Kitengo

Categorizing posts based on content

Tuisenge arejea APR, asaini miaka miwili

MSHAMBULIAJI raia wa Rwanda Jacque Tuisenge amesaini miaka miwili kuitumikia klabu ya Apr inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo akitokea klabu ya Petro Luanda ya nchini Angola. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea). ...

Read More »

Ligi Kuu kuendelea kuwasha moto kesho

MICHEZO ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea wikiendi hii kwa kuchezwa jumla ya mechi tisa, zitakazo chezwa katika viwanja tofauti tofauti, huku mabingwa watetezi klabu ya Simba wanatarajia kuwa katika ...

Read More »

40 kuingia kambini kuivaa Senegal

JUMLA ya wachezaji 40 wa kikosi cha timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queen kinatarajia kuingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa ...

Read More »

Yanga yatua Kagera

KIKOSI cha Yanga kimetua kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba mapema hii leo asubuhi tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar siku ya Jumamosi kwenye Uwanja wa ...

Read More »

KCB yamwaga mamilioni Ligi Kuu

BENKI ya KCB imeingia mkataba wa mwaka mmoja na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’ wenye thamani ya Tsh 500 Milioni kwa ajili ya udhamini wa Ligi Kuu Tanzania ...

Read More »

Magufuli amtetea mkuu Shule iliyoteketea Kagera 

SELEMAN Abdul, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais John Pombe Magufuli, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba, hakukusudia kuchoma ...

Read More »

ZFF yamlilia ‘Mr White’

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) kupitia rais wake Seif Kombo Pandu imetoa pole na kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kifo cha Salim Abdullah Turky ‘Mr White’ ambaye ...

Read More »

Yanga kujipima ubavu kwa Mlandege

TIMU Yanga kesho itacheza mchezo wa kujipima nguvu dhidi mabingwa wa Ligi Kuu visiwani Zanzibar, Mlandege katika kujiweka sawa kuwakabili Kagera Sugar kwenye mchezo ujao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Mpango wa amani Afghanstan wapita pagumu

ZALMAY Khalilzad, mjumbe wa Marekani katika kutafuta amani nchini Afghanstan, bado anatetea uamuzi wa kuwachia huru maelfu ya wafungwa wa Talban, ingawa bado “hafurahii na utekelezaji wa makubalino yaliyofikiwa. Anaripoti ...

Read More »

Morrison awaponza Manara na Hanspope

KAMATI ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewapiga faini kiasi cha Shilingi 5 milioni, Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara na mjumbe wa bodi ya ...

Read More »

Man Utd, Man City kuanza Ligi mwisho wa wiki hii

KLABU za Manchester United na Manchester City zinatarajia kuanza mbio zake kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza mwishoni wa juma hili baada ya kupumzika kwa wiki moja. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Yanga yaanza kukusanya pointi Ligi Kuu

GOLI la dakika ya 86 lililofungwa kwa kichwa na beki kisiki wa Yanga, Lamine Moro limetosha kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea) ...

Read More »

Mtibwa yaing’ang’ania Simba

DAKIKA 90 zimemalizika dimba la Jamhuri mkoani Morogoro kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara 2020/21, Simba kutoshana nguvu kwa kufungana 1-1 na Mtibwa Sugar. Amaripoti Mwandishi Wtu, ...

Read More »

Yanga wazindua jezi mpya 2020/21

MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, wamezindua jezi mpya ambazo zitatumika katika msimu wa 2020/21. Anaripoti Kelvin Mwapungu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Samatta njia panda Aston Villa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya Astorn Villa huenda akauzwa katika dirisha hili kubwa la usajili kufuatia uongozi wa klabu hiyo ...

Read More »

TFF yadai wasifu wa makocha

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa vikosi vyao. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Milioni 20 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa  worldometer umeripoti leo Alhamisi tarehe 10 Septemba 2020 kuwa, maambikizo duniani ...

Read More »

Magoli 14 yafungwa ligi kuu, KMC yaongoza

MICHEZO ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 imemalizika huku ikishuhudia magoli 14 yakifungwa katika mechi kumi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam…(endelea) Pazia la ...

Read More »

KMC yaanza kwa kishindo ligi kuu, Kagera yapigwa

TIMU ya KMC FC ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeanza kwa kushindo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 kwa kuifunga Mbeya City 4-0. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Barbara amrithi Senzo Simba

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba imemtangaza Barbara Gonzalez Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endeleaa) Barbara ametangazwa leo Jumamosi tarehe 5 Septemba 2020 na ...

Read More »

Neymar, wenzake wakumbwa na corona

NEYMAR de Santos, mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa na wachezaji watatu wa timu hiyo, amekutwa na virusi vya corona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). ...

Read More »

Jeshi la Israel lajikoroga

DUNIA imelaani hatua ya mwanajeshi wa Jeshi la Israel, kumkandamiza kwa kifuti cha mguu kwenye shingo ya muandamanaji wa Palestina. Inaripoti Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC). Picha ya tukio hilo ...

Read More »

Milioni 18 wapona corona dunia

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 26.18, waliopona milioni 18.44 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 867,370. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Mtandao wa worldometer ...

Read More »

Wizara ya Elimu Tanzania yatoa maagizo vyuo vya maendeleo 

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs) kujikita kutoa mafunzo ya fani zinazopendwa na zinazotoa ajira badala ya kuendelea kuwa na fani ...

Read More »

Yanga yaiteka nchi, mashabiki waitika

IDADI kubwa ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kwenye kilele cha “Wiki ya Mwananchi” kinaweza kuwa kielelezo tosha cha kuonesha kufanikiwa kwa tamasha hilo ambalo lilijumuisha burudani za muziki kutoka kwa ...

Read More »

Saprong, Kisinda waanza kwa furaha Yanga

BAADA ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa jana Jumapili tarehe 30 Agosti 2020 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kwenye kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ mshambuliaji Michael Sarpong na ...

Read More »

Kikwete aishauri Yanga kumwacha Morrison

RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka mashabiki wa klabu ya Yanga kutoumizwa kichwa na sakata la mchezaji Bernard Morrison kuhamia kwa watani zao Simba ...

Read More »

Kessy ajiunga Mtibwa akitokea Nkana FC

TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemsajili beki Ramadhan Kessy akitokea Nkana FC ya Zambia. Anaripoti Kelvin Mwapungu, Dar es Salaam…(endelea) Mtibwa iliyomaliza vibaya msimu wa 2019/20 imemtangaza ...

Read More »

Simba yaanza kubeba makombe

TIMU ya Simba imeanza vyema safari ya msimu wa ligi 2020/21 kwa kutwaa Ngao ya Jamii. Anaripoti Kelvin Mwapungu…(endelea) Simba ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ...

Read More »

Usiyajua kuhusu kocha mpya Yanga

LEO mapema klabu ya Yanga ilimtangaza Zlatko Krmpotic ambaye ni raia wa Serbia mwenye umri wa miaka 62, kuja kukinoa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu huu ...

Read More »

Pari Match waikogesha Mamilioni Mbeya

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Pari Match imeingia mkataba na klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya Sh. 270 milioni kama mdhamini mkuu. Anaripoti ...

Read More »

Yanga yatangaza kocha mpya

MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga, imemtangaza Zlatko Krmpotic kuwa Kocha Mkuu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kocha huyo anakuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Luc Eymael ...

Read More »

Pogba aambukizwa corona, atoswa Ufaransa

PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United, ameachwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa, baada ya kubainika kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea) Kikosi ...

Read More »

Wawa, Miquison warejea kikosini, Kuwavaa Namungo Jumapili

WACHEZAJI wa klabu ya Simba, Pascal Wawa na Luis Miquison wamerejea leo kikosini kwa kuingia kambini baada ya kuwasili leo nchini kutoka kwenye nchi zao walipokuwa wameenda kimapumziko. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Kikwete mgeni rasmi tamasha la Yanga

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la klabu ya Yanga maarufu ‘Siku ya Mwananchi’ litakalofanyika Jumapili ...

Read More »

Matatizo ya kifamilia yamkosesha kazi kocha Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuachana na aliyetaka kuwa kocha wao Cedric Kaze kutokana na kutoa taarifa ya kuchelewa kufika nchini kwa wiki tatu kutokana na matatizo ya kifamilia. ...

Read More »

Simba mguu sawa kuivaa Namungo FC

KLABU ya Simba imecheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC na Transit Camp kujiweka sawa kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC, unaotarajiwa kuchezwa 30 Agosti, ...

Read More »

Mashabiki kuandamana Messi kuondoka Barcelona

BAADA ya mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi kutuma maombi maalumu kwa uongozi ya kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo, mashabiki wa klabu hiyo wameonekana kujikusanya katika mitaa mbalimbali ...

Read More »

Carlinhos wa Yanga aisimamisha Dar, kumuona buku 5

VIONGOZI wa klabu ya Yanga leo Jumanne tarehe 25 Agosti, 2020 umempokea kwa kishindo mchezaji wao mpya raia wa Angola Carlos Stenio Fernandes Guimares “Carlinhos” kwenye Uwanja wa kimataifa wa Julius ...

Read More »

Rais Mstaafu Mauritania akamatwa, ahojiwa kwa rushwa

MOHAMED Ould Abdel Aziz (63), aliyekuwa Rais wa Mauritania (2008–2019), amekamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa alipokuwa madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais huyo, kwa wiki moja amekuwa mikononi mwa ...

Read More »

Mtu mweusi apigwa risasi Marekani, maandamano yaibuka

MAANDAMANO yameibuka jimbo la Wisconsin nchini Marekani baada ya polisi kutuhumiwa kumpiga risasi mtu mweusi nchini humo, Jacob Blake. Inaripoti BBC…(endelea) Video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zimeonesha Blake akipigwa ...

Read More »

Yanga kucheza na Aigle Noir kilele siku ya Mwananchi

KLABU ya Yanga inatarajia kucheza na timu ya Aigle Noir kutoka Burundi katika kilele cha Tamasha la Siku ya Mwananchi, linalotarajiwa kufanyika Jumapili 30, Agosti kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar ...

Read More »

Milioni 16 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 16.08 wamepoma virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumatatu tarehe 24 Agosti 2020, kuwa maambukizo ya corona dunia yamefikia milioni 23.58 ...

Read More »

Bayern mabingwa wa Ulaya

TIMU ya Bayern Munich ya Ujerumani imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabigwa Bara la Ulaya (UEFA) kwa kuifunga PSG ya Ufaransa bao 1-0 lililofungwa na beki Kingsley Camon dakika ya ...

Read More »

Morrison atoa ya moyoni kuhusu Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison amesema kuwa klabu ya Simba ndio chuo cha mpira wa miguu nchini Tanzania na hakuna klabu nyingine. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Manara amaliza utata

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa bado yupo sana ndani ya klabu ya Simba na wala hana mpango wa kuondoka katika siku za hivi karibuni kama taarifa ...

Read More »

Cedric Kaze kocha mpya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umemtangaza Cedric Kaze kuwa kocha mpya wa klabu ya Yanga, ambaye atakiongoza kikosi hicho katika misimu ujao wa mashindano. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Kaze ...

Read More »

Wanafunzi bora mtihani kidato cha sita 2020

MATOKEO ya kidato cha sita ya mtihani uliofanyika Juni/Julai 2020 yametangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles ...

Read More »

Matokeo kidato cha sita haya hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limesema watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita Juni/Julai 2020 wamefaulu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Shule kumi bora kidato cha sita, Serikali yatamba 

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa tarehe ...

Read More »
error: Content is protected !!