Burudani
RAIS Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh 50 milioni katika uzinduzi wa taasisi ya Professa Jay Foundation pamoja na kuahidi kumgharamia matibabu...
By Faki SosiDecember 11, 2023MAKOFI kwa Mr Eazi! Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)” – ikiwa ni...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa ameachia...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023MSANII mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya ya 5th Dimension, ikiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023BAADA ya kutangaza habari kubwa za ujio wa project ya Afrodance Soundsystem, wasanii wakubwa wa muziki, Mr Eazi na DJ Edu wameachia ngoma...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023MWANAMUZIKI anayekuja kwa kasi kwenye game ya Afro Pop, Felix Philemon Sola ‘Skillager’ ameachia kitu kipya, ‘Body Busy’. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Msanii...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘MOTO’, ikiwa ni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes ‘AKA’ ameuawa akiwa amesimama nje ya mgahawa mmoja huko Durban jana usiku. Kwa mujibu wa taarifa...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2023MSANII wa kizazi kipya, Jay meleody akitumbuiza kwenye tamasha la Full moon party katika hoteli ya Kendwa Rocks visiwani Zanzibar wikiendi iliyopita. Anaripoti...
By Gabriel MushiNovember 10, 2022KILA mtu ana kipaji chake alichozaliwa nacho hapa duniani. Shida tunayokutana nayo ni namna ya kukivumbua kipaji hicho ili kiwe sehemu ya maisha...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022MSANII maarufu wa muziki wa Pop, Netta amemshirikisha staa mkubwa wa muziki wa Nigeria, Mr Eazi katika ngoma mpya ya Playground Politica ambayo...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr Eazi ameachia ngoma yake mpya, Personal Baby ambayo ni ya pili kuachiwa kutoka katika albamu yake...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022KWAYA ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi, Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam, inatarajia kufanya ziara ya kitume nchini Kenya...
By Gabriel MushiMay 29, 2022JUKWAA la muziki la Apple Music, linasherehekea uzuri wa kipekee na mandhari ya Bara la Afrika kupitia muziki katika Africa Month (Mwezi wa...
By Gabriel MushiMay 26, 2022KIKOSI kazi cha kusherehekea mwezi wa Afrika kwenye mkusanyiko wa nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika zilizopewa jina la African Lullabies Part 2, kimeachia...
By Gabriel MushiMay 19, 2022STAA wa Bongofleva ambaye pia ni Mmiliki wa rekodi lebo ya Next level Music, Raymond Mwaikyusa ‘Rayvanny’ ameendelea kuibua minong’ono kuhusu kujiondoa kwake...
By Gabriel MushiApril 18, 2022MJENGA misuli wa Marekani Cedric McMillan amefariki akiwa na umri wa miaka 44, baada ya miaka kadhaa ya matatizo ya kiafya yaliyosababishwa na...
By Gabriel MushiApril 14, 2022MKURUGENZI wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WBC), Naseeb Abdul ‘Diamond Platnums’ amesema mkali mwenzie wa Bongo fleva kutoka katika lebo hiyo, Raymond...
By Gabriel MushiMarch 14, 2022STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amewatangazia mashabiki wake kwamba ataachia EP yake...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022MWANAMUZIKI mahiri kutoka nchini Nigeria, Bukola Elemide maarufu kama ‘Asa’ ameachia ngoma yake mpya iitwayo Ocean aliyofanya na prodyuza maarufu, Prime, ikiwa ni...
By Gabriel MushiFebruary 19, 2022WAANDAAJI wa filamu wa Afrika Mashariki hususani waandishi wa miswada (script writters) wanatarajiwa kunufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi ya Realness kwa...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022MUIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Jane Misso amewaomba mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwani sasa amenuia kurejea kwa kishindo baada...
By Gabriel MushiFebruary 16, 2022WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...
By Danson KaijageFebruary 11, 2022Msanii wa Bongo fleva, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’ ametangaza ujio wa tamasha lake katika jiji la Dar es salaam liitwalo (Afro East...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022MSANII wa Bongofleva, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine ya kuwa msaanii wa kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kutumbuiza...
By Gabriel MushiFebruary 8, 2022Msanii wa Bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameonyesha furaha ya kipekee baada ya mwanawe wa kwanza Tiffah Princess kuhitimu...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022“Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamuona mpendwa wa nafsi yangu, nikamshika, nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mama yangu, chumbani mwake aliyenizaa.”...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MWANAMUZIKI nguli wa miondoko ya ‘RnB’ kutoka nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly maarufu kama R. Kelly amekutwa na hatia katika tuhuma zilizokuwa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 28, 2021SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) msimu wa 12 umezinduliwa huku jaji maarufu Salama Jabir akirejea ulingoni. Anaripoti Matilda Buguye (endelea). Salama...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva Nandela Charles Mfinanga maarufu Nandy leo Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021 anahitimisha kilele cha tamasha lake ‘Nandy...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021Baada ya kutangaza kutengana wiki chache zilizopita, bilionea Moussa Sandiana Kaba almaarufu kama Grand P kutoka Guinea amerudiana tena na mpenzi wake msanii...
By Kelvin MwaipunguAugust 22, 2021Malkia wa Bongofleva, Zuhura Kopa maarufu kama Zuchu ameeleza kupagawishwa na simu ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiperfome jana tarehe 21...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021MWANAMITINDO na msanii wa muziki wa bongo fleva Hamisa Mobetto, nyota yake imeendelea ku’ngaa baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya...
By Masalu ErastoAugust 16, 2021WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewashukuru na kuwapongeza wasanii wote nchini waliojitoa kutunga nyimbo mbali mbali za...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, Francis Ciza maarufu Majizo na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamefunga ndoa. Anaripoti Matrida Peter, Dar es Salaam..(endelea) Majizo ambaye...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021UAMUZI wa Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kugombea tena Jimbo la Kigoma Mjini, umenisukuma kugombea tena Kata ya Mwanga Kaskazini. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaJuly 22, 2020MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji Tanzania, Jimmy Mafufu amewataka wasanii kujiunga katika mfumo wa bima kupitia mfuko wa PPF ili kuondokana na...
By Hamisi MgutaOctober 12, 2017WAZIRI wa Habari, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe amekemea tabia ya baadhi ya waandishi wa habari kuchukua pesa (mshiko), ili wapige redioni nyimbo...
By Hamisi MgutaAugust 11, 2017HAKIKA ni simanzi na majonzi ndivyo vimetawala kwa wadau wa mziki wa dansi Tanzania kufuatia kifo cha Shaban Dede, Mwanamuziki mkongwe wa muziki...
By Hamisi MgutaJuly 7, 2017