Maisha
KATIBU tawala mkoani Songwe, Happines Seneda ametoa siku 21 kwa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje, Nuru Kindamba kumpatia majina ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amewashauri vijana nchini Tanzania kunoa ujuzi wao wa karne ya 21 ili kufanikiwa katika...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2023CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha miundombinu yake, kusomesha...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki (HKMU), Ahlam Azam...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) pamoja na wadau wengine kwa kuiunga mkono Serikali kwa mchango wa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), watakiwa kutumia elimu waliyoipata kufanya tafiti na kutatua changamoto mbalimbali zilizoko kwenye jamii....
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Prof. Adolf Mkenda amevitaka vyuo vikuu barani Afrika, kujikita katika kufanya tafiti zitakazojibu changamoto za...
By Regina MkondeNovember 28, 2023KATIKA kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali kukabiliana na maambukizi ya Virus Vya Ukimwi (VVU), Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Wananachi wa Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Morogoro mkoani Morogoro, wameepukana na adha ya kukodi magari ya kubebea wagonjwa kwa gharama kubwa kutoka...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023SHULE za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Takriban watu 573 kati ya 11,640 walioambukizwa kipindupindu nchini Nigeria wamepoteza maisha tangu mlipuko wa ugonjwa huo uanze Desemba 2022. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023KATIKA kujenga uwezo kwa kampuni ndogondogo zinazojishughulisha masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Tume ya Tehama (ICTC) inatarajia kujenga vituo katika...
By Gabriel MushiNovember 23, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kutoa fedha ili kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Songwe ili kuimarisha huduma...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kushangazwa na idadi ya kesi mbili pekee kufikishwa mahakamani kati ya kesi 59 zinazohusu wanafunzi waliofanyiwa ukatili na...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023BARAZA la Mitihani la Tanzania limefungia vituo vya mtihani viwili ambavyo ni Twibhoki (PS0904095) na Graiyaki (PS0904122) vyote vya Halmashauri ya Serengeti mkoa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023TOFAUTI na miaka iliyopita, katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) cha Morogoro kwa kuwapatia zawadi...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023MKUU wa Wilaya ya lleje, Farida Mgomi kwa kushirikiana na wazazi wamefanikiwa kumrejesha shuleni, Irene Mwazembe (15), mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT), Jokate Mwegelo amesema hatua ya wanafunzi walioruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hospitali zimekuwa na mifumo mingi ambayo haisomani kiasi ambacho imechangia kuongezeka kwa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KATIKA jitihada za kuandaa wahitimu wanaoendana na soko la ajira duniani, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanzisha ushirikiano na kampuni ya RSM...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023MAKOFI kwa Mr Eazi! Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)” – ikiwa ni...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ya kuwapa mafunzo ya vitendo wanafunzi...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023WANAFUNZI wa shule ya msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam wameonyesha vipaji vya aina yake walipokuwa kwenye mahafali ya darasa la...
By Kelvin MwaipunguNovember 12, 2023SHULE ya Msingi Hazina imeahidi kuendelea kuwa juu kitaaluma kwa kuhakikisha inakuwa na walimu mahiri na wenye wito wa kazi ya ualimu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023Baadhi ya Walimu wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe ‘wamemvamia’ Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema kuanzia mwakani kitaanza kufundisha baadhi ya kozi zake kwa njia ya mtandao ili kuwawezesha watu wengi...
By Kelvin MwaipunguNovember 10, 2023SERIKALI imevitaka vyuo vikuu kuwa na program atamizi na zile za uanagenzi ili kuzalisha wataalamu wenye uwezo wa kujiajiri na kuajiri wengine badala...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2023Wananchi wa kijiji cha Mbembati kata ya Lubanda wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamejenga zahanati ya Kijijini hapo kwa nguvu zao ili kupunguza...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023Mkuu wa mkoa wa Singida, Peter Serukamba amewaagiza viongozi na watendaji mkoani humo kuhakikisha kaya zote zinakuwa na vyoo bora na kuchukua hatua...
By Danson KaijageNovember 8, 2023Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha 2023 Serikali imetoa kiasi cha Sh. 500 milioni kwa ajili...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2023Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dk. Francis Michael ameagiza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) mkoani Songwe, kuhakikisha Shule ya...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2023WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba, kilichopo Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua kuanza ujenzi wa shule ya sekondari kwa nguvu zao, ili...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023SERIKALI imekamilisha kazi ya mapitio ya mitaala ya elimu kuanzia ngazi ya msingi, sekondari hadi ualimu, huku ikiendelea na mapitio ya mitaala na...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023Katibu tawala mkoani Songwe, Happiness Seneda ametoa siku saba kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kupitia idara ya Afya...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023INAKADIRIWA kuwa Watanzania 14,028 sawa na asilimia 33.3 kila mwaka hupata ugonjwa kwa saratani. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Kwa mujibu wa Takwimu...
By Faki SosiOctober 29, 2023TAASISI inayojuhusisha na Utoaji Elimu ya Kisukari kwa Jamii (DICOCO) kwa kushirikiana na Hospitali ya SINAI wametoa huduma ya kupima kisukari, shinikizo la...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2023MRADI unaohamasisha utunzaji wa mazingira na hedhi salama ( Wash), unaotekelezwa na Taasisi ya Urithi Wangu (My Legacy), umegusa wanafunzi katika shule...
By Regina MkondeOctober 28, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema licha ya vifo vitokanavyo na uzazi na vya watoto chini ya umri wa miaka mitano, kupungua,...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema magari ya kubebea wagonjwa 213 kati ya 444 ni mabovu, huku halmashauri 33 zikiwa hazina hata...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2023IDADI ya vituo vya afya kuanzia 2017 hadi 2023, vimeongezeka kutoka 535 hadi kufikia 788, wakati zahanati zikiongezeka kutoka 4,127 hadi kufikia...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema tangu Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Serikali imeajiri jumla ya walimu 29,879 wa Shule...
By Danson KaijageOctober 28, 2023TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imewataka watumishi wake kukwepa vitendo vya ukiukwaji wa maadili, ikiwemo kuwa madalali wa...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2023BENKI ya NMB Kanda ya kusini imetoa vifaa vya kuezekea katika zahanati ya polisi iliyopo mkoani hapa vyenye thamani ya Sh17 milioni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeahidi kuiunganisha shule ya St Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa ili wanafunzi wa shule...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023SHULE ya Msingi na Sekondari St. Marys Mbezi Beach imesema imejenga viwanja vya michezo shuleni hapo kama moja ya njia ya kuhamasisha michezo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023MWANAHARAKATI huru, Bihimba Nasoro Mpaya, imesaidia ujenzi wa ukuta wa shule ya Sekondari ya Abbuy Jumaa, iliyoko Kivule jijini Dar es Salaam, kwa...
By Regina MkondeOctober 20, 2023