Michezo

Michezo

Chelsea mabingwa England

KLABU ya Chelsea ya jijini London, Uingereza, imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka England msimu wa 2016/17, baada ya kuifunga West Bromwich, bao 1-0 zilipochuana jana usiku, mabingwa hao ...

Read More »

Yanga wamwaga mboga, Simba kubinua sahani na bakuli

KLABU ya Simba imeitaka Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mpaka kufikia Machi 24, 2017, iwe imeshatoa maamuzi waliyoyaweka kiporo, kinyume na ...

Read More »

Roma: Hatupo salama, aeleza mateso waliyopata

MSANII wa muziki wa Hip-Hop Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ aliyetekwa na watu wasiojulikana kisha kuachiwa akiwa na wenzie watatu amesema hawapo salama kwa kilichowakumba, anaandika Hamisi Mguta. Roma amesema hayo ...

Read More »

Wasanii wamvaa Sirro kumdai Roma

NI siku ya pili tangu msanii wa muziki wa Hip-Hop, Ibrahim Mussa ‘Roma’ na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana katika Studio za Tongwe Records, anaandika Hamisi Mguta. Kufuatia tukio hilo ...

Read More »

Rais Magufuli amtaka Ney wa Mitego aboreshe ‘Wapo’

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ huku akimshauri kuporesha wimbo wake wa Wapo, anaandika ...

Read More »

Mashabiki wa soka wamliza Nape

UPENDO ambao mashabiki wa mpira wa miguu waliuonesha jana kwa Nape Nnauye, aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo ulimliza kiongozi huyo, anaandika Charles William. Mashabiki wa soka waliojitokeza Uwanja ...

Read More »

Ukata wamuondoa Pluijm Yanga

KLABU ya Yanga imesitisha mkataba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi, Hans Van Der Pluijm kutokana na klabu hiyo kutokuwa na uwezo wa kuendelea kumlipa, anaandika Erasto Masalu. Pluijm alikuwa Kocha ...

Read More »

Wema afikishwa mahakamani, aachiwa kwa dhamana

WEMA Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohusiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi, anaaandika Mwandishi Wetu. ...

Read More »

Serengeti Boys kutinga Bungeni Kesho

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa Miaka 17, ‘Serengeti Boys’ ikiongozwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi imeondoka leo kuelekea bungeni ...

Read More »

Wema Sepetu kiza kinene Kisutu

WEMA Sepetu, msanii wa filamu na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2006 leo ameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo, anaandika Kelvin Mwaipungu. Wakati Wema akishindwa kuungana na wasanii ...

Read More »

Azam FC kuivaa Mtibwa kombe la FA

KLABU ya Azam FC itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar, katika raundi ya tano ya kombe la Shirikisho (FA) mchezo utakaopigwa kwenye dimba la Azam Complex uliopangwa kufanyika 24 Febuari 2017 ...

Read More »

Cameroon walivyo thibitisha ubora wao AFCON

BAADA ya kukamilika kwa michuano ya kombe la mataifa Afrika iliokuwa inafanyika nchini Gabon, na timu ya taifa ya Cameroon kufanikiwa kutwaa ubingwa huo kwa mara ya tano katika historia ...

Read More »

Serengeti Boys yafuzu fainali za Vijana

HATIMAYE timu ya Taifa ya vijana chini umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefuzu kucheza michuano ya kombe la mataifa Afrika baada ya kushinda rufaa walioiweka dhidi ya mchezaji wa ...

Read More »

Lampard astaafu soka

KIUNGO wa zamani wa klabu ya Chelsea, New York City FC na timu ya taifa ya England, Frank Lampard (38) leo ametangaza kustaafu mchezo wa mpira wa miguu baada ya ...

Read More »

Okwi rasmi SC Villa

BAADA ya kuvunja mkataba na klabu yake ya SønderjyskE inayoshiriki ligi kuu nchini Denmark, hatimaye mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi amerudi nchini kwao na kujiunga na Sc Villa ...

Read More »

Azam FC kuivaa Mamelodi leo

KLABU ya Azam FC leo itashuka dimbani dhidi ya mabingwa Klabu Bingwa Afrika, Mamelodi Sundown katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa  majira ya saa moja jioni, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar ...

Read More »

Charles Boniface Mkwasa Katibu Mkuu Yanga

ALIYEKUA kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Charles Boniface Mkwasa ametangazwa kuwa katibu mkuu wa klabu ya Yanga, baada ya kumaliza mkataba wake na shirikisho la ...

Read More »

Simba, Yanga warudishwa Uwanja wa Taifa

HATIMAYE Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ameruhusu klabu za Simba na Yanga kuendelea kutumia uwanja wa Taifa, katika michezo yao ya Ligi Kuu Bara baada ya ...

Read More »

Malinzi ateuliwa kuwa Mjumbe wa FIFA

JAMAL Malinzi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa mmoja kati ya wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya ...

Read More »

Mwanjali anyakuwa Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi

BEKI raia wa Zimbabwe anayekipiga ndani ya klabu ya Simba, Method Mwanjali amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya klabu hiyo katika mwezi Disemba, 2016 kutokana msaada mkubwa alioutoa ndani ya ...

Read More »

Uganda kuivaa Ghana leo AFCON

TIMU ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ leo itatupa karata yake ya kwanza kwenye michuano ya kombe la mataifa Afrika (AFCON) inayofanyika nchini Gabon dhidi ya timu ya taifa ya ...

Read More »

Azam FC yatwaa ubingwa bila nyavu zake kutikiswa

BAADA Ya kuifunga klabu ya Simba na kuchukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa mara ya tatu, rekodi pekee iliyowekwa na klabu ya Azam Fc katika michuano hiyo ya mwaka ...

Read More »

Maamuzi ya CAF, Kuhusu rufaa ya TFF

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya rufaa ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) juu ya mchezaji wa timu ya taifa ya Jamuhuri ya Congo chini ya ...

Read More »

Tanzania, wapewa Uganda na Cape Verde AFCON 2019

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), imetoa droo ya makundi 12, kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Mataifa Africa AFCON mwaka 2019 itakayofanyika nchini ...

Read More »

Nyota watatu wa Arsenal waongeza mkataba

WACHEZAJI wa klabu ya Arsenal Oliver Giroud 30, Laurent Koscielny 31 na Francis Conquelin 25, wameongeza mikataba yao ndani ya timu hiyo na kuendelea kuitumikia timu hiyo katika michuano tofauti. ...

Read More »

Payet amvuruga kocha wake

KOCHA wa West Ham United Slaven Bilic, amesema winga wa klabu hiyo Dimit Payet 29 amekataa kucheza tena kwenye timu hiyo, kutokana na shinikizo la kutaka kuuzwa ingawa hawapo tayari ...

Read More »

Azam yamshusha kocha wa Raja Casablanca

HATIMAYE klabu ya Azam Fc imeingia mkataba wa miezi sita na Aristica Cioba 45, raia wa Romania kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo baada ya siku chache zilizopita kumtimua kazi ...

Read More »

FIFA waongeza idadi ya timu Kombe la Dunia

SHIRIKISHO  la Mpira wa Miguu Dunia (Fifa) kupitia wajumbe wake, wamefikia makubaliano ya  kuongeza idadi za timu kufikia 48 kutoka 32 zilizokuwa zikishiriki Kombe la Dunia hapo awali, na utaratibu ...

Read More »

Ronaldo, Raniel watamba tuzo za FIFA

HATIMAYE washindi katika tuzo za FIFA (The FIFA best Awards) wamefahamika jana katika hafla iliyofanyika Zurich, huku Cristiano Ronaldo akiibuka kuwa mchezaji bora wa mwaka na Claudio Raniel akichukua tuzo ...

Read More »

Barcelona wazuia wachezaji wake kwenye tuzo za FIFA

RAIS wa klabu ya Fc Barcelona Josep Maria Bartomeu ataongoza ujumbe wa klabu katika tafrija ya utoaji tuzo wa mchezaji bora wa FIFA, lakini wachezaji wa klabu hiyo waliopata mualiko ...

Read More »

Simba, Yanga hapatoshi Mapinduzi Cup

HATIMAYE mahasimu wa wawili katika soka la Tanzania, Simba na Yanga wataminyana kesho katika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kukamilika ...

Read More »

Ander Herrera kutembelea Tanzania

KIUNGO wa Manchester United na  Hispania, Ander Herrera anatarajiwa kutembelea nchi mbili zilizopo kwenye Ukanda wa Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania bila kuweka wazi sababu zitakazomfanya kuja  wala kutaja muda gani ...

Read More »

Mahrez mchezaji bora Afrika

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England na Timu ya Taifa ya Algeria, Lihard Mahrez amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka barani Afrika zilizotolewa ...

Read More »

Azam Fc yaachana rasmi na makocha wake

BAADA ya taarifa zilizoenea jana juu ya klabu ya Azam Fc kuachana na jopo la makocha wao raia wa Hispania, wakiongozwa na kocha mkuu  Zeben Hernandez na wasaidizi wake, hatimaye ...

Read More »

Farid kutimkia Hispania kesho

HATIMAYE winga wa Azam Fc Farida Mussa, anatarajia kuondoka nchini kesho Juma tano majira ya Saa 5 kamili usiku na ndege ya Shirika la KLM, kwenda nchini Hispania kuanza maisha ...

Read More »

Ligi Kuu bara kuendelea kesho

BAADA ya mapumziko ya Sikukuu ya Krismasi, hatimaye Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea tena kesho na kesho kutwa, kwa kupigwa michezo minne katika viwanja vitatu tofauti, ikiwa ni raundi ya ...

Read More »

Chelsea yathibitisha kuondoka kwa Oscar

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazir na klabu ya Chelsea Oscar dos Santos (25), anatarajiakujiunga na klabu ya Shanghai SIPG inayoshiriki ligi kuu nchini China katika dirisha dogo ...

Read More »

Alan Pardew atimuliwa Crystal Palace

KLABU ya Crystal Palace ya nchini England imemtimua kocha wake Alan Pardew aliyekuwa akikinoa kikosi hicho baada ya kupoteza mechi nane kati ya michezo 10 katika ligi kuu nchini humo ...

Read More »

Leicester City timu bora ya mwaka

KLABU ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu England imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka baada ya kutwaa ubingwa nchini humo, huku kocha mkuu wa timu hiyo Claudio Ranieri akitangazwa kuwa ...

Read More »

Kimenuka Yanga, wachezaji wagomea mazoezi

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jana asubuhi katika uwanja wa Uhuru, baada ya wachezaji wa klabu ya Yanga kugomea mazoezi yaliyokuwa yanasimamiwa na kocha wao Mkuu, George Lwandamina baada ya ...

Read More »

Farid Mussa sasa rasmi Hispania

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya winga Farid Mussa (20) wa klabu ya Azam FC kwenda katika klabu ya Deportivo Tenefife ligi daraja la kwanza nchini Hispania kucheza ...

Read More »

Mshahara wa Oscar kuwafunika Messi, Ronaldo

KIUNGO wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil Oscar do Santos huenda akawa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa cha fedha kuliko wote duniani ikiwa atakamilisha uhamisho na kutua katika klabu ...

Read More »

Everton yawabana nyota wake watatu

KLABU ya Everton inayoshiliki Ligi Kuu ya England imefanikiwa kuwaongeza mikataba nyota wake watatu Gareth Barry, Leigthton Baines na kinda anayechipukia katika timu hiyo Mason Holgate kuendelea kukipiga kwenye klabu ...

Read More »

Ligi ya Congo kusitishwa sababu za kiusalama

KUFUATIA hali ya usalama kuwa tete nchini ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) hatimaye serikali kupitia Waziri wa michezo nchini humo, Denis Kambayi imelitaka shirikisho la soka nchini ...

Read More »

Chelsea, Manchester City wapigwa faini

HATIMAYE chama Soka England (FA) imezipiga faini klabu za Manchester City na Chelsea kufuatia wachezaji wao kuhusika kwenye vurugu wakati wa mchezo wa ligi kuu uliokutanisha klabu hizo Disemba 3 ...

Read More »

Utata juu ya tuzo ya Ronaldo

SIKU chache baada ya mshambuliaji wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia inayotolewa na moja ya gazeti nchini Ufaransa ...

Read More »

Kiungo Genk kuchukua nafasi ya Kante Leicester City

MABINGWA watetezi wa ligi kuu nchini England, Leicester City wanatarajia kukamilisha usajili wa kiungo Wilfred Ndindi raia wa Nigeria anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya Ubergiji katika dirisha dogo ...

Read More »

Arsenal yatupwa tena kwa Bayern UEFA

HATIMAYE droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora imefanyika mchana wa leo, nakushuhudia timu vigogo zitakazomenyana katika hatua hiyo kuelekea fainali ya kombe hilo Juni 3 mwakani ...

Read More »

Benzema afikisha mabao 50 UEFA

BAADA ya jana kupachika mabao mawili katika mchezo uliowakutanisha timu yake ya Real Madrid dhidi ya Borussia Dortmund uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika dimba la Santiago Bernabeu, hatimaye ...

Read More »

Saanya, Mpenzu waondolewa Ligi Kuu

WAAMUZI waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Martin Saanya na Samwel Mpenzu wametolewa katika ratiba ya michezo ya ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube