Thursday , 25 April 2024

Habari

Kimataifa

Aliyekaa nusu karne bila kuoga afariki baada ya kuoga

  MTU mchafu zaidi duniani Amou Haji aliyekaa zaidi ya miaka 50 bila kuoga amefariki duniani miezi michache baada ya kuogeshwa kwa lazima....

KimataifaTangulizi

Wahariri wataka uchunguzi mauaji ya mwandishi wa habari

CHAMA cha Wahariri nchini Kenya (KEG) kimetoa wito ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji ya kushtua ya mwanahabari wa Pakistani, Arshad Sharif. Sharif...

KimataifaTangulizi

Mwanasiasa mwenye asili ya Tanzania, Kenya aukwaa uwaziri mkuu Uingereza

  MWANASIASA wa Uingereza Rishi Sunak amechaguliwa jana tarehe 24 Oktoba, 2022 kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na atakuwa waziri mkuu ajaye,...

Kimataifa

Miguna atoa masharti kukubali uteuzi wa Ruto

WAKILI maarufu nchini Kenya, Miguna Miguna aliyerejea nchini humo Alhamisi wiki hii amesema kwamba hatokubali wadhifa wowote serikalini ikiwa utakuwa umebuniwa kinyume cha...

Kimataifa

Borris Johnson arejea kumrithi Liz Truss

  WAZIRI Mkuu wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson na aliyekuwa waziri wake wa fedha, Rishi Sunak wanaongoza katika kinyang’anyiro cha kuwania wadhifa...

KimataifaTangulizi

Zimbabwe yawa nchi ya kwanza Afrika kukubali chanjo ya VVU

ZIMBABWE imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika na ya tatu duniani kuidhinisha dawa ya kuzuia VVU iliyopendekezwa hivi karibuni na Shirika la Afya...

KimataifaTangulizi

Waziri Mkuu Uingereza ajiuzulu, avunja rekodi ya mwaka 1827

  Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss leo tarehe 20 Oktoba, 2022 amejiuzulu uongozi wa chama cha Conservative na uwaziri mkuu baada ya...

Kimataifa

China yadaiwa kuajiri wanajeshi wa zamani wa UK kuwafunza PLA

  CHINA imetajwa kuajiri  makumi ya marubani wa zamani wa Jeshi la Anga la Kifalme  la Uingereza kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Jeshi...

Kimataifa

Miguna Miguna arejea nchini Kenya

Wakili Miguna Miguna, ambaye alifurushwa kutoka nchini Kenya tangu mwaka 2018, amewasili jijini Nairobi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dk. Miguna amewasili katika...

Kimataifa

Mwanaye Museveni agomea magizo ya baba yake

  SIKU moja baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuweka wazi kwamba atamlazimisha mwanaye Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni jenerali mkuu wa...

Kimataifa

Wanne mbaroni kwa kukutwa na simu ya ofisa wa tume uchaguzi aliyeuawa

WATU wanne wamekamatwa jana tarehe 18 Oktoba, 2022 baada ya kupatikana na simu ya mkononi ya Daniel Musyoka – Ofisa wa Tume Huru...

Kimataifa

Mwanaye Museveni awapiga mkwara wapinzani, ‘nitawashinda baba akistaafu’

  MTOTO wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amezua mjadala mpya nchini Uganda kwa kudai kuwa ndiye rais anayefuata wa nchi...

Kimataifa

Ufaransa kuwapiga msasa wanajeshi 2000 wa Ukraine

  WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikiendelea kupamba moto, Taifa la Ufaransa limetangaza kuanza kuwapa mafunzo maalumu wanajeshi 2,000 wa Ukraine...

Kimataifa

Waziri Mkuu Uingereza amfuta kazi waziri wa fedha

  WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Liz Truss amemfuta kazi waziri wake wa fedha, Kwasi Kwarteng, muda mfupi kabla ya kiongozi huyo kupanga kuachana...

Kimataifa

Jaji Mwandamizi Pakistan ashangazwa wanapata nini magaidi kutoka kwa nani

JAJI mwandamizi wa Mahakama ya Juu nchini Pakistani Jaji Qazi Faezi Isa ameshangazwa na  matendo ya Magaidi kwa kushindwa kuelewa wanapata nini kutoka...

ElimuHabari

Shule ya Hazina yaanza kutoa elimu bure

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika utoaji wa elimu, Shule Kimataifa ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es...

Kimataifa

Ruto aahidi kuvalia njuga ujenzi bomba gesi asilia Dar- Mombasa, ‘mimi chief ma-hustler’

  RAIS Dk. William Ruto ameahidi kuwa Serikali anayoiongoza inakwenda kuwezesha ujenzi wa bomba la gesi asilia kutoka Dar es Salaam kuelekea Mombasa...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Samia, Ruto wakubaliana mambo 7, biashara yazidi kupaa

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wamekubaliana mambo saba kati yake na Rais wa Kenya, Dk. William Ruto na kusisitiza kuwa ziara kiongozi wa...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Ruto awasili Tanzania, aanza ziara ya siku mbili

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana jioni tarehe 9 Oktoba, 2022 amewasili Tanzania kuanza ziara rasmi ya siku mbili. Ruto atakutana na...

Kimataifa

Biden asema Putin hatanii matumizi silaha za nyuklia

RAIS wa Marekani Joe Biden amesema tishio la Rais wa Urusi Vladimir Putin la kutumia silaha za nyuklia linatishia kuleta hatari kubwa kama...

Kimataifa

Marekani yaishutumu Urusi kuinyonya Afrika kufadhili vita Ukraine

MAREKANI inasema mamluki wa Urusi wananyonya maliasili katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Mali na Sudan ili kufadhili vita vya Moscow nchini Ukraine....

Kimataifa

Pakistani yalaumiwa kukosekana utulivu Kashmir

MAZUNGUMZO kuhusu suala la ukiukwaji wa haki za Binaadam jimboni Kashmir  yameendelea kwenye kikao cha 51 cha Tume ya Haki ya Haki za...

Kimataifa

Rais Museven awaomba msamaha Wakenya

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amewaomba radhi wakenya kwa machapisho ya mtoto wake aliyoyatoa wiki hii kupitia mtandao wa twitter. Katika kaarifa yake...

Habari MchanganyikoKimataifa

Mawaziri wa Madini Afrika wajadili ugunduzi, uvunaji madini mkakati

NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa ameshiriki Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Madini Afrika uliondaliwa na Umoja wa Afrika na kufanyika...

Kimataifa

Watu 174 wafariki katika mkanyagano Indonesia

TAKRIBAN watu 174 wamefariki katika mkanyagano kwenye mechi ya soka ya Indonesia ambayo imekuwa mojawapo ya majanga mabaya zaidi ya viwanja duniani. Vinaripoti...

Kimataifa

Yuko wapi Masood Azhar, Pakistan au Afghanistan?

  YUPO wapi Masood Azhar, Mkuu wa kikosi cha Jaish e Mohammad (JeM). Ni swali linalojiuliza Serikali ya Pakistani. Ni siri iliyo wazi...

Kimataifa

Kimbunga Ian chasababisha dhoruba kubwa kuwahi kutokea Marekani

KIMBUNGA Ian kimetokea Florida  nchini Marekani na kusababisha madhara makubwa ikiwemo mafuriko. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo, kwa msaada wa vyombo vya habari vya...

Kimataifa

Raila Odinga ataka Interpol kuongoza uchunguzi wa kifo cha mshukiwa wa ICC Kenya

  KIONGOZI wa Azimio Raila Odinga amewataka polisi wa Kimataifa wa Interpol kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mshukiwa wa Mahakama ya Kimataifa...

HabariSiasa

Mkoa wa Pwani wajiandaa na Uchaguzi mwishoni mwa wiki hii.

  Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...

Kimataifa

IGP, DCI Kenya wajiuzulu, Rais ataja sababu

  RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana tarehe 27 Septemba, 2022 amemteua Japhet Koome kuwa Inspekta Jenerali mpya wa Jeshi la polisi...

Kimataifa

Rais Ruto atangaza baraza la mawaziri

RAIS mpya wa Kenya, William Ruto, ametangaza baraza lake la mawaziri, lenye mawaziri 21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kiongozi huyo...

Kimataifa

Kampeni ya China dhidi ya Uyghurs ilivyoenea hadi Pakistan

KAMPENI ya China dhidi ya Wauyghur imesambaa katika mipaka yake, na kuwakumba mamia ya Wapakistani ambao wanailalamikia China kwenye masuala ya imani zao...

Kimataifa

Urusi yampa uraia Edward Snowden

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amempa uraia kachero na mhandisi wa zamani wa Marekani, Edward Snowden, ambaye tangu mwaka 2020 amekuwa mkaazi...

Kimataifa

Rais Benki ya Dunia agoma kujiuzulu

  RAIS wa Benki ya Dunia, David Malpass amesema kwamba hatajiuzulu kutokana ukosoaji dhidi ya matamshi yake aliyoyatoa kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi....

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mkutano wa SCO ni suluhu la ubinafsi na kukidhi haja ya unganiko hilo?

  INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...

Kimataifa

Rais Xi hana mpango wa kufanya ziara Saudi Arabia

WAKATI vyombo vya habari vikiripoti kuwa nchi ya Saudi Arabia ipo kwenye maandalizi ya kumpokea Rais wa China Xi Jinping, Waziri wa Mambo...

Kimataifa

Majaji 6 waliokataliwa na Uhuru waapishwa na Ruto

  HATIMAYE majaji sita ambao walikuwa wameteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) nchini Kenya mwaka 2019 na majina yao kukataliwa na...

KimataifaTangulizi

Rais Ruto aanza na bandari Mombasa, mbolea, majaji

  SAA chache baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameonekana kuanza kazi kwa kasi ya ajabu, baada...

KimataifaTangulizi

Mfalme Charles III ahutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza

Mfalme wa Uingereza Charles amelihutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa ufalme. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Alitoa hotuba...

KimataifaTangulizi

Ruto, Kenyatta wakutana mara ya kwanza baada ya uchaguzi

RAIS mteule William Ruto leo Jumatatu tarehe 12 Septemba, 2022, amekutana na rais anayeondoka madarakani Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Rais Jijini Nairobi....

Kimataifa

Sangoma aliyetabiri kifo cha Malkia Elizabeth aibua mjadala

  WAKATI dunia ikiomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, watumiaji wa mtandao wa Twitter wameibua Tweet ya mganga mmoja matata aliyebashiri...

Kimataifa

harles III athibitishwa kuwa mfalme Uingereza

  BARAZA la Kukabidhi Mamlaka la Uingereza, limetangaza rasmi mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth II, Charles Philip Arthur George, kuwa mfalme wa...

KimataifaTangulizi

Jinsi mrithi wa Malkia Elizabeth anavyotawazwa kushika wadhifa huo

  MARA tu baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II, kiti cha ufalme kinapitishwa mara moja bila sherehe yoyote kwa mrithi wake ambaye...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Samia atuma salamu za rambirambi kifo cha Malkia Elizabeth II

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kimila nchini Uingereza, Malkia Elizabeth II....

Kimataifa

Waandamana kupinga mawakili wanaowatetea watuhumiwa wa kufuru Pakistani

MAKUNDI ya wafuasi wa Dini ya Kiislam na wafanyabiashara nchini Pakistani wameandamana kupinga watuhumiwa wa makosa ya kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W) ‘kufuru’ jijini...

KimataifaTangulizi

Malkia Elizabeth II afariki dunia

MALKIA Elizabeth II aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini Uingereza, amefariki dunia leo Alhamis nyumbani kwake Balmoral akiwa na umri wa miaka 96...

Kimataifa

Rais Burundi amtimua Waziri Mkuu madai kutaka kumpindua

RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye leo Jumatano amemfuta kazi waziri wake mkuu Alain Guillaume Bunyoni baada ya kuonya kwamba kulikuwa na mpango wa...

KimataifaTangulizi

Ruto azungumza na Rais Kenyatta

HATIMAYE Rais mteule wa Kenya, Dk. William Ruto leo Jumatano amezungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa taifa hilo anayemaliza muda wake madarani. Wawili...

Kimataifa

Liz kukabidhiwa mikoba ya uwaziri mkuu leo

LIZ Truss anatarajiwa kuchukua nafasi ya Boris Johnson kama Waziri Mkuu wa Uingereza leo tarehe 6 Septemba, 2022 atakapokwenda kumuona Malkia Elizabeth huko...

KimataifaTangulizi

Hotuba ya Kenyatta yaibua maswali kutomtaja Ruto

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amevunja ukimya kwa kishindo cha aina yake tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2022 baada ya jana tarehe...

error: Content is protected !!