Tuesday , 23 April 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Yanga waitwa Ikulu kesho Jumatatu

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu, tarehe 5 Juni 2023, ameialika Ikulu jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga, kupata chakula...

Michezo

Dk. Mkwizu: Afrika tudumishe utamaduni

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro (ALAAT), Dk. Salehe Mkwizu ameshauri nchi za Afrika kudumisha utamaduni wa bara...

Michezo

‘EONII’ kuteka tasnia ya filamu

  UZINDUZI wa Filamu ya Kisayansi ya ‘EONII’ uliofanyika Mei 29 katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, umetajwa kuwa unaenda kufanya...

Michezo

NBC Dodoma Marathon yazinduliwa, wakiambiaji 6,000 kushiriki

BENKI ya NBC imetangaza kufanyika kwa mbio kubwa za NBC Dodoma Marathon Jumapili tarehe 23 Julai 2023 mkoani wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Michezo

Rais Samia anunua tiketi 5000 Yanga vs USM Alger

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amejitoa kimasomaso kuhakikisha kuwa Yanga inashinda nyumbani dhidi ya USM Alger ya...

Michezo

Mwenyekiti UVCCM anogesha nusu fainali Kimwanga CUP, Hawa Abdul Rede CUP kwa kishindo

HEKAHEKA za michuano ya kuwania kuingia fainali ya michuano ya ligi ya mpira wa miguu katika ligi ya Kimwanga CUP na mashindano ya...

Michezo

Yanga SC. yatwaa ubingwa wa pili mfululizo

  KLABU ya Yanga SC imeweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa 29 Ligi Kuu Tanzania bara  msimu wa 2022/23 baada ya kupata ushindi...

Michezo

Meridianbet yagawa ‘reflector’ kwa bodaboda Mbagala

  KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuiunga mkono jamii yake inayowazunguka baada ya leo kufika katika mtaa wa Mbagala na kugawa vifaa kwa vijana...

Michezo

Cheza kasino ya Meridianbet ushinde

  UNAHITAJI urahisi wa odds kubwa, michezo mingi ya kasino ya mtandaoni, kuhusu machaguo mengi, ofa na promosheni na bonasi juu, ichague Meridianbet...

Michezo

Majaliwa aipongeza Yanga, aitaka Simba ijifunze

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuichabanga timu ya Marumo Galants kutoka nchini Afrika Kusini jumla ya bao 2-0...

Michezo

Yanga yaizaba Marumo, yaweka mguu mmoja fainali CAFCC

WAWAKILISHI pekee katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Klabu ya Yanga SC imejiweka nafasi nzuri ya kutinga Fainali ya Michuano hiyo baada ya...

Michezo

Meridianbet yamtambulisha mshindi wa milioni 60

  MANENO kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga...

Michezo

Meridianbet yamjengea heshima Awesu kitaani kwake

  KAMPUNI ya Meridianbet katika kuhakikisha inarudisha fadhira kwa kwa jamii, iliandaa shindano la mikwaju ya penati ambapo kila itakayozaa goli inalipwa Sh....

Michezo

Meridianbet yazindua wa duka jipya Buguruni Malapa

  KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuwasogelea wateja wake baada ya kufanya uzinduzi wa maduka ya kubetia katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua...

Michezo

Meridianbet yatambulisha promosheni ya Bonus ya Ukaribisho

MERIDIANBET imetanbulisha promosheni mpya ya bonasi ya ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni ambayo inayompa mteja mpya anapata Sh 25,000 na mizunguko 50 ya bure...

Michezo

Sakata kuzima taa Taifa: Vigogo wasimamishwa, mechi za usiku zapigwa ‘stop’

  VIONGOZI wanaosimamia Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa sakata la kuzima kwa taa...

Michezo

Meridianbet yatoboa siri ya kushinda kirahisi kupitia BlackJack Live

MOJA kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa...

Michezo

Cheza Titan Dice kushinda karahisi

  KASINO mtandaoni ya Meridianbet inakupa ushindi kirahisi kupitia sloti ya Titan Dice ambayo ni moja ya michezo inayotoa fedha nyingi kirahisi. Anaripoti...

Michezo

Meridianbet wamwaga Reflectors katika kampeni ya Mtaa kwa Mtaa

  KAMPUNI ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet...

Michezo

Meridianbet wanaupiga mwingi wikiendi hii Odds za kumwaga

  MERIDIANBET wikiendi hii wanaupiga mwingi kwa kuhakikisha wanakupa odds bomba na kubwa katika michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi Barani Ulaya kuanzia...

Michezo

Shinda Sh. 2.5 milioni za Meridianbet Kasino ya mtandaoni

  KUTOKA nyumba ya mabingwa Meridianbet Kasino ya mtandaoni yaja na promosheni nyingine, baada ya kutambulisha Drops &Wins sasa kuna hii ya Spring...

Michezo

Meridianbet yazindua duka jipya Vingunguti Relini

  KAMPUNI ya Meridianbet yenye ODDS KUBWA imeendelea kutanua wigo wa huduma kwa wateja wake baada ya kufungua duka lingine mitaa ya Vingunguti...

Michezo

Meridianbet kutoa milioni 650 kupitia rops & Wins

  MERIDIANBET Kasino ya mtandaoni inakupa mchongo wa kutusua kimaisha kupitia shindano lake kipya la Drops & Wins ambalo litakuwa linawazadia washindi mamilioni...

Michezo

Robo fainali ya pili ya UEFA, nani kutinga Nusu Fainali?

  WAHENGA waliwahi kusema usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi...

Michezo

Meridianbet yagawa vifaa vya michezo kwa timu mbili za Wanawake

MERIDIANBET ambao ndio mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA leo imeamua kugusa soka la wanawake baada ya kuzikifikia  timu hizo na...

Michezo

Historia ya mpira na utajiri wake

  HISTORIA ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu...

Michezo

Simulizi za kale ndani ya Meridianbet Kasino

  BILA shaka simulizi za kale huwa zina sisimua na kufurahisha haswa unapopata mtu anayejua kusimulia au stori nzuri iliyoandikwa kwenye mtiririko mzuri...

Michezo

Wiki ya Moto Man City vs Bayern, Madrid vs Chelsea Odds kubwa Leo

  ZILIANZA timu 32, zikafika 16, na hatimaye zimebaki 8 katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, unatabiri timu zipi...

Michezo

Aliyebeti kwa 20,000 na kushinda Mil 26 atoa tamko

  KILA mtu ana siku yake ya kutoboa kwenye Maisha, kama haijafika basi ipo karibu kufika ongeza bidi na juhudi piga sala na...

Michezo

Odds kubwa Meridianbet wikiendi bomba

  APRILI ni mwezi uliobarikiwa sana ndio maana Meridianbet wanasema ni mwezi wa kutoboa, wakati ukisherehekea Sikukuu ya Pasaka nakukumbusha kwamba unahitaji uwe...

Michezo

Uzinduzi wa duka jipya la Meridianbet Posta

  KAMPUNI ya Meridianbet Tanzania wanaendelea walipoishia kwa kuhakikisha wateja wake wanapata huduma popote na ndio sababu ya kuendelea kusambaza maduka, Na leo...

Michezo

Kasino ya mtandaoni yaifanya stori ya Roman Empire kuwa mchezo

  FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Miongoni mwa...

Michezo

Meridianbet yaja na promosheni ya utajiri

  USIFANYE makosa katika kuutafuta utajiri haswa kwenye harakati zako za kila siku, hata iweje ishi na Imani ya kuwa siku moja utatoboa...

Michezo

Mwarabu mshindi wa Tsh 54m apatikana

NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi...

Michezo

TANROADS wawataka watumishi wazingatie michezo kazini

  WAKALA wa barabara Tanzania (TANROADS) imesema michezo inapaswa kuzingatiwa kwa watumishi kazini na hata jamii majumbani ili kuboresha Afya ya mwili kupambana...

Michezo

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza ari kubwa kwa...

Michezo

Simba Sc. yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya

WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema...

Michezo

Taasisi ya TKO na TFF yawapiga msasa makocha wa kike 54

WAKATI Soka la wasichana likichipua kwa kasi Taasisi ya Karibu Tanzania Organization ‘KTO’ na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imezidi kuchagiza...

Michezo

Kimwanga CUP yazidi kutimua vumbi

MASHINDANO ya mpira wa miguu ya Kimwanga CUP ya kuwania ng’ombe yanazidi kutimua vumbi huku timu kadhaa zikiendelea kumenyana katika hatua ya makundi....

Michezo

Watanzania wang’ara Kilimanjaro International Marathon

WANARIADHA wa kitanzania wameng’ara katika mbio za 21 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, baada ya kufanya vizuri katika mbio za Km 42...

Michezo

Masanja wa Simba aaga dunia gerezani China

  KIONGOZI mwandamizi klabu ya soka ya Simba ya Tanzania, Marco Masanja, aliyekuwa kifungoni nchini China, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Michezo

Rais Samia kununua kila goli la Simba, Yanga kwa Mil 5

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza kununua kila goli litakalofungwa katika michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii....

Michezo

GGML: Uwanja mpya wa Geita Gold FC kukamilika Mei, 2023

UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited, unatarajiwa kukamilika mwezi Mei...

Michezo

Wanafunzi chuo Mwalimu Nyerere wapongezwa kwa ushindi

  UONGOZI wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) umewapongeza wanafunzi wanamichezo wa chuo hicho walioshiriki kwenye Mashindano ya Shirikisho la Michezo...

Michezo

Arsenal waipopoa Manchester United

KLABU ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England imewatandika Mashetani Wekundu ‘Manchester United’ jumla ya bao 3- 2 katika mchezo uliopigwa leo jijini London...

Michezo

Mchezaji Singida apoteza maisha mazoezini

  MCHEZAJI na kapteni wa timu ya vijana ya Singida Big Star (U17), Mohammed Banda leo tarehe 19 Januari, 2023 amefariki dunia baada...

Michezo

GGML yaongeza udhamini kwa Geita Gold FC msimu wa 2022/2023

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeongeza mkataba wa udhamini kwa Klabu ya Geita Gold Football Club (GGFC) wenye thamani ya  Sh...

HabariMichezo

Mandonga atimba Kenya na ngumi ‘Sugunyoo’ kutoka Ukraine

  BONDIA mcheshi nchini Karim Mandonga maarufu kama ‘Mtu Kazi’ amempiga mkwara mzito mpinzani wake Daniel Wanyonyi raia wa Kenya kwamba amekwenda na...

Michezo

Vincent Aboubakar ampisha Ronaldo Al-Nassr, anukia Man United

KLABU ya Al-Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia imesitisha mkataba wa mshambuliaji wa Cameroon, Vincent Aboubakar ili kumpisha straika mpya raia wa...

MichezoTangulizi

TFF: Fei Toto mchezaji halali wa Yanga

  KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji...

error: Content is protected !!