Thursday , 28 March 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

BiasharaTangulizi

TZ kupata 60% ya mapato DP World

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema katika mikataba hiyo mitatu, serikali itakuwa inapata ada na tozo...

Biashara

Unataka ukusanye mpunga wa maana, suka mkeka wako na Meridianbet

KAMA unataka kukusanya maokoto leo hii nenda pale Meridianbet suka jamvi lako vizuri kabisa kisha weka dau lako usubiri maokoto ya maana hapo...

Elimu

Vipaji St Mary’s  vyawashangaza wazazi

SHULE ya Msingi na Sekondari St. Marys Mbezi Beach imesema imejenga viwanja vya michezo shuleni hapo kama moja ya njia ya kuhamasisha michezo...

Biashara

Meridianbet yawafikia wakazi wa Tabata Kisiwani

  HAYAWI hayawi sasa hatimae yamekua na hiyo ni baada yakampuni ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kufikamaeneo ya Tabata Visiwani na kugawa vifaa...

BiasharaTangulizi

 Rostam awekeza bilioni 250 kuzalisha umeme Zambia

Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa...

Kimataifa

24 wajitosa urais DRC

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kupokea orodha ya wagombea 24 wa urais ambao wamejisajili kuwania katika uchaguzi wa...

Biashara

Kasino ya mtandaoni Meridianbet yaja na sloti ya kijanja

KAMA umewahi kucheza kasino ya mtandaoni Meridianbet naumejaribu kucheza michoz mingi na kuwa mshindi, basinakwambia bado hujamaliza yote kuna hii sloti ya Book...

BiasharaMichezo

Usikae kinyonge, furahia wikendi yako ukibeti na Meridianbet

KAMA unataka kufurahia wikendi yako bashiri na Meridianbet siku hizi za mapumziko uweze kujipigia maokoto yatakayokufanya ufarahie sana kwani mabingwa hawa wa ubashiri...

Michezo

Nyashinski atua Bongo, aahidi makubwa Serengeti Oktoba Fest

  NYAMARI Ongegu anayejulikana zaidi kama Nyashinski ameahidi makubwa katika onyesho lake la kesho katika Tamasha kubwa la Serengeti Oktoba Festival litakalofanyika kesho...

KimataifaTangulizi

Viongozi wa Hamas wauawa, vifo vyafikia 3,785.

TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...

Elimu

Bihimba asaidi ujenzi shule, wadau wengine waitwa

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Nasoro Mpaya, imesaidia ujenzi wa ukuta wa shule ya Sekondari ya Abbuy Jumaa, iliyoko Kivule jijini Dar es Salaam, kwa...

Biashara

Paa Bure na Aviator ndani ya Meridianbet

MARUBANI wote wanajua sehemu pekee ya kupata ndege ya bure ya kupaa nayo, meridianbet wanaendelea kutoa free bet kwenye kasino yao ya mtandaoni...

Afya

GGML wafanya matembezi kuhamasisha mwezi wa afya ya akili

WAKATI Tanzania ikiungana na dunia mwezi huu wa Oktoba kuadhimisha uhamasishaji wa afya ya akili, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining...

Elimu

Wanafunzi Sekondari ya Samia waomba uzio kudhibiti mafataki

WANAFUNZI kutoka mikoa mbalimbali nchini walioanza masomo ya kidato cha tano katika shule mpya ya wasichana Dk. Samia -SSH iliyopo kijiji cha Namole ...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Muunganiko Twiga, Tanga Cement wakataliwa tena mahakamani

Baraza la Ushindani (FCT) la Tanzania limefutilia mbali uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) uliotolewa  tarehe 28 Februari mwaka huu wa kuiruhusu Scancem...

Elimu

Mitihani darasa la nne, kidato cha pili kufutwa Zanzibar

SERIKALI ya Zanzibar, imetangaza mpango wake wa kufuta mitihani ya darasa la nne kwa shule za msingi  na kidato cha pili kwa sekondari,...

Kimataifa

Uingereza yatahadharisha raia wake Uganda

Serikali ya Uingereza imetoa tahadhari kwa raia wake wajiepushe kuitembelea mbuga mashuhuri ya wanyama nchini Uganda ambako watalii wawili, akiwemo raia mmoja wa...

KimataifaTangulizi

500 wauawa katika shambulio la hospitali Gaza

ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...

Biashara

Meridianbet yaja na promosheni ya Endorphina itakayokupa mkwanja wa kutosha

  KAMPUNI kongwe ya michezo ya kubashiri Meridianbet  imekuja na promosheni ya michezo ya kasino Mitandaoni ambayo itawawezesha wateja wake kushinda viwango tofauti...

Michezo

Klabu ya madini yaibuka na medali 4 SHIMIWI, mikakati yaanikwa

Katika kuhakikisha Klabu ya Michezo ya Madini ( Madini Sports Club) inashiriki michezo kwa mafanikio makubwa   imebainisha mikakati ya kiufundi itakayo leta...

Michezo

Hii hapa Jumanne ya kibabe na mechi za EURO

USIJIULIZE utapata wapi pesa ya kuanzia siku ya kesho, maana chimbo ni moja tuu nalo ni Meridianbet ambapo huku kwa dau dogo tu...

Elimu

Ujenzi vyuo vya VETA washika kasi

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amesema Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,...

Biashara

SBL yazindua ‘Maokoto chini ya Kizibo’ wateja kushinda mpaka Mil. 1.5

  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL), imezindua kampeni yake ya ‘Maokoto chini ya Kizibo’ ambayo itawafanya wapenzi wa bia kuwa...

Biashara

NMB yazindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu

BENKI ya NMB imeanzisha mpango maalum wenye masuluhisho mahususi kwa ajili ya kuwahudumia wastaafu na wastaafu watarajiwa unaoitwa NMB Hekima Plan. Anaripoti Mwandishi...

Elimu

Samia:Bajeti ijayo tutazingatia ujenzi nyumba za walimu

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inafanyia kazi changamoto ya upungufu wa walimu nchini, huku akiweka wazi mpango wake wa kutaka...

Kimataifa

Makamanda 6 Hamasa wadaiwa kuuawa

Jeshi la Israel linadai kuwa hadi sasa limeshawaua viongozi sita wa juu wa kundi la Hamas tangu kuanza vita dhidi ya Ukanda wa...

Michezo

Singida Big Stars yamwita Rais Samia

TIMU ya Singida Fountain Gate, maarufu kama Singida Big Stars, imemwalika Rais Samia Suluhu ahudhurie katika mechi zake  kama anavyofanya kwa timu nyingine...

BiasharaMichezo

Msafara wa Twende Butiama wakamilika kwa mafanikio makubwa

BAADA ya safari ya siku 14, zaidi ya kilometa 1,500 kupita wilaya 20 za mikoa 10 tofauti nchini, hatimaye msafara wa waendesha baiskeli...

Michezo

GGML wakabidhi basi jipya lenye thamani ya Mil. 500 kwa Geita Gold FC.

Uongozi wa Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) ambao ndio wadhamini wakuu wa Klabu ya Geita Gold FC. yenye maskani yake mkoani...

HabariSiasa

Dk. Rose Rwakatare atoa kadi 500 kila Wilaya Morogoro

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya...

ElimuHabari

CBE, WMA wasaini makubaliano wanafunzi kusoma wakifanyakazi

NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la ajira na kuwashauri...

Michezo

Wajue Mastaa wa soka wasiokuwa na Tattoo Duniani

    MPIRA wa Miguu ni sehemu ya kaaida ya maisha ya wanadamu, mashabiki na wachezaji huwa na hisia moja ya kushangilia ushindi...

Afya

Wagonjwa wa saratani wanachelewa kugundulika

IMEELEZWA kuwa asilimia 80 ya wagonjwa wa saratani ya matiti nchini Tanzania wanagundulika ikiwa wamefikia hatua ya tatu na nne, hiyo ikichangiwa na...

Kimataifa

Wapalestina waanza kukimbia Gaza baada ya tishio la Israel

WAPALESTINA waishio katika Ukanda wa Gaza, wameanza kukimbia makazi yao baada ya Israel kuwapa saa 24 wakitaka wahamie sehemu nyingine ili kupisha mashambulizi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Tanzania, Zambia zakubaliana kutatua changamoto za kibiashara

Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto nane kati ya 24 za kibiashara na 16 zilizobaki zimewekewa utaratibu wa kuzitatua ifikapo tarehe 31 Disemba...

Biashara

NMB kuanza kutoa mikopo kidigitali kwa watumishi wa umma 

BENKI ya NMB  imebainisha mipango yake ya kuanzisha mfumo wa uthibitishwaji wa maombi ya mikopo kwa njia ya kidigitali kwa wafanyakazi wa umma...

Biashara

Meridianbet yainogesha weekend, wanakupa 10% kila Ijumaa ukicheza Keno & Lucky 6

  IFANYE Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati...

BiasharaTangulizi

Kilo 4.3 za dhahabu zadakwa zikitoroshwa

Katika kuhakikisha Tanzania inalinda rasilimali madini ili zichangie maendeleo ya nchi na kuinua uchumi wa watanzania, Serikali imesimamisha leseni zote nchini za Kampuni...

Biashara

Bashungwa atoa siku 4 Kivuko MV. Mara kikamilike

KAMPUNI  ya Songoro Marine imepewa siku 4 kuhakikisha inakamilisha ukarabati wa kivuko cha MV. Mara kinachofanya safari zake kati ya Iramba wilaya ya...

Elimu

Ujenzi shule ya kwanza kata ya Kilimani washika kasi

HATIMAYE kata ya Kilimani katika Jiji la Dodoma imeanza ujenzi wa shule ya msingi itakayogharimu kiasi cha Sh 80 milioni kwa kuanza na...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mgogoro wa wachimbaji Mafurungu watatuliwa, wapewa leseni

Serikali kupitia Wizara ya Madini imetatua rasmi mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini uliodumu kwa mwaka mmoja katika Kitongoji cha Mafurungu – Wilaya...

Michezo

Osman Bey kulipwa bil 2 kwa tangazo moja

  BURAK Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa mwanamitindo wakati...

Kimataifa

Gavana wa benki kuu Burundi akamatwa kwa ufisadi

DIEUDONNÉ Murengerantwari anatuhumiwa na wizara ya sheria ya Burundi kwa madai ya kuhujumu utendaji wa uchumi wa taifa, ufisadi na ufujaji wa mali...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mohammed Deif: Paka mwenye roho tisa anayeongoza kundi Hamas

WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Dar

BENKI ya NMB kupitia Klabu za Biashara ‘NMB Business Club’ imeandaa mafunzo ya kifedha kwa wafanyabiashara jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Bilioni 81 kumaliza foleni kwenye mizani

KATIKA harakati za kuondokana na msongamao wa magari barabarani Serikali inatarajia kutenga Sh 81 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa mizani ya kupima...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri Mhagama akoshwa na Mshikofasta ya NMB 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka vijana kuchangamkia fursa ya mkopo wa Mshikofasta inayotolewa na...

KimataifaTangulizi

Hali mbaya Gaza, hospitali zaelemewa

  HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...

Elimu

Serikali yaahidi kuzilegeza masharti shule binafsi

  SERIKALI imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa wamiliki wa shule binafsi, ili ziweze kutekeleza majukumu yake vizuri ya kutoa elimu bora kwa...

Biashara

Meridianbet kuzindua mzigo mpya pamoja na Expanse Studios

  EXPANSE Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili kuwasilisha bidhaa...

error: Content is protected !!