Maisha
SERIKALI imesema uandikishaji wa wanafunzi wa Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Walioikosa (MEMKWA) umepungua kutoka 50,192 mwaka 2021 hadi 12,421 mwaka...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022SHULE za Msingi nchini zinakabiliwa na upungufu wa walimu 100,958 kwa kuangalia uwiano wa mwalimu mmoja kwa wanafunzi 60. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022ZAIDI ya wananchi 10,000 kutoka katika Kata ya Sangambi, wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wanatarajiwa kupata unafuu wa matibabu baada ya Kituo cha...
By Gabriel MushiApril 13, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelaani hatua “rahisirahisi” zilizochukuliwa na Serikali dhidi ya mwenendo mbovu wa utoaji huduma za Afya katika Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuApril 7, 2022SERIKALI ya Tanzania imewataka wananchi kujenga tabia ya kupima afya zao kwenye magonjwa yasiyoambukiza hususani saratani kutokana na idadi ya wagonjwa hao...
By Faki SosiApril 6, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adlof Mkenda amewataka wadhibiti ubora wa elimu nchini kutumia vifaa vya kisasa kuboresha...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022IMEELEZWA kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kifunda kilichopo Kata ya Lupilo katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya, kumeokoa jahazi la...
By Gabriel MushiApril 4, 2022TAASISI isiyo ya kiserikali ya Univeristy of Maryland Baltimore (UMB) kwa kushirikiana na serikali ya Mkoa wa Njombe imeandaa mjadala wa kitaifa...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2022JUMLA ya Sh milioni 160 zimekamilisha ujenzi madarasa nane ya shule ya sekondari Ihanga na kumaliza adha ya mrundikano wa wanafunzi katika darasa...
By Gabriel MushiMarch 23, 2022JUMLA ya wanafunzi 16 wenye mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Subira iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan...
By Gabriel MushiMarch 21, 2022MKOA wa Manyara umeshika nafasi ya mwisho kwa uchanjaji wa UVIKO-19 ikiwa na asilimia tatu tu ya watu waliopata chanjo hadi sasa....
By Danson KaijageMarch 16, 2022SERIKALI imesema jumla ya watu 803 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa korona huku 33,789 wakiambukizwa tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza nchini....
By Danson KaijageMarch 16, 2022KADA mkongwe kutoka Chama cha ADA – Tadea na mgombea ubunge kwa awamu kadhaa katika jimbo la Nachingwea, Saliana Dovela ameeleza ‘kukoshwa’ na...
By Gabriel MushiMarch 16, 2022MKURUGENZI wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WBC), Naseeb Abdul ‘Diamond Platnums’ amesema mkali mwenzie wa Bongo fleva kutoka katika lebo hiyo, Raymond...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022VIONGOZI na watumishi wa Wizara ya Afya wametakiwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma na kuzingatia taaluma zao ili kuleta tija na ufanisi...
By Gabriel MushiMarch 13, 2022WANAWAKE nchini wameshauriwa kutumia teknolojia mbalimbali za kisayansi katika shughuli zao za kila siku ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Anaripoti Faki...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imekana kurekodi na kusambaza video ya Msanii wa Bongo fleva, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay anayeendelea kupatiwa matibabu...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022SERIKALI ya Tanzania imeanza mchakato wa kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya sekta ya elimu ikiwemo kuipitia upya Sera ya Elimu ya mwaka...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022SERIKALI ya Tanzania imetoa taadhari kwa kwa wananchi dhidi ya ugonjwa wa homa ya manjano ambao umeonekana kutokea katika nchi ya jirani...
By Danson KaijageMarch 9, 2022WAZAZI na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chief Kidulile wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi na ukarabati wa madarasa katika shule hiyo...
By Gabriel MushiMarch 9, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetoa muongozo na utaratibu wa wanafunzi walioacha masomo kwa sababu mbalimbali, kurudi shuleni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeMarch 9, 2022HATIMAYE kilio cha wakazi wa Kata ya Kivulini Manispaa ya Lindi, mkoani Lindi kuhusu upatikanaji wa huduma za afya, kimepata suluhu baada ya...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022WATU 800 wamefariki dunia kati ya 33,726, waliothibitika kuwa na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza...
By Regina MkondeMarch 8, 2022IKIWA imebaki siku moja Dunia kuadhimisha siku ya wanawake duniani kesho Jumanne 8 Machi 2022, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimetoa hamasa...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake haitakubali mtoto wa Kitanzania akose fursa ya elimu kwa sababu ya kuwa na...
By Regina MkondeMarch 7, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wanatarajia kujenga shule za sekondari za ghorofa 20, ili kutekeleza agizo la Rais...
By Gabriel MushiMarch 7, 2022WAZAZI na walezi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Makole ambao wapo kidato cha pili na cha nne kwa pamoja wamekubaliana kushirikiana...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022MAMLAKA ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo wametoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2022JUMLA ya Sh milioni 250 zilizopatikana kutokana na tozo za miamala ya simu zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo cha Afya Rukuba kilichopo...
By Gabriel MushiMarch 5, 2022MKUU wa Wilaya ya Muheza, Halima Bulembo amesema fedha kutoka katika Mpango wa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko 19, zilizotokana...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022SERIKALI ya Tanzania imeokoa Sh.249 bilioni zilizokuwa zitumike kugharamia wagonjwa kwenda nje ya nchi kufuata huduma za matibabu ambazo awali zilikuwa hazipatikani...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022WANANCHI wa wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga wameeleza kufaidika na miradi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ambayo inajenga...
By Gabriel MushiMarch 2, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022MKUU wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amesema mkoa wake unakusudia kuanzisha kituo cha Mifupa (Orthopaedic Centre) kwa ajili ya watu wanaopata...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2022SERIKALI ya Tanzania, imewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa Polio, ulioibuka hivi karibu katika nchi jirani ya Malawi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022WANANCHI wametakiwa kutumia vipimo maalumu vinavyoonesha ugonjwa na aina ya matibabu yake sahihi, ili kuepukana na tatizo la usugu wa dawa. Anaripoti Regina...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amewatangazia mashabiki wake kwamba ataachia EP yake...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022IMEELEZWA kuwa Serikali imejibu kilio cha muda mrefu cha watumiaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Bukola Elemide maarufu kama ‘Asa’ ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ocean aliyofanya na prodyuza maarufu, Prime, ikiwa ni...
By Gabriel MushiFebruary 19, 2022Dk. Ndumbaro awavisha vyeo viongozi TANAPA, NCAA Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Damas Ndumbaro leo tarehe 18 Februari, 2022 ameongoza zoezi la...
By Gabriel MushiFebruary 18, 2022WAKATI filamu ya kihistoria ya “THE ROYAL TOUR” ambayo Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki akiwa Mwongozaji Mkuu wa watalii ikitarajiwa kuzinduliwa rasmi Aprili...
By Gabriel MushiFebruary 18, 2022Serikali kupitia mradi wa BOOST utakaotekelezwa katika Shule za Msingi inatarajiwa kujenga madarasa 12,000 katika mwaka wa fedha 2022/2023. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022WANASAYANSI jana Jumatano tarehe 16 Februari 2022, wametangaza ufanisi wao wa kumponya mwanamke wa kwanza aliyekuwa anaishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU),...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022WAANDAAJI wa filamu wa Afrika Mashariki hususani waandishi wa miswada (script writters) wanatarajiwa kunufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi ya Realness kwa...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022MUIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Jane Misso amewaomba mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwani sasa amenuia kurejea kwa kishindo baada...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022SERIKALI ya Zanzibar, imezindua rasmi matumizi ya teknolojia mpya inayotambua maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19) kupitia vipimo vya smaku umeme yaani electromagnetic....
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022HOSPITALI ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma nchini Tanzania, imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia tarehe 22 Machi 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini...
By Danson KaijageFebruary 15, 2022WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...
By Danson KaijageFebruary 11, 2022Msanii wa Bongo fleva, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa tamasha lake katika jiji la Dar es salaam liitwalo (Afro East...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022