Michezo
KUELEKEA mchezo wa awali wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Afrika, uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka kuwa huwenda ukawakosa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 8, 2021HASSAN Mwakinyo, bondia raia wa Tanzania, amepanda katika viwango vya ubora duniani kutoka nafasi ya 13 hadi 11. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2021KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon Msuva ametoa siri yabushindi kwenye mchezo wa kimataifa wa kufuzu fainali za...
By Kelvin MwaipunguSeptember 8, 2021TAREHE 6 Septemba 2021, mwaka huu ulimwengu wa soka ulikumbwa na simanzi baada ya mchezaji wa zamani wa Ufaransa, Jean Pierre Adams...
By Gabriel MushiSeptember 7, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Zuhura Othman maarufu Zuchu ameonesha jumba la kifahari analoishi kwa sasa. Anaripoti Matilda Buguye,...
By Masalu ErastoSeptember 7, 2021MSEMAJI wa Mabingwa wa Kihistoria Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, Haji Manara amesema, wanakwenda kuibuka na ushindi wa kutosha katika mchezo...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2021HAJI Sunday Manara, Msemaji wa Mabingwa wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam amewaomba radhi wanachama na mashabiki wa...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2021IKIWA zimebakiwa siku tano kuelekea mchezo wa hatua ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Yanga dhidi ya Rivers United, hatma...
By Kelvin MwaipunguSeptember 7, 2021MABIGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam imewaalika timu ya TP Mazembe ya Congo kuja kunogesha kilele...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2021TIMU ya Taifa ya Tannzania Taifa Stars italazimika kucheza bila mashabiki kwenye mchezo wao wa pili wa kufuzu fainali kombe la Dunia,...
By Kelvin MwaipunguSeptember 6, 2021ZIKIWA zimebaki siku 23 kabla ya Ligi Kuu Tanzana Bara kuanza kutimua vumbi kwa msimu mpya wa 2021/22, mpaka sasa mdhamini mpya...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021MPAMBANO wa soka wa kufuzu kwa kombe la dunia, kati ya timu ya taifa ya Guinea na Morocco, uliokuwa umepangwa kufanyika jana...
By Kelvin MwaipunguSeptember 6, 2021NANI alikuambia wameachana? Hawajaachana ng’o! ndivyo walivyowathibitishia mashabiki wao wasanii wa Bongofleva, Faustina Mfinanga ‘Nandy’ na William Lyimo ‘Billnass’ waliposhusha shoo kali...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya West Ham ameueleza uongozi wa klabu hiyo inayoshiriki Ligu kuu ya England kwamba hana mpango wa kurejea...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema licha ya kwamba jezi za Simba ni nzuri ila za Yanga ni kiboko. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021HASSAN Mwakinyo, Bondia wa wa Tanzania, ametoa shukuran kwa watu mbalimbali kwa ushirikiano ambao wamemuonesha katika maandalizi ya pambano lake na Julius...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam, imetangaza kuahirisha shughuli ya uzinduzi rasmi wa jezi...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021KLABU ya soka ya Simba imetangaza kuwa leo tarehe 3 Septemba 2021 jezi zake zitakazotumika katika msimu ujao wa mwaka 2021/2022 zitaanza...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021MKURUGENZI wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ hivi karibuni aliweka ratiba ya shoo zake nyingi za nchini Marekani, Bara la...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021SARE ya bao 1-1, ilitosha kuifanya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuondoka na pointi moja kwenye mchezo wa kusaka tiketi...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021Kuelekea hufuzu kwa fainali la kombe la dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022, michezo mbalimbali jana ilipigwa ulimwenguni kote kwa mataifa mbali mbali...
By Kelvin MwaipunguSeptember 2, 2021MSHINDI wa mashindano ya Miss East Africa 2021, anatarajia kujinyakulia gari jipya aina ya Nissan x Trail, toleo la mwaka 2021 lenye...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo tarehe 2, Septemba inashuka dimbani katika Uwanja wa TP Mazembe mjini Lubumbashi katika Jamhuri...
By Gabriel MushiSeptember 2, 2021RAPA kutoka Marekani, Dominique Jones ‘Lil Baby’ amejitolea kumsaidia Msanii Pierre Delince (Jack Boy) katika ujenzi wa hospitali huko nchini Haiti. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amerejea tena katika Ligi kuu ya Ubelgiji baada ya jana tarehe 31 Agosti, 2021 kusajiliwa...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2021KAMATI ya utendaji ya klabu ya Yanga, imemteuwa aliyekuwa mshauli Mkuu wa klabu hiyo kwenye masuala ya mabadiliko Senzo Mbatha kuwa mtendaji...
By Kelvin MwaipunguAugust 31, 2021KLABU ya soka ya Coastal Union imemtambulisha Kocha wake mpya, Melis Medo kwa mkataba wa miaka miwili, leo tarehe 30 Agosti, 2021...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021KILELE cha Wiki ya Mwananchi cha mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, kimehitimishwa kwa majonzi baada ya...
By Masalu ErastoAugust 30, 2021YES ni siku kubwa. Kilele cha Wiki ya Wananchi. Hakuna ubishi hii ndiyo Yanga Afrika. Mabingwa wa Kihistoria nchini Tanzania. Anaripoti Wiston Josia,...
By Masalu ErastoAugust 29, 2021BAADA ya kuondoka ndani ya Manchester United ya Uingereza miaka 12 iliyopita, Cristiano Ronaldo (36) ametangazwa kurejea tena ndani ya timu akitokea...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021MSANII wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogum ‘Wizkid’, leo ameachia Deluxe Edition ya albamu yake ya ‘’Made in Lagos.’’ Anaripoti Glory...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021NGULI wa muziki barani Afrika kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Koffie Olomide pamoja na msanii mashuhuri kutoka nchini Tanzania Nandy wanatarajia kutoa...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021KLABU ya Simba inatarajia kuweka kambi ya maandalizi ya Ligi Kuu mwaka 2021/2022 nchini Marekani kwa ushirikiano wa klabu ya DC United...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2021TIMU ya Taifa ya wanawake nchini ‘Twiga Stars’ imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kudhamini...
By Masalu ErastoAugust 26, 2021KLABU ya Bayern Munich imeibuka na ushindi wa mabao 12 -0 dhidi ya Bremer SV katika mchezo wa raundi ya kwanza ndani...
By Masalu ErastoAugust 26, 2021STAA wa Arsenal aliyekuwa na ukame wa magoli, Pierre-Emerick Aubameyang jana tarehe 25 Agosti, 2021 amezinduka na kuifungia timu yake magoli matatu...
By Masalu ErastoAugust 26, 2021KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbas amesema serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sanaa...
By Masalu ErastoAugust 25, 2021ALIYEKUWA msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga, mara baada ya kuachana na wajiri wake...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaingia kambini hii leo Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu fainali za...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2021KLABU ya Azam imeanza mazoezi yake ya maandalizi ya msimu ujao 2021/22 katika kambi iliopo mji wa Ndola nchini Zambia. Anaripoti Wiston...
By Masalu ErastoAugust 24, 2021KIPIGO cha bao 2-0 kutoka kwa mabingwa wa Ulaya, Chelsea, kimemuweka kikaangoni Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta baada ya mashabiki kuutaka...
By Masalu ErastoAugust 23, 2021KLABU ya Yanga imevunja kambi ya maandalizi ya michuano mbalimbali ya msimu ujao baada ya wachezaji wake wengi kuitwa kwenye timu zao za...
By Masalu ErastoAugust 23, 2021Bondia mkongwe Manny Pacquiao (42) mapema alfajiri ya leo, amekutana na wakati mgumu baada ya kupoteza pambano lake la kuwania ubingwa wa dunia...
By Kelvin MwaipunguAugust 22, 2021Mshambuliaji nyota wa Klabu ya Raja Club Athletic kutoka nchini Morocco, Soufiane Rahimi jana tarehe 21 Agosti, 2021 ameisaidia timu yake kutwaa...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021KLABU ya Geita Gold imemtangza rasmi aliyekuwa kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Etienne Ndayilagije kuwa kocha mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewataka wafanya biashara nchini pamoja na sekta binafsi nchini, kuchangamkia fursa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021SHAUKU ya Watanzania kuwashuhudia mabondi wenye viwango vya juu kwa sasa nchini humo, Twaha Rubaha maarufu ‘Twaha Kiduku’ na Hassan Mwakinyo wakipanda...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2021KLABU ya Soka ya Yanga itaweka wazi benchi lake la ufundi kwenye kilele cha siku ya Mwananchi, mara baada ya kuwepo kwa...
By Masalu ErastoAugust 20, 2021MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam itazindua ‘Wiki ya Mwananchi’ Jumapili hii tarehe 22 Agosti 2021, katika...
By Masalu ErastoAugust 20, 2021