Michezo

Michezo

Ni vita ya fedha GSM Vs Mo

‘VITA’ ya fedha inakwenda kutikisha msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (2020/21). Ni baada ya vilabu vikubwa viwili nchini – Klabu Simba na Yanga – kupania kusajili wachezaji wakali. Anaripoti ...

Read More »

Simba, Yanga, Azam Matatani

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’, limepiga marufuku michezo yote ya kirafiki kwa klabu zote nchini mpaka pale itakapotoa kibali maalumu kutokana na timu hizo kutofuata masharti ya Wizara ...

Read More »

Simba yaonyesha umwamba kuelekea Ligi Kuu

KLABU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kujipima nguvu kuelekea kuendelea na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza ...

Read More »

Mwamuzi atupwa jela mwaka mmoja kwa kupanga matokeo

MAHAKAMA ya Mkoa wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja mwamuzi wa mpira wa miguu, Safiel Mjema baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuomba na kupokea hongo ya Sh.120,000. ...

Read More »

Yanga yajiimarisha kurejea Ligi Kuu Bara

KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi yake kwenye viwanja vya chuo cha Sheria, Jijini Dar es Salaam katika hatua ya kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho inayotarajia kuanza hivi ...

Read More »

Ratiba Ligi Kuu Bara hadharani

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo leo ametangaza ratiba ya michezo iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi daraja la kwanza ambayo intarajia kuanza kupigwa terehe 13 ...

Read More »

Serikali: Mashabiki ruhusa viwanjani

MSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema kutokana na maoni mbalimbali serikali imeridhia mashabiki watakaotaka kwenda viwanjani kutazama mechi mara tu baada ya ligi kuanza waruhusiwe kuwepo kwa kuzingatia muongozo ...

Read More »

Serikali yatoa muongozo michezo Ligi Kuu

KUFUATIA kauli ya serikali kuruhusu shughuli za michezo kuendelea nchini iliyotolewa na Rais Magufuli, jijini Dodoma, 21 mei, 2020, Wizara ya Afya kushirikiana na Wizara ya Habari wametoa muongozo kwa ...

Read More »

Robo Fainali FA Cup: Simba vs Azam FC, Yanga vs Kagera

BIGWA wa Mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaikalibisha Azam FC kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam, huku klabu ya Yanga itamenyana na Kagera ...

Read More »

Ligi Kuu Bara kurejea Juni 13, 2020

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametangaza tarehe ya kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ambayo ni Juni 13, huku ratiba kamili ikitarajiwa kupangwa Mei 31, ...

Read More »

Ligi Kuu Zanzibar kurejea Juni 5

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu humo kuanzia Juni 5, 2020 baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi kikubwa na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19. ...

Read More »

Dortmund, Bayern vitan leo Bundesliga

LIGI Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ kuendelea tena leo ambapo Borrusia Dortmund itawakaribisha klabu ya FC Bayern Munichen kwenye dimba la Signal Iduna Park katika kusaka alama tatu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, ...

Read More »

Polisi Tanzania yatoa sababu kuendelea kumshikilia Idris

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeeleza sababu za kuendelea kumshikilia Idris Sultani, Msanii wa Vichekesho Tanzania, anayesota rumande kwa muda wa siku tano, ni uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili kutokamilika. Anaripoti ...

Read More »

Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ Juni 8

SERIKALI ya Hispania kupitia Waziri Mkuu wake Pedro Sanchez, ametangaza kuwa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ itarejea tena Juni 8, 2020 baada ya kusimama kwa mwezi mmoja kutokana na kuibuka ...

Read More »

Idris asota siku 5 rumande, Polisi warushiana mipira

IDRIS Sultani, Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, anaendelea kusota rumande, katika Kituo cha Polisi  cha Oysterbay jijini Dar es Salaam, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais wa nchi hiyo, ...

Read More »

Dk. Mwakyembe: Tunafungua Ligi kwa tahadhari kubwa

BAADA Rais wa Tanzania, John Magufuli kuruhusu shughuli za michezo kuendelea kuanzia Juni Mosi, 2020, Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa wanaenda kufungua Ligi ...

Read More »

‘Kuidhikahi picha ya Rais’ kwaendelea kumsotesha Idris Sultan

IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Taasisi ya Mo Dewji, Timu ya Simba watoa msaada Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja na vitakasa mikono katika maeneo mbalimbali ya ...

Read More »

Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Sita wakutwa na Corona EPL, Watford wagomea mazoezi

WACHEZAJI wa klabu ya Watford England wamegoma kuanza mazoezi siku ya jana kutokana na maofisa wao wawili na mchezaji mmoja kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona hali iliyopelekea kutengeneza ...

Read More »

Yanga yazindua mfumo wa mabadiliko

MWENYEKITI wa Yanga, Dk. Mshindo Msolwa leo amezindua kampeni ya kuelekea mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo itakayosimamiwa na Mwanasheria Alex ...

Read More »

Tanzania Prisons yakabidhiwa gari jipya

KAMISHNA wa Magereza Tanzania, Jenerali Suleiman Mzee ameikabishi klabu ya Tanzania Prisons basi dogo aina ya Toyota Coaster itakayotumika na timu hiyo katika michezo mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu Tanzania Bara. ...

Read More »

Wachezaji Manchester warejea, wapimwa Corona

BAADHI ya nyota ya Manchester United jana walionekana kurejea kwenye eneo la viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo (Carrinton) kwa ajili ya kufanya vipimo vya ugonjwa wa homa ya mapafu ...

Read More »

Bundesliga kuanza kutimua vumbi leo

BAADA ya kusimama kwa muda wa mwezi mmoja na nusu kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19, hatimaye Ligi Kuu ya soka nchini Ujerumani ‘Bundesliga’ imerejea tena leo huku ...

Read More »

‘Kaka tuchati’ video kali, gharama haizidi elfu 60

KAKA tuchati. Linaweza lisiwe neno geni masikioni mwako hasa katika kipindi hiki kifupi ambapo wasanii wa muziki nchini Tanzania, Roma na Stamina wameachia ngoma yao waliyoipa jina hilo. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Bil 1 za Rais Magufuli zaiweka pabaya TFF

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imesema inalichunguza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuhusu matumizi mabaya ya fedha, ikiwemo kiasi cha Sh. 1 bilioni kilichotolewa ...

Read More »

TFF yafafanua juu ya matumizi ya fedha za FIFA

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ( TFF), Wilfred Kidao ametoa ufafanuzi juu ya matumizi ya fedha kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Shilingi 2.3 ...

Read More »

Wachezaji EPL wagoma kurudi mazoezini

PAMOJA na Serikali Uingereza kutoa taarifa kuwa kuna uwezekano michezo ikarejea Juni Mosi, 2020 lakini baadhi ya wachezaji wa klabu za Ligi Kuu wamegomea makocha wao, kurejea mazoezini siku ya ...

Read More »

Serikali kuamua hatma ya Ligi Kuu Tanzania Bara

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sambamba na Bodi ya Ligi imesema kuwa hatma ya kurejea kwa Ligi Kuu Tanzania Bara sambamba na Ligi daraja la Kwanza (TPL) inategemea ...

Read More »

Yanga watenga Mil 200 kuimaliza Simba

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wametenga kiasi cha Sh. 200 milioni kama motisha kwa wachezaji endapo watafanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya ...

Read More »

Tuhuma za Kabwili, Simba wainua mikono, waiachia TFF

UONGOZI wa klabu ya Simba umetoa taarifa ya kusikitishwa kwao na tuhuma za madai ya rushwa zilizotolewa na mchezaji wa klabu ya Yanga, Ramadhani Kabwili na kufahishwa na hatua iliyochukuliwa ...

Read More »

Yanga yaitisha mkutano wa dharura kubadili Katiba

MWENYEKITI wa Yanga. Dk. Mshindo Msola ameitisha mkutano mkuu wa dharura kwa wanachama wa klabu hiyo unaotarajia kufanyika tarehe 16 Februari, 2020, katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl. ...

Read More »

Shujaa wa kikapu: Kobe Bryant, hatuko naye tena

NI majonzi. Ni simamizi. Ni vilio kote duniani, kufuatia kifo cha ghafla cha nyota wa mpira wa kipaku nchini Marekani, Kobe Bryant. Mwanamichezo huyo mashuhuri ulimwenguni, amekutwa na mauti, kufuatia ...

Read More »

Simba, Yanga mambo mazito Kombe la Shirikisho

DROO ya hatua ya 32 na 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA CUP) imechezeshwa leo ambapo vigogo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba na Yanga zitakutana na ...

Read More »

Kocha wa Hazard atua Yanga, kuanza na Kombe la Mapinduzi

UONGOZI wa Yanga leo umemtangaza, Luc Eymael, Raia wa Ubelgiji kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na moja kwa moja atajiunga na kambi ya timu hiyo iliyoko Zanzibar kwenye michauno ...

Read More »

Mchezaji Bora Afrika kujulikana leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo linatarajia kutoa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2019, katika hafla inayotarajia kufanyika leo mjini Hurghada, Misri. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Simba vs Yanga maandalizi yakamilika, vingilio vyatajwa

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) sambamba na bodi ya ligi wamekamilisha maandalizi yote kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakao wakutanisha miamba miwili ya soka nchini Simba ...

Read More »

Wakorea kuwapiga tafu TFF kuinua soka la Vijana

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF$, leo imengia makubariano na Shirika la Maendeleo nchini Korea (KIDC) kwa ajili ya maendeleo ya mpira wa miguu wa vijana kwa wanawake kwa ...

Read More »

Yanga, Simba wamlilia Mzee Akilimali

KLABU ya Yanga imemlilia aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, aliyefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 14 Desemba 2019, Bagamoyo mkoani Pwani. Anaripoti ...

Read More »

Dewji afikia kikomo cha uvumilivu Simba

MOHAMMED Dewji ‘Mo’ Mwekezaji wa klabu ya Simba, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haitamvumilia mchezaji yeyote atakayeihujumu timu hiyo. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Hayo ameyeweka wazi leo tarehe 8 Desemba ...

Read More »

Simba wamtema rasmi Aussems, mwenyewe athibitisha

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amethibitisha kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu pamoja ...

Read More »

Pambano la Mwakinyo sasa ni bure

WAPENZI wa mchezo wa ngumi nchini watepata fulsa ya kushuhudia mpambano wa kimataifa utakaowakutanisha Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya mpinzani wake kutoka Ufilipino, Arney Tinampay bila kiingilio. Anaripoti ...

Read More »

Hiki ndiyo kinachoitia unyonge klabu ya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga amesema uuzaji wa jezi feki ni moja ya kitu kinachowapa Yanga unyonge kutokana na kukosa mapato na kunufaika watu wengine. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). ...

Read More »

Mwina Kaduguda ateuliwa kumrithi Nkwabi Simba

BODI ya Wakurugenzi ya Simba, imemteua Mwina Kaduguda kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa klabu akichukua nafasi iliyoachwa na Swed Nkwabi aliyejiuzuru wakati wakisubiri mchakato wa uchaguzi wa kuziba nafasi hiyo. ...

Read More »

Baada ya Zahera, Yanga wavunja Kamati ya Mashindano

KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Yanga, imeivunja Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 7 Novemba 2019, na ...

Read More »

Zahera alia na Dk. Msolla, adai amemgeuka

MWINYI Zahera, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, ametoa hadharani siku moja baada ya kufutwa kazi katika klabu hiyo, na kudai kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Dk. Mshindo Msolla amemgeuka. Anaripoti Regina ...

Read More »

Hiki ndicho kilichomuondoa Kocha Mwinyi Zahera Yanga

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetangaza kuachana na kocha wake, Mwinyi Zahera baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika hizi ndiyo sababu za klabu hiyo kufikia maamuzi ...

Read More »

Gidabuday aweka wazi sababu ya ya kujiuzuru RT

ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Riadha Tanznia (RT), Wilhelim Gidabuday amejiuzuru nafasi yake kwenye shirikisho hilo baada ya kushaulina na kukubaliana na kamati tendaji kwa maslahi mapana ya shirikisho hilo. ...

Read More »

Zembwela aitosa East Afrika Radio, atua Wasafi

ALIYEKUWA mtangazaji wa East Africa Radio na East Africa Television kwa zaidi ya miaka sita, Hillary Daudi ‘Zembwela’ amekihama rasmi kituo hicho na kujiunga na kituo cha Wasafi Media kinachomiliki ...

Read More »

Azam FC yatambulisha kocha mpya

KLABU ya Azam FC leo imemtambulisha rasmi, Arastica Cioaba kuwa kocha mkuu wa timu hiyo aliyekuja kuchukua nafasi ya Ettien Ndailagije aliyeiongoza timu hiyo muda mfupi huku akiwa Kocha wa ...

Read More »
error: Content is protected !!