Tuesday , 23 April 2024

Maisha

Maisha

Elimu

Waziri Mkenda aionya Bodi ya Mikopo ‘nitakula kichwa cha mtu’

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ametuma salamu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kwamba ‘atakula...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Mwanachuo aliyepasuliwa korodani na Polisi afichua mazito

  MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa  na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...

Elimu

Wito watolewa wananchi kujiunga elimu ya watu wazima

TAASISI  ya Elimu ya watu wazima (TEWW) imetoa wito kwa wananchi kujiunga na program za elimu ya watu wazima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

ElimuHabari

Mbunge aipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada

  MBUNGE wa Viti Maalum, (CCM), Dk. Thea Ntara, ameipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada kwa miaka mine mfululizo na amezitaka shule...

Afya

Wakufunzi wa mikoa wapatiwa mafunzo ya kujikinga na Ebola

  WAKUFUNZI wa mikoa nchini ambao ni wataalamu wa afya kutoka katika hospitali ya Taifa, hospitali za kanda, hospitali maalumu na hospitali za...

Afya

Tanzania kuwa kituo cha matibabu ya kibingwa Afrika Mashariki

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inataka kuifanya Tanzania kuwa kituo cha matibabu ya afya ya kibingwa kwa nchi inazopakana nazo. Anaripoti...

Afya

Waandishi wa habari wapewa wito kuondosha dhana potofu chanjo Uviko-19

  WAANDISHI wa Habari nchini Tanzania wamepewa wito wa kuishawishi jamii na kuondosha dhana potofu juu ya chanjo ya Ugonjwa wa uviko -19....

Afya

Msigwa: Bima ya afya kwa wote ni kwa nia nzuri

MSEMAJI Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema,uamuzi wa Serikali kuja na sheria ya  Bima ya Afya kwa wote una lengo la kuhakikisha kila...

ElimuHabari

St Mary’s Mbezi Beach yapongezwa kwa maendeleo ya taaluma

WAZAZI wameshauriwa kufuatilia kwa karibu maendeleo ya watoto wao kitaaluma na tabia ili waweze kufanya vizuri kwenye mitihani huku shule ya St Mary’s...

ElimuHabari

Shule ya Hazina yaanza kutoa elimu bure

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika utoaji wa elimu, Shule Kimataifa ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es...

Elimu

Rais Samia awatakia heri watahiniwa darasa la saba

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia heri watahiniwa wanaofanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, huku akiwaahidi kwamba Serikali itahakikisha inaandaa mazingira...

Afya

Daktari Mtanzania afariki kwa Ebola Uganda

DAKTARI Muhammed Ali ambaye ni Mtanzania amefariki kwa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda ambapo alikuwa akisomea shahada ya uzamili ya udaktari katika upasuaji....

Afya

Lishe kwa watoto, wajawazito na vijana kupewa kipaumbele 

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema sekta zote zitaongeza nguvu, rasilimali fedha na rasilimali watu ili kuboresha kiwango cha lishe kwa Watoto wenye...

Afya

Samia apiga ‘stop’ ujenzi vituo vipya vya afya

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa wataachana kwanza na ujenzi wa vituo vipya vya afya na nguvu kubwa itaelekezwa katika...

Elimu

Waliopata daraja la kwanza mitihani ya Taifa Ipepo Sekondari wakabidhiwa zawadi

  WADAU wa elimu kata ya Ipepo Wilaya Makete Mkoani Njombe wametimia ahadi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Ipepo waliopata...

AfyaTangulizi

Rais Samia ataja lishe duni sababu matumizi ‘vumbi la kongo’

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema lishe duni ndiyo chanzo kikubwa cha uwepo wa watu wenye matatizo ya afya ya uzazi na...

ElimuHabari

CBE yawashukuru waliochangia harambee, yakusanya shilingi milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...

Elimu

Mwalimu Benki yazindua “Bando la Mwalimu”, Serikali yatoa neno

BENKI ya Mwalimu imezindua Bando la Mwalimu kupitia kampeni yake ya ‘Asante Mwalimu’ yenye lengo la kurudisha shukrani kwa mwalimu, ambapo Serikali imeahidi...

AfyaTangulizi

Wakuu wa mikoa wapewa maagizo tahadhari ya Ebola

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...

Afya

Bima ya afya kwa wote kuanza Julai 2023

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema bima ya afya kwa wote itaanza kazi kuanzia tarehe 1 Julai 2023, endapo Bunge la Tanzania,...

ElimuHabari

Serikali yaipongeza St Anne Marie kwa kutochuja wanafunzi, Yaahidi kuendelea kuongoza Dar/kitaifa

  SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...

Afya

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU) kwa ajili ya...

Burudika

Man Mo; Mkali aliyetajwa na Hayati Magufuli mkutanoni

KILA mtu ana kipaji chake alichozaliwa nacho hapa duniani. Shida tunayokutana nayo ni namna ya kukivumbua kipaji hicho ili kiwe sehemu ya maisha...

Burudika

Netta, Mr Eazi waangusha kolabo kali ‘Playground Politica’

MSANII maarufu wa muziki wa Pop, Netta amemshirikisha staa mkubwa wa muziki wa Nigeria, Mr Eazi katika ngoma mpya ya Playground Politica ambayo...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Mkuu kuzindua kampasi ya CBE Mbeya Oktoba 8

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...

Elimu

Serikali yabanwa bungeni wanafunzi walioacha shule

  SERIKALI imeagiza maofisa elimu katika halmashauri zote nchini kusimamia na kutekeleza ipasavyo muongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi walioacha au kukatishwa masomo kwa...

Afya

Watoto milioni 14.6 wapatiwa chanjo ya polio

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...

Afya

Dk. Mpango ataka udhibiti dawa za kuhifadhi samaki

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amezitaka mamlaka za udhibiti kukomesha matumizi ya dawa zisizofaa katika...

ElimuHabari

Serikali yampongeza Dk. Rweikiza kuwekeza kwenye elimu

  SERIKALI imempongeza Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza kwa kuwekeza kwenye elimu na kusaidia jitihada za serikali kuboresha sekta hiyo...

Elimu

UDSM yafadhili walimu 16 kufundisha masomo ya sayansi

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kupitia Ndaki ya Sayansi Tumizi na Sayansi Asili (CoNAS), kimewezesha wanafunzi 16 waliohitimu masomo ya ualimu...

Afya

Waziri Ummy aagiza wakuu wa mikoa, wilaya kusimamia chanjo polio

  WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ameagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu utekelezaji wa kampeni ya chanjo ya...

ElimuHabari

Mahafali waliosoma nje yafana kwa viwango vya kimataifa

  SERIKALI imepongeza mchango wa Global Education Link (GEL) kwa namna ambavyo imekuwa ikisaidia kuwaunganisha wanafunzi wa Tanzania kusoma taaluma mbalimbali vyuo vikuu...

ElimuHabari

Mahafali ya wanafunzi 400 waliosoma nje ya nchi yaiva

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolph Mkenda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya wanafunzi waliosoma vyuo vikuu...

Afya

Magonjwa yasiyoambukiza yanavyoigharimu NHIF

  WAGONJWA wanaougua magonjwa yasiyoambukiza wametajwa kuwa ndiyo kundi ambalo linatumia fedha nyingi kutoka katika Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF). Anaripoti...

ElimuHabari

Tume ya Ajira yataja sababu vijana kukosa ajira

  SECRETARIETI ya Ajira, imesema moja ya chngamoyo inayosababisha vijana wengi kukosa ajira ni kushindwa kujiandaa vizuri kabla ya kwenda kwenye usaili wa...

Afya

Sh 10.7 Bil. zaboresha huduma za afya Njombe

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amekiri kuwepo kwa changamoto za utoaji wa huduma za afya katika mkoa wa Njombe ikiwemo suala la...

Burudika

Kibao kipya cha Mr Eazi; Personal Baby

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr Eazi ameachia ngoma yake mpya, Personal Baby ambayo ni ya pili kuachiwa kutoka katika albamu yake...

ElimuHabari

Hazina yaendelea  kuongoza moko darasa la saba, Yaongoza Kinondoni mfululizo,

SHULE ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeongoza kwenye matokeo ya mtihani wa utamilifu (Mock), darasa la saba kwa Wilaya...

ElimuMakala & Uchambuzi

Tanzania ya kidijitali: Kuwekeza kwa vijana ni kuwekeza katika mustakabali sahihi

VIJANA wa Tanzania ni rasilimali muhimu zaidi ambayo nchi inatakiwa kuwa nayo katika siku za usoni. Umuhimu wa vijana unatokana na ukweli kwamba...

Afya

Waziri Ummy aipiga ‘stop’ NHIF

WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesitisha mara moja utaratibu mpya wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unaoweka ukomo...

Elimu

Walimu kujinyakulia ‘tablets’ za sensa

SERIKALI imesema itagawa vishkwambi (tablets) vinavyotumiwa na waratibu wa zoezi la sensa ya watu na makazi nchini kwa walimu wa shule za msingi...

Elimu

Prof Mushi kuongoza jopo uchambuzi mikopo elimu ya juu

SERIKALI imeanza mchakato wa uchambuzi wa mifumo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ili kubaini...

ElimuTangulizi

Vinara sayansi watengewa Sh bilioni 3

SERIKALI kupitia wizara ya elimu, sayansi na teknolojia imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika mwaka huu wa fedha 2022/2023 kufadhili wanafunzi ambao...

Elimu

Uongozi UDOM wafumuliwa

UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma umefuliwa baada ya Mkuu wa Chuo hicho, Dk. Stergomena Tax kuteua sura mpya katika nafasi za juu...

AfyaTangulizi

MOI wakana kufyeka kiholela miguu majeruhi bodaboda

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface amesema si kweli kwamba majeruhi wa ajali za bodaboda hukatwa miguu...

Afya

Waziri Ummy atoa tahadhari ya Uviko-19: Kumekuwa na ongezeko la mafua

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amewataka wananchi wachukue tahadhari za kujikinga dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), kwani bado upo...

ElimuHabari

Vyuo vya nje vyapunguza ada 50% kwa Watanzania

VYUO Vikuu vya nje ya nchi vinavyoshiriki maonyesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam vimetia fora...

Afya

Dk. Mpango aonya madaktari, watoa huduma afya kuzingatia maadili

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka madaktari na watoa huduma wote nchini kuendelea kuwa wenye upendo, kujituma, kujitoa na kuzingatia weledi...

Afya

Maabara Kibong’oto kufikia ngazi ya nne

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amemuahidi Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango kuwa maabara ya afya ya jamii ya Kibong’oto baada ya...

Afya

Dk. Mpango aitaka wizara ya afya kuimarisha mfumo ufuatiliaji magonjwa

  MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Isdory Mpango ameitaka Wizara ya Afya kuendelea kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji wa mwenendo wa magonjwa ya kuambukiza...

error: Content is protected !!