Habari

SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).

IGP Sirro amwonya Lissu, amtaka kuripoti Polisi

INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kuripoti Kituo cha ...

Read More »

Papa Francis ‘amtimua’ Pompeo

MIKE Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amegomewa kukutana na Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunani. Inaripoti Shirika la Habari la Uingereza (BBC)…endelea. Hatua hiyo inatokana ...

Read More »

Takukuru yaonya wanaowarubuni wapiga kura

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania yatoa onyo kwa watu wanaowarubuni waliojiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 kuacha mara moja. Anaripoti ...

Read More »

Afisa TRA mbaroni tuhuma ya rushwa milioni 8

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemkamata Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mary Moyo kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh.8 milioni kutoka kwa ...

Read More »

Milioni moja wafariki dunia kwa corona

WAGONJWA milioni moja duniani wamefariki kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumanne tarehe 29 Septemba 2020, waliopona kutokana na ugonjwa huo ni ...

Read More »

Walichozungumza Rais Magufuli, Ndayishimiye Kigoma

MARAIS John Pombe Magufuli wa Tanzania na Evariste Ndayishimiye wa Burundi wamesema, ushirikiano baina ya mataifa hayo yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni wa kindugu unaopaswa kuendelezwa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Waziri Jafo: Hakuna binadamu aliyekamilika, lazima tuvumiliane

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amewataka viongozi wa dini kuendelea kuhubiri ...

Read More »

Kwaheri Dk. Shika

DAKTARI Luis Shika, aliyepata umaarufu kutokana na kauli yake ya ‘900 itapendeza,’ amehitimisha safari yake hapa duniani kwa mwili wake kuzikwa jana Jumanne tarehe 25 Agosti 2020 katika makaburi yaliyopo ...

Read More »

Mhadhiri UDOM kizimbani kwa rushwa ya ngono

JACOB Paul Nyangusi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) nchini Tanzania, itamfunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), baada ya kukutwa na ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: NEC yasema wapigakura ni milioni 29, vituo 80,155

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29 huku vituo vya kupigakura vitakuwa 80,155. Anaripoti ...

Read More »

Uchaguzi 2020, utakuwa huru – Rais Magufuli

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Magufuli amesema, ana imani kubwa ya uchaguzi mkuu ujao wa rais, wabunge na madiwani, kuwa huru na haki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodom …(endelea). Amesema, “…yule atakayechokoza ...

Read More »

Bibi amuunguza kwa moto mjukuu wake

DARIA Frank (55), Mkazi wa Mamba, Vunjo Mashariki katika Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuunguza kwa moto mjukuu wake. Anaripoti mwandishi wetu, Kilimanjaro…(endelea). ...

Read More »

Rais Magufuli ateua RC, Katibu mkuu na DC Dodoma

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo akiwemo mkuu wa mkoa (RC), katibu mkuu na mkuu wa wilaya (DC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Rais Magufuli awaapisha warithi wa Makonda, Mnyeti

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo wakuu wa mikoa ya Dar es Salaam na Manyara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Viongozi hao wameapishwa leo ...

Read More »

Jaji Mutungi awapa maagizo Jukwaa la Katiba Tanzania

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Francis Mutungi ameitaka Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) kuhakikisha inapigia upatu sera ya siasa safi na kwenda kunadi sera hizo katika jamii kwanza. ...

Read More »

Rais Magufuli: Niombeeni nisiwe na kiburi, jeuri

RAIS wa John Magufuli amewataka Watanzania kutodharau dawa za kienyeji katika kukabiliana na maradhi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi huyo wa Tanzania ametoa wito huo leo Alhamisi tarehe 11 Juni ...

Read More »

Azimio kuzuia Serikali kuhama Dodoma kutua bungeni

BUNGE la Tanzania litapitisha azimio la kuibana Serikali ya nchi hiyo kutobadili uamuzi wa kuhamisha shughuli za Serikali kutoka jijini Dodoma kwenda kwingine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) Bunge hilo linaloongozwa ...

Read More »

Waziri Mpango ataja mambo matano yanayoikabili wizara yake

WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango amebainisha changamoto tano ambazo zinaikabili wizara hiyo ikiwamo mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya ...

Read More »

Sh.6 trilioni zalipa deni la Serikali, wastaafu 57,605 kicheko

SERIKALI ya Tanzania imesema, kati ya Julai 2019 na Machi, 2020 imelipa mafao na pensheni kwa wastaafu wa Serikali 57,605, mirathi kwa warithi 1,006 na malipo ya kiinua mgongo kwa watumishi ...

Read More »

Corona: Ni hekaheka Maabara ya Taifa

DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma zilizotolewa na Rais John Magufuli. Anaripoti Regina ...

Read More »

BoT yachapisha noti mpya

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifanyia maboresho fedha za noti, toleo la mwaka 2010, katika kipengele cha usalama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na BoT tarehe 2 ...

Read More »

Mwingine apona corona Tanzania

MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na ...

Read More »

Adha ya usafiri Dar: Bajaji, bodaboda zaruhusiwa kuingia mjini

PIKIPIKI na Bajaji zinazosafirisha abiria, zimeruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza changamoto ya usafiri katika kipindi cha mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, ...

Read More »

Marekani, JPM waungana kuelekea uchaguzi mkuu 2020

AHADI ya Rais John Magufuli kwamba, atahakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu unakuwa huru na haki, imeungwa mkono na Marekani. Anaripoti Martin Kamote, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa ya Ubalozi wa ...

Read More »

WB ipo kwenye majadiliano ya mkopo – Serikali

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi amesema, Tanzania inaendelea na majadiliano na Benki ya Dunia (WB), kuhusu mkopo wa Dola za Marekani 500 milioni wa kuboresha sekta ya elimu. Anaripoti ...

Read More »

Rais Magufuli: Jeshi msikubali vikwazo

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameyataka majeshi nchini kutokubali kuwekewa vikwazo, katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Martin Kamote…(endelea) Rais Magufuli ametoa wito huo leo tarehe 25 ...

Read More »

Dengue, Vitambi vyazua mjadala bungeni

TATIZO la vitambi na mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Dengue, umezua mjadala bungeni kufuatia wabunge kadhaa kuhoji mpango wa serikali katika kudhibiti matatizo hayo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Nape Nnauye, Mbunge ...

Read More »

Taratibu Watanzania nje ya nchi kupiga kura hazijakamilika

SERIKALI imesema, bado inaangalia uwezekano kwa Watanzania waishio nje ya nchi, kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zijazo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 23 Mei 2019, bungeni jijini Dodoma ...

Read More »

Wazambia wamuaga Sata

MAELFU kwa maelfu ya wananchi wa Zambia, wameshiriki katika kumuaga aliyekuwa kiongozi wao mkuu, Rais Michael Chilufya Sata. Rais Satta aliyefariki dunia 28 Oktoba, mjini London, nchini Uingereza, ambako alikwendwa ...

Read More »

Sitti Mtemvu atema taji Miss Tanzania 2014

TUHUMA za kufanya udanganyifu, ikiwemo kughushi umri, ili kushiriki shindano la kutafuta mrembo wa Taifa – Miss Tanzania 2014 – zimemgharimu Sitti Mtemvu ambaye sasa amelivua taji. MwanaHALISI Online limeiona ...

Read More »

‘Toa chakula tujenge maabara’

VIONGOZI wa halmashauri nchini wanahaha kukamilisha utekelezaji wa agizo la Rais Jakaya Kikwete la kujenga maabara tatu katika shule za sekondari za kata. Lakini Halmashauri ya Jiji la Mwanza imefuja ...

Read More »

Uteuzi CCM, ni rushwa, uhasama

UHASAMA wa kuwania madaraka kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza kujionyesha wazi katika maandalizi ya chama hicho kupata wawakilishi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, utakaofanyika 14 Desemba mwaka huu. ...

Read More »

Tunzo ya mwanamke jasiri duniani

TAASISI  ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement (TWA)  wamezindua rasmi Tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania ambazo zitafanyika Machi 7, 2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake. Akizungumza na waandishi wa habari, Rais wa shirika hilo, Irene Kiwia, alisema kuwa tunzo hizo pia ...

Read More »

Kidato cha nne kuanza mtihani Jumatatu

NAIBU Waziri wa Elimu na Ufundi, Jenista Mhagama amewataka maofisa watakaosimamia mitihani ya kidatu cha nne mwaka huu, kutoruhusu kuwapo kwa udanganyifu, imefahamika. “…natoa wito kwa maafisa elimu wote wa ...

Read More »

Katiba ya Sitta mgogoro mtupu

KATIBA Mpya Inayopendekezwa haiwezi kupenya kura ya maoni Visiwani Zanzibar, MAWIO limeelezwa. Taarifa kutoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM); Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ...

Read More »

‘Kitabu cha Sitta,’ kitabomoa taifa

SASA hakuna katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano – ile iliyokusudiwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 ya mwaka 2011. Kilichovunwa kwa siku 124 mjini Dodoma na ...

Read More »

Katiba Mpya: Wanawake mnasheherekea kilio

KATIBA pendekezi, tayari imepitishwa na Bunge Maalum, lililokuwa chini ya Samwel Sitta. Miongoni mwa walioonyesha furaha, ni baadhi ya wanawake hasa kuhusu suala la usawa wa jinsia bungeni, maarufu kama ...

Read More »

Mwambene: Hakuna mwenye hati miliki ya nchi?

UHUSIANO wa gazeti la MAWIO na serikali – Idara ya Habari Maelezo – ni wa mashaka. Ni bahati njema, tunafahamu kwa undani kinachosababisha uhusiano huo kuwa mbaya. Ni msimamo wa ...

Read More »

Mtibwa, Azam mwendo mdundo, Simba yakabwa tena nyumbani

MTIBWA Sugar imepata ushindi wa pili mfululizo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuichapa Ndanda FC ya Mtwara mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa kwenye jana kwenye Uwanja wa ...

Read More »

Bunge Maalum lisipuuze maoni ya wananchi

BUNGE Maalum la Katiba “limenyofoa” maoni ya wananchi na kuingiza ibara zenye maslahi ya wabunge wa chama cha CCM. Wakiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Wanaharakati wa ...

Read More »

Msimamizi mifuko ya hifadhi asema hali nzuri

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA), Irene Isaka amesema si kweli kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya kifedha. Ingawa ...

Read More »

Viongozi wa dini wamewasaliti wananchi

KATIKA maandiko matakatifu kwa maana ya Biblia Takatifu alikuwepo nabii aliyeitwa Yohana Mbatizaji. Huyu alikuwa mnyenyekevu, na mpole lakini aliyezungumza kwa sauti kali pale alipokuwa anakemea maovu na kwa watenda ...

Read More »

Katiba inaandikwa kwa mtutu wa bunduki

KATIBA Mpya ya Jamhuri ya Muungano, sasa inaandikwa kwa nguvu ya mtutu wa bunduki, MwanaHALISI Online linaweza kuripoti. Taarifa kutoka mjini Dodoma zinasema, maeneo yote yanazonguuka jengo la Bunge yamezingirwa ...

Read More »

Ndanda waanzia kileleni Ligi Kuu, Yanga hoi Moro, Simba leo Taifa

WAGENI wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Ndanda FC wameanzia kileleni kufuatia ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wenyeji Stand United Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Ndanda imekaa kileleni ...

Read More »

Ugaidi na hoja nzito ya Muungano

SI rahisi kuona kama jambo linalobishaniwa na wanasheria, linalohusu Wazanzibari kukamatwa Zanzibar lakini wakashitakiwa Tanzania Bara, linaweza kuwa na mvuto mkubwa. Linao. Ndio maana kwenye baraza za mjini Zanzibar, linajadiliwa ...

Read More »

Tunajitaji rais bora, siyo bora rais

UCHAGUZI mkuu wa rais, wabunge na madiwani unakaribia kufanyika. Lakini jambo moja ni muhimu: Taifa linahitaji rais atakayejenga nidhamu miongoni mwa raia. rais mwenye uwezo na uthubutu wa kuwaunganisha wananchi ...

Read More »

Waraka wa Dk. Chami umesheheni upotoshaji

MBUNGE wa Moshi Vijijini (CCM), ametoa andishi alilolituma kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), akilalamikia madhehebu ya Kikristo kukosoa uendeshaji wa Bunge Maalum la Katiba. Waraka wa ...

Read More »

Wajumbe feki wa BMK wambeba Sitta

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, wanaojiita kutoka taasisi za kidini, wamepata ujira mpya. Wanamtetea kwa nguvu zote, Samwel Sitta, mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Katika mradi wao huu, ...

Read More »

CCM hakina mvuto tena

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na mtihani mkubwa wa kusambaratika. Wala wanaochangia muanguko wa chama hiki si watu walioko nje ya chama, kwa kweli ni makada wake, wengine wakiwa ndio ...

Read More »

Kesi ya padre Mushi mtegoni

OKTOBA 3 mwaka huu inaweza kuwa siku ya mwisho kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) wa Zanzibar kutoa kisingizio cha kutokamilika kwa upelelezi wa kesi ya mauaji ya Padre Evarist Mushi ...

Read More »
error: Content is protected !!