Maisha
MSANII mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya ya 5th Dimension, ikiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023CHUO kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani hapa kinajipanga kuboresha mbinu za ufundishaji kwa vitendo ili kuwafanya wahitimu kujiajiri na kuajiri...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023WANANCHI wa Kijiji cha Wanyere, Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara, wamemua kuanza ujenzi wa shule ya sekondari kwa ajili ya kuwaondolea...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023SERIKALI ya imetoa Sh. 50 milioni kwa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa ajili ya ununuzi wa vitanda katika shule mpya ya sekondari...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka kheri watahiniwa wa mtihani wa kumaliza kidato cha sita, huku akiwaahidi kwamba Serikali yake inaandaa mazingira Bora ya...
By Regina MkondeMay 2, 2023BAADA ya kutangaza habari kubwa za ujio wa project ya Afrodance Soundsystem, wasanii wakubwa wa muziki, Mr Eazi na DJ Edu wameachia ngoma...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 25, 2023TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023UJENZI wa mradi wa Zahanati ya Mwanalugali A Kibaha Mjini unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF itakayowahudhumia wakati 3367 umefikia asilimia...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023SERIKALI imetenga kiasi cha fedha Sh. 15 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi wa maboma ya...
By Regina MkondeApril 5, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Murburg, huku ikiahidi kuutokomeza kwa kufuata miongozo ya Shirika la...
By Regina MkondeApril 4, 2023BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye...
By Kelvin MwaipunguMarch 27, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023MFUKO wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetoa fedha kiasi cha Sh. 75.8 milioni, kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...
By Gabriel MushiMarch 16, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha ujuzi wao sehemu za...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekosoa vikali hatua ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) kuondoa usajili wa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023MWANAMUZIKI anayekuja kwa kasi kwenye game ya Afro Pop, Felix Philemon Sola ‘Skillager’ ameachia kitu kipya, ‘Body Busy’. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Msanii...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘MOTO’, ikiwa ni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023HARAMBEE ya ujenzi na ukarabati wa shule za sekondari zilizoko katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, imeshika kasi baada ya Kampuni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023JUMLA ya wauguzi/manesi saba wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama wamefikishwa polisi baada ya kudaiwa kuwauzia dawa wagonjwa usiku wa manane. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHULE ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam imezindua mfumo wa kupima na kugundua vipaji vya watoto kidigitali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ametoa wito kwa vijana wanaohitimu vyuo vikuu, wafanye shughuli nyingine za kujitafutia kipato...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Said Ally Mohamed kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeFebruary 27, 2023KAMISHNA wa Utawala na Raslimali watu wa Jeshi la Polisi nchini, C.P Suzan Kaganda amewataka vijana hasa wasichana ambao ni wahitimu wa kidato...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni na taasisi amabzo zimetoa...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimezindua klabu ya ujasiriamali kwa shule ya sekondari Temeke Wailes iliyoko Wilaya ya Temeke jijini Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2023VYUO vikuu bora kutoka nchi za India, Cyprus, Uingereza, Malaysia na Uturuki vimeleta wawakilishi wake nchini kwaajili ya kuonyesha shughuli zao kwa watanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanga kuanzisha vilabu vya ujasiriamali kwa shule za sekondari mkoani Dar es Salaam na kwa kuanzia kimezindua...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MBUNGE wa Viti maalum Dodoma (CCM), Fatma Toufiq, ameahidi kushughulikia changamoto ambazo zinaikabili shule ya msingi maalum ya Buigiri iliyopo Chamwino mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuongeza vyumba vya madarasa katika shule za msingi ili...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2023MKURUGENZI wa Shule za Feza Tanzania, Ibrahim Yunus amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kujiamini wanaposhiriki midahalo ya kitaifa na...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa shule nne zilizobainika kufanya...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023IMEELEZWA kuwa usimamizi mbovu wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa majengo ya ofisi za serikali kwa baadhi ya halmshauri nchini unaotokana na...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2023WANAFUNZI wa shule ya St Mary’s Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, wameibuka kidedea kwenye shindano la kujibu maswali mbalimbali yanayohusu kodi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2023RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes ‘AKA’ ameuawa akiwa amesimama nje ya mgahawa mmoja huko Durban jana usiku. Kwa mujibu wa taarifa...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema jumla ya watu 12 wamekamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kuvujisha mtihani wa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 14 Waziri wa TAMISEMI kufika mkoani Morogoro kutatua changamoto za...
By Christina HauleFebruary 4, 2023WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2023NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amewataka waganga wakuu wa Hospitali za Mikoa na Wilaya ambao unafanyika ubadhirifu katika vituo vyao...
By Danson KaijageJanuary 30, 2023BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limefungua dirisha la udahili wa mkupuo wa mwezi Machi...
By Seleman MsuyaJanuary 26, 2023MKUU wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere (MNMA), Profesa Shadrack Mwakalila amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo kwa mwaka...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023Wakazi wa Kijiji cha Makomba kilichopo kata ya Makazi katika wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameililia serikali kwa kuwatenga katika miradi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023RAIS Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete amesema huduma za afya ya uzazi, mama na mtoto ni suala ambalo lipo ndani ya moyo wake...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2023MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amemtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuacha kulazimisha watu kujiunga na mpango wa bima...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2023