Thursday , 25 April 2024

Habari

SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).

HabariTangulizi

Dk. Samia atua Marekani, aridhia kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilimo

RAIS Samia Suluhu Hassan ameridhia Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa kilimo utakaohusisha viongozi, watu mashuhuri na wadau wapya 3,000. Uamuzi huo...

HabariHabari Mchanganyiko

Serikali Zanzibar yawakaribisha wadau wa sheria

WADAU wanaojishughulisha na masuala ya utoaji msaada wa kisheria visiwani Zanzibar, wametakiwa kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha wananchi wanapata haki na wanajua majukumu...

Habari

SAT wapigwa msasa juu ya haki za wanyama

JUMLA ya wafanyakazi 65 wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) wamepewa elimu ya kutambua haki za wanyama hasa wmifugo ili kuweza kusaidia mifugo...

HabariKimataifa

Rais Ruto, Odinga kukutana ana kwa ana Marekani

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto leo tarehe 13 Disemba, 2022 atakutana ana kwa ana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila...

HabariMichezo

Mtangazaji wa soka azirai na kufariki akitangaza mechi Qatar

MWANDISHI wa habari aliyejizolea umaarufu kwa utangazaji mechi za soka kutoka Marekani, Grant Wahl (49) amefariki dunia nchini Qatar baada ya kuzimia alipokuwa...

HabariHabari Mchanganyiko

Dk. Samia asamehe wafungwa 1,631

KATIKA kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza msamaha kwa wafungwa 1,631 ikiwamo wa kike walioingia...

HabariSiasa

Vigogo ACT mbaroni kwa uchochezi, kukashifu viongozi wa Serikali

JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini limewakamata na kuwahoji watu wawili ambao ni wanachama wa chama cha ACT Wazalendo kwa tuhuma za kuwakashifu...

HabariMazingira

MECIRA yafichua chanzo cha ukame, yataka Serikali iwachukulie hatua wahusika

KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), wameiomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaofanya vitendo vya uharibifu wa mazingira, Kwa kuwa ndiyo...

HabariSiasa

Shaka CCM tusipoteze muda  wa malumbano

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na...

Habari

Dk. Samia apewa tuzo ya muongozaji bora watalii

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International...

HabariKitaifa

Rais Samia apewa mbinu za kuwainua wanawake kiuchumi

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kuongeza juhudi katika dhamira yake ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kumuinua mwanamke kiuchumi, ili kuondoa...

HabariHabari Mchanganyiko

Karagwe watenga bilioni 1.32 kupokea wanafunzi wapya 2023

HALMASHAURI ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera inatarajiwa kutumia Sh bilioni 1.32 katika ujenzi wa vyumba vya madarasa 66 kwa mwaka huu wa...

HabariHabari Mchanganyiko

Wadau: Ukatili bado upo, Serikali ije na muarobaini

  WADAU wa kutetea haki za binadamu, wameitaka Serikali kutafuta mikakati endelevu ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwani bado vinaendelea kuligharimu...

Habari

Hizi hapa nauli pendekezwa za treni ya SGR, LATRA yaomba maoni

  SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetoa nauli pendekezwa za abiria kwa treni ya njia ya Reli ya Kisasa (SGR), ambapo nauli ya...

HabariTangulizi

Maadhimisho miaka 61 Uhuru: Rais Samia atuma ujumbe kwa Watanzania

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuitumia siku ya maadhimisho ya miaka 61 ya uhuru wa Tanzania Bara, kutafakari namna ya kuongeza...

ElimuHabari

Serikali yaahidi kutatua changamoto za DMI

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo ch bahari Dar es Salaam (DMI). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Ahadi hiyo...

ElimuHabari

DMI yaomba meli ya mafunzo kwa wahitimu

CHUO cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa mafunzo chuoni hapo. Anaripoti...

ElimuHabari

Jaji Mkuu mstaafu awatunuku wahitimu 943 ARU

WAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua changamoto za Mkoa...

HabariHabari Mchanganyiko

Kanisa la Mlima wa Moto wazindua kongamano la SHILO, Ni Maalum kumuenzi Hayati Dk. Getrude Rwakatare

KANISA la Mlima wa Moto Mikocheni jijini Dar es Salaam, limezindua kongamano liitwalo SHILO kama sehemu ya kumuenzi mwanzilishi wa Kanisa hilo, Hayati...

ElimuHabari

Anne Makinda afurahia ubora wahitimu HKMU

CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani za afya hali ambayo...

Habari

CRB yawataka makandarasi kufanya kazi za ubia

BODI ya Usajili wa Makandarasi (CRB), imesema inafurahishwa na kasi ya wanawake wanaojitokeza katika kazi za ukandarasi huku ikiwataka makandarasi wa ndani kuwa...

ElimuHabari

Anne Makinda kutunuku wahitimu 291 HKMU

SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali...

GazetiHabari

Makamu wa Rais kukabidhi tuzo za mzalishaji bora wa mwaka

MAKAMU wa Rais Dk. Phillip Mpango, anatarajaiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za Rais kwa Mzalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), zitakazotolewa...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Ndalichako aitaka CBE kujitanua zaidi mikoani

SERIKALI imevitaka vyuo kuzingatia mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi vyuoni ili kuondoa malalamiko kutoka kwa waajiri kwamba wahitimu wengi wanahitimu bila kuwa na...

ElimuHabari

Siku ya wahasibu duniani yafana Dar

WAHASIBU na Wakaguzi wa Hezabu nchini wametakiwa kuweka mbele maslahi ya umma, kuwa waadilifu na kuzingatia maadili na sheria zinazowaongoza kwenye kazi zao...

ElimuHabari

TRA yaipongeza CBE kwa kuanzisha klabu ya kodi

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imepongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kwa kuanzisha klabu ya kodi kwa wanafunzi wanaosoma kwenye chuo hicho...

HabariKitaifa

Wafiwa 19 ajali ya ndege Bukoba wagawiwa ubani wa milioni 1

  SERIKALI imetoa mkono wa pole kwa familia 19 za wafiwa wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana tarehe 6 Novemba,...

HabariTangulizi

Samia aagiza kijana aliyeokoa 24 aingizwe jeshini, aoga mamilioni

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu ameagiza kijana Jackson Majaliwa, mvuvi wa Bukoba aliyewezesha uokozi wa abiria 24 wa ndege ya Precision...

HabariKitaifa

Uhaba Maji: Aweso aagiza tenki kubwa kuwekwa Hospitali ya Muhimbili

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuwekwa kwa tenki kubwa la maji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kuhakikisha huduma ya maji...

HabariKitaifaTangulizi

Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia ajali ya ndege Bukoba

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu ametoa pole kwa wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Jumapili huko Bukoba, Kagera. Watu 19...

HabariKitaifa

Ripoti ya Kamati kuhusu Bodi ya Mikopo yachafua hali ya hewa bungeni

  RIPOTI ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kuhusu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...

Habari

Wanasheria waitaka Serikali kuwachukulia hatua viongozi vyombo vya uokozi

TIMU ya wanasheria wanaosimamia uwajibijaji wa kimazingira (Lawyers Environmental Action Team -LEAT), imeitaka Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa vyombo vya umma vya uokozi...

ElimuHabari

Watakaofiwa na wazazi St Anne Marie kuendelea kusoma bure

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye shule yake ya St...

ElimuHabari

Dk. Mwinyi mgeni rasmi kongamano la uchumi na biashara la CBE

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeandaa kongamano la maendeleo ya biashara na uchumi ambalo linatarajaiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein...

AfyaHabari

Hospitali KAM Musika yapima bure saratani tezi dume

KATIKA jitihada za kuunga mkono serikali ya awamu ya sita katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Hospitali ya KAM Musika ya Kimara...

HabariMichezo

Yanga yajitokeza Sakata la Nabi

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukanusha taarifa ya kuondoka kwa kocha wao Mkuu, Mohamed Nabi mara baada ya kuenea tetesi za kuachana...

ElimuHabari

Mbunge aipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada

  MBUNGE wa Viti Maalum, (CCM), Dk. Thea Ntara, ameipongeza shule ya Brilliant kwa kutopandisha ada kwa miaka mine mfululizo na amezitaka shule...

HabariMichezoTangulizi

Yanga wapewa wababe wa Kipanga kombe la Shirikisho.

  MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...

ElimuHabari

St Mary’s Mbezi Beach yapongezwa kwa maendeleo ya taaluma

WAZAZI wameshauriwa kufuatilia kwa karibu maendeleo ya watoto wao kitaaluma na tabia ili waweze kufanya vizuri kwenye mitihani huku shule ya St Mary’s...

ElimuHabari

CBE yawashukuru waliochangia harambee, yakusanya shilingi milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...

HabariSiasa

Mkoa wa Pwani wajiandaa na Uchaguzi mwishoni mwa wiki hii.

  Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...

ElimuHabari

Serikali yaipongeza St Anne Marie kwa kutochuja wanafunzi, Yaahidi kuendelea kuongoza Dar/kitaifa

  SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...

HabariMichezo

Michezo mwezi Oktoba, Simba ni jasho na damu

  IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Mkuu kuzindua kampasi ya CBE Mbeya Oktoba 8

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...

ElimuHabari

Serikali yampongeza Dk. Rweikiza kuwekeza kwenye elimu

  SERIKALI imempongeza Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza kwa kuwekeza kwenye elimu na kusaidia jitihada za serikali kuboresha sekta hiyo...

HabariMichezoTangulizi

Mgunda kuiongoza Simba Ligi ya Mabingwa Afrika.

  Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo atakayesaidiana na Seleman Matola, kuelekea mchezo wa...

HabariMichezo

Simba Queen wapewa basi kwa Safari za ndani

  Timu ya Soka ya wanawake ya Simba (Simba Queens) leo  Septemba 2 2022 imepewa basi na kampuni ya  uuzaji wa magari ya...

HabariMichezo

Kisinda, Ntibazonkiza wafunga dirisha la usajili Tanzania

  WACHEZAJI wa kimataifa Tuisila Kisinda pamoja na nyota kutoka Burundi Saido Ntibanzokiza wameng’ara dakika za mwisho wakati wa kufungwa kwa dirisha la...

HabariHabari Mchanganyiko

Shirika la Camillians lapata Mafratel wapya, waweka nadhiri ya kwanza

VIJANA watatu wa Kitanzania, wamefanikiwa kujiunga na Shirika la Kanisa Katoliki la Wahudumu wa Wagonjwa (Camillians) Tanzania na kuweka nadhiri zao za  kwanza....

ElimuHabari

Mahafali waliosoma nje yafana kwa viwango vya kimataifa

  SERIKALI imepongeza mchango wa Global Education Link (GEL) kwa namna ambavyo imekuwa ikisaidia kuwaunganisha wanafunzi wa Tanzania kusoma taaluma mbalimbali vyuo vikuu...

error: Content is protected !!