Friday , 19 April 2024

Habari

HabariKimataifa

Mgombea urais alia kunyanyaswa kingono, abwatuka

  UNYANYASAJI wa kingono sasa unaonekana kumuathiri mtu yeyote bila ubaguzi wakiwemo wagombea urais. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea) Tukio hilo la aina...

Kimataifa

Odinga, Ruto wakabana koo uchaguzi mkuu Kenya

  VINARA wa kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, Raila Odinga wa Azimio na Dk. Wiliam Ruto wa Kenya Kwanza kimezidi kushika kasi...

HabariSiasaTangulizi

Mdee wenzake saba waitwa mahakamani kuhojiwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri ya wito kwa Halima Mdee na wenzake saba kufika mahakamani hapo Tarehe 26...

Kimataifa

Kisa Ukraine, viongozi Ufaransa, Marekani Urusi watinga Afrika

VIONGOZI kutoka nchi za Ufaransa, Marekani na Urusi wanazuru bara la Afrika, katika kile kinachoelezwa ni kuyashawishi mataifa ya Afrika kuunga misimamo yao...

Kimataifa

Tisa wafariki katika mlipuko wa bomu Somalia

  WATU tisa wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, katika mlipo wa bomu la kujitoa muhanga, uliotokea kwenye Mji wa Marka, nchini Somalia....

Kimataifa

Rais wa zamani Burkina Faso aomba radhi mauaji ya Sankara

  RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Blaise Compaore ameiomba radhi familia ya kiongozi shujaa wa mapinduzi wa taifa hilo, Thomas Sankara kutokana...

Kimataifa

Urusi yakana kupandisha gharama za maisha duniani

  WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesisitiza kwamba nchi hiyo haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya...

Kimataifa

Wanaharakati wanne wanyongwa na jeshi la Myanmar

  SERIKALI ya kijeshi nchini Myanmar, imewaua wanaharakati wanne wa demokrasia nchini humo, ambao ilikuwa ikiwatuhumu kusaidia katika kutekeleza kile walichokiita, “matendo ya...

Kimataifa

Mshukiwa mauaji ya Abe kufanyiwa uchunguzi wa kiakili

MTU anayetuhumiwa kumuua Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe anatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa hali yake ya kiakili ili kutathmini afya yake...

Kimataifa

CIA yasema wanajeshi wa Urusi 15,000 wamepoteza maisha Ukraine

  MKURUGENZI wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA )William Burns amesema kuwa, “makadirio ya hivi karibuni kutoka ujasusi wa marekani ni kwamba...

Kimataifa

Sunak,Truss waanza kuchuana kumrithi Johnson uongozi Conservative

  WAGOMBEA  wawili katika kinyang’anyiro cha uongozi wa chama cha Conservative leadership wamewasilisha mipango yao kwa wajumbe wa chama ambao watamchagua mrithi wa...

Kimataifa

Methanol yabainika chanzo vifo vijana 21

  CHANZO cha vijana 21 waliopoteza maisha mwezi Juni huko nchini Afrika Kusini katika klabu moja ya usiku, imebainika kuwa ni sumu aina...

HabariKimataifa

Sri Lanka waandamana kumng’oa rais aliyekaimu

WAANDAMANAJI wamekusanyika katika kituo cha treni mjini Colombo nchini Sri Lanka kutaka kaimu Rais Ranil Wickremesinghe aondoke madarakani. Ranil aliteuliwa kuwa rais wa...

HabariKimataifa

Sunak azidi kuongoza mbio kumrithi Johnson

ALIYEKUWA Waziri wa fedha wa Uingereza, Rishi Sunak ameimarisha nafasi yake ya kuweza kuchaguliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza, baada ya kuongoza...

HabariKimataifa

Uingereza wataabika, nyuzijoto lafikia 40

HALI ya hewa nchini Uingereza inatarajiwa kuwa ya joto kali la kuvunja rekodi leo tarehe 19 Julai, 2022 na kufikia nyuzi 38 za...

Kimataifa

Samia ashtushwa kifo cha Jessie

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amepokea kwa masikitiko kicho cha aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha African National Congress (ANC), Komred...

Kimataifa

Rais Ukraine acharuka, atimua bosi usalama kwa usaliti

  RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy jana tarehe 17 Julai, 2022 ametumia amri za kiutendaji kuwafuta kazi mkuu wa idara ya usalama ya...

Kimataifa

Waandamana kumpinga Rais kisa ongezeko gharama za maisha, rushwa Afrika Kusini

  WAANDAMANAJI takribani 300, ambao ni wanachama wa chama tawala cha ANC cha Afrika Kusini, wametinga makao makuu ya chama hicho jijini Johannesburg...

Kimataifa

Mike Sonko apata pigo jingine, mahakama yasema alitolewa ofisini kwa haki

  MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya, imeamua kuwa Mike Sonko, aliyekuwa Gavana wa Nairobi, aliondolewa afisini kwa mujibu wa sharia, katiba na kanuni...

Kimataifa

Wickremesinghe aapishwa kuwa rais wa mpito wa Sri Lanka

  WAZIRI Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ameapishwa leo, kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. Anachukua nafasi ya Gotabaya Rajapaksa, aliyejiuzulu...

Kimataifa

Sri Lanka bado kwawaka moto, Rais akimbia alikokimbilia

RAIS wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa leo ameondoka kutoka visiwa vya Maldives alikowasili jana baada ya kuikimbia nchi yake kufuatia shinikizo la maandamano...

KimataifaTangulizi

Kisa ugumu wa maisha, Uganda waandamana

Polisi Uganda imewakamata waandamanaji 12 waliokuwa wakipinga kupanda kwa gharama ya maisha katika eneo la Jinja, lililopo kusini-mashariki mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Waziri mkuu Sri Lanka ateuliwa kuwa Rais wa mpito

WAZIRI Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ameteuliwa kuwa Rais wa muda baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Gotabaya Rajapaksa kukimbilia nchi...

Kimataifa

Japan yamuaga Shinzo Abe jijini Tokyo

WAOMBOLEZAJI wamepanga mistari kwenye barabara za mji mkuu wa Japan – Tokyo kumuaga aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo aliyeuawa Shinzo Abe.  Inaripoti...

Kimataifa

Wapinzani Sri Lanka ‘washikana uchawi’

OMBWE la kisiasa nchini Sri-Lanka limeendelea kuivuruga nchi hiyo kwa siku ya pili mfululizo baada ya viongozi wa upinzani kushindwa kukubaliana nani atachukua...

Kimataifa

Mwili wa Rais mstaafu Angola kuchunguzwa

MAHAKAMA moja nchini Uhispania, imeruhusu kufanyika kwa uchunguzi wa maiti ya aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, aliyeaga dunia akiwa mjini...

Kimataifa

Upinzani Sri Lanka wakutana kujadili serikali mpya

  VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Sri Lanka vimekutana jana tarehe 10 Julai, 2022 kukubaliana kuhusu serikali mpya siku moja baada ya...

KimataifaTangulizi

Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza kwa miaka 20 zaidi

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka mingine 20, na kuashiria kwamba atagombea muhula mwingine...

Kimataifa

Wananchi wavamia ‘swimming pool’ Ikulu, Rais akimbia

  RAIS Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa leo tarehe 9 Julai, 2022 ameripotiwa kuhamishwa na kupelekwa mahali salama baada ya makundi ya watu kuvunja...

Kimataifa

Waziri Mkuu Sri Lanka akubali kujizulu

  Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe amekubali kujiuzulu baada ya viongozi wa vyama vya siasa nchini humo kumtaka yeye na rais aliye...

Kimataifa

KENYATTA: Nilikuwa tayari kuachia madaraka wapinzani

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kwamba alikuwa tayari kuachia madaraka baada ya mahakama kuu kufutilia mbali ushindi wake katika uchaguzi mkuu...

Kimataifa

Rais wa zamani wa Angola Jose dos Santos afariki dunia

RAIS wa zamani wa Angola, Jose dos Santos, amefariki dunia leo Ijumaa, tarehe 8 Julai 2022, katika hospitali moja jijini Barcelona, nchini Uhispania,...

KimataifaTangulizi

Kashfa ya ngono yamng’oa waziri mkuu

UINGEREZA leo tarehe 7 Julai, imeandika historia nyingine baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Boris Johnson ambaye pia ni kiongozi wa chama...

KimataifaTangulizi

Waziri Mkuu: Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani

  “Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani lakini ndiyo hali halisi”, hayo ni maneno ya Waziri Mkuu wa Uingerea, Boris Johnson ambaye leo...

Kimataifa

Wafungwa 600 watoroka jela baada ya shambulio

  MAOFISA wa magereza nchini Nigeria wamesema watu wenye silaha walishambulia jela moja katika mji mkuu juzi usiku tarehe 5 Julai, 2022 na...

KimataifaTangulizi

Waziri mkuu akubali yaishe, kujiuzulu leo

  WAZIIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anatarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ataendelea kuhudumu kama waziri...

Kimataifa

Waziri mkuu Uingereza agoma kujiuzulu

  WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson ameendelea kusisitiza kuwa hatojiuzulu licha ya kuendelea kushinikizwa kufanya hivyo kutokana na kashfa mbalimbali zinazoiandama serikal...

Kimataifa

Rwanda, Congo wakubaliana kumaliza tofauti zao

  JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda zimekubaliana kuanza mchakato wa kumaliza tofauati zao, baada ya mkutano wa marais wa nchi hizo...

Kimataifa

10,000 wafariki vita ya Urusi, Ukraine

  WATU takribani 10,000 wameripotiwa kufariki dunia nchini Ukraine, tangu ilipovamiwa kijeshi na Urusi mwishoni wa Februari, 2022, ambapo Umoja wa Mataifa (UN)...

Kimataifa

WHO yatangaza kumalizika Ebola DRC

  SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema mlipuko wa hivi punde wa Ebola umedhibitiwa ndani ya miezi mitatu kutokana na “mwitikio wa haraka”...

Kimataifa

Kizza Besigye aachiliwa kwa dhamana Uganda

  ALIYEKUWA mgombea urais nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye na mshtakiwa mwenzake Samuel Lubega Mukaaku wamepewa dhamana ya pesa taslimu ya Sh2.5 milioni...

Kimataifa

Mgombea urais aahidi kuuza korodani za fisi China

  MGOMBEA urais katika Uchaguzi mkuu wa Kenya na wakili msomi Profesa George Wajackoyah ameendelea kujinadi kwa ahadi zenye utata kwa Wakenya baada...

Kimataifa

Uchaguzi Kenya: Raila na Ruto watofautiana kuhusu usajili wa wapiga kura

  TUME huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya (IEBC), sasa ipo katika njia panda, kufuatia wagombeaji wawili wakuu wa urais katika uchaguzi...

HabariKimataifa

Urusi yajipanga kuongeza ushawishi, uhusiano wake barani Afrika

  BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...

Kimataifa

Prince Charles, Camilla kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Madola Rwanda

  MWANAMFALME wa Wales na Duchess wa Cornwall, wamewasili nchini Rwanda katika mji mkuu wa Kigali siku ya Jumanne usiku , kabla ya...

Kimataifa

Rais wa Malawi amng’oa Makamu wake kwa tuhuma za ufisadi

  RAIS wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua makamu wake Saulos Chilima mamlama yote aliyokabidhiwa, baada ya kutajwa katika kashfa ya ufisadi iliyohusisha kandarasi...

Kimataifa

Wafanyakazi wa ushuru Kenya kuvaa kamera kuzuia rushwa

  MAMLAKA ya Mapato nchini Kenya (KRA), imesema kuwa itaanza kutumia kamera zitakazovaliwa na wafanyakazi wake ili kushughulikia tatizo la wizi wa ushuru...

Kimataifa

Mgahawa maarufu Hong Kong wazama

  MGAHAWA kutoka Hong Kong uliofanya kazi takribani miaka 50 , umezama siku chache baada ya kuvutwa kutoka bandarini. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...

Kimataifa

Waziri Mkuu ajiuzulu, Rais amgomea

  WAZIRI Mkuu wa Ufaransa, Elisabeth Borne amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Rais Emmanuel Macron ambaye naye amepinga uamuzi huo. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Mauzo ya figo yaongezeka mtandaoni

  HOSPITALI kuu ya umma kutoka nchini Kenya, imeripoti kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaoulizia nakujitolea kuuza figo zao....

error: Content is protected !!