SUDAN Kusini imeamuru kufungwa kwa shule zote kuanzia leo Jumatatu, ikiwa ni hatua ya tahadhari kutokana na joto kali linalotarajiwa kudumu kwa wiki...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2024SERIKALI ya Tanzania na Italia zimeahidi kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ambazo ni kilimo, nishati, elimu pamoja na uchumi wa buluu...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2024AZMA ya kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya, Raila Odinga kuwania wadhifa wa Mwenyekiti wa Baraza la Umoja wa Afrika (AUC) imepata nguvu...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2024Watu zaidi ya 50 wanaoshutumiwa kwa ‘uchawi’ wamefariki dunia nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa mchanganyiko wa mitishamba ili kubaini kama wanafanya vitendo...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2024Raia nchini Urusi kuanzia leo Ijumaa wanapiga kura katika uchaguzi wa urais utakaofanyika kwa siku tatu na unaotarajiwa kumuongezea muda zaidi, Rais Vladimir...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2024KIONGOZI mkuu wa upinzani nchini Senegal, Ousmane Sonko, aliachiliwa kutoka jela jana Alhamisi jioni ikiwa ni siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2024Raia mmoja wa Korea Kusini amekamatwa nchini Urusi kwa madai ya ujasusi na kuzuiliwa katika mji wa mbali wa mashariki mwa nchi wa...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2024Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Angola, Tete Antonio amesema jana Jumatatu jioni Rais Paul Kagame wa Rwanda amekubali kukutana na...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2024Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimekumbwa na mgawanyiko baada ya jana Jumapili kusema kuwa limemuondoa madarakani kiongozi wa chama hicho Agathon Rwasa...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2024SERIKALI ya Thailand imepanga kufufua mpango wa wa biashara ya mwanamke kukubali kushika mimba na kujifungua mtoto kwa niaba ya familia fulani maarufu...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2024Watu waliojihami kwa bunduki wamewateka nyara zaidi ya wanafunzi 280 baada ya kuivamia shule moja kaskazini magharibi mwa Nigeria katika mojawapo ya visa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2024Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema zaidi ya wanajeshi 31,000 wamefariki vitani katika muda wa miaka miwili tangu Urusi ilipoivamia Ukraine. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na serikali yake katika hatua ambayo huenda ikafungua njia ya mageuzi yanayoungwa mkono na...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2024Mahakama ya mjini Tunis imemhukumu rais wa zamani wa Tunisia, Moncef Marzouki kifungo cha miaka nane jela baada ya kupatikana na hatia kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2024Waziri wa usalama wa ndani nchini Malawi, Ken Zikhałe ametangaza mabadiliko ya kanuni za uhamiaji nchini humo kwa kuondoa vizuizi vya viza kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2024Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana Jumatano lilizima jaribio la waasi wa M23 waliokuwa tayari wameukaribia mji wa Sake uliopo kilomita...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2024HAGE Gengob, Rais wa Namibia, amefariki dunia wakati akipokea matibabu hospitalini katika mji mkuu, Windhoek. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Makamu wa...
By Gabriel MushiFebruary 4, 2024MLIPUKO wa gesi umeuwa watu wawili huku wengine 222 wakijeruhiwa, jijini Nairobi, nchini Kenya. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa mujibu wa mitandao ya...
By Regina MkondeFebruary 2, 2024Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu wadhifa wake na uanachama wa Chama cha Citizens Coalition for Change...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2024Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema mikusanyiko ya sikukuu za mwisho wa mwaka imesababisha kasi...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2024Wizara ya sheria ya Afrika Kusini inatarajia kufungua tena jalada la uchunguzi wa mauaji ya wanaharakati wanne wapinga ubaguzi moja tukio baya ambalo...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2024Serikali ya Zambia imetangaza kuahirisha kuanza kwa muhula mpya ya masomo kwa wiki tatu zaidi kutokana mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeshaua...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2024Sudan imemrejesha nyumbani balozi wake nchini Kenya kufuatia ziara na kikao kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na Kamanda wa kikosi cha...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2024RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi wa urais...
By Regina MkondeDecember 31, 2023NCHI ya Afrika Kusini, imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ta Uhalifu wa Jinai (ICC), dhidi ya Israel ikiituhumu kwa kufanya mauaji ya...
By Regina MkondeDecember 30, 2023Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia nchini...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023WAPALESTINA 241 wameripotiwa kuuawa, huku 382 wakijeruhiwa katika operesheni ya kijeshi iliyofanywa na vikosi vya kijeshi vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza, ndani...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023TUME ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, CENI, imetoa matokeo zaidi ya awali ya uchaguzi wa rais, yakionesha rais Felix Tshisekedi...
By Mwandishi WetuDecember 26, 2023Katika misa yake ya Krismasi, Askofu Mkuu wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kardinali Fridolin Ambongo ameelezea jana Jumapili jioni...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2023NCHI ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), leo tarehe 20 Disemba 2023, inafanya uchaguzi wake mkuu huku vigogo watatu, Rais anayemaliza muda...
By Regina MkondeDecember 20, 2023MBIO za aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kuliongoza tena taifa hilo, zimeingia doa baada ya kuwekewa kipingamizi cha kugombea kwenye Uchaguzi Mkuu...
By Regina MkondeDecember 20, 2023TETEMEKO la ardhi lililotokea nchini China maeneo ya Kaskazini-Magharibi, limesababisha vifo vya watu zaidi ya 100 na kujeruhi 397. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 19, 2023Kiongozi wa upinzani wa Congo anayeishi uhamishoni, Corneille Nangaa jana Ijumaa ametangaza kuunda kitengo cha kisiasa cha kijeshi kitakachokuwa mshirika wa kundi la...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2023Papa Francis ameamua kurahisisha taratibu za mazishi ya papa kwa kuwa wa kwanza kuzikwa nje ya Vatican katika zaidi ya karne moja. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2023SERIKALI ya Urusi, imeweka zuio la muda kwa maafisa wake wa usalama na wale wenye siri nzito za taifa hilo, kusafiri nje ya...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023BARAZA Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), leo tarehe 12 Disemba 2023, linatarajia kupiga kura ya dharura kuitaka Israel na kundi la wanamgambo...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Robert Jenrick amejiuzulu baada ya serikali ya nchi hiyo kuchapisha sheria kuhusu mkataba wenye utata na Rwanda wa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023MUANDAMANAJI moja ambaye hajafahamika jina, yuko mahututi hospitalini akitetea uhai wake, baada ya kujichoma moto kwa kutumia mafuta ya petroli, nje ya ubalozi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023SERIKALI ya Urusi iko katika mpango wa kuongeza wanajeshi wake, ili kujihami na vitisho vya kiusalama, kufuatia kupanuka kwa Jumuiya ya Kujihami ya...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JESHI la Israel, limerejesha mashambulizi katika ukanda wa Gaza, baada ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la Hamas, kudaiwa kukiuka makubaliano ya kusitisha...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, anadaiwa kupanga kumfumkuza Kardinali wa Marekani, Raymond Burke anayedaiwa kuwa mkosoaji mkubwa na mpingaji wa mpango...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na vikosi vya Hamas yameanza leo Ijumaa saa moja asubuhi ikiwa ni mpango wa kusitisha mapigano...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023NCHI ya Israel, pamoja na kikundi cha wanamgambo wa kiislamu, Hamas, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, ili kuruhusu zoezi la kuacha...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023WATU zaidi ya 10 katika Wilaya ya Kyotera, nchini Uganda, wameripotiwa kupoteza maisha kwa mlipuko wa ugonjwa usiojulikana. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023KUGUNDULIWA kwa makaburi mapya ya halaiki katika msitu Shakahola huko Kilifi nchini Kenya kumetajwa kuchangia uamuzi wa kurejesha mchakato mpya wa ufukuaji wa...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023JUMLA ya wagombea urais 26 wanatarajiwa kuanza kampeni leo Jumatatu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambazo zinatarajiwa kudumu kwa mwezi mmoja...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Shirika la afya duniani WHO limewalipa limewalipa fidia ya Dola 250 (Sh 624.3) wanawake 104 waathiriwa wa dhulma za kingono nchini Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Jeshi la Israel limesema limeyashambulia makazi ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023KUNDI la nchi saba zenye nguvu za kiviwanda duniani (G7), limejifungia nchini Japan kwa ajili ya kujadili vita kati ya Israel na Hamas,...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2023