Michezo

Michezo

Simba yatambulisha beki, mshambuliaji

MABINGWA wa Ligi Kuu ya soka Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20 timu ya Simba, imewatambulisha wachezaji wawili mshambuliaji na beki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Simba ambayo ...

Read More »

Simba yazindua nembo na jezi mpya

KLABU ya Simba leo Ijumaa 14 Agosti, 2020 imezindua nembo yake mpya na jezi zitakazotumika kwenye msimu ujao wa kimashindano 2020/21 katika michuano ya ndani na nje ya nchi. Anaripoti ...

Read More »

Yanga wamkatia rufaa Morrison Fifa

MUDA mchache baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kutoa maamuzi ya kesi ya kimkataba kati ya klabu ya Yanga na Bernard Morrison, klabu hiyo haijardhishwa na uamuzi ...

Read More »

Morrison aishinda Yanga, kupelekwa kamati ya maadili

BERNARD Morrison amefanikiwa kuibwaga klabu ya Yanga kwenye kesi ya kimakataba iliyokuwa inasikilizwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Anaripoti ...

Read More »

Nyaraka kuamua hatma ya kesi ya Morison, Yanga

KAMATI ya Sheria na hadhi ya Wachezaji inatarajia kutoa maamuzi juu ya kesi ya kimkataba kati ya mchezaji Benard Morrison na uongozi wa klabu ya Yanga, baada ya shauli hilo ...

Read More »

Yanga yaachana na Yondani na Juma Abdul

KLABU ya Yanga leo imetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake wakongwe, Kelvin Yondani na Juma Abdul baada ya kutofikia makubaliano baada ya mikataba yao kumalizika baada ya msimu kumalizika. Anaripoti ...

Read More »

Ninja arejea Yanga

ABDALLAH  Shaibu (Ninja) amerejea tena ndani ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya La Garaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mshambuliaji mpya Yanga aibuka mchezaji Bora mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Julai katika msimu wa 2019/20 baada ya kuwabwaga wachezaji ...

Read More »

TFF yampiga nyundo aliyekuwa kocha Yanga

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya Sh. 8 milioni, aliyekuwa kocha wa Yanga, Luc Eymael kwa kutoa maneno ya uchochezi ...

Read More »

FIFA: Ya Sepp Blatter yamkuta Infantino

TUHUMA za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limechepua tena na sasa Gianni Infantino, rais wa shirika hilo amefunguliwa jalada la uchunguzi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Infantino anatuhumiwa ...

Read More »

Arsenal waipiga Chelsea, watwaa ubingwa FA CUP

PIERRE- Emerick Aubameyang, kiungo mshambuliaji wa Arsenal ameiwezesha timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la FA CUP nchini Uingereza kwa kuofungia magoli 2-1 dhidi ya Chelsea. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea) ...

Read More »

Mwamyeto atua Yanga, Niyonzima Azam

USAJILI wa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodamom Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2020/21 umeendelea kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Mabingwa wa kihistoria, Timu ...

Read More »

Kocha Simba: Tumekuja kushinda fainali

KULEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema, wamekwenda Sumbawanga Mkoa wa Rukwa kucheza fainali hiyo ...

Read More »

Hatma ya Mbao FC, Mbeya City Ligi Kuu leo

KLABU za Mbao FC pamoja na Mbeya City zinashuka dimbani leo katika michezo ya marudiano ya mtoano (Play off) katika harakati za kuwania kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ...

Read More »

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF limefungua dirisha la usajiri kwa klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza, Daraja la pili na Ligi Kuu ya wanawake kwa kipindi ...

Read More »

30 kuwania mchezaji bora VPL, Simba yaongoza

KAMATI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20, imetoa orodha ya majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa ligi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Uwanja wa Taifa sasa kuitwa, Uwanja wa Mkapa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, amebadili jina la uliokuwa Uwanja wa Taifa na sasa kuwa unaitwa Uwanja wa Mkapa katika kumuenzi Hayati Mkapa kwenye mchango ...

Read More »

Yanga wamtimua kocha wake, kisa ubaguzi

KLABU ya Yanga imemfuta kazi kocha wake, Lucy Eymael kutokana na kauli zake za kibaguzi alizozitoa kwa mashabiki wa timu hiyo katika vipindi tofauti. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam ...

Read More »

Aston Villa ya Samatta yabaki EPL

LIGI Kuu ya Uingereza (EPL) 2019/20 imehitimishwa huku ikishuhudia timu ya Aston Villa anayoicheza Nahodha wa Taifa Stars ya Tanzania, Mbwana Samatta ikinusurika kushuka daraja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Singida, Ndanda, Lipuli na Alliance zaaga Ligi Kuu Bara

PAZIA la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20 limefungwa leo huku timu za Singida United, Ndanda ya Mtwara, Lipuli ya Iringa na Allience ya Mwanza zikishuka daraja. Anaripoti ...

Read More »

Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zamlilia Mkapa

BAADHI ya klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zimetuma salamau za rambirambi kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamini William ...

Read More »

Samatta dimbani leo dhidi ya Arsenal

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo atashuka tena dimbani kwenye Ligi Kuu nchini England ambapo klabu yake ya Astorn Villa itakapo ikaribisha Arsenal kwenye uwanja ...

Read More »

Dakika ya 87 yamvuruga Samatta

BAO lililofungwa katika dakika ya 87 na Theo Walcott, mchezaji wa Klabu ya Everton katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL), limezamisha ndoto ya mchezi wa kimataifa wa Tanzania anayechezea ...

Read More »

Ubingwa ‘La Liga’ Madrid yatawazwa rasmi

KLABU ya Real Madrid ya Hispania jana ilitangwazwa mabingwa wapya wa Ligi kuu nchini humo (La Liga), baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Villarreal na kufikisha ...

Read More »

UEFA yaitoa Man City kifungoni

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani ulaya (UEFA) imeifungulia klabu ya Manchester city kutoka kwenye kifungo cha kutoshiriki michuano ya klabu bingwa barani humo kwa ngazi ya klabu kwa kipindi ...

Read More »

Viongozi wa dini kuiombea Lipuli isishuke Ligi Kuu

VIONGOZI wa dini mkoani Iringa wameombwa kuiombea timu ya Lipuli FC ili isiweze kushuka daraja, katika kipindi cha siku 14 ambapo timu hiyo itacheza michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania ...

Read More »

Watoto 30 waibuliwa Iringa, kwenye shindano la kusaka vipaji

KITUO cha kukuza vipaji cha Iringa Football Academy kimefanya majaribio ya wazi (Trial) kwa watoto wenye umri wa miaka 15 mkoani humo na kufanikiwa kuapata watoto 30 wenye vipaji vya ...

Read More »

Morrison ‘akwea pipa’ kuifuata Kagera

WINGA wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison amesafiri kwenda kuungana na kikosi cha Yanga kinachoelekea mkoani Kagera, kuvaana na wenyeji wao Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu siku ya ...

Read More »

Solskjaer ampigia chapuo Greenwood England

Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amempigia debe kinda wake, Mason Greewood katika kikosi cha timu ya Taifa ya England, kutokana na kiwango alichokionyesha kwa hivi karibuni. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Simba bado mbili, Yanga yaishusha Azam FC

MICHEZO nane imechezwa leo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo klabu ya Yanga imefanikiwa kuishusha Azam FC kwenye msimamo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ndanda, ...

Read More »

Yanga mguu sawa kuikabili Kagera

USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kikosi cha Yanga kimejiimalisha kuikabili Kagera Sugar, katika mchezo wa kombe la Shirikisho hatua ya ...

Read More »

Simba washindwe wao tu, mashabiki waruhusiwa kusherekea ubingwa

SERIKALI kupitia Baraza la Michezo Tanzania (BMT), imeruhusu mashabiki kuingia uwanjani katika mchezo kati ya Tanzania Prisons na Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine siku ya Kesho. Anaripoti Kelvin Mwaipungu ...

Read More »

Biashara kuipa ubingwa Simba kama Chelsea dhidi ya Liverpool?

HUWENDA ubingwa wa Simba ukaamuliwa na Biashara United, kama ilivyokuwa kwa Liverpool kuamuliwa ubingwa na Chelsea baada ya kumfunga Manchester City kwa mabao 2-1. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam… ...

Read More »

Klopp amwaga chozi, ubingwa wa Liverpool

KOCHA wa timu Liverpool Jurgen Klopp ameonesha hisia kali za furaha mara baada ya timu yake kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu nchini England, baada ya Manchester City kufungwa na Chelsea ...

Read More »

Mashabiki Mbeya City, Simba na Yanga wapigwa ‘stop’

SERIKALI ya Tanzania imetoa zuio la Timu ya Mbeya City kucheza michezo yake ya nyumbani ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) bila mashabiki. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Pia, zuio ...

Read More »

Simba kutangazia ubingwa Mbeya

TIMU ya Simba inahitaji pointi mbili kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya ...

Read More »

Bodi ya Ligi yampiga Rungu Lamine Moro

BEKI wa Yanga, Mghana Lamine Moro amfungiwa michezo mitatu na kulipa faini ya Sh. 500,000, kwa kosa la kumrukia mgongoni mchezaji wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto, kwenye mchezo wa Ligi ...

Read More »

Mkude, Morrison nje mechi mbili

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude na nyota wa Yanga, Bernard Morrison wamefungiwa kucheza michezo miwili pamoja na faini ya Sh. 500,000 kwa makosa ya utovu wa nidhamu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, ...

Read More »

EPL hakuna kulala, michezo mitano kupigwa leo

LIGI Kuu England inaendelea tena leo kwa kupigwa michezo mitano ambapo Manchester United itashuka dimbani kuikabili Sheffield United kwenye dimba la Old Traford. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Yanga yamjia juu Morisson, wampiga faini

UONGOZI wa klabu ya Yanga umempiga faini ya Sh. 1.5 Milioni nyota wake raia wa Ghana, Benard Morrison kwa kufanya mahojiano na mwandishi wa habari bila kutoa taarifa kwa klabu ...

Read More »

Yanga kujiuliza kwa Namungo kesho

KIKOSI cha Yanga kesho inatarajia kuikabili Namungo FC, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kutoka sare kwenye mchezo uliomalizika dhidi ya Azam FC, huku uongozi wa kikosi ...

Read More »

Yanga wawajia juu mashabiki wao

UONGOZI wa klabu ya Yanga umekemea vitendo vya mashabiki kuwazomea na kutokana wachezaji kiasi cha kuwakatisha tamaa na kuleta hali ya sintofahamu, licha ya klabu hiyo kupitia changamoto kadhaa kwa ...

Read More »

Man Utd, Tottenham vitani leo

LIGI Kuu nchini England inaendelea tena leo tarehe 19 Juni, 2020 kwa mchezo kati ya Tottenham dhidi ya Manchester United ukiwa muendelezo wa Ligi hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Man City yaipiga Arsenal ‘tatu mtungi‘

MANCHESTER City imerejea vyema katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuishushia kipigo cha ‘tatu bila’ timu ya Arsenal. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Ligi hiyo, imerejea jana Jumatano tarehe 17, ...

Read More »

Yanga yamshushia rungu Lamine Moro

KLABU ya Yanga imewaomba radhi kiungo wa JKT Tanzania, Mwinyi Kazimoto na tiju yake, huku ikimwadhibu beki wake, Lamine Moro raia wa Ghana, kwa kitendo cha utovu wa nidhamu. Anaripoti ...

Read More »

Yanga yashikwa shati na JKT, Lamine Moro kuikosa Azam FC

TIMU ya Yanga imelazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa mzunguko wa pili Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

JKT Tanzania yaitangulia Yanga

MLINZI wa kulia wa timu ya JKT Tanzania, Michael Aidan ameifungia bao timu hiyo dhidi ya Yanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom ...

Read More »

Bayern washeherekea ubingwa bila mashabiki

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Werder Bremen kwenye Ligi Kuu nchini Ujerumani, Bundesliga, na Bayern Munich na kutangaza ubingwa wa Ligi hiyo, huku kukiwa hakuna ...

Read More »

Man City, Arsenal dimbani Kesho, EPL kurejea

BAADA ya kusimama kwa takriban miezi mitatu, hatimaye Ligi Kuu nchini England kurejea kesho kwa michezo miwili ambapo klabu ya Manchester City itaikalibisha Arsenal kwenye uwanja wa Etihad. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

TFF yaruhusu mechi za kirafiki

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeruhusu kuendelea kwa michezo ya kirafiki kwa klabu kwenye ngazi husika kwa kibali maalumu, ili kuhakikisha wanafuata muongozo wa kujikinga na ugonjwa wa ...

Read More »
error: Content is protected !!