Maisha
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania, (TAMWA) kinalaani tukio la Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Peter Mswahili kutuhumiwa kujihusisha na mahusiano...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2021WAZIRI Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima ameziagiza taasisi za afya kufuata utaratibu wa mikataba ya utoaji...
By Regina MkondeOctober 25, 2021WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imepanga kutumia mabilioni ya fedha zilizotokana na Mpango wa Serikali wa Kuinua Uchumi na Kukabiliana na...
By Regina MkondeOctober 23, 2021BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), imesema uzito uliozidi na kiribatumbo ni chanzo kikuu cha magonjwa sugu na yasioyakuambukiza. Anaripoti Selemani...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia jana tarehe 15 Oktoba, 2021 jumla ya Watanzania 940,507 walikuwa wamekwishachanja chanjo ya Covid –...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imetenga Sh. bilioni sita kwa ajili ya kuiboresha Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 15, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima anatarajia kumuwakilisha Rais wa Samia Suluhu Hassan katika Kongamano...
By Danson KaijageOctober 12, 2021TATIZO la afya ya akili duniani limeendelea kuwa tishio, huku ikikadiriwa kuwa litaongezeka kutoka asilimia 12 hadi 17 ifikapo mwaka 2030. Anaripoti...
By Danson KaijageOctober 11, 2021WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu nchini humo (TCU) kuwachukua hatua taasisi...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021TANZANIA leo Ijumaa, tarehe 8 Oktoba 2021, imepokea dozi 576,558 za chanjo dhidi ya ugonjwa unaoambukizwa na virusi vya korona (UVIKO-19) aina...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021HOSPITALI ya Manipal kutoka nchini India kwa kushirikiana na Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), wameendesha mafunzo kwa wanahabari kuhusu teknolojia mpya...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021SHIRIKA la Afya duniani (WHO) limeidhinisha chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa Malaria na kusisitiza kuwa inapaswa kutolewa kwa watoto wote Barani...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, haitawavumilia watumishi wa umma...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT)...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya ‘RnB’ kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu kama R. Kelly amekutwa na hatia katika tuhuma zilizokuwa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, idadi ya wananchi waliochanjwa chanjo ya corona imefikia 400,000. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...
By Masalu ErastoSeptember 26, 2021MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo) mkoani Pwani ametoa Sh.500,000 kuchangia ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Dondo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021MPANGO wa Taifa wa Damu Salama umebadilisha mwelekeo wake wa kuigeukia jamii ili kukusanya damu kwa ajiri ya kukabiliana na changamoto ya...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021SERIKALI ya Tanzania imeongeza vituo vya utoaji huduma ya chanjo ya ugonjwa wa Corona (UVIKO-19), kutoka 550 hadi 6,784 nchi nzima. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021SERIKALI ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (Veta) kwa kila halmashauri. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021MKUU wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus anaweza kuwa mgombea pekee katika nafasi anayoshikilia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2021SERIKALI imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021Wizara ya afya maendeleo, jinsia, wazee na watoto inatarajia kuzindua mpango wa kuharakisha chanjo ya Uviko-19 kuanzia tarehe 20 Septemba, 2021. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021SERIKALI kwa kumtumia Wakala wa majengo (TBA) imeanza upembuzi yakinifu wa majengo yatakayofanyiwa ukarabati pamoja na yale yatakayobomolewa na kujengwa upya, Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021SERIKALI imepanga wa kuongeza upanuzi wa shule 100 ili ziwe na uwezo wa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) msimu wa 12 umezinduliwa huku jaji maarufu Salama Jabir akirejea ulingoni. Anaripoti Matilda Buguye (endelea). Salama...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Juliana Shonza ameitaka Serikali ieleze ni lini jingo la Hospitali ya Tunduma, Mkoa wa Songwe litafunguliwa. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2021MKUU wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi amesema anachelea kuamini taarifa iliyotolewa na wizara ya afya kuhusu tukio la daktari aliyemfumua mshono...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva Nandela Charles Mfinanga maarufu Nandy leo Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021 anahitimisha kilele cha tamasha lake ‘Nandy...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021SERIKALI imeahidi kushirikiana na kuunga mkono jitihada za kampuni ya Mawasiliano ya Huawei katika kuweka mkazo zaidi na kuwaendeleza wanawake katika sekta ya...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameitaka Serikali kutoa mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita kama ilivyo kwa wanafunzi...
By Masalu ErastoSeptember 3, 2021KAMPUNI ya Johnson & Johnson kutoka nchini Marekani imesitisha majaribio ya chanjo ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) Barani Afrika baada ya chanjo...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2021KIRUSI kipya cha Corona kilichopewa jina la ‘Mu’ au B.1.621 kimeanza kutikisa nchi kadhaa za Bara la Amerika kusini na Ulaya huku...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mkakati mpya kwa wanafunzi waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito kuwawezesha kuwaendelea kimasomo. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo … (endelea)....
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa wiki mbili kwa wanafunzi ambao hawajakamilisha maombi ya mkopo...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2021Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya serikali katika Halmashauri ya Wilaya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021Baada ya kutangaza kutengana wiki chache zilizopita, bilionea Moussa Sandiana Kaba almaarufu kama Grand P kutoka Guinea amerudiana tena na mpenzi wake msanii...
By Kelvin MwaipunguAugust 22, 2021Malkia wa Bongofleva, Zuhura Kopa maarufu kama Zuchu ameeleza kupagawishwa na simu ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiperfome jana tarehe 21...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imetupilia mbali mapingamizi ya Serikali, katika kesi Na. 16/2021, iliyofunguliwa na Alexandra Bakunguza, kupinga elimu ya juu kutolewa...
By Masalu ErastoAugust 18, 2021Kampuni ya Bayoteknolojia Moderna leo Jumatano Agosti 18, 2021 inaanza kufanya majaribio ya chanjo za Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa binadamu. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 18, 2021MWANAMITINDO na msanii wa muziki wa bongo fleva Hamisa Mobetto, nyota yake imeendelea ku’ngaa baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya...
By Masalu ErastoAugust 16, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Said, amesema watoto wadogo hawaathiriki sana na Ugonjwa...
By Regina MkondeAugust 7, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali iongeze vituo vya kutolea huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana waliopata ufadhili wa Serikali kupitia programu maalum ya kupata mafunzo ya ufundi stadi watumie...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu kufanya mapitio ya mitalaa ili iweze...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imesema huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), itaanza kutolewa kwa wananchi kuanzia Jumanne, tarehe 3...
By Regina MkondeJuly 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....
By Regina MkondeJuly 28, 2021