Afya
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, inatarajia kuanzisha mfumo wa ufuatiliaji taarifa za wajawazito, ili kupunguza vifo vya...
By Masalu ErastoMay 27, 2021WIZARA ya Ofisi ya Rais-Tamisemi, imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, itumie mapato yake ya ndani, kununua kipimo cha kuchunguza...
By Masalu ErastoMay 24, 2021SERIKALI ya Tanzania imeagiza hospitali, zahanati na vituo vya afya vya umma, viweke watu maalum kwa ajili ya kuwahudumia wazee. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 24, 2021IKIWA zimebaki siku mbili kuelekea maadhimisho ya kutokomeza Fistula ya Uzazi, bado takwimu zinaonyesha, idadi ya wanawake wenye tatizo hilo imekuwa ikiongezeka....
By Hamisi MgutaMay 21, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 500 milioni kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto, wanaume na wanawake ya magonjwa mchanganyiko hospitali...
By Masalu ErastoMay 21, 2021LEO Jumatatu, tarehe 17 Mei 2021, Kamati iliyoundwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufanya tathimini ya ugonjwa wa corona (COVID-19),...
By Masalu ErastoMay 17, 2021KAMATI Maalum ya kufanya tahimini ya maambukizi ya ugonjwa wa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, imependekeza Serikali ya nchi...
By Regina MkondeMay 17, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, iko mbioni kuajiri wataalamu 473 wa kada mbalimbali za afya, ambao watapelekwa...
By Regina MkondeMay 13, 2021ASKOFU Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametoa tahadhari kwa serikali juu ya chanjo ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuMay 12, 2021WAKATI Watanzania takribani milioni 22 (52%), wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo ya tumbo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga kiasi cha Sh. 57 bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya hospitali za rufaa za mikoa ukiwemo...
By Masalu ErastoMay 11, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amepiga marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki wajawazito....
By Mwandishi WetuApril 28, 2021SERIKALI imetenga Sh.57 Bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya Hospitali za Rufaa za Mikoa, ikiwemo ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 23, 2021SERIKALI imetenga Sh. 14 Bilioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa hospitali mpya 28, ikiwepo Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga...
By Masalu ErastoApril 21, 2021HALIMASHAURI ya Wilaya ya Biharamulo, Kagera ilipatiwa kiasi cha Sh. 500 Milioni katika mwaka wa fedha 2019\20 kwa ajili ya kuanza ujenzi...
By Masalu ErastoApril 20, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahimiza Watanzania kula lishe bora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi…(endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 13, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Tanzania, kupima na kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Hamisi MgutaMarch 5, 2021UCHUNGUZI wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam (MNH), imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ili kusaidia wagonjwa...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021KUPIMA virusi vya corona (COVID-19), visiwani Zanzibar sasa ni Dola za Marekani 80 (zaidi ya Sh.180,00), badala ya Sh.30,000 za awali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021DAKTARI Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania amesema, matamko kuhusu magonjwa ya kuambukiza ikiwemo...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza mambo manane yanayoweza kumsaidia Mtanzania kujilinda na magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo...
By Masalu ErastoFebruary 21, 2021SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeitaka serikali ya Tanzania kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya Covid 19, ili kuwezesha kujulikana idadi...
By Masalu ErastoFebruary 21, 2021RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujihadhari na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa wito...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2021CHAMA cha Madaktari nchini (MAT), kimewataka wananchi kuwa makini kutokana na ongezeko la wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshtushwa na gharama kubwa za mashine za kusaidia upumuaji kwa watu wenye tatizo hilo, zinazotolewa...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2021SHIRIKA la Afya duniani (WHO), limeiondoa Tanzania na Burundi katika orodha ya nchi za Afrika Mashariki zikazopewa chanjo ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021KASI ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) nchini Ureno, inatikisa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa… (endelea). Serikali ya Ureno baada ya kuona...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Seleman Jaffo ametangaza msimu wa tatu wa kujifukiza nyungu, ili kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza madaktari wanaopangiwa ajira katika hospitali za umma kisha wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kwa kigezo cha masilahi...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imetaka wananchi wanaokabiliwa na vitendo vya kikatili kwenye familia/nyumba zao, kuwasiliana na maofisa wa wizara hiyo moja...
By Masalu ErastoJanuary 29, 2021MKANG’ANYIKO wa taarifa juu ya virusi hatari vya corona (Covid-19), nchini Tanzania, unazidi kuwaweka wananchi njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema serikali yake itaendelea kuboresha sekta ya afya ili wananchi wapate huduma bora za afya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021BARAZA la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona na ugonjwa wa...
By Saed KubeneaJanuary 26, 2021SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza kuumizwa na hatua ya askari wa ulinzi (SUMA – JKT)...
By Danson KaijageJanuary 24, 2021WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, amewasimamisha watumishi watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe jijini Mwanza, kupisha uchunguzi wa...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021HOSPITALI ya Aga Khan imepewa jukumu la kupima virusi vya corona (COVID-19) kwa gharama ya Sh. 275,000 kwa Mtanzania. Anaandika Hamis Mguta, Dar...
By Hamisi MgutaJanuary 8, 2021GONJWA hatari la Corona, sasa limerejea kwa kasi katika Bara la Afrika, ambako mamilioni ya watu tayari wameambukizwa ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 26.18, waliopona milioni 18.44 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 867,370. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2020WAGONJWA milioni 16.08 wamepoma virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumatatu tarehe 24 Agosti 2020, kuwa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha upatikanaji wa uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya za uhakika na wakati....
By Hamisi MgutaJuly 9, 2020NAIBU Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel ameipongeza hospitali ya CCBRT kwa utendaji kazi mzuri licha ya kuwepo changamoto zinawaikabili hospitali hiyo. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJuly 1, 2020SERIKALI ya Tanzania imetoa mwongozo wa namna wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari, watakavyokabiliana na ugonjwa wa homa kali ya...
By Regina MkondeJune 29, 2020SERIKALI ya Tanzania imepata Sh. 780 milioni kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa dawa za kulevya mkoani...
By Hamisi MgutaJune 25, 2020WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya...
By Hamisi MgutaJune 19, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kwa sasa yamepungua na...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, atamwandikia barua Kristalina Georgieva, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha za Kimatiafa (IMF ), kwa ajili...
By Regina MkondeJune 11, 2020RITTA Kabati, Mbunge Viti Maalumu mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameiomba Serikali kuwapunguzia gharama za matibabu wagonjwa wa saratani na figo....
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imetoa mwenendo juu ya hali ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19)....
By Mwandishi WetuJune 10, 2020