Maisha
MKURUGENZI wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2023KUKOSEKANA kwa vyumba vya kutosha vya madarasa katika shule ya msingi ya Mamboya iliyopo Kijiji na kata ya Mamboya Tarafa ya Magole Wilayani...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2023Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatatu ametangaza ameunda Kamati huru yenye wajumbe 13 ili kuchunguza malalamiko ya madaktari watarajali (Intern Doctors) kuhusu...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2023UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2023SERIKALI imesema itahakikisha gharama za usafishaji figo zinakuwa nafuu ili kuokoa maisha ya watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, … (endelea). Kauli hiyo imebainishwa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2023HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023BENKI ya NMB imeshiriki katika utatuzi wa changamoto za afya na elimu kwa kutoa michango muhimu katika kuimarisha huduma hizo kwenye maeneo mbalimbali...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAKATI maendeleo ya Elimu nchini yakiongezeka Chuo cha Uhasibu Arusha kimeongeza usanifu ili kuendana na kasi ya mabadiliko hayo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023VYUO vikuu vikubwa 15 vya nchini Malaysia vinatarajia kufanya maonyesho hapa nchini kwa lengo la kuwaonyesha watanazania fursa mbalimbali za kielimu zinazopatikana kwenye...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) linatarajiwa kuipatia Serikali ya Tanzania fedha Sh 855 milioni kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2023CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kilichopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimetoa mafunzo ya uongozi na maadili kwa wanafunzi wanaotarajia...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2023MGOGORO wa mpaka kati ya vijiji vya Sange na Mswima kata ya Sange wilayani Ileje mkoani Songwe umetajwa kukwamisha ujenzi wa nyumba ya...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023SHULE ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023NAIBU Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dk Charles Mahera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kuwasimamisha kazi Mganga Mkuu...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa 2023, umeongezeka kwa aislimia 0.2, kutoka 98.97%(2022) Hadi 99.23% mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa mchango mkubwa wa Serikali yake katika uboreshaji huduma za afya kwenye Jimbo la Musoma Vijijini,...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya uhakiki wa wanachama wa mfuko huo na kubaini mambo kadhaa na kuyachukulia hatia...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023MBUNGE wa Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo, ameupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti mchangao mkubwa inayotoa katika kukuza...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023WAKAZI wa Kisiwa cha Rukuba, Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, wameiomba Wizara ya Afya na Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ipeleke watumishi pamoja na...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete (16) amekutwa amefariki dunia kwa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kuanzisha mpango wa kutoa ufadhili wa masomo (scholaships) kwa wanafuzi wa...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023JIMBO la Musoma Vijjiini mkoani Mara, limeomba Serikali ianzishe shule za kidato cha tano na sita, huku likisema kuna baadhi ya shule zilizojengwa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2023WANANCHI wa vitongoji vilivyopo katika kata ya Mlowo halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamechangia nguvu kazi kujenga shule ya sekondari Nambala...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2023JUMLA wanafunzi 800 wamehitimu masomo katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kati yao wanaume 279 sawa na asilimia 35 na wanawake...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewahimiza wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na waliotoka katika maeneo mbalimbali nchini kufika...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023KUTOKANA na uwepo wa msongamano mkubwa wa wanafunzi katika shule ya msingi Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe uliosababisha wanafunzi 270 kusomea katika darasa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023WADAU wa elimu mkoani Songwe wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa mabweni katika shule mpya ya wasichana ya Dk. Samia S.H sekondari inayojengwa kwa...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023KATIKA kuimarisha mifumo ya ulinzi nchini, Tanzania inatarajia kutundika satellite yake ya kwanza angani itakayotumika pia katika kuboresha huduma za mawasiliano. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJune 21, 2023WANANCHI wa kijiji cha Nsele kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023UBONGO Kids waliotamba na katuni za watoto za Ubongo Kids na Akili na Me, sasa wamekuja na hadithi mpya za watoto wa Afrika...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023BENKI ya NMB imeadhimisha wiki ya uchangiaji damu salama kwa hiari baada ya kuwakusanya watumishi wa benki hiyo pamoja na wananchi katika mikoa...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya cha Mombo kilichopo...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC ) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua mpango rasmi wa ufadhili wa masomo...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imetoa msaada wa vitanda vinne vya akina mama kujifungulia katika vituo vya afya vya Nyankumbu na...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ambayo ni moja ya migodi maarufu ya AngloGold Ashanti nchini Tanzania, imeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023WANAFUNZI na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamebuni Satellite ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu Dola za...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023SERIKALI kupitia Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga Sh. 573 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Sekondari ya Wanyere, wilayani Musoma Vijijini,...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023KATIKA kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa vifaa tiba nchini, Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo ya Temdo Tanzania (TEMDO) imeanzisha karakana ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuanzia mwaka wa masomo wa 2023/2024 kimepanga kuwapa wanafunzi ujuzi na maarifa muhimu katika fani za ujasiriamali,...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amepongeza juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa...
By Mwandishi WetuMay 30, 2023MRATIBU wa utafiti na machapisho katika kurugenzi ya uzamiri, utafiti wa urushaji wa teknolojia na ushauri wa kitaalam kutoka Chuo kikuu cha...
By Christina HauleMay 29, 2023MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio...
By Mwandishi WetuMay 26, 2023Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie Academy, Dk. Jasson Rweikiza ameahidi kutoa simu ya iphone macho matatu kwa mwanafunzi wa kidato cha...
By Mwandishi WetuMay 21, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameshauri masuala ya elimu kusimamiwa na wizara moja badala ya wizara mbili, akisema suala hilo...
By Mwandishi WetuMay 19, 2023