...

Read More »

Van Gal ‘out’, Mourinho ‘in’ Man Utd

KLABU ya Manchester United imetangaza kuachana na Kocha wake, Luis van Gaal, huku nafasi yake ikitarajiwa kuchukuliwa na Jose Mourinho muda wowote kuanzia sasa, anaandika Kelvin Mwaipungu. Pamoja na Van ...

Read More »

Elimu ya juu waanza kulipa mikopo

JUMLA ya wadaiwa wapya 21,721 wa mikopo ya elimu ya juu wamejitokeza kwa lengo la kuanza kulipa madeni yao kufuatia agizo la siku 60 lililotolewa na Bodi ya Mikopo ya ...

Read More »

Rais Maduro agoma kung’olewa

SERIKALI ya Venezuela imefuta mpango wa kupiga kura ya maoni kumwondoa Nicolas Maduro, rais wa nchi hiyo kutokana na kudorora kwa uchumi wa nchi hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo Maduro amesabisha ...

Read More »

Mkwasa atangaza kikosi cha Stars

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha wachezaji 26 kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na ile ya kufuzu kwa ...

Read More »

‘Fahamu Namba Zako’ kuhusu Shinikizo la Damu

KILA mwaka tarehe 17 Mei, Dunia huadhimisha Siku ya Shinikizo la Damu Duniani (WHD). WHD ilizinduliwa rasmi Mei 2005, tangu hapo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka. Lengo kuu la WHD ni kuhamasisha ...

Read More »

Sukari imetusahaulisha Lugumi?

SAKATA la kukosekana sukari limeshika kasi nchini.Tatizo la kukosekana sukari lilianza baada ya Rais John Magufuli kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi kwa kile alichosema ni kulinda ...

Read More »

Moro kujenga Hospitali ya Rufaa ya kisasa

DOKTA Stephen Kebwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro amemuagiza Dk. John Ndunguru, Katibu Tawala wa mkoa huo kusimamia uanzishwaji wa mfumo wa kuboresha mapato ya Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ...

Read More »

Mseveni avuruga mabalozi

MABALOZI kutoka nchi za Ulaya, Marekani na Canada jana walisusa sherehe za kuapishwa Yoweri Mseveni, Rais wa Uganda kwa madai ya kiongozi huyo kuishutumu Mahakama ya Kimataifa ya Uhallifu wa ...

Read More »

Buhari: Sitaki kuombwa radhi

 MUHAMMADU Buhari, Rais wa Nigeria amekataa kuombwa radhi na David Cameroon, Waziri Mkuu wa Uingereza aliyelitaja taifa lake (Nigeria) kuwa ni miongoni mwa mataifa yaliyo na ufisadi mkubwa, anaandika Wolfram ...

Read More »

Raia wa Rwanda wapandishwa kizimbani Ufaransa

SERIKALI ya Ufaransa imewapandisha mahakama raia wawili wa Rwanda- Octavian Ngenzi na Tito Barahira kwa madai ya kushiriki katika mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994, anaripoti Wolfram Mwalongo. Shirika la ...

Read More »

London yapata Meya Muislam

JIJI la London nchini Uingereza limempata Sadiq Khan ambaye ni meya wa kwanza Muislamu katika historia ya jiji hilo, anaandikaWolfram Mwalongo Khan mwenye umri wa miaka 45 amechaguliwa kwa kura 1,300,000 ...

Read More »

Mkosoaji Kenya apigwa risasi

JACOB Juma, mfanyabiashara mashuhuri jijini Nairobi, Kenya pia mkosoaji katika Serikali ya Kenya ameuawa kwa kupigwa risasi. Juma ambaye ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii umekuwa ukizua mjadala, ameuawa jana ...

Read More »

Bosi TP Mazembe kuwania Urais RDC

MOISE Katumbi Gavana wa zamani wa jimbo la Katanga, Mkurugenzi wa klabu ya TP Mazembe na mfanyabiashara marufu nchini Kongo ametangaza kugombe urais wa Novemba mwaka huu, anaandika Wolfram Mwalongo. ...

Read More »

Snura awaomba radhi Watanzania kwa video ya Chura

BAADA ya wimbo wake wa Chura kufungiwa na Serikali jana, Msanii Snura Mushi, leo ameibuka na kuomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali, anaandika Regina Mkonde. Wimbo huo ulipigwa ...

Read More »

Snura, ‘Chura’ wapigwa kitanzi

WIMBO na Chura na video yake vimepigwa marufuku kuoneshwa ama kupigwa kwenye maonesho yote ya hadhara ya mwanamuziki wa kizazi kipya, anaandika Regina Mkonde. Pia shughuli za Snura Mushi, msanii na ...

Read More »

Mtoto apatikana hai chini ya kifusi

MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja amepatika akiwa hai katika jengo la ghorofa sita lililoanguka Jumanne wiki iliyo pita jijini Nairobi ambapo watu 20 walifariki dunia na zaidi ya 90 ...

Read More »

Trump: China inaibaka Marekani

DONALD Trump anayewania Urais kupitia chama chake cha Republican nchini Marekani amesema, China imekuwa ikibaka sera za kibiashara za Marekani kwa kuchezea sarafu yake (sarafu ya Marekani) hivyo kuongeza ushindani ...

Read More »

Majipu yataondoka na CCM

WIKI iliyopita, Rais John Magufuli aliitisha mkutano wa ghafla kukutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mikoa na wilaya zote nchini, anaandika Ansbert Ngurumo. Mwaliko huo ulikuwa ...

Read More »

Jaji amwachia huru mbakaji

SAID Chitembwe, Jaji nchini Kenya amemwacha huru Martin Charo aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kubaka mtoto wa mika 13. Chitembwe amesema, mtoto huyo alijifanya ni mtu ...

Read More »

Katiba yawasumbua mpira wa mikono

CHAMA cha mpira wa mikono Tanzania (TAHA) kimetakiwa kufuata sheria na taratibu za usajili wa katiba wanayoitaka kama walivyoagizwa na Msajili wa vyama vya michezo nchini, anaandika Aisha Amran. Rai ...

Read More »

Mwigamba ampisha Zitto

ALIYEKUWA katibu mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, Samson Mwigamba, hatimaye amefika safari yake. Ameng’olewa katika “kiti chake cha utukufu,” anaandika Pendo Omary. Anna Mghwira, mwenyekiti wa chama hicho taifa, ...

Read More »

Zanzibar ni kupe katika Muungano?

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefuta Sherehe za Maadhimisho ya Muungano. Ameagiza wananchi waadhimishe sherehe hizo wakiwa majumbani au katika shughuli zao binafsi, anaandika Saed Kubenea. Sherehe za ...

Read More »

Wanaomkosoa Magufuli ni wazalendo wafia nchi

RAIS John Magufuli ana staili yake ya uongozi – kwa kauli na vitendo – lakini inaaza kumfanya aonekane “dikteta mtarajiwa,” anaandika Ansbert Ngurumo. Baadhi ya wananchi waliokuwa wamekata tamaa, waliochoshwa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram