Michezo

Michezo

Maamuzi ya CAF, Kuhusu rufaa ya TFF

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya rufaa ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) juu ya mchezaji wa timu ya taifa ya Jamuhuri ya Congo chini ya ...

Read More »

Tanzania, wapewa Uganda na Cape Verde AFCON 2019

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), imetoa droo ya makundi 12, kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Mataifa Africa AFCON mwaka 2019 itakayofanyika nchini ...

Read More »

Nyota watatu wa Arsenal waongeza mkataba

WACHEZAJI wa klabu ya Arsenal Oliver Giroud 30, Laurent Koscielny 31 na Francis Conquelin 25, wameongeza mikataba yao ndani ya timu hiyo na kuendelea kuitumikia timu hiyo katika michuano tofauti. ...

Read More »

Payet amvuruga kocha wake

KOCHA wa West Ham United Slaven Bilic, amesema winga wa klabu hiyo Dimit Payet 29 amekataa kucheza tena kwenye timu hiyo, kutokana na shinikizo la kutaka kuuzwa ingawa hawapo tayari ...

Read More »

Azam yamshusha kocha wa Raja Casablanca

HATIMAYE klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miezi sita na Aristica Cioba 45, raia wa Romania kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya siku chache zilizopita kumtimua kazi ...

Read More »

FIFA waongeza idadi ya timu Kombe la Dunia

SHIRIKISHO  la Mpira wa Miguu Dunia (Fifa) kupitia wajumbe wake, wamefikia makubaliano ya  kuongeza idadi za timu kufikia 48 kutoka 32 zilizokuwa zikishiriki Kombe la Dunia hapo awali, na utaratibu ...

Read More »

Ronaldo, Raniel watamba tuzo za FIFA

HATIMAYE washindi katika tuzo za FIFA (The FIFA best Awards) wamefahamika jana katika hafla iliyofanyika Zurich, huku Cristiano Ronaldo akiibuka kuwa mchezaji bora wa mwaka na Claudio Raniel akichukua tuzo ...

Read More »

Barcelona wazuia wachezaji wake kwenye tuzo za FIFA

RAIS wa klabu ya Fc Barcelona Josep Maria Bartomeu ataongoza ujumbe wa klabu katika tafrija ya utoaji tuzo wa mchezaji bora wa FIFA, lakini wachezaji wa klabu hiyo waliopata mualiko ...

Read More »

Simba, Yanga hapatoshi Mapinduzi Cup

HATIMAYE mahasimu wa wawili katika soka la Tanzania, Simba na Yanga wataminyana kesho katika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kukamilika ...

Read More »

Ander Herrera kutembelea Tanzania

KIUNGO wa Manchester United na  Hispania, Ander Herrera anatarajiwa kutembelea nchi mbili zilizopo kwenye Ukanda wa Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania bila kuweka wazi sababu zitakazomfanya kuja  wala kutaja muda gani ...

Read More »

Mahrez mchezaji bora Afrika

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England na Timu ya Taifa ya Algeria, Lihard Mahrez amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka barani Afrika zilizotolewa ...

Read More »

Azam Fc yaachana rasmi na makocha wake

BAADA ya taarifa zilizoenea jana juu ya klabu ya Azam Fc kuachana na jopo la makocha wao raia wa Hispania, wakiongozwa na kocha mkuu  Zeben Hernandez na wasaidizi wake, hatimaye ...

Read More »

Farid kutimkia Hispania kesho

HATIMAYE winga wa Azam Fc Farida Mussa, anatarajia kuondoka nchini kesho Juma tano majira ya Saa 5 kamili usiku na ndege ya Shirika la KLM, kwenda nchini Hispania kuanza maisha ...

Read More »

Ligi Kuu bara kuendelea kesho

BAADA ya mapumziko ya Sikukuu ya Krismasi, hatimaye Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea tena kesho na kesho kutwa, kwa kupigwa michezo minne katika viwanja vitatu tofauti, ikiwa ni raundi ya ...

Read More »

Chelsea yathibitisha kuondoka kwa Oscar

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazir na klabu ya Chelsea Oscar dos Santos (25), anatarajiakujiunga na klabu ya Shanghai SIPG inayoshiriki ligi kuu nchini China katika dirisha dogo ...

Read More »

Alan Pardew atimuliwa Crystal Palace

KLABU ya Crystal Palace ya nchini England imemtimua kocha wake Alan Pardew aliyekuwa akikinoa kikosi hicho baada ya kupoteza mechi nane kati ya michezo 10 katika ligi kuu nchini humo ...

Read More »

Leicester City timu bora ya mwaka

KLABU ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka baada ya kutwaa ubingwa nchini humo, huku kocha mkuu wa timu hiyo Claudio Ranieri akitangazwa kuwa ...

Read More »

Kimenuka Yanga, wachezaji wagomea mazoezi

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jana asubuhi katika uwanja wa Uhuru, baada ya wachezaji wa klabu ya Yanga kugomea mazoezi yaliyokuwa yanasimamiwa na kocha wao Mkuu, George Lwandamina baada ya ...

Read More »

Farid Mussa sasa rasmi Hispania

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya winga Farid Mussa (20) wa klabu ya Azam FC kwenda katika klabu ya Deportivo Tenefife ligi daraja la kwanza nchini Hispania kucheza ...

Read More »

Mshahara wa Oscar kuwafunika Messi, Ronaldo

KIUNGO wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil Oscar do Santos huenda akawa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa cha fedha kuliko wote duniani ikiwa atakamilisha uhamisho na kutua katika klabu ...

Read More »

Everton yawabana nyota wake watatu

KLABU ya Everton inayoshiliki Ligi Kuu ya England imefanikiwa kuwaongeza mikataba nyota wake watatu Gareth Barry, Leigthton Baines na kinda anayechipukia katika timu hiyo Mason Holgate kuendelea kukipiga kwenye klabu ...

Read More »

Ligi ya Congo kusitishwa sababu za kiusalama

KUFUATIA hali ya usalama kuwa tete nchini ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) hatimaye serikali kupitia Waziri wa michezo nchini humo, Denis Kambayi imelitaka shirikisho la soka nchini ...

Read More »

Chelsea, Manchester City wapigwa faini

HATIMAYE chama Soka England (FA) imezipiga faini klabu za Manchester City na Chelsea kufuatia wachezaji wao kuhusika kwenye vurugu wakati wa mchezo wa ligi kuu uliokutanisha klabu hizo Disemba 3 ...

Read More »

Utata juu ya tuzo ya Ronaldo

SIKU chache baada ya mshambuliaji wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia inayotolewa na moja ya gazeti nchini Ufaransa ...

Read More »

Kiungo Genk kuchukua nafasi ya Kante Leicester City

MABINGWA watetezi wa ligi kuu nchini England, Leicester City wanatarajia kukamilisha usajili wa kiungo Wilfred Ndindi raia wa Nigeria anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya Ubergiji katika dirisha dogo ...

Read More »

Arsenal yatupwa tena kwa Bayern UEFA

HATIMAYE droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora imefanyika mchana wa leo, nakushuhudia timu vigogo zitakazomenyana katika hatua hiyo kuelekea fainali ya kombe hilo Juni 3 mwakani ...

Read More »

Benzema afikisha mabao 50 UEFA

BAADA ya jana kupachika mabao mawili katika mchezo uliowakutanisha timu yake ya Real Madrid dhidi ya Borussia Dortmund uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika dimba la Santiago Bernabeu, hatimaye ...

Read More »

Saanya, Mpenzu waondolewa Ligi Kuu

WAAMUZI waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Martin Saanya na Samwel Mpenzu wametolewa katika ratiba ya michezo ya ...

Read More »

Sanchez apata ‘dili’ nono China

LICHA ya Arsenal kumpa ofa nono ya pauni laki mbili, Alexis Sanchez kwa wiki kama akikubali kuongeza mkataba wake ambao umebakisha miezi 18, lakini kiungo huyo amepata ofa kutoka kwenye moja ya klabu inayo ...

Read More »

Ratiba FA Cup hadharani

HATIMAYE ratiba ya mzunguko wa tatu wa Kombe la Chama cha Soka England (FA CUP) tayari imetolewa, anaandika Kelvin Mwaipungu. Jumla ya michezo 32 itapigwa kati ya tarehe 6-9 Januari ...

Read More »

Simba kujichimbia Morogoro

KATIKA kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara hatimaye kikosi cha Simba kitakwenda kuweka kambi kwa wiki mbili mkoani Morogoro chini ya makocha wao Joseph Omog na ...

Read More »

Nape atuma salamu za rambirambi

WAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na jamaa pamoja na wanamichezo wote kufuatia kifo cha mchezaji wa timu ya vijana ...

Read More »

Urefu wa Fellain haukumsaidia Mourinho

BAADA ya kutoka sare katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu England dhidi ya Everton, hatimaye kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ametoa ufafanuzi kwanini alifanya maamuzi ya kumuingiza Marouane ...

Read More »

Mlinda mlango wa Chapecoense astaafu soka

MLINDA mlango wa klabu ya Chapecoense, Jose Nivaldo (42) ametangaza kustafu mchezo wa soka kufuatia ajali ya ndege iliyotokea nchini Colombia juzi nakupoteza maisha ya baadhi ya nyota na viongozi ...

Read More »

Woodburn avunja rekodi ya Owen

KINDA wa klabu ya Liverpool, Ben Woodburn (17), ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga goli akiwa na umri mdogo katika historia ya klabu hiyo toka kuanzishwa kwake, anaandika Kelvin Mwaipungu. ...

Read More »

Kiganja anafichua kilichofichika

UNAIKUMBUKA habari iliyoandikwa na gazeti hili katika toleo Na. 361 la Oktoba 17-23, 2016, iliyokwenda kwa maneno ‘Rais Magufuli ashtukia dili.’ Kama haukubahatika kuisoma itafute isome zaidi ya mara moja, ...

Read More »

‘Buriani Thomas Mashali’

THOMAS Mashali, aliyekuwa bondia mashuhuri nchini Tanzania, amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashabiki, wapenzi wa ndondi, wananchi na wanafamilia kwa pamoja leo ...

Read More »

Bondia Mashali kuzikwa leo

THOMAS Mashali, mmoja kati ya mabondia mashuhuri nchini Tanzania, atazikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashali ambaye ana rekodi ya kipekee kwenye mchezo ...

Read More »

Wenger: Ramsey yupo fiti kurejea uwanjani.

Kocha wa klabu ya Arsenal ya nchini England Arsene Wenger amethibitisha kiungo wake raia wa Wailes Aaron Ramsey atarejea dimbani katika mchezo unaofuta wa ligi dhidi ya Sunderland baada ya ...

Read More »

Plujim Kurejea tena Yanga?

HATIMAYE uongozi wa Klabu ya Yanga umeandikia barua ya kumuomba Hans Van De Plujim, aliyekuwa kocha kabla ya kujiuzulu afute maamuzi hayo na kurejea tena kuendelea kuinoa klabu hiyo, anaandika Kelvin ...

Read More »

Man City yairudia rekodi yao mbovu

SAHAU kupoteza mchezo kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Manchester United na kutupwa nje kwenye Kombe la Ligi, lakini Manchester City haikufanikiwa kupiga shuti hata mmoja liliolenga lango ...

Read More »

Kapombe fiti kuivaa Kagera Sugar

BEKI wa kulia wa Klabu ya Azam FC, Shoamri Kapombe anatarajia kurejea dimbani Ijumaa hii katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar baada ya kusumbuliwa na ...

Read More »

Man City kumweka Mourinho njia panda

BAADA ya kutofanya vizuri kwa takribani michezo mitatu kwenye Ligi Kuu ya England, Manchester United ikiongozwa na Jose Mourinho wapo kwenye kibarua kingine leo kwa kuwakaribisha mahasimu wao Manchester City ...

Read More »

Mwenyekiti Yanga akubali amri ya Mahakama

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga ametangaza kuahirisha Mkutano Mkuu wa dhalura wa wanachama, uliokuwa ufanyike kesho tarehe 23 Oktoba, 2016 katika Uwanja wa Kaunda uliopo makao makuu ya klabu hiyo ...

Read More »

Samatta amlilia Farid Mussa

MSHAMBULIAJI wa KRC Genk na nahonda wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amekuwa katika sintofahamu juu ya Farid Mussa mchezaji wa Azam FC kwenda kucheza soka la kulipwa ...

Read More »

Hagreves: Carrick ndio mtu sahihi wa kucheza na Pogba

KIUNGO wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Owen Hagreves amesema Maichael Carrick ndio mchezaji sahihi wa kucheza na Paul Pogba katika eneo la ...

Read More »

BMT yatia mchanga ‘kitumbua cha Yanga’

Baraza la Michezo hapa nchini (BMT), kupitia kwa Mohammed Kiganja, Katibu Mkuu wake, limetangaza kutotambua ukodishwaji wa Klabu ya Yanga  na kusema kuwa ni kinyume na Katiba ya klabu hiyo, ...

Read More »

Mkataba wa Yanga kukodishwa huu hapa

  BODI ya Wadhamini wa klabu ya Yanga, umeweka hadharani mkataba wa kuikodisha timu hiyo kwa miaka 10 kwa mkodishwaji, anaandika Kelvin Mwaipungu. Ufuatao ni mkataba kamili wa kuikodishwa klabu ...

Read More »

Viungo Simba, Yanga kuamua matokeo

Mara nyingi ukifuatilia historia ya michezo ya mahasimu wa mji mmoja ‘Derby’ baina ya Simba na Yanga, matokeo ya mchezo huo mara nyingi huamuliwa na ufundi unaooneshwa eneo la kati ...

Read More »

‘Hisabati’ za Simba na Yanga kuelekea Oktoba Mosi

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga katika Ligi Kuu soka Tanzania Bara, siku ya Oktoba Mosi mwaka huu utakaofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram