Maisha
WAKAZI wa Jimbo la Musoma Vijijini, wakiongozwa na Mbunge wao, Profesa Sospeter Muhongo, wamefanya harambee ya kuchangisha fedha za kukamilisha ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2023KWA kipindi cha miezi sita kuanzia mwezi Julai hadi Desemba 2022 Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2023SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetuma timu maalum kwenda mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2023NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, ameagiza uchunguzi ufanyike dhidi ya matumizi ya fedha za kukabiliana na athari za Ugonjwa wa...
By Danson KaijageJanuary 14, 2023WIZARA ya Afya imesema maoni yaliyotolewa na Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), kuhusu sakata la watumishi wa afya katika Zahanati ya Ishihimulwa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2023CHAMA cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya uchunguzi wa tukio la watumishi wa kada ya Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa wilaya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2023SERIKALI ya Tanzania, imewataka wadau wa afya kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Mwongozo wa Kudhibiti Virusi vya Ukwimwi (VVU), Ugonjwa...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2023RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa walimu wote nchini kuacha kufundisha kwa mazoea na badala yake wajifunze mbinu mpya...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2023WATUMISHI wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya Uyui kutoka Zahanati ya Ishihimulwa waliokuwa wakijibizana kuhusu vifaa vilivyoisha muda...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya wanafunzi 14 walioandika matusi katika mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa kidato cha pili...
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (Necta) leo tarehe 4 Januari, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm
By Gabriel MushiJanuary 4, 2023SERIKALI imepiga marufuku wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 waliochaguliwa kujiunga na shule za kutwa, kuhamia shule za bweni, hadi zitakapotokea nafasi...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2022WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishikwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2022VYUO vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2022CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kulipa malimbikizo ya madai ya walimu 88,297 yenye...
By Kelvin MwaipunguDecember 15, 2022Serikali ya Tanzania imeombwa kufuta huduma za mabweni katika shule za awali hadi msingi, ili kutoa nafasi kwa watoto kulelewa na familia zao...
By Regina MkondeDecember 12, 2022KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), wameiomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaofanya vitendo vya uharibifu wa mazingira, Kwa kuwa ndiyo...
By Kelvin MwaipunguDecember 11, 2022WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo ch bahari Dar es Salaam (DMI). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Ahadi hiyo...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2022CHUO cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa mafunzo chuoni hapo. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2022ZAIDI ya wanafunzi 1143 wamejitokeza kuomba kushiriki mashindano ya gunduzi na tafiti za kisayansi yaliyoandiliwa na Shirikisho la Wanasayansi Chipukizi (YST) ambayo...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2022WAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua changamoto za Mkoa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema maambukizi ya ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19), katika kipindi cha tarehe 29 Oktoba hadi 2 Desemba 2022,...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2022CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani za afya hali ambayo...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2022WANAFUNZI 96 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wametunukiwa tuzo mbalimbali kutokana na kufanya vizuri kitaaluma kwa mwaka wa masomo 2021/22. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Edward Mpogolo amewataka wazazi wenye watoto wenye umri chini ya miaka mitano wawapeleke kupata chanjo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2022RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), wizara ya afya pamoja na wadau wengine kuweka mikakati ya kutokomeza...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022MATOKEO ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2022 yanaonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa katika masomo yote uko juu ya wastani...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya darasa la saba ambapo jumla ya watahiniwa 1,730,402 kati ya watahiniwa...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2022MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2022MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jakaya Kikwete, ametaka utafiti ufanyike ili kujua kwa nini idadi ya wanaume...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2022SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2022MAPITIO ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2022TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesaini mkataba wa ushirikiano na chuo Kikuu cha Jagiellonian nchini Poland, wenye lengo la kubadilishana ujuzi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Ackson Mwansasu, ameitaka serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), kuangalia upya utaratibu wa mashirika...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2022BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la rufaa ndani ya siku saba kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2022WATAHINIWA 566,840 wa kidato cha nne nchini Tanzania wanatarajia kuanza mitihani yao ya Taifa kesho Jumatatu tarehe 14, Novemba, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiNovember 13, 2022SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2022WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2022MUSWADA wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, umeshindwa kusomwa kwa mara ya pili bungeni jijini Dodoma, kutokana na mhimili huo...
By Regina MkondeNovember 11, 2022MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa wanafunzi wanaosoma kwenye chuo hicho...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2022MSANII wa kizazi kipya, Jay meleody akitumbuiza kwenye tamasha la Full moon party katika hoteli ya Kendwa Rocks visiwani Zanzibar wikiendi iliyopita. Anaripoti...
By Gabriel MushiNovember 10, 2022SERIKALI ya Tanzania imekamikisha rasimu ya marekebisho ya sera ya elimu, ambayo hivi karibuni itatolewa ili wadau kutoa maoni kwa ajili ya kuiboresha...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye shule yake ya St...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022SHIRIKA la Uzashaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT imekabidhi jozi 500 za viatu vya wanafunzi kwa ajili ya kusaidia kampeni...
By Faki SosiNovember 4, 2022WADAU wa ubunifu wa teknolojia katika masuala ya kilimo, fedha na elimu wamekutana jijini Dar es Salaam kubadilishana uzoefu ili kukuza bunifu...
By Faki SosiNovember 3, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ifike mbele ya Kamati ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la maendeleo ya biashara na uchumi ambalo linatarajaiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...
By Kelvin MwaipunguOctober 31, 2022JUMLA ya watumishi wa afya 139 wamechaguliwa kwaajili ya kupewa ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi katika fani zao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022SERIKALI imeifungia Shule ya Awali na Msingi ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha Mitihani pamoja na kuwafuta kazi wasimamizi wa mtihani...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022