Kimataifa

Kimataifa

UN: Assange wa WikiLeaks alipwe

MMILIKI wa mtandao wa habari za kiuchunguzi wa WikiLeaks, Julian Assange amekuwa akizuiwa, kinyume cha sheria za kimataifa, kutumia uhuru wake na analazimika kulipwa fidia, ndivyo usemavyo uamuzi wa Jopo la ...

Read More »

Kagame tuhumani kumng’oa Nkurunziza

SERIKALI ya Rwanda inatajwa kuendesha mafunzo ya kijeshi kwa wakimbizi wa Burundi waliopo nchini mwake kwa lengo la kumuondoa madarakani Pierre Nkurunzinza, Rais wa Burundi. Shirika la Utangazaji la Reuter ...

Read More »

Hatima ya Assange kesho

JULIAN Assange, Mmiliki wa mtandao wa kihabari maarufu duniani wa WikiLeaks, amesema atakuwa hana chaguo isipokuwa kusalimu amri iwapo Umoja wa Mataifa utaamua kuwa amezuiliwa ubalozini Ecuador jijini London kihalali. ...

Read More »

Szubin: Rais Putini mla rushwa

RAIS wa Urusi, Vladmir Putini anatajwa kuwa miongoni mwa wala rushwa, kashfa hiyo inatolewa ikiwa ni siku chache baada ya rais huyo kuhusishwa na kifo cha jasusi wa zamani wa ...

Read More »

Mkata vichwa wa IS atangazwa kuuawa

MKATAJI vichwa vya raia kutoka mataifa ya magharibi katika kundi la kigaidi la Dola ya Kiislam (IS), Mohammed Emwazi, ametangazwa kuuawa. Emwazi anatambuliwa zaidi kwa jina la Jihadi John, ndiye ...

Read More »

Niqab kupigwa marufuku Uingereza

WAZIRI wa Elimu wa Uingereza, Nicky Morgan ameeleza kuunga mkono taasisi za elimu nchini humo kutokana na mapendekezo yao ya kutaka vazi la Niqab kupigwa marufuku nchini humo. Hatua hiyo inaelezwa ...

Read More »

Somalia hali si shwari

HALI ya Somalia ni tete kutokana na tishio la njaa ambapo tayari Umoja wa Mataifa (UN) umetoa wito kwa mataifa mbalimbali kuelekeza misaada yeke kwenye nchi hiyo. Umoja huo unaeleza ...

Read More »

Al Shabab yaonesha jeuri yake Kenya

IKIWA ni siku mbili baada ya kuwepo kwa taarifa za mashambulizi ya kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab cha Somali kuua wanajeshi wa Kenya, kundi hilo linaeleza kuwashikilia wanajeshi kadhaa ...

Read More »

Iran kuruka vikwanzo vya kibiashara

Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran inatarajia kupata afueni kwa kufunguliwa milango ya kibiashara baada ya kutimiza mashatri ya Umoja wa Kimataifa (UN). Hatua hiyo inatokana na ...

Read More »

Kundi jipya la kigaidi latesa Ouagadougou

HATUA ya kundi jipla la kigaidi la Al Mourabitoune kushambulia na kuua watu 29 kwenye hoteli ya Splendid huku wengine wakijeruhiwa vibaya katika mji wa Ouagadougou, Burkina Faso Ijumaa iliyopita, ...

Read More »

Wagombea urais Afrika ya Kati wagomea matokeo

ANDRE Kolingba na Martin Ziguele ambao ni wagombea urais kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wamegomea matokeo. Wagombea hao wametaka kuhesabiwa upya kura wakidai kwamba matokeo ...

Read More »

Israeli yaua raia wa Eritrea

SERIKALI ya Israel imekamata raia wake wanne na kuwafungulia mashitaka kwa kosa la kumpiga mhamiaji kutoka Eritrea na kumuua. Taarifa kutoka kwenye nchi hiyo zinaeleza kwamba, utetezi wa waisrael hao ...

Read More »

Syria mpya yaanza kuonekana

MAUAJI, mateso ndani ya nchi ya Syria huenda yakakoma baada ya makundi ya waasi nchini humo kuridhia kusimamisha mapigano na kuingia kwenye mazungumzo mwezi ujao. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ...

Read More »

Urusi: Ndege iliyoanguka Misri ililipuliwa

URUSI imethibitisha kuwa ajali ya ndege ya Metrojet iliyoanguka na kuua watu zaidi ya 200 katika rasi ya Sinai nchini Misri mwezi uliopita ilikuwashambulizi la kigaidi. Mkuu wa idara ya ...

Read More »

Nguvu ya mtazamo chanya hubadilisha maisha

ILIKUWA ni mshangao kwa wazazi wangu waliposikia kuwa watazaa mtoto asiyekuwa na mikono, Nick Vujicic anasema. “Nilipozaliwa madaktari waliponiona walisema tunasikitika kuwa hatuna chakusema ni nini kimetokea, haya ni maajabu.’’ ...

Read More »

Hali yazidi kuwa tete Congo Brazaville

POLISI nchini Congo Brazaville wamefyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi kwa waandamanaji walioitikia mwito wa upinzani wa kuendelea na siku ya pili ya maandamano ya kupinga nia ya rais ...

Read More »

Ndege ya Marekani yaanguka Afghanistan

WATU 11 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya Hercules kuanguka katika uwanja mmoja wa ndege nchini Afghanistan. Jeshi la Marekani limesema kuwa ndege hiyo yenye ...

Read More »

Jenerali Gilbert Diendere kuongoza Burkina Faso

BAADA ya mapinduzi nchini Burkina Faso, walinzi wa Rais wamemtangaza Jenerali Gilbert Diendere ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Rais Blaise Compaore, kuwa kiongozi mpya wa taifa hilo. Taarifa iliyotolewa ...

Read More »

Nkurunziza aapishwa ‘chapchap’

PIERRE Nkurunziza wa Burundi, ambaye ameanza kutengwa na jumuiya ya kimataifa, leo aliapishwa kushika upya wadhifa wa rais bila ya shamrashamra. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Sherehe ya kuapishwa kwake, ilihudhuriwa ...

Read More »

Jenerali atishia vita Burundi

BURUNDI imo hatarini kuingia kwenye vita baada ya Jenerali aliyeshirikijaribio la kumpindua Rais Pierre Nkurunziza kutishia kuanzisha mapambano ya kumng’oa madarakani. Jenerali Leonard Ngendakumana, aliyekuwa msaidizi wa kiongozi wa mapinduzi ...

Read More »

Mahakama Kuu Marekani yaidhinisha ndoa ya jinsia moja

MAHAKAMA  Kuu nchini Marekani, imetoa uamuzi unaosema kwamba, kwa mujibu wa Katiba ya nchi ya Marekani, watu wenye jinsia zinazofanana kibaiolojia kama ilivyo kwa watu wenye jinsia tofauti kibaiolojia, wanayo ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika kimabavu

HATIMAYE uchaguzi mkuu wa Burundi uliopingwa sio tu na wananchi bali nchi mbalimbali, umefanyika siku ya Jumatatu. Uchaguzi huu una utata kwani haukupata baraka za kimataifa, Umoja wa Afrika (AU), ...

Read More »

Uhuru Kenyata aitaka Afrika kuachana na misaada

Rais wa Kenya Uhuru Kenyata amezitaka nchi za Afrika kuacha kutegemea misaada ya nchi za nje, akiamini kuwa misaada hiyo sio msingi wa maendeleo. “Utegemezi unaodhaniwa kuwa ni fadhila nilazima ...

Read More »

Mahakama ya Misri yamuhukumu Morsi kunyongwa

ALIYEKUWA Rais wa Misri, Mohammed Morsi amehukumiwa kunyongwa mpaka kufa na Mahakama moja nchini Misri baada ya kukutwa na hatia. Kwa mujibu wa mtandao wa BBC, Mahakama hiyo ilimpata na ...

Read More »

Nkurunziza aruka kigingi, arejea Burundi kwa shangwe

SIKU mbili baada ya kutangazwa kuwepo mapinduzi dhidi ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, hatimaye jaribio hilo limezimwa na wanajeshi watiifu kwake na hivyo kiongozi huyo amefanikiwa kurejea nchini leo. ...

Read More »

Jeshi Burundi lamng’oa Nkurunziza

PIERRE Nkurunziza, Rais wa taifa la Burundi, amepinduliwa na kikosi cha jeshi la nchi hiyo. Mapinduzi hayo yamefanyika wakati Nkurunziza akiwa jijini Dar es Salaam, alikokuwa akihudhuria mkutano kuhusu taifa ...

Read More »

Mkuu wa majeshi ashikiliwa kwa rushwa

JENERALI Henry Odillo – Mkuu wa Majeshi wa zamani Malawi, amekamatwa akihusishwa na vitendo vya rushwa vya mamilioni ya dola. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Jenerali ...

Read More »

Jaji aliikimbia Burundi afunguka

SYLVERE Nimpagaritse -Makamu wa Rais wa Mahakama ya Katiba ya Burundi aliyekimbilia, hatimaye ameongea kwa kirefu kuhusu sakata la kukimbia kwake. Nimpagaritse aliyekimbia siku ya Jumatatu, amesema yeye pamoja na ...

Read More »

Chama cha Cameron chashinda tena Uingereza

DAVID Cameron, ataendelea kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya chama chake cha Conservative (Tory) kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika tarehe 7 mwaka huu, katika ushindi ambao haukutarajiwa. Ushindi ...

Read More »

Korti yamwidhinisha Nkurunziza

PIERRE Nkurunziza-Rais wa Burundi, ameruhusiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha urais kwa muhula wa tatu. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama ya Katiba ya Burundi chini ya jopo la ...

Read More »

Kenyatta asimamisha vigogo wa ufisadi

RAIS Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa Shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya Bunge kupitisha muswada unaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mjibu wa ...

Read More »

Morsi atupwajela miaka 20

MAHAKAMA nchini Misri, imemhukumu aliyekuwa Rais wa zamani, Mohammed Morsi kifungo cha miaka 20 jela kutokana na mauaji ya waamdamanaji wakati akiwa madarakani. Imeripoti  na Shirika la Utangazaji la Uingereza ...

Read More »

Muhammad Buhari Nigeria, Maalim Seif Zanzibar

RAI wa Nigeria wameamua kwa kura zao, kuchangua mgombea urais wanayemtaka. Tume ya Taifa ya Uchaguzi nayo imesimamia na kuthibitisha maamuzi ya wananchi na kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi wa ...

Read More »

ZANU PF yameguka mapande mawili

CHAMA tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kinakabiliwa na mpasuko mkali baada ya mwanachama wake, Didymus Mutasa aliyefukuzwa, kuahidi kuunda chama kipya ili kumpa changamoto Rais Robert Mugabe. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Mawaziri kujadili umeme A. Mashariki

UJUMBE wa mawaziri na viongozi wakuu kutoka nchi za Afrika Mashariki, wameahidi kuunga mkono harakati za kutafutia muafaka tatizo la upungufu wa nishati.  Viongozi kadhaa wakiwemo mawaziri na makatibu wakuu ...

Read More »

Walinzi wa Rais Mugabe wasimamishwa kazi

KUANGUKA kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kumepelekea maafisa usalama 27 kusimamishwa kazi wakatii uchunguzi ukiendelea. Maafisa hao wamekabidhiwa barua za kusimamishwa  siku ya Ijumaa. Mmoja wa maafisa alisema kuwa ...

Read More »

Nigeria yahairisha Uchaguzi Mkuu

Nigeria imesitisha uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge mpaka Machi 28 mwaka huu. Uamuzi huu umefikiwa kutokana na sababu za kiusalama kwani mapambano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali na ...

Read More »

Ohio wasitisha dawa ya kunyongea

MAMLAKA ya Jimbo la Ohio imesitisha matumizi ya dawa mbili mchanganyiko kwa ajili ya kunyonga watu baada ya kusababisha kizaazaa wakati wa kumnyonga Dennis McGuire, Januari 2014. Dawa zilizopigwa marufuku ...

Read More »

Kifo cha Fidel Odinga, madaktari kutoa majibu wiki sita zijazo

UPDATE 16:58 WAKENYA pamoja na familia ya Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga wanapaswa kusubiri kwa wiki sita ili kupata matokeo ya uchunguzi wa kinachoweza kusababisha kifo cha Fidel Odinga, ...

Read More »

Wazambia wamuaga Sata

MAELFU kwa maelfu ya wananchi wa Zambia, wameshiriki katika kumuaga aliyekuwa kiongozi wao mkuu, Rais Michael Chilufya Sata. Rais Satta aliyefariki dunia 28 Oktoba, mjini London, nchini Uingereza, ambako alikwendwa ...

Read More »

Burkina Faso: Viongozi wa jeshi wagombania nafasi ya kutawala nchi

Mgawanyiko umetokea kati ya makamanda wa jeshi juu ya nani anaongoza nchi kufuatia kujiuzulu kwa Rais Blaise Compaore aliyekuwa madarakani kwa miaka 27 kufuatia shinikizo la maandamano na fujo zilizofanywa ...

Read More »

Mkwe wa Osama bin Laden afungwa

Sulaiman Abu Ghaith amehukumiwa kifungo cha maisha siku ya jumanne wiki iliyopita. Haya yalisemwa na msemaji wa ofisi ya mwanasheria wa serikali huko manhattan. Ghaith alizaliwa mwaka 1965 na ameoa ...

Read More »

Gharama za vita dhidi ya IS kwa Uingereza

BUNGE la Uingereza limeridhia mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la kigaidi lililoanzisha himaya inayodai kuwa ni Dola ya Kiislamu (IS). Makubaliano haya ya bunge la Uingereza yalipitishwa kwa kura ...

Read More »

IS yashukiwa na mvua ya mabomu

Ndege za kivita za Marekani zimefanya mashambulizi ya mabomu dhidi ya inayojiita Dola ya Kiislamu (IS). Mashambulizi hayo siyo tu yanatoka angani bali ngege za Marekani zimefanya pia mashambulizi huko ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube