Kimataifa
Papa Francis ameamua kurahisisha taratibu za mazishi ya papa kwa kuwa wa kwanza kuzikwa nje ya Vatican katika zaidi ya karne moja. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2023SERIKALI ya Urusi, imeweka zuio la muda kwa maafisa wake wa usalama na wale wenye siri nzito za taifa hilo, kusafiri nje ya...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), leo tarehe 12 Disemba 2023, linatarajia kupiga kura ya dharura kuitaka Israel na kundi la wanamgambo...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Robert Jenrick amejiuzulu baada ya serikali ya nchi hiyo kuchapisha sheria kuhusu mkataba wenye utata na Rwanda wa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023MUANDAMANAJI moja ambaye hajafahamika jina, yuko mahututi hospitalini akitetea uhai wake, baada ya kujichoma moto kwa kutumia mafuta ya petroli, nje ya ubalozi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023SERIKALI ya Urusi iko katika mpango wa kuongeza wanajeshi wake, ili kujihami na vitisho vya kiusalama, kufuatia kupanuka kwa Jumuiya ya Kujihami ya...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JESHI la Israel, limerejesha mashambulizi katika ukanda wa Gaza, baada ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la Hamas, kudaiwa kukiuka makubaliano ya kusitisha...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anadaiwa kupanga kumfumkuza Kardinali wa Marekani, Raymond Burke anayedaiwa kuwa mkosoaji mkubwa na mpingaji wa mpango...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na vikosi vya Hamas yameanza leo Ijumaa saa moja asubuhi ikiwa ni mpango wa kusitisha mapigano...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023NCHI ya Israel, pamoja na kikundi cha wanamgambo wa kiislamu, Hamas, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, ili kuruhusu zoezi la kuacha...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023WATU zaidi ya 10 katika Wilaya ya Kyotera, nchini Uganda, wameripotiwa kupoteza maisha kwa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023KUGUNDULIWA kwa makaburi mapya ya halaiki katika msitu Shakahola huko Kilifi nchini Kenya kumetajwa kuchangia uamuzi wa kurejesha mchakato mpya wa ufukuaji wa...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023JUMLA ya wagombea urais 26 wanatarajiwa kuanza kampeni leo Jumatatu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambazo zinatarajiwa kudumu kwa mwezi mmoja...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Shirika la afya duniani WHO limewalipa limewalipa fidia ya Dola 250 (Sh 624.3) wanawake 104 waathiriwa wa dhulma za kingono nchini Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Jeshi la Israel limesema limeyashambulia makazi ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023KUNDI la nchi saba zenye nguvu za kiviwanda duniani (G7), limejifungia nchini Japan kwa ajili ya kujadili vita kati ya Israel na Hamas,...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2023WAKATI mahusiano ya kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda, ukiripotiwa kudorora, Marekani imezitaka serikali za mataifa hayo kuondoa...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2023NCHI ya Urusi, imeingilia kati mgogoro unaoendelea Palestina kwa kufanya mazungumzo na ujumbe wa kundi la wanamgambo wa kiislamu, Hamas, ili kutafuta...
By Masalu ErastoOctober 27, 2023Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kupokea orodha ya wagombea 24 wa urais ambao wamejisajili kuwania katika uchaguzi wa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Serikali ya Uingereza imetoa tahadhari kwa raia wake wajiepushe kuitembelea mbuga mashuhuri ya wanyama nchini Uganda ambako watalii wawili, akiwemo raia mmoja wa...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023Jeshi la Israel linadai kuwa hadi sasa limeshawaua viongozi sita wa juu wa kundi la Hamas tangu kuanza vita dhidi ya Ukanda wa...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023WAPALESTINA waishio katika Ukanda wa Gaza, wameanza kukimbia makazi yao baada ya Israel kuwapa saa 24 wakitaka wahamie sehemu nyingine ili kupisha mashambulizi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023DIEUDONNÉ Murengerantwari anatuhumiwa na wizara ya sheria ya Burundi kwa madai ya kuhujumu utendaji wa uchumi wa taifa, ufisadi na ufujaji wa mali...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023MAPIGANO ya kijeshi kati ya Kundi la Hamas la Palestina na Jeshi la Israel, yaliyoanza Jumamosi iliyopita, yamepoteza maisha ya watu zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2023TAKRIBANI Waisraeli 900 wameripotiwa kuwawa na 100 wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yaliyoendeshwa na vikosi vya wanamgambo wa Hamas ndani ya Israel....
By Mwandishi WetuOctober 8, 2023WATU takribani 100 wamefariki dunia nchini Syria, kutokana shambulio la ndege zisizo na rubani liliopiga kwenye Chuo cha kijeshi cha taifa hilo....
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limewataka wanachama wake kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya Dengue, unaodaiwa kusababishwa na...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2023SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy, ameondolewa madarakani kwa tuhuma za kukiasi chama chake cha Republican, akituhumiwa kushirikiana na Serikali ya Rais...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2023SERIKALI ya Urusi imefungua milango ya ushirikiano wa kiuchumi, kijamii na teknolojia, kwa mataifa ya Afrika, huku ikiahidi kutoingilia masuala yake ya ndani....
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2023WADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani mwezi Mei mwaka huu. CNN inaripoti …(endelea). Msemaji wa idara ya Serikali ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amefungua milango ya ushirikiano kwa vikundi vya kijeshi vya kujitolea ,ili kuongeza nguvu katika vita kati yake na...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023WATU takribani 50 wamefariki dunia huku wengine 50 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea karibu na msikiti nchini Pakistan, wakati wakisherehekea sikukuu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2023ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia ya ulaghai kwenye shughuli zake za biashara katika muongo mmoja uliopita. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2023WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki dunia kwa ajali ya moto iliyotokea usiku wa jana Jumanne, katika ukumbi waliokuwa...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2023MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni ya Mali ya China ya Oceanwide Holdings Imeripotiwa na South China Morning Post...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2023MKUTANO wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa nchi za G7 zimepinga kitendo cha uvamizi wa Jeshi la China katika ukanda wa Bahari...
By Mwandishi WetuSeptember 22, 2023Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwaka ujao. Anaripoti Matilda Peter kwa msaada wa Mitandao...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023Rais wa Kenya, William Ruto amesema serikali ya Ukraine inapanga kuweka kituo cha nafaka mjini Mombasa kama sehemu ya hatua kubwa ya kukabiliana...
By Mwandishi WetuSeptember 20, 2023KALU Dhami kutoka Dhalain moja ya kata ya Manispaa ya Vijijini ya Saipali ni mfugaji wa kondoo. Hadi miaka minne iliyopita, Dhami...
By Mwandishi WetuSeptember 17, 2023RAIS wa Madagascar, Andry Rajoelina amejiuzulu baada ya kuthibitishwa rasmi kuwa mgombea katika uchaguzi wa urais utakaofanyika tarehe 9 Novemba 2023. Anaripoti Mlelwa...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023USHAWISHI ya Taifa la India imezidi kuongezeka katika anga ya kimataifa hasa pale ilipoungwa mkono kuogoza G20. Imeandikwa na The Interpreter …...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023ZAIDI ya watu 2000 wahofiwa kupoteza maisha huku maelfu wakiwa hawajulikani walipo baada ya kimbunga Daniel kuikumba nchi ya Libya. Anaripoti isaya Temu,...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2023IDADI vifo katika tetemeko la ardhi lilitokea usiku wa tarehe 8 Septemba 2023 katika miji kadhaa nchini Morocco, vimeongezeka kutoka 2,122 hadi 2,500....
By Mwandishi WetuSeptember 11, 2023JENERALI Brice Nguema, aliyemng’oa madarakani Rais wa Gabon, Ali Bongo katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika wiki iliyopita, ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023Mabegi, mifuko pamoja na masanduku yaliyojazwa fedha za nchi mbalimbali yamekutwa ndani ya nyumba ya Yann Ngulu mtoto mkubwa wa Rais Ali Bongo...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023