Saturday , 20 April 2024

Habari

Kimataifa

Wanajeshi 3,000 wa Ukraine wauawa

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema kati ya wanajeshi 2,500 na 3,000 wa Ukraine wamepoteza maisha hadi sasa katika vita kati ya...

Kimataifa

Daktari apatikana na hatia ya makosa 54

  DAKTARI Krisna Singh kutoka North Lanarkhire mwenye umri wa miaka 72 , amepatikama na hatia ya makosa ya unyanyasaji wa kingono dhidi...

Kimataifa

Wadukuzi Korea Kaskazini waiba dola milioni 615 mtandaoni

  MAREKANI imewahusisha wadukuzi wanaoungwa mkono na Korea Kaskazini, na wizi mkubwa wa fedha za mtandaoni dola milioni 615 kutoka kwa wachezaji maarufu...

Kimataifa

Urusi yaonya baa la njaa duniani kama haitaondolewa vikwazo

  NCHI ya Urusi, imeonya uwezekano wa dunia kukumbwa na baa la njaa, endapo vikwazo vya kiuchumi dhidi yake havitaondolewa haraka iwezekanavyo. Anaripoti...

Kimataifa

Mgogoro wa Ukraine: Putin kuhutubia viongozi wa Afrika

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, anatarajiwa kuhutubia wakuu wa nchi za Afrika, ili kueleza msimamo wake juu ya kinachoendelea kwenye mgogoro wa...

Kimataifa

Zuma aikacha kesi yake, barabara zafungwa

RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameshindwa kutokea kwenye kesi yake iliyounguruma leo katika Mahakama ya Pietermaritzburg katika jimbo la KwaZulu-nchini...

Kimataifa

Upinzani wamkaba koo Rais Ufaransa, uchaguzi waingia duru ya pili

RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kiongozi wa mrengo wa kulia Marine Le Pen wanatarajiwa kuingia katika duru ya pili ya uchaguzi mkuu...

Kimataifa

Nchi 93 zaing’oa Urusi UN, Tanzania yajiweka kando

JUMLA ya nchi 93 zimepiga kura kuunga mkono pendekezo la kusimamisha uanachama wa Urusi katika Baraza la haki za Binadamu la Umnoja wa...

Kimataifa

Urusi yapangua Kamanda wa vita Ukraine

  IMEELEZWA kuwa Serikali ya Urusi imepanga upya uongozi wa operesheni zake za kivita nchini Ukraine na kumteua Jenerali mpya mwenye uzoefu wa...

Kimataifa

Uingereza yawawekea vikwazo mabinti wa Putin

  SERIKALI ya Uingereza imewawekea vikwazo mabinti wa Rais Putin wa Urusi wanaofahamika kwa majina Katerina Vladimirovna Tikhonova na Maria Vladimirovna Vorontsova ,Pamoja...

Kimataifa

Watu sita wauawa 15 majeruhi mlipuko kambi ya jeshi

  TAKRIBANI watu sita wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya mlipuko kutokea kwenye baa katika kambi ya kijeshi ya Katindo huko...

Kimataifa

Kenya yachunguza usalama wa kiafya wa chokoleti ya KinderJoy

  MAMLAKA ya udhibiti wa viwango nchini Kenya, imetipoti kuchunguza Usalama wa kiafya wa chokoleti maarufu inayofahamika kwa jina la Kinder Joy ambayo...

Kimataifa

Wanafunzi watatu wafariki kwa mshituko wa moyo wakati wa mtihani

  WAKAZI wa Jimbo la Gujarat nchini India , wamepigwa na mshangao mkubwa , baada ya wanafunzi watatu kufariki dunia ghafla, kutokana na...

Kimataifa

Urusi hatarini kuondolewa UNHRC

NCHI ya Urusi iko hatarini kuondolewa ujumbe katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia hatua yake ya kuivamia...

Kimataifa

Rais Burkina Faso ahukumiwa maisha kwa kumuua Sankara

RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaoré, amehukumiwa leo Jumatano tarehe 6 Aprili, 2022 kifungo cha maisha jela kwa kushiriki katika mauaji...

Kimataifa

Watoto wachanga Ukraine wapewa majina ya makombora

WATOTO wawili waliozaliwa nchini Ukraine katika siku za hivi karibuni wamepewa majina ya makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa nchini Uingereza. Watoto...

Kimataifa

Wabunge 2 mbaroni kwa kupiga mawe helkopta ya Odinga

  WABUNGE wawili kutoka nchini Kenya wanatarajiwa kuhojiwa na Ofisi ya Mlelezi wa Makosa ya Jinai kutokana na tuhuma za kuipiga mawe helkopta...

Kimataifa

Kisa Kombe la Dunia, Rais Shirikisho la Soka Algeria ajiuzulu

  RAIS wa Shirikisho la Soka nchini Algeria (FAF) Charafeddine Amara pamoja na bodi nzima ya shirikisho hilo, amejiuzulu baada ya timu ya...

Kimataifa

Ukraine yakomboa jiji la Kyiv kutoka Urusi

  WAKATI mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Urusi na Ukraine yakiendelea kwa kusuasua, Serikali ya Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima...

Kimataifa

Wafu 250,000 waandikishwa kupiga kura

  WAKATI mchakato wa Uchaguzi Mkuu nchini Kenya ukizidi kupamba moto, imebainika kuwa wafu 250,000 wameandikishwa katika orodha ya wapiga kura katika vitabu...

Kimataifa

Shirika la Msalaba Mwekundu lajaribu kuingia Mariupol

  MSAFARA mdogo wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu , International Geneve Comitee [ICRC] wa magari matatu, umeondoka kutoka Zaporiahzhia , kuelekea...

Kimataifa

Msumbiji kuchunguza tukio la kijana kufufuka

  KIJANA mmoja Kaskazini mwa Msumbiji aliyesemekana kufariki Dunia anayefahamika kwa jina la Eurella Manuel Benjamin ameonekana kijijini kwao akiwa mzima Baada ya...

Kimataifa

Mahakama Kenya yasema mchakato BBI haukufuata sheria

  Mahakama ya upeo nchini Kenya imesema kwamba mchakato mzima wa marekebisho ya katiba ulikiuka sheria na kwa hivyo si halali. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaKimataifa

Bunge DRC lapiga kura kutokuwa na imani na Waziri

  BUNGE la Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo , limepiga kura kumuondoa Waziri wa Uchumi Jean Marie Kalumba , katika wadhifa wake Jumatano...

Kimataifa

Wanne wauawa shambulio la Urusi kituo cha matibabu Kharkiv

  RAIA wanne wameuwawa Ukraine na wengine kadhaa , kujeruhiwa baada ya shambulio la Urusi kupiga kituo cha matibabu huko Khirkiv, Polisi wa...

Kimataifa

WHO laonya mataifa Afrika kulegeza mashariti Covid 19

  SHIRIKA la Afya Duniani limetoa wito wa tahadhari , juu ya kuongezeka kwa idadi kubwa ya nchi za Kiafrika zinazolegeza uchunguzi wa...

Kimataifa

Kiongozi kundi linalopinga wahamiaji Afrika Kusini akamatatwa

  KIONGOZI nchini Afrika Kusini wa kundi linalopinga wahamiaji, amekamatwa siku ya Alhamisi tarehe 24 machi 2022 vyombo vya Habari nchini humo vinaripoti....

Kimataifa

Mapatano ya kibinadamu yatangazwa Ethiopia

  SERIKALI nchini Ethiopia imetangaza maafikiano ya kibinadamu , katika mzozo wake uliodumu takribani miezi 16 na Wanajeshi kutoka eneo la Kaskazini mwa...

Kimataifa

Rais Ukraine aitisha maandamano duniani kupinga Urusi

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa watu duniani kote kuandamana barabarani kama hatua ya kupinga uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Aidha,...

Kimataifa

Chama kikuu upinzani Sudan Kusuini wajiondoa bodi ya amani

  CHAMA kikuu cha Upinzani nchini Sudani Kusini , kimejiondoa kwenye Baraza la ufuatiliaji wa amani nchini humo , kikishutumu vikosi vinavyohasimiana kwa...

Kimataifa

Mchezaji tenisi ashangaza ulimwengu kustaafu na miaka 25

  MCHEZAJI namba moja Duniani katika mchezo wa tenisi, anayefahamika kwa jina la Asheleigh Barty, ameshangaza ulimwengu wa mchezo huo, kwa kutangaza kuwa...

Kimataifa

Rais Ukraine kuhutubia Bunge Japan

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kesho Jumatano tarehe 23 Machi, 2022 anatarajiwa kuhutubia Bunge la Japan kwa njia ya mtandao. Hotuba yake inatarajiwa...

Kimataifa

Waziri Mkuu mstaafu Mali afariki kizuizini

WAZIRI MKUU mstaafu wa Mali, Soumeylou Boubèye Maïga amefariki dunia jana tarehe 21 Machi, 2022 katika hospitali moja iliyopo jijini Bamako. Kwa mujibu...

Kimataifa

Wanajeshi 10 wauwa shambulio Burkina Faso

  ZAIDI ya Wanajeshi 10 wameuawa na watu wanaoshukiwa kuwa wanajihadi katika eneo la mashariki mwa Burkina Faso. Inaripoti BBC… (endelea). Shambulio hilo...

Kimataifa

Rais Museveni amlilia Spika wa Bunge

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni jana tarehe 20 Machi, 2022 ametangaza kifo cha Spika wa Bunge la 11 la Uganda, Jacob Oulanyah. Anaripoti...

Kimataifa

Beijing haitatuma silaha kwa Urusi

  BALOZI wa China nchini Marekani amesema kuwa China haitatuma silaha na risasi kusaidia Vita vya Urusi nchini Ukraine, bali Beijing itafanya kila...

Kimataifa

Waandishi 6 wauawa, 8 wajeruhiwa

  KATIKA siku 24 pekee za vita kati ya Urusi na Ukraine, jumla ya waandishi sita wameuawa, nane wamejeruhiwa na wawili wametekwa na...

Kimataifa

Rais Ufilipino hatapeleka majeshi Ukraine

  NCHINI Ufilipino Rais Rodrigo Duterte amesema kuwa hatapeleka Wanajeshi wake kupigana nchini Ukraine iwapo Marekani itahusika katika mzozo huo. Inaripoti BBC (endelea)....

Kimataifa

Aliyewahi kuwa mkimbizi kutoka Burundi awachangia mahindi wakimbizi Ukraine

  NCHINI Burundi Mkulima mdogo wa zao la Mahindi ametoa mchango wa kilo 100 za mahindi kwa wale waliokimbia ghasia nchi Ukraine. Kijana...

Kimataifa

UN yazigeukia nchi za Afrika msimamo vita Ukrenia

  BALOZI wa Marekani katika Umoja wa Mataifa , amesema kuwa mataifa ya Afrika hayawezi kubaki kutounga mkono upande wowote katika vita ya...

HabariKimataifa

Serikali ya Rwanda yashutumiwa kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza

MAELFU ya Watu Wamenyanyaswa , kutishwa na kufunguliwa mashitaka kwa kuwa na maoni muhimu kuhusu Serikali ya Rwanda , Humani Raght Watch [HRW]...

Kimataifa

Marekani yaweka vikwazo kwa maafisa Somalia kwa kuchelewesha Uchaguzi

  NCHINI Marekani kumeongezeka idadi kubwa ya maafisa wa Somalia , waliowekewa vikwazo vya usafiri kwa kuhujumu mchakato wa kidemokrasia nchini humo ....

Kimataifa

Putin apiga mkwara mataifa ya magharibi

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameyapiga mkwara mzito mataifa ya Magharibi sambamba na Marekani kutokana na kile anachokiita ni malengo ya kutaka kuwagawa...

Kimataifa

Wanajeshi Kenya wauwawa katika shambulizi linaloshukiwa kuwa la Al-shabab

  ZAIDI ya wanajeshi 10 wadaiwa kuuwawa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulio la kilipuzi kilichotegwa kando ya barabara kusini mwa Somalia. Anaripoti...

Kimataifa

Urusi yajibu mapigo, yamuwekea vikwazo Rais Marekani

  NCHI ya Urusi imemuwekea vikwazo vya kuingia nchini humo Rais wa Marekani, Joe Biden na maofisa wengine 12 wa Taifa hilo, ikiwa...

Kimataifa

Serikali ya Uganda yamkamata mshukiwa muhimu wa ADF

  POLISI nchini Uganda imemkamata mshitukiwa Kiongozi Mkuu na Mratibu wa Kubdi la Waasi la Allied Democratic Forces (ADF) leo tarehe 15 machi...

Kimataifa

‘Putin anaugua kansa’

  MAJASUSI kutoka nchi tano za barani Ulaya, Australia na Amerika Kaskazini, wamedai Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapatiwa matibabu ya saratani hali...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Rais mdogo zaidi duniani aapishwa, alimbwaga bilionea

GABRIEL Boric mwenye umri wa miaka 36 ameapishwa jana tarehe 12 Machi, 2022 kuwa Rais mpya wa Chile na kuweka rekodi ya kuwa...

Kimataifa

Wanajeshi 600 Urusi wajisalimisha, 1300 Ukraine wauawa

WAKATI vita kati ya Urusi na Ukraine ikitimiza siku 18 sasa, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amedai kuwa kati ya wanajeshi 500 hadi...

Kimataifa

Madadapoa watangaza mgomo wa huduma kwa madereva bodaboda

BAADHI ya wanawake wanaofanya biashara haramu ya ngono katika Mji wa Mombasa nchini Kenya, wametangaza kusitisha kutoa huduma zao kwa waendesha bodaboda baada...

error: Content is protected !!