Thursday , 25 April 2024

Maisha

Maisha

Elimu

Vipaji St Mary’s  vyawashangaza wazazi

SHULE ya Msingi na Sekondari St. Marys Mbezi Beach imesema imejenga viwanja vya michezo shuleni hapo kama moja ya njia ya kuhamasisha michezo...

Elimu

Bihimba asaidi ujenzi shule, wadau wengine waitwa

MWANAHARAKATI huru, Bihimba Nasoro Mpaya, imesaidia ujenzi wa ukuta wa shule ya Sekondari ya Abbuy Jumaa, iliyoko Kivule jijini Dar es Salaam, kwa...

Afya

GGML wafanya matembezi kuhamasisha mwezi wa afya ya akili

WAKATI Tanzania ikiungana na dunia mwezi huu wa Oktoba kuadhimisha uhamasishaji wa afya ya akili, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining...

Elimu

Wanafunzi Sekondari ya Samia waomba uzio kudhibiti mafataki

WANAFUNZI kutoka mikoa mbalimbali nchini walioanza masomo ya kidato cha tano katika shule mpya ya wasichana Dk. Samia -SSH iliyopo kijiji cha Namole ...

Elimu

Mitihani darasa la nne, kidato cha pili kufutwa Zanzibar

SERIKALI ya Zanzibar, imetangaza mpango wake wa kufuta mitihani ya darasa la nne kwa shule za msingi  na kidato cha pili kwa sekondari,...

Elimu

Ujenzi vyuo vya VETA washika kasi

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amesema Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,...

Elimu

Samia:Bajeti ijayo tutazingatia ujenzi nyumba za walimu

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inafanyia kazi changamoto ya upungufu wa walimu nchini, huku akiweka wazi mpango wake wa kutaka...

ElimuHabari

CBE, WMA wasaini makubaliano wanafunzi kusoma wakifanyakazi

NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la ajira na kuwashauri...

Afya

Wagonjwa wa saratani wanachelewa kugundulika

IMEELEZWA kuwa asilimia 80 ya wagonjwa wa saratani ya matiti nchini Tanzania wanagundulika ikiwa wamefikia hatua ya tatu na nne, hiyo ikichangiwa na...

Elimu

Ujenzi shule ya kwanza kata ya Kilimani washika kasi

HATIMAYE kata ya Kilimani katika Jiji la Dodoma imeanza ujenzi wa shule ya msingi itakayogharimu kiasi cha Sh 80 milioni kwa kuanza na...

Elimu

Serikali yaahidi kuzilegeza masharti shule binafsi

  SERIKALI imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa wamiliki wa shule binafsi, ili ziweze kutekeleza majukumu yake vizuri ya kutoa elimu bora kwa...

Elimu

GEL yataja fursa ziara ya Rais Samia India

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) imetaja fursa kem kem ambazo Tanzania itanufaika nazo kupitia  ziara ya Rais Samia...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka walimu na wafanyakazi wa chuo hicho kuboresha huduma kwa wateja na kujiandaa kutoa mafunzo kidijitali ili...

Elimu

NMB yatoa milioni 20 kupiga jeki shule 3 Ilala 

IKIWA ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Chanjo mpya ya malaria Sh 5,000-10,000

Shirika la afya la Duniani (WHO) limeridhia chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wagonjwa kiharusi waongezeka, Hospitali Mkapa yaja matibabu mapya

HOSPITALI ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na madaktari Bingwa kutoka nchi Japan kupitia taasisi ya Tokushikai Medical group ya Japan wanatarajia kuanzisha huduma...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure, wanawake wapewa neno

MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi na wafanyakazi kutoka taasisi...

Afya

Serikali yaanza kutekeleza maombi ya Prof. Muhongo

SERIKALI imeanza kutekeleza maombi ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ya kupeleka vifaa tiba na watumishi katika kituo kipya cha...

Elimu

Viwanda zaidi ya 200 kuonyesha bidhaa maonyesho ya TIMEXPO Dar

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo...

Elimu

Wazazi wa wanafunzi waliokosa nafasi vyuo vikuu waonyeshwa njia na GEL

WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu  ndani...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo yao ili...

Elimu

Green Acres kuwakatia bima wanafunzi wote

Shule ya Green Acres imejipanga kufanya mambo makubwa kwa mwaka 2023 / 2024 ikiwemo kuwakatia bima wanafunzi wa shule hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa...

Sanaa

Msanii Kusah apagawisha wanafunzi Green Acres

MSANII  wa nyimbo za bongo fleva Salmin Ismail maarufu kama Kusah,  amezitaka shule nchini kutenga muda wa kutosha wa michezo ili waweze kuibua...

Elimu

Vipaji Green Acres vyawafurahisha wazazi

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha lugha ya Kifaransa...

AfyaHabari Mchanganyiko

GGML yatoa msaada wa vifaa tiba kuboresha afya Geita

KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa tiba kwa...

Afya

Hospitali Kanda Mtwara yaokoa mamilioni, yajipanga kuhudumia nchi jirani

  MAMILIONI ya fedha yaliyopaswa kutumika katika kusafirisha wagonjwa kutoka mikoa ya Kusini hadi Dar es Salaam, yameokolewa baada ya Hospitali ya Kanda...

ElimuHabari Mchanganyiko

Mtwara Girls waondokana na changamoto ya maji

  WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana mkoani Mtwara (Mtwara Girls High School), wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa...

Elimu

Rc Singida atoa siku 7 kukamilisha miradi elimu ya sekondari

MKUU wa Mkoa wa Singida Peter Selukamba ametoa siku saba kwa halmashauri ya Iramba, Mkarama, Singida Dc na Manispaa kuhakikisha miradi ya elimu...

AfyaHabari Mchanganyiko

Magonjwa yasiyoambukiza tishio, vyombo vya habari vyatakiwa kuelimisha umma

VYOMBO vya habari vimetakiwa kuongeza jitihada katika elimu ya kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza (NCD’s) ili kukabiliana na janga hilo ambalo sasa likadiriwa...

ElimuHabari Mchanganyiko

Kiswahili sasa kuanza kufundishwa Cuba

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini hati za makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu...

ElimuHabari

Wanafunzi wa vipimo na viwango CBE waula

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kisasa kwenye idara yake ya vipimo na viwango hususan kwenye upimaji...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo ya akili bandia

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Taasisi ya Teknolojia ya Habari JR Institute of Information and Technology ambao utakiwezesha chuo...

Elimu

Rais Samia awapa ujumbe wanafunzi darasa la saba

Rais Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu leo Jumatano. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....

AfyaHabari Mchanganyiko

Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi yanufaika na mafunzo kutoka Marekani

  HOSPITALI Kuu ya Jeshi la Polisi iliyopo wilaya ya Temeke Barabara ya Kilwa Mkoa wa Dar es Salaam itanufanika na mafunzo ambayo...

Elimu

Profesa UDSM ataka shule ziige ubunifu kwa shule za St Mary’s

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Goodluck Urassa amesema ili shule ziweze kufanya vizuri kitaaluma, walimu wanapaswa kufanya kazi yao...

Elimu

Tanzania ina maprofesa 63

SERIKALI imesema hadi kufikia mwaka 2022 Tanzania ilikuwa na jumla ya maprofesa 226 kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki (Associate Professors) na...

Burudika

Mr. Eazi aachia Advice ikiwa ni ujio wa albam mpya

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa ameachia...

Elimu

Shule ya East Africa yaahidi kufanya maajabu kitaaluma

MWENYEKITI wa Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameishukuru serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wazawa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Elimu

Wanafunzi shule ya East Africa Dodoma waonyesha vipaji

KATIKA kukimarisha afya ya akili na mwili kwa wanafunzi shule ya Awali na Msingi ya East Africa iliyoko Kikuyu jijini Dodoma, imeanzisha somo...

Afya

Bilioni 5.9 zatumika kununua viuadudu

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetumia kiasi cha Sh 5.9 bilioni kununua viuadudu katika ngazi ya Halmashauri ndani ya kipindi cha mwaka 2017...

Elimu

Musoma Vijiji kumuenzi bingwa wa Kiswahili, Prof. Massamba

WANANCHI wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameahidi kujenga shule ya sekondari itakayopewa jina la Prof. David Masamba, ili kuuenzi mchango wake katika kukuza...

AfyaHabari Mchanganyiko

Rais Samia akagua ujenzi wa kituo cha afya Kizimkazi kinachojengwa na Serikali, NBC

RAIS Samia Suluhu Hassan ametembelea ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa wa Kusini Unguja kinachojengwa na Serikali kwa kushirikiana na...

Elimu

TCU yatoa maelekezo tisa, yaonya vyuo

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imetoa maelekezo tisa yanayopaswa kufuatwa vyuo vya elimu ya juu na waombaji wapya katika mchakato wa udahili...

Afya

Rais Dk. Mwinyi azindua ujenzi wa kituo cha afya Kizimkazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezindua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa...

ElimuMichezo

Tunda Man azishauri shule kuwa na programu za kuibua vipaji

  MWANAMUZIKI Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man alifanya onyesho la aina yake kwenye shule ya Brilliant na kuzishauri shule ziwe na profamu...

Elimu

Wanafunzi bora shule ya Brilliant kutesa na iphone macho matatu

MKURUGENZI wa shule ya Brilliant Dk. Jasson Rweikiza, amesema hakuna mwanafunzi wa shule hiyo atakayefukuzwa kwa kukosa ada baada ya kufiwa na mzazi...

Elimu

Serikali yaombwa kupunguza kodi shule binafsi

SERIKALI imeombwa kuzipunguzia mzigo wa kodi shule binafsi ili zimudu gharama za uendeshaji kwa lengo la kutoa huduma bora za elimu. Anaripoti Regina...

Elimu

Wadau waombwa kutatua changamoto shule za umma

SERIKALI na wadau wametakiwa kujitoa katika kutatua changamoto zinazokabili shule za umma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti...

Elimu

Shule zinazofanya mtihani wa dini ya Kiislam zaongezeka matokeo yatangazwa

  IDADI ya Shule ya shule za msingi zinazofanya mitihani ya elimu ya dini ya Kiislam nchini imeongezeka kulinganisha na mwaka jana kutoka...

error: Content is protected !!