Michezo

Michezo

Kuiona Twiga Stars 2,000 Chamanzi

KIINGILIO cha chini cha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wanawake kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Taifa Stars’ dhidi ya timu ya ...

Read More »

Gianni Infantino Rais mpya wa Fifa

GIANNI Infantino, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Fifa, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) katika uchaguzi uliomalizika hivi punde huko Zurich, Uswisi, anaandika Erasto Masalu. ...

Read More »

Mgombea wa Afrika ajitoa Fifa

TOKYO Sexwale, ambaye ni Mgombea wa urais wa Fifa kutoka Afrika Kusini amejiondoa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa mrithi wa Sepp Blatter. Sexwale, akihutubu kabla ya kura kupigwa, amesema hataki ...

Read More »

Hatma ya Geita, Polisi Tabora Machi 20

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itatoa maamuzi ya upangaji wa matokeo unaozikabiri timu za Geita Gold Mine na Polisi Tabora, anaandika Regina Mkonde. Jamal ...

Read More »

Yanga yaibonyeza tena Simba, warudi kileleni

HESHIMA imerudi mahali pake, baada ya Yanga kuituliza tena Simba kwa kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es ...

Read More »

Nape atumbua BMT, Malinzi amteua Kiganja

NAPE Nnauye, ambaye ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya kwa kutowajibika ipasavyo katika usimamizi ...

Read More »

Mashabiki wa Simba, Yanga waonywa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaonya mashabiki wa Simba na Yanga watakaohudhuria kwenye mechi itakayofanyika kesho katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kufuata sheria na taratibu za ...

Read More »

Kuziona Simba, Yanga Sh. 7,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Jumamosi kati ya watani wa jadi Simba dhidi ya Yanga SC utakaochezwa Uwanja ...

Read More »

John Walker afariki dunia

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Dennis Mhina maarufu kama John Walker amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Muhimbili, alipokuwa amelazwa kutokana na kupata ajali ya kuripukiwa na mtungi ...

Read More »

Yanga yakwama tena safari ya Mauritius

SAFARI ya klabu ya Yanga kwenda Mauritius kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Cercle de Joachim imezidi kukumbwa ...

Read More »

Patricia apania nidhamu kwenye taarabu

PATRICIA Hillary ambaye ni mwanamuziki mkongwe wa Taarabu Asili nchini ameweka dhamira ya kurejesha hadhi ya muziki huo, anaandika Regina Mkonde. “Napanga namna ya kurejesha hamasa ya kuandika na kuimba ...

Read More »

Kamusoko mchezaji bora wa Desemba

KIUNGO wa wa Yanga, Thaban Kamusoko amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Desemba, 2015 baada ya kumshinda mchezaji mwenzake wa Yanga, Amissi Tambwe. Kamusoko ameisaidia timu ...

Read More »

Nisha: Tuwasaidie watoto wa mitaani

MSANII nguli wa vichekesho kwenye Tasnia ya Filamu nchini, Salma Jabu (Nisha) ameitaka jamii kutoa msaada kwa watoto waishio kwenye mazingira magumu badala ya kuendekeza starehe. Anaandika Regina Mkonde. Amesema ...

Read More »

Serikali yajiondoa ulipaji wa makocha

SERIKALI imesema haitaweza kumlipa kocha yoyote nchini na badala yake wataviwezesha vyama vya michezo kuwa na uwezo wa kulipa garama hizo. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Waziri wa Habari,Utamaduni, ...

Read More »

Wito kwa wapenda michezo kufungua vyuo

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa ametoa wito kwa wadau na wapenda michezo kote nchini kufungua shule za michezo ili kuweza kuibua vipaji mbali mbali kwa manufaa ya taifa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

BBIO yatambulisha tuzo mpya

ASASI binafsi ya Broad Based Interest Organization (BBIO) inayoratibu mradi wa unaohamasisha na kuimarisha juhudi za utekelezaji mikakati ya maendeleo (AMAN), imetambulisha tuzo zinazolenga ujumbe na dhamira inayobebwa na kazi ...

Read More »

Cheka atambia kambi ya Zambia

BONDIA Francis Cheka amerejea nchini kutoka Zambia alipoweka kambi na kutamba amemaliza kazi ya kuchakaza mpinzani wake, Geard Ajetovic raia wa Serbia katika pambano la Mabara uzito wa super middle ...

Read More »

Kamati Miss Tanzania yajiondoa kuandaaji mashindano

KAMATI ya Miss Tanzania imekataa uteuzi wa kuandaa, kuendesha na kusimamia mashindano ya mrembo wa taifa. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Msemaji ...

Read More »

Jeuri imemponza Kerry

UONGOZI wa klabu ya Simba kupitia Kamati Kuu ya Utendaji umemsimamisha kazi kocha mkuu wa klabu hiyo Dylan Kerry jana baada ya Klabu ya Simba kutofanya vizuri kwenye michuano ya ...

Read More »

Fifa yaipa Etoile siku 60 kuilipia Simba

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) iliyokutana Disemba 15 mwaka jana, imeiagiza klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia kuilipa Simba SC ya Tanzania pesa za ...

Read More »

Samatta nahodha mpya wa Taifa Stars

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa, amemtangaza mshambuliaji Mbwana Ally Samatta kuwa nahodha mpya wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Nadir ...

Read More »

Samata aifuata tuzo ya Afrika kesho

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania na TP Mazembe, Mbwana Samata anatarajia kwenda nchini Nigeria kesho alfajiri kuhudhuria utoaji wa Tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika kwa wanaocheza ligi ...

Read More »

Yanga yamtimua Niyonzima, kumdai fidia

YANGA SC imevunja Mkataba na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima kutokana na mchezaji huyo wa Amavubi kukiuka vipengele vya mkataba wake na klabu hiyo. Anaandika Erasto Masalu … ...

Read More »

Blatter, Platini watupwa jela miaka nane

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa) limewafungia kutojihusisha na na mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka nane, aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo, Sepp Blatter ...

Read More »

Mourinho atimuliwa Chelsea

KOCHA Mkuu wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo baada ya kupata msururu wa matokeo mabaya. Anaandika Erasto Masalu … (endelea). Chelsea walishinda Ligi ya Premia ...

Read More »

Cosota yawataka wachoraji kupanua soko

CHAMA cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), kimetoa rai kwa wasaniii wa sanaa za uchoraji kupanua soko la sanaa kwa kutafuta mikataba ya kimataifa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Yanga kuanza na vibonde, Azam waanza raundi ya kwanza

MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wataanza na Cercle de Joachim ya Mauritius katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani, wakati Azam FC itaanzia Raundi ya Kwanza. Azam ...

Read More »

Nani kati ya hawa kupenya?

WAPENZI wa soka duniani leo wanatarajia kushuhudia mshindi wa Tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika 2015 iliyoandaliwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Wanasoka wanaopigania ...

Read More »

Mkutano mkuu TFF kufanyika Tanga

SHIRIKISHO  la Mpira wa Miguu nchini (TFF) linatarajia kufanya mkutano wake Mkuu wa Mwaka kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga ambapo wajumbe wa mkutano huo tayari walishatumiwa taarifa ...

Read More »

Joseph Haule: Ubunge hautaniondoa kwenye muziki

MSANII mkongwe wa muziki wa Bongo fleva nchini Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay ameiambia Mwanahalisi online kuwa hataacha muziki kamwe kwani ni kipaji alichopewa na Mungu. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

TP Mazembe mabingwa Afrika, Samata atwaa kiatu cha dhahabu

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefunga bao moja na kuseti moja, TP Mazembe ikitimiza dhamira ya kutwaa ubingwa wa Afrika baada ya kuifunga 2-0 USM Alger ya ...

Read More »

Dk. Magufuli atakiwa kufuata ya Mwl. Nyerere

SHIRIKISHO la Mchezo wa Bao Tanzania, (Shimbata) umemtaka Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuvaa viatu vya hayati Mwalimu Julius Nyerere kukuza na kuendeleza michezo ya jadi. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). ...

Read More »

Samatta aingia 10 ya wachezaji bora Afrika

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo ya Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika mwaka 2015. Katika orodha iliyotolewa na Shirikisho la Soka ...

Read More »

Kamati ya taifa Stars yatambulishwa rasmi

MWENYEKITI wa Kamati ya Taifa Stars iliyoteuliwa hivi karibuni na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bwana Farough Baghozah leo hii amekutana na waandishi wa habari katika hoteli ya ...

Read More »

Stars kuwavaa Algeria Novemba 14, Ligi Kuu kesho

MECHI ya hatua ya pili kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi kati ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Algeria ‘The Fox Desert’ utafanyika Novemba 14, ...

Read More »

Madansa kuombea amani Tanzania

CHAMA cha muziki wa Disco Tanzania (TDMA) kimeandaa onyesho kubwa la kuombea amani nchini katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, litakalofanyika Oktoba 17 mwaka huu. Anaandika Sarafina Lidwino… (endelea). ...

Read More »

Mkwasa apewa mkataba wa kudumu Stars

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Charles Boniface Mkwasa amepewa mkataba wa kudumu kukinoa kikosi hicho  kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu kuanzia Oktoba Mosi ...

Read More »

Mbeya City wapinga adhabu ya Nyosso

UTETEZI na malalamiko ya klabu ya Mbeya City kuhusiana na adhabu aliyopewa nahodha wake, Juma Said Nyosso na Bosi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya kumfungia kutojihusisha na mchezo wa ...

Read More »

Taifa Stars wanaanza kujiwinda kuikabili Malawi

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimeanza mazoezi leo mchana katika uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo dhidi ya Malawi ...

Read More »

Yanga yatakata, Tambwe, Busungu wapeleka msiba Msimbazi

MABAO ya Amissi Tambwe na Malimi Busungu yamemaliza uteja wa klabu ya Yanga kwa Simba kwa miaka miwili, kwani ushindi wa mwisho ulipatikana Machi 18, 2013. Anaandika Erasto Stanslaus … ...

Read More »

Kuziona Simba, Yanga 7,000, kuanza kuuzwa Ijumaa

VIINGILIO vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam vimetangazwa leo ambapo kiingilio cha chini kitakua ...

Read More »

Bonanza la Shimmuta kufanyika Oktoba

BONANZA la Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), ambalo lilipangwa kufanyika Septemba 26 mwaka huu limesogezwa mbele na kufanyika Oktoba 10 mwaka huu. anaandika ...

Read More »

Star Times yadhamini Ligi daraja la kwanza

KAMPUNI ya StarTimes Media ya jijini Dar es salaam leo imeingia mkataba wa udhamini na TFF kudhamini Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) inayoshirikisha timu 24 kutoka katika mikoa 16 ...

Read More »

TFF, Azam TV zarudisha Kombe la Shirikisho

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo ...

Read More »

NHIF yadhamini matibabu ya wachezaji Ligi Kuu

MFUKO wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa klabu 16 vya Ligi Kuu ya ...

Read More »

Vodacom yakabidhi vifaa kwa timu za Ligi Kuu

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambayo ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya mpira wa miguu Tanzania bara leo imekabbidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki ligi hiyo yenye thamani ya ...

Read More »

Makaidi akampeni kupitia Simba

MWENYEKITI Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Dk. Emmanuel Makaidi amesema mpira katika nchi hauwezi kuwa mzuri iwapo siasa za nchi ni mbaya. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Amina Karuma Mwenyekiti TWFA, Somoe Ng’itu Katibu

UCHAGUZI wa Chama cha Mpira wa Miguu nchini (TWFA)  umemalizika ambapo Amina Karuma amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho, kufuatia uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es salaam. Nafasi ya ...

Read More »

Geita Gold SC yalamba mkataba wa mil 300

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameipongeza klabu ya Geita Gold SC inayoshiriki ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL) kwa kupata udhamini wa shilingi milioni ...

Read More »

Twiga Stars kufungua dimba na Ivory Coast

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inayotarajiwa kuondoka nchini mwishoni mwa mwezi Agosti kuelekea nchini Congo-Brazzavile kwenye Fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) imepangwa kufungua dimba na ...

Read More »
error: Content is protected !!