kitaifa

Kitaifa

Albino wazichapa Ikulu kabla kuteta na JK

KIKAO baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi viongozi  wa Chama Cha Watu Wenye Ulemavu wa ngozi (Albino), nusura kishindwe kufanyika baada ya Albino kuvurugana na viongozi wao katika lango ...

Read More »

Pinda ahamasisha BRN

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema kuwa Serikali itahakikisha kuwa sekta na miradi inayotambuliwa na kuingizwa kwenye Mfumo wa Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ni ile yenye manufa makubwa na ya ...

Read More »

Utetezi wa Gurumo wa Ikulu wazua mshangao

MAJIBU tata ya Mnikulu, Shabani Gurumo mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yalizua mshangao kwa wananchi waliokuwepo. Pia utetezi huo ulizua mvutano mkubwa kati ya ...

Read More »

Kigogo wa Ikulu akiri kupokea fedha za ESCROW

SHABANI Gurumo- mtumishi wa Ikulu mwenye cheo cha mnikulu, leo amefikishwa mbele ya Baraza la Sekretarieti Maadili ya Viongozi wa Umma akikabiliwa na kosa la kukiuka maadili kwa kupokea sh. ...

Read More »

Kapteni Komba afa na deni la CRDB

MBUNGE wa Mbinga Magharibi (CCM), John Komba, amefariki dunia kutokana na kuzongwa na mzigo wa madeni, likiwamo mkopo kutoka Benki ya CRDB. Taarifa zinasema, benki hiyo ilitoa kiasi cha sh. ...

Read More »

EWURA yashusha tena bei ya mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa ambazo zitaanza kutumika kuanzia Machi 4, 2015. Anaandika Mwandishi wetu… ...

Read More »

Walivyosema kuhusu Komba

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa, wameungana na familia, ndugu na jamaa, kuomboleza kifo cha Mbunge wa Mbinga (CCM), John Damian Komba, aliyefariki dunia Jumamosi, 28 Februari 2015. Anaandika Pendo Omary … ...

Read More »

Kigogo Ikulu ashitakiwa kwa Kinana

MBUNGE wa Tabora Kaskazini (CCM), Sumar Shaffin Ahmedali, amewasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, kuchafuliwa katika jibo lake. Sumari anamtuhumu Almasi Athumani Maige, kuanza kampeni kabla ya ...

Read More »

Rais Kikwete aungana na mamia kuombeleza msiba wa Komba

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete, ameungana na mamia ya wananchi kuombeleza msiba wa John Damian Komba. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea). Kikwete alifika nyumbani kwa Komba asubuhi ya ...

Read More »

Makonda aanza kwa tambo

MKUU wa Wilaya wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Paul Makonda, ameainisha kero nne atakazoanza kuzipatia ufumbuzi. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea) Kero hizo ni afya, elimu, ardhi na maji ...

Read More »

Mbunge: Serikali acheni kuikwapua mifuko

MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Baruwany ametaka serikali iache utamaduni mbaya wa uingiliaji mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuipa fursa ya kisheria ya kuimarisha huduma kwa wafanyakazi wanaotoa michango ...

Read More »

TCRA yawatwisha mzigo viongozi wa dini

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma amewataka viongozi wa dini kutoa elimu vya kutosha kwa waumini wao inayohusu ubaya wa matumizi yasiyotija ya mitandao ya ...

Read More »

Prof. Lipumba apelekwa mahakamani kinyemela, aachiwa kwa dhamana

SINEMA nyingine imeibuka. Ni ndani ya siku 10 tangu ikamilike sinema iliyohusu mgogoro wa uongozi wa serikali ya mtaa wa Migombani, segerea wilaya ya Ilala Dar es Salaam. Anaripoti Pendo ...

Read More »

Waziri Muhongo ajiuzulu, aahidi kutoa ukweli

WAZIRI wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ameandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kuomba kujiuzulu wadhifa wake, anaripoti Erasto Stanslaus. Prof. Muhongo amefikia hatua ...

Read More »

Tunzo ya mwanamke jasiri duniani

TAASISI  ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement (TWA)  wamezindua rasmi Tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania ambazo zitafanyika Machi 7, 2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake. Akizungumza na waandishi wa habari, Rais wa shirika hilo, Irene Kiwia, alisema kuwa tunzo hizo pia ...

Read More »

Kidato cha nne kuanza mtihani Jumatatu

NAIBU Waziri wa Elimu na Ufundi, Jenista Mhagama amewataka maofisa watakaosimamia mitihani ya kidatu cha nne mwaka huu, kutoruhusu kuwapo kwa udanganyifu, imefahamika. “…natoa wito kwa maafisa elimu wote wa ...

Read More »

Mwambene: Hakuna mwenye hati miliki ya nchi?

UHUSIANO wa gazeti la MAWIO na serikali – Idara ya Habari Maelezo – ni wa mashaka. Ni bahati njema, tunafahamu kwa undani kinachosababisha uhusiano huo kuwa mbaya. Ni msimamo wa ...

Read More »

Msimamizi mifuko ya hifadhi asema hali nzuri

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA), Irene Isaka amesema si kweli kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha. Ingawa ...

Read More »

Kibanda: Waandishi tunalengwa

NI imani kubwa ya Jukwaa la Wahariri wa Tanzania (TEF) kwamba Jeshi la Polisi nchini lilipanga makusudi kudhalilisha waandishi wa habari kwa kipigo. Mwenyekiti wa Jukwaa, Absalom Kibanda amesema kilichotokea ...

Read More »

Kesi ya padre Mushi mtegoni

OKTOBA 3 mwaka huu inaweza kuwa siku ya mwisho kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) wa Zanzibar kutoa kisingizio cha kutokamilika kwa upelelezi wa kesi ya mauaji ya Padre Evarist Mushi ...

Read More »

Kesi ya Katiba yanguruma kama simba

KESI ya madai inayohoji uhalali wa Bunge Maalum la Katiba kubomoa Rasimu ya Pili ya Katiba; kunyoa ibara na kuingiza sura mpya, itaingia katika hatua muhimu 15 Septemba. Ni siku ...

Read More »

Ushauri kutoka Rich Dad, Poor Dad

ROBERT T. Kiyosaki na mwenzake Sharon L. Lechter katika kitabu chao cha Rich Dad, Poor Dad wana ujumbe mzito kwa Watanzania. Wanasema, “Kukua kwa deni la taifa kwa kiasi kikubwa ...

Read More »

Viongozi wa Kiislam walalamika kuteswa

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imeingia katika kashfa nzito ya askari wake kutajwa kuwa wanaendesha mateso kwa watuhumiwa wanaokuwa kwneye mamlaka ya Jeshi la Polisi. Kashfa hiyo imethibitika wiki iliyopita ...

Read More »

UDA yachochea umaskini Dar

Mabasi ya UDA

SHIRIKA la usafiri Dar es Salaam (UDA), lililokuwa mkombozi wa wanyonge, limegeuka “Jehanam,” imefahamika. Gharama za usafiri jijini zimeongezeka; uhaba wa mabasi ya abiria umekuwa mkubwa; ustaarabu wa wafanyakazi wa ...

Read More »

Polepole: Serikali mbili hazitekelezeki

Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Katiba, Humphrey Polepole

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humprey Polepole, ameapa kuwa muundo wa Muungano wa serikali mbili hautekelezeki. Amesema, “Mpango wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuingiza ajenda ya serikali mbili ...

Read More »

Katiba mpya imeota mbawa

· Kinachotafutwa sasa, ni Katiba ya CCM JOHN Shibuda, mbunge wa Maswa (Chadema) na Leticia Nyerere, mbunge wa Viti Maalum kupitia chama hicho, hawako Dodoma kwenye mkutano wa Bunge Maalum ...

Read More »

Sumaye amejipa kazi siyo yake

WAZIRI mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amejipa kazi siyo yake. Analenga kupambana na rushwa ndani ya serikali na jamii kwa jumla. Ni kweli kama anavyosema, Sumaye rushwa ndani ya taifa imeongezeka ...

Read More »

Kibamba: Mchakato wa Katiba Mpya usimame

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Deus Kibamba

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA), limetaka kusitishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya hadi hapo utakapomalizika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho. Deus Kibamba, mwenyekiti wa JUKATA amewaambia waandishi habari jijini Dar ...

Read More »

Vitambulisho vya kupigia kura, mradi feki

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva

MRADI wa vitambulisho vipya vya kupigia kura nchini, umeshindwa kabla ya kuanza. Vitambulisho vipya vya taifa vitaandaliwa kupitia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR). Mfumo huu unatumika kuchukua au kupima ...

Read More »

GMS: Ninashangaa wanaonihujumu wanalindwa

Waziri Lazaro Nyalandu

KAMPUNI ya Green Mile Safari (GMS) ambayo imefutiwa leseni ya uwindaji kwa madai ya kuvunja sheria ya uwindaji ya mwaka 200, inadai uamuzi huo unahitimisha mpango wa muda mrefu wa ...

Read More »
error: Content is protected !!