Habari

15 wafunikwa na kifusi cha ghorofa, Kenya

KARIBU watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka siku ya Jumatatu (jana) usiku, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu ...

Read More »

Marekani yataka Qatar ilegezewe kamba

WAZIRI wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani, Rex Tillerson anasema kuwa nchi za Ghuba ni lazima zilegeze hatua yao dhidi ya Qatar ambayo inalaumiwa na majirani zake kwa ...

Read More »

Chanjo yaua 15 Sudan Kusini

SERIKALI ya Sudan kusini imesema watoto wapatao 15 wamekufa ikiwa ni matokeo ya makosa yaliyofanyika katika jaribio la kuwakinga na surua, anaandika Hamisi Mguta. Wafanyakazi wa afya katika jimbo la ...

Read More »

Bomu laua 80 Afghanistan

WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka jirani na ubalozi wa Ujerumani mjini Kabul, Afghanistan, anaandika Mwandishi wetu. Maafisa nchini ...

Read More »

Korea Kaskazini yaelekeza kombora Japan

KOREA Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu, anaandika Hamisi Mguta. Kombora hilo aina ya Scud lilipaa umbali ...

Read More »

Trump agonga mwamba, wahamiaji wapeta 

ZUIO la wahamiaji kuingia nchini Marekani lililotolewa na Donald Trump, rais wa nchi hiyo limefutwa, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatua hiyo imetajwa kuwa kigingi cha kwanza katika utawala wa Trump ambapo rais huyo ...

Read More »

Marekani yakoleza vita umiliki wa silaha

BUNGE la Wawakilishi nchini Marekani limeafiki kupigwa marufuku kwa Wamarekani wenye matatizo ya akili kumiliki silaha ikiwa ni jitahada za kukabiliana na uhalifu wa kutumia silaha nchini Marekani, anaandika Wolfram ...

Read More »

Upinzani wapata pigo DRC

KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda mageuzi nchini humo, anaandika Wolfram Mwalongo. Tshisekedi aliyekuwa ...

Read More »

Silaha za Jammeh zafichuliwa

JESHI la Muungano wa Kiuchumi wan chi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) limezinasa silaha mbalimbali za kivita nyumbani kwa Yahya Jammeh Rais aliyelazimishwa kung’oka madarakani na kutimkia uhamishoni nchini, Guinea ...

Read More »

Mauaji ndani ya msikiti Canada

WAUMINI sita wa Dini ya Kiislam nchini Canada, wamefariki dunia na wanane kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi katika msikiti wa Quebec usiku wa kuamkia leo, anaandika Hamis Mguta. Watu wawili walivamia ...

Read More »

Mabilioni yaibwa kwa Jaji Mutungi

MAMILIONI ya shilingi ndani ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaliyotengwa kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanawake ndani ya vyama vya siasa nchini, hayajulikani yalipo, anaandika Shabani Matutu. ...

Read More »

Trump ampongeza Kigogo wa FBI

DONALD Trump, Rais wa Marekani amemwagia sifa James Comey, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi (FBI) akidai ni mtu mahiri na amejipatia umaarufu kiasi cha kumzidi yeye, anaandika Wolfram Mwalongo. Trump ...

Read More »

Jammeh akomba fedha, atokomea Guinea

YAYHA Jammeh aliyekuwa rais wa Gambia ameliacha taifa hilo kwenye machungu, baada ya kukomba fedha katika hazina na kwenda uhamishoni nchini Guinea ya Ikweta, anaandika Wolfram Mwalongo. Mapema baada ya ...

Read More »

Jammeh anyosha mikono

HATIMAYE Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyetaka kubaki Ikulu kwa hila ametangaza kuachia madaraka bila shuruti, anaandika Wolfram Mwalongo. Jammeh ametangazia umma kwa njia ya televishehi kwamba, hatothubutu kuona damu ...

Read More »

Jammeh apagawa, atimua mawaziri

WAKATI muda wa Yahya jammeh rais ‘king’ang’anizi’ wa Gambia ukiwa umeisha na hatua za kumuondoa kwa nguvu zikisubiriwa kuanza, kiongozi huyo amevunja rasmi Baraza la Mawaziri, anaandika Wolfram Mwalongo. Shirika ...

Read More »

‘Zungu la unga’ El Chapo kitanzini Marekani

UAMUZI wa Mexico kumpeleka nchini Marekani Joaquin Guzman ‘El Chapo’ muuza dawa za kulevya mkubwa katika bara la America unaonekana kulenga kummaliza kabisa mtukutu huyo, anaandika Wolfram Mwalongo. Mataifa ya ...

Read More »

Jammeh sasa ahesabiwa dakika

MUDA wa kubembelezwa kwa Yahya Jammeh Rais wa Gambia aliyegoma kuondoka Ikulu ya nchi hiyo baada ya kuangushwa na mpinzani wake Adama Barrow sasa umekwishwa rasmi na muda wowote ataondolewa ...

Read More »

Mwanasheria amtoroka Jammeh

Edward Anthony Mwanasheria wa Rais Yahya Jammeh nchini Gambia akimbilia uhamishoni katika taifa jirani la Senegal, anaandika Wolfram Mwalongo. Antony ambaye amekuwa bega kwa bega katika harakati za kufungua kesi ya ...

Read More »

Ajiteketeza kwa moto kisa mateso ya Wachina

S. Erdene, kiongozi wa chama cha wafanyakazi wa migodi nchini Mongolia amejichoma moto akishinikiza serikali kuachana na mikataba ya kibiashara na makampuni kutoka China, anaandika Wolfram Mwalongo. Picha ya video ...

Read More »

Obama akipuuza chama chake

RAIS Barrack Obama anayemaliza muda wake wa kukaa Ikulu ya Marekani siku ya kesho amepuuza msimamo wa chama chake cha Democtatic  kususia sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule Donald Trump, anaandika ...

Read More »

Makamu wa Rais Gambia ajiuzulu

ISATOU Njie, Makamu wa Rais wa Gambia ametangaza wazi kuachia ngazi hiyo kufuatia sintofahamu ya hali ya kisiasa iliyotanda katika Taifa hilo la Afrika Magharibi, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatu hiyo ...

Read More »

Bado siku mbili Trump ahamie Ikulu

RAIS mteule Donald Trump wa Marekani amebakisha muda usiozidi siku mbili kabla ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa taifa hilo lenye nguvu kubwa ya kiuchumi duniani, anaandika Wolfram Mwalongo. Trump ...

Read More »

Mchungaji Zimbwabwe yamkuta ya Lema

PATRICK Mugadza, Mchungaji na mtetezi wa Haki za Binadamu nchini Zimbabwe ametupwa ruamnde baada ya kutabiri kifo cha Rais Robert Mugabe wan chi hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo. Mugadza alidai kuwa akiwa ...

Read More »

NATO kushirikiana kumnanga Trump

JEAN Marc Ayrault Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Kujihami za Ulaya (NATO), zishirikiane kumjibu Donald Trump Rais mteule wa Marekani anayeeneza ...

Read More »

Raia wa Cuba watupiwa virago Marekani

RUHUSA kwa raia wa Cuba kuingia Marekani bila na kibali cha kusafiria na kuishi, yaani ‘viza’ sasa imekwisha. Wale walioingia nchini humo kinyume na utaratibu unaolingana na wahamiaji wa nchi zingine ...

Read More »

Gumzo kutoonekana kwa binti wa Obama

KUTOONEKANA kwa Sasha Obama, mtoto wa Rais Barack Obama anayemaliza muda wake wa kuliongoza taifa la Marekani katika mkutano wa kuwaaga raia wa nchi hiyo kumeleta minong’ono mingi, anaandika Wolfram ...

Read More »

Wananchi wazidi kuikimbia Gambia

HALI ya taifa la Gambia inazidi kuwa tete. Utawala wa mabavu wa Rais Yahya Jammeh umesababisha sintofahamu kubwa huku raia wakichukua tahadhari ya kuanza kuikimbia nchi hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo. ...

Read More »

Museveni abadili uongozi wa jeshi

YOWERI Museveni, Rais wa Uganda amefanya mabadiliko katika jeshi la nchi hiyo kwa kumteua David Muhoozi kushika nafasi ya Mkuu wa Majeshi (CDF), anaandika Wolfram Mwalongo. Awali, nafasi hiyo ilikuwa ...

Read More »

Rais Addo amwibia Clinton, Bush

AKIWA na siku tatu ndani ya Ikulu ya Ghana, Rais Nana Akufo Addo anatuhumiwa kuiba sehemu ya hotuba za marais wa Marekani siku ya kuapishwa kwake jijini Accra, anaandika Wolfram ...

Read More »

Odinga ‘achekelea’ demokrasia ya Ghana

RAILA Odinga Kiongozi wa Muungano wa Upinzani wa CORD na miongoni mwa watu mashuhuri kutoka Afrika Mashariki watakaohudhuria kuapishwa kwa Nana Akufo Addo rais mteule wa Ghana tarehe 7 Januari ...

Read More »

Jeshi la Zambia lapambana na viwavi

ZAMBIA ipo katika sintofahamu baada la njaa inayotokana na uvamizi wa viwavi katika mashamba kwenye mikoa sita kati ya kumi inayounda nchi hiyo, anaandika Wolfram Mwalongo. Hali hiyo imelilazimu Kikosi cha ...

Read More »

Trump: UN ni kijiwe cha kupiga soga

DONALD Trump Rais mteule wa Marekani amesema Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), limeshuka hadhi kwa kiasi kikubwa na nguvu yake inazidi kupungua kadri muda unavyoenda. Anaandika Wolfram Mwalongo … ...

Read More »

Putin akoleza mahaba kwa Trump

VLADIMIR Putin, rais wa Urusi amemwandikia barua ya kumtakia heri ya sikuu ya krismasi na mwaka mpya Donald Trump ambaye ni rais mteule wa Marekani anayetarajiwa kuapishwa tarehe 20 Januari ...

Read More »

Aliyesuka njama kumuua balozi wa Urusi atajwa

FETHULLAH Gulen Kiongozi wa Dini ya Kiislamu anayeishi uhamishoni nchini marekani ametajwa kuhusika katika njama za kumuua Andrey Karlov Balozi wa Urusi nchini Uturuki tarehe 19 Desemba mwaka huu. anaandika ...

Read More »

Harufu yatawala Urusi Vs Uturuki

HOFU ya kuvunjika kwa uhusiano baina ya Urusi na Uturuki imetanda kutokana na kuuawa kwa Andrei Gennadyevich Karloz, Balozi wa Urusi aliyekuwa kwenye jumba la maonesho ya picha jijini Ankara, ...

Read More »

Odinga: Ni uchaguzi wa kufa, kupona

RAILA Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu na Kiongozi Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Upinzani nchini Kenya (CORD) amesema uchaguzi ujao ni wa kufa na kupona, anaandika Wolfram Mwalongo. Odinga amesema ...

Read More »

Kagame: ICC inaihujumu Afrika

PAUL Kagame, Rais wa Rwanda amesema hana mpango wakujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kwa madai ya kuundwa kisiasa, anaandika Wolfram Mwalongo. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

UN kumng’oa rais king’ang’anizi Gambia

BAADA ya ujumbe wa marais wa Afrika Magharibi kushindwa kumshawishi Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyeangushwa katika uchaguzi mkuu wa Disemba Mosi mwaka huu, Umoja wa Mataifa (UN) umesema hautamvulia ...

Read More »

Kwanini Putin anamzimikia Trump?

VLADMIR Putin, Rais wa Urusi amesema kuwa, anamuunga mkono Donald Trump, rais mteule wa Marekani kwa kuwa ndiye pekee anayeweza kurejesha uhusiano wa taifa lake na Marekani, anaandika Wolfram Mwalongo. ...

Read More »

Ban  Ki Moon apata mrithi UN

ANTONIO Manuel de Guterres, Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno na Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kitengo cha kuhudumia wakimbizi ndiye Katibu Mkuu Mpya wa Umoja Mataifa (UN), anaandika Wolfram ...

Read More »

Kenyatta awalilia walinzi wake

UHURU Kenyatta, Rais wa Kenya ametuma salamu za rambi rambi kwa familia za watu 40 zizopoteza ndugu zao katika ajari ya Lori la mafuta iliyotokea eneo la Naivasha, ambapo miongoni mwa ...

Read More »

Upinzani wapeta Ghana

NANA Akufo Addo, kiongozi wa chama cha upinzani cha New Patriotic Party (NPP) anaongoza katika matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita nchini Ghana, anaandika Wolfram Mwalongo. Addo yupo mbele ...

Read More »

Waziri Mkuu Uingereza: Kujitoa EU ni kazi ngumu

  Theresa May, Waziri Mkuu wa Uingereza ahofia azma yake ya kujitoa kwenye Jumuiya ya Nchi za Umoja wa Ulaya (EU), anaandika Wolfram Mwalongo. Ikiwa ni miezi mitano imepita tangu ...

Read More »

Wauza nywele zao kukabiliana na umasikini

HALI ni tete kwa wananchi wa Venezuela kufuatia ugumu wa maisha unaochochewa na mfumuko wa bei unaolikumba taifa hilo kwa sasa, anaandika Wolfram Mwalongo. Katika kukabiliana na ugumu wa maisha, wananchi ...

Read More »

Marekani iliifanya Cuba danguro

SANTIAGO  ndio mji ambao amezikwa mwanamapinduzi Fidel Castro Ruz nchini Cuba. Mji huu upo Kusini, Mashariki mwa kisiwa hicho kikubwa kupita vyote katika ukanda wa Bahari ya Caribbean, anaandika Wolfram ...

Read More »

Hivi Angola itamkumbuka Santos?

TAARIFA za kuondoka madarakani kwa Jose Eduardo dos Santos, Rais wa Angola zimeshutua wengi ndani na nje ya taifa lake, anaandika Wolfram Mwalongo. Swali muhimu ni kwamba, Waangola watamkumbuka Santos ...

Read More »

Bunge lamaliza mzizi wa fitina Colombia

BUNGE la Colombia la ridhia makubaliano ya amani kati ya serikali ya nchi hiyo na kundi la waasi la FARC kufuatia vita vilivyo dumu kwa miaka 50 sasa, anaandika Wolfram ...

Read More »

Papa Francis: Hatutaruhusu wanawake kuongoza kanisa

PAPA Francis, kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amesema haafikiani na suala la wanawake kuongoza kanisa katika nafasi za juu ikiwemo upadre na uaskofu, anaandika Wolfram Mwalongo. Kiongozi huyo ameeleza ...

Read More »

Mbunge: Odinga ni kigeugeu

ISAAC Mwaura, Mbunge wa kaunti ya Ruiru, Wilaya ya Kiambu nchini Kenya amesema, Raila Odinga ni kigeugeu, anaandika Wolfram Mwalongo. Taarifa iliyoripotiwa na mtandao wa Nairobi News zinaeleza kuwa, Mwaura ...

Read More »

Rais wa Ufilipino adai amesikia sauti ya Mungu

RODRIGO Duterte, Rais wa Ufilipino ambaye siku chache zilizopita alisema hahitaji kuongozwa kama mbwa na taifa la Marekani, amesema ataacha matusi kwani amesikia Sauti ya Mungu ikimuonya, anaandika Wolfram Mwalongo. Duterte ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram