Thursday , 25 April 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Kocha Simba aingia ubaridi mchezo wa marudiano Zambia

  MARA baada ya kutoka na ushindi wa mabao 2-1, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Geita Gold Mine, kocha...

Michezo

Tuzo Simba: Morrison awashinda Kagere na Mkude, milioni 2…

  BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Simba ya Tanzania, amejinyakulia tuzo na Sh.2 milioni, baada ya kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa...

MichezoTangulizi

Rais Samia aipongeza Tembo Warriors kufuzu kombe la dunia, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitumia salamu za pongeza timu ya taifa ya soka la wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu...

Michezo

Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

  TIMU ya Tanzania ya soka kwa wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ imefuzu kucheza kombe la dunia Uturuki 2022. Anaripoti John Mapepele, MAELEZO…(endelea). Ni...

Michezo

Yanga yaipiga Mbeya Kwanza, yaisubiri Simba

  TIMU ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2021/22, kwa kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya...

Michezo

Ronaldo awatolea uvivu waandaji tuzo Ballon d’Or

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United, Cristiano Ronaldo amemjia juu muandaaji wa tuzo ya Ballor d’Or Pascar Ferre ambaye pia ni mhariri...

MichezoTangulizi

Messi awabwaga, Lewandowski, Salah tuzo Ballon d’Or

  MSHAMBULIAJI wa Psg na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya  mchezaji bora...

Michezo

Aucho arejea, Yanga dimbani leo dhidi ya Mbeya kwanza

  KLABU ya soka ya Yanga, hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza huku kiungo...

Michezo

Rangnick mwalimu wa Klopp, Tuchel ashushwa Manchester United

  KLABU ya Manchester United imemtangaza Ralf Rangnick kuwa kocha mkuu wa muda wa klabu hiyo mara baada ya kumtimua Ole gunnar solskjaer...

MichezoTangulizi

Simba yaipiga 3-0 Red Arrows, Morrison usipime

  TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini...

Michezo

Hamisa Mabetto, Rick Ross wajiachia Dubai

  MWANAMITINDO wa Tanzania, Hamisa Mobetto kwa mara ya kwanza amekutana na mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Marekani, Rick Ross huko Dubai. Anaripoti Matilda...

Michezo

Aisha Mashauzi, Hadija Kopa na Mzee Yusuf kutikisa Dodoma

  WAIMBA taarabu maarufu nchini Tanzania, Aisha Ramadhani maarufu Aisha Mashauzi, Hadija Kopa na Mzee Yusuph watalitikisa Jiji la Dodoma Jumamosi hii tarehe...

MichezoTangulizi

GSM yamwaga fedha Ligi Kuu, yaingia udhamini wa Bil 2

  KAMPUNI ya Gsm imeingia mkataba wa miaka miwili wa udhamini mweza wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu...

MichezoTangulizi

CAS yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison

MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana...

Michezo

KMC yapata ushindi wa kwanza dhidi ya Azam

  BAADA ya kucheza dakika 450 pasina kuibuka na ushindi wowote katika Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2021/22, timu ya KMC ya Kinondoni...

Michezo

Diamond Platnumz amfanyia kufuru Aristotle

  NI kufuru! Ndicho alichokifanya Staa wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz katika harusi ya mpambaji maarufu wa wasanii wa kike, Aris...

Michezo

Ole ‘out’ Ma U, Carrick abeba mikoba

  BAADA ya mwenendo mbovu wa matokeo ya michezo mbalimbali, uongozi wa Manchester United ya Uingereza umemfungashia vilango kocha wake, Ole Gunnar Solskjaer....

Michezo

MO Dewji apewa Urais wa Heshima Simba

  BODI ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, imemteuwa Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ kuwa Rais wa klabu hiyo mara...

Michezo

Simba ni mwendo wa Tik-taka, waapa kuichakaza Yanga

  KLABU ya Soka ya Simba imeapa kuondoka na ushindi kwenye mchezo watani wa jadi wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga...

MichezoTangulizi

Penalti ya Fei Toto, Simba wataka uchunguzi ufanyike

UONGOZI wa klabu ya Simba, umevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tukio la penalti lilitokea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...

MichezoTangulizi

Simba yaipiga Ruvu 3-1, aliyeitoboa Yanga, aitoboa Simba

  MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imejipatia ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting....

Michezo

Pablo wa Simba kibaruani leo

KOCHA mpya wa klabu ya Simba Pablo Franco Martin, leo kwa mara ya kwanza atakiongoza kikosi cha Simba kwenye kibarua chake cha kwanza,...

Michezo

Kansiime kuwavunja mbavu Dar

  WAKATI tukiwa ukingoni kuuhitimisha mwaka huu, Zamaradi Mketema ambaye ni mtangazaji maarufu nchini, atamshusha mchekeshaji bora kutoka Uganda, Anna Kansiime jijini Dar...

Michezo

Malkia Ladies kuwakutanisha wanawake 6,000 Dar

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, atakuwa mgeni rasmi wa kongamano la...

MichezoTangulizi

Maandalizi mkutano mkuu Simba yakamalika

  KLABU ya soka ya Simba inatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka wa wanachama, huku sehemu kubwa ya shughuli hiyo ikiwa imeshakamilika....

Michezo

Nchi tisa Barani Ulaya zafuzu kombe la Dunia

  MATAIFA tisa kutoka Barani Ulaya, yameafanikiwa kufuzu moja kwa moja kwenye michuano ya kombe la Dunia, mara baada ya kumalizika vinara kwenye...

Michezo

DR Congo yasonga mbele, Stars yabanwa Madagascar

  MICHEZO ya kundi J kuwania kufuzu kombe la dunia Qatar 2022, imemalizika kwa timu ya DR Congo kusonga hatua inayofuata huku Taifa...

Michezo

Mahaba ya Zari kwa Mondi usipime

  UKWELI ni kwamba penzi ni kama pembe la ng’ombe, kulificha huwezi! ndivyo mahaba ya Mwanamama Zarina Hassan kwa mkali wa Bongofleva, Naseeb...

Michezo

Bosi Simba afiwa na mama mzazi

  RHODA Yahya Lambert, mama mzazi wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu ya Simba amefariki dunia nyumbani kwake Kigamboni Dar es Salaam. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Wanajeshi Madagascar wavamia kambi ya Taifa Stars, TFF yalaani

  ASKARI wa Jeshi la Madagascar wenye silaha wamevamia kambi ya timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakitaka kuwachukua kwa nguvu wachezaji...

Michezo

Rais Samia: Watanzania tusikate tamaa matokeo Taifa Stars

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania na wadau wote wa soka nchini kutokata tamaa kutokana na matokeo ya Timu ya Taifa (Taifa...

Michezo

Sarah, Tuchel watamba Tuzo EPL

  MSHAMBULIJI wa klabu ya Liverpool Mohammed Sarah ameshinda tuzo ya mchezo bora mwezi Oktoba, huku kocha Mkuu wa Chelsea akitwaa tuzo ya...

Michezo

Majaliwa ataka wadau kuwekeza soka la vijana

  KUFUATIA kipigo cha mabao 3-0, walichokipata timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Congo,...

Michezo

Vigogo watatu wa soka Afrika, watanguliza mguu moja Qatar

  VIGOGO wa watatu wa soka Barani Afrika, tayari wamefanikiwa kufuzu kwa hatua inayofuata ya michuano ya kufuzu fainali za kombe la Dunia,...

Michezo

Stars kuifuata Madagascar na Ndege ya kukodi

  TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itaondoka jioni ya leo tarehe 12, Novemba 2021 kuelekea jijini Antananarivo, Madagascar kwa ajili ya...

Michezo

Poulsen akubali mziki wa Congo

  MARA baaada ya kupoteza mchezo kwa bao 3-0, dhidi ya Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Congo, kocha wa Timu ya Taifa...

Michezo

Taifa Stars kutupa karata muhimu kuelekea Kombe la Dunia 2022

TIMU ya soka ya Tanzania “Taifa Stars” inashuka katika dimba lake la nyumbani la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuwakabili DR Congo, kuwania...

Michezo

Kocha wa Simba atua

  KOCHA mpya wa Simba ya Tanzania, Pablo Franco amewasili nchini humo kuanza kibarua ya kuwanoa mabingwa hao watetezi wa ligi kuu na...

Michezo

DUWASA yaichapa 2-1 TangaUWASA

  MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA), imeibuka kidedea kwa ushindi wa 2-1 ilioupata dhidi ya wapinzania wao Mamlaka...

Michezo

Majaliwa aitembelea Taifa Stars, aipa matumaini

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametembelea mazoezi ya timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars) na amewaeleza...

Michezo

NBC Dodoma Marathon zakusanya mil 200 kusaidia mapambano ya saratani

  MBIO za hisani za kimataifa zilizoandaliwa na Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) “NBC Dodoma Marathon” zimefanikiwa kukusanya fedha zaidi ya Sh...

Michezo

Kocha wa Samatta atimliwa Aston Villa

  TIMU ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, imemfukuza kazi kocha wake mkuu, Dean Smith. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Smith...

Michezo

Kubarua cha kwanza, kocha mpya Simba

  KLABU ya soka ya Simba jana tarehe 6, Novemba 2021 ilimtangaza Pablo Franco Martin kuwa kocha mkuu wa kikosi hiko, ambaye amekuja...

MichezoTangulizi

Majaliwa achangisha bilioni 1.6 za Taifa Stars

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu...

KimataifaMichezo

Bondia afariki kwa kushushiwa makonde ulingoni

  MASWALI yameibuka kuhusu usalama wa mchezo wa masumbwi nchini Zimbabwe baada ya Bondia mmoja chipukizi mwenye umri wa miaka 24 kupoteza maisha...

Michezo

CAF waiondoa Biashara United kombe la Shirikisho

  MARA baada ya kushindwa kwenda kucheza mchezo wa marudiano nchini Libya dhidi ya Al Ahly Tripol, kamati ya mashindano ya Shirikisho la...

Michezo

Simba kuwakosa wanne leo dhidi ya Namungo FC

  KLABU ya soka ya Simba itakosa huduma ya wachezaji wake wanne, ambao wanakabiliwa na majeraha kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Michezo

Yanga yajikita kileleni, yampiga Ruvu tatu

   USHINDI wa mabao 3-1, dhidi ya Ruvu Shooting umzidi kuifanya klabu ya Yanga, kujichimbia kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

Michezo

Conte amrithi Nuno Spurs

  ANTONIO Conte, kocha raia wa Itary aemeingia kandarasi ya miaka miwili kukinoa kikosi cha Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu nchini England mara...

Michezo

Simba wamlilia Akilimali Yahya

  KLABU ya Simba imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani Akilimali Yahya kilichotokea usiku nwa kumkia leo katika Hospitali...

error: Content is protected !!