Afya

Afya

Milioni 18 wapona corona dunia

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 26.18, waliopona milioni 18.44 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 867,370. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Mtandao wa worldometer ...

Read More »

Milioni 16 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 16.08 wamepoma virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumatatu tarehe 24 Agosti 2020, kuwa maambukizo ya corona dunia yamefikia milioni 23.58 ...

Read More »

Waziri Ummy atoa darasa la unyonyeshaji watoto

ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni sababu kubwa ya utapiamlo kwa watoto. Anaripoti ...

Read More »

Serikali ya Tanzania yajivunia maboresho sekta ya afya

SERIKALI ya Tanzania imesema imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha upatikanaji wa uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya za uhakika na wakati. Anaandika Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo yamesemwa leo ...

Read More »

Naibu Waziri aimwagia sifa CCBRT

NAIBU Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel ameipongeza hospitali ya CCBRT kwa utendaji kazi mzuri licha ya kuwepo changamoto zinawaikabili hospitali hiyo. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …. (endelea). ...

Read More »

Mwongozo uvaaji barakoa wanafunzi Tanzania watolewa

SERIKALI ya Tanzania imetoa mwongozo wa namna wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari, watakavyokabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19). ...

Read More »

Milioni 780 kupambana na dawa za kulevya Tanga 

SERIKALI ya Tanzania imepata Sh. 780 milioni  kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa dawa za kulevya mkoani Tanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga … (endelea). ...

Read More »

Huduma zarejea Hospitali ya Amana, bila barakoa…

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es Salaam Amana kwa ...

Read More »

Majaliwa: Wagonjwa wa corona Tanzania wabaki 66

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kwa sasa yamepungua na idadi ya wagonjwa waliopo nchini hadi leo ...

Read More »

Mapambano ya corona Tanzania, IMF yatoa msamaha wa mabilioni

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, atamwandikia barua Kristalina Georgieva, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha za Kimatiafa (IMF ), kwa ajili ya kulipongeza shirika hilo, kwa kutambua juhudi ...

Read More »

Mbunge CCM awapigania wagonjwa wa saratani, figo bungeni

RITTA Kabati, Mbunge Viti Maalumu mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameiomba Serikali kuwapunguzia gharama za matibabu wagonjwa wa saratani na figo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kabati ...

Read More »

Waziri Ummy: Mikoa 15 Tanzania haina corona

SERIKALI ya Tanzania imetoa mwenendo juu ya hali ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Ufahamu ulemavu wa miguu kifundo na madhara yake

SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Dk. Ignacio Ponseti, (1914-2009) Daktari aliyegundua ...

Read More »

Ugonjwa wa maleria wazidi kupungua

TAKWIMU za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na  matumizi ya vyandarua kwa ...

Read More »

CCBRT wajitosa vita ya corona

MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 ...

Read More »

Madaktari Tanzania watoa tathimini ya ugonjwa wa corona

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa ya ugonjwa wa COVID-19 hasa kipindi hiki ambacho wanafunzi wa vyuo na kidato cha sita wanarejea masomoni kuanzia tarehe ...

Read More »

Wagonjwa wa corona Z’bar wabaki 19, kidato cha sita kurejea Juni 1

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imetangaza kuregeza baadhi ya mambo wakati huu wa mapambano ya ugonjwa wa COVID-19 ikiwemo, kufungua shule kwa wanafunzi wa kidato cha sita tarehe 1 ...

Read More »

Majaliwa azungumzia hali ya corona Tanzania

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yamesemwa leo Jumapili, ...

Read More »

Wagonjwa wa Fistula wasibaki nyumbani

WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila ...

Read More »

Tanzania yaanzisha maabara mpya ya corona

SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hatua hiyo ...

Read More »

WHO yataharuki, maambukizo yafika 105,000 kwa siku

WAKATI Serikali ya Tanzania ikinadi kupungua kwa maambukizo mapya ya virusi vya corona, Shirika la Afya Duniani (WHO), limeeleza dunia kufikia rekodi ya maambukizi ya kiwango cha juu kwa siku. Inaripoti ...

Read More »

Taasisi ya Mo Dewji, Timu ya Simba watoa msaada Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja na vitakasa mikono katika maeneo mbalimbali ya ...

Read More »

Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Siku 25 zilivyopukutisha Vigogo wa Wizara ya Afya

DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Tanzania yaingia siku 17 bila taarifa ya corona

TANZANIA Bara, leo Jumamaosi tarehe 16 Mei, 2020, imeingia siku ya 17 bila ya taarifa za mwenendo wa hali ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya ...

Read More »

Waziri Ummy awazungumzia wazee, watoto mapambano ya corona

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, amewataka Watanzania kuwalinda watoto na wazee  dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19).  Anaripoti Hamis Mguta, ...

Read More »

Saratani ya kizazi tishio Tanzania

SARATANI ya Mlango wa Kizazi ndio saratani inaoongoza nchini Tanzania kuliko nyingine zinazowakabili binadamu. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea) Hata hivyo imeelezwa kwa pamoja na kuwa ugonjwa huo unaongoza nchini, bado akina ...

Read More »

Corona yaanza kulipuka upya Hong Kong

MJI wa Hong Kong nchini China, leo Jumatano tarehe 13 Mei 2020, umeripoti wagonjwa wawili wapya wenye maambukizo wa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Aljazeera…(endelea). Mamlaka za jiji hilo zimeeleza, maambukizi ...

Read More »

Janga la Corona: NIMR yatafiti chanzo vifo wenye magonjwa sugu

TAASISI ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini (NIMR) nchini Tanzania, inafanya utafiti kubaini chanzo cha watu wenye magonjwa sugu, kuathirika zaidi na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa ...

Read More »

Wagonjwa mil 1.3 wa corona wapona duniani

WAGONJWA 1,394,965 kati ya 4,030,053 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) wamepona ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ugonjwa huo ulioanzia mji wa Wahun nchini China ...

Read More »

Serikali ya Tanzania: Hatujajitenga mapambano ya corona

SERIKALI ya Tanzania imesema haijajitenga na mataifa mengine katika utafiti wa dawa na chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Prof. Kabudi atoa utaratibu wa dawa ya corona kutoka Madagascar 

SERIKALI ya Tanzania imesema itafanyia uchunguzi dawa za kinga na kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosabaishwa na virusi vya corona (COVID-19), ilizopewa na Serikali ya Madagascar, kabla ya ...

Read More »

Wizara ya Afya waitaka NIMR kufanya utafiti wa Corona

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19). Anaripoti Hamis ...

Read More »

Wagonjwa wapya 196 wa corona waongezeka, 167 wapona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona  196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla ya watu waliopata maambukizi kuwa ni 480. ...

Read More »

Serikali yapokea msaada wa Bil 14.9

SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ...

Read More »

Serikali kushirikiana na Azaki kupambana na Corona

SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … ...

Read More »

FCS yazindua kampeni ya wanaohudumia wagonjwa wa corona

FOUNDATION for Civil Society (FCS) imezindua Kampeni ya ‘Jumanne ya Utoaji’ kuwasaidia na kuwalinda watoa huduma wa afya nchini Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lengo la Kampeni ya ...

Read More »

Wagonjwa 37 wapona Corona Tanzania

WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya COVID-19. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam ...

Read More »

Wagonjwa 23 wa corona waongezeka Z’bar

WIZARA ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Wagonjwa wa Corona wafikia 147, Dar hali tete 

SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Akitoa taarifa ya ongezeko ...

Read More »

Kasi ya Corona yamshtua JPM, atangaza siku 3 za maombi

RAIS John Magufuli ametaka Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu mfululizo, ili awanusuru na athari za Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wananchi watakiwa kutochoka kunawa mikono

KAIMU Meneja wa forodha Mikoa ya Songwe na Mbeya, Anangisye Mtafya amewataka Wasafiri na wafanya biashara wa maeneo ya mipakani kutochoka kusafisha mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka wakati ...

Read More »

Wagonjwa sita wa corona waongezeka Zanzibar

WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya sita (6) wa Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Kupitia taarifa ...

Read More »

Idadi ya wagonjwa wa corona yapaa

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88 baada ya wagonjwa wapya 29. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Ugonjwa wa figo tishio Dar, Arusha

JIJI la Dar es Salamu linaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa figo huku Arusha ikishika namba mbili. Mkoa wa Simuyu unaongoza kwa wagonjwa wachache Tanzania bara na Zanzibari. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Z’bar maambukizi ya corona yapanda

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya sita wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa ya ongezeko ...

Read More »

Mke wa mbunge akutwa na Corona

MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona – Covid 19. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Shule, vyuo kuendelea kufungwa, Rais Magufuli afuta sherehe za Muungano

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na 18 Machi mwaka huu, litaendelea  hadi pale ...

Read More »

Mchanganyo huu unaua virusi vya corona

CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Anyitike Mwakitalima, ...

Read More »

Elimu maalum ya kujikinga na corona itolewe kwa walemavu

SERIKALI imeshauriwa kuona namna bora ya kutoa elimu kwa watu wenye walemavu wa kutosikia (viziwi) jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Ushauri huo ...

Read More »
error: Content is protected !!