Ufupi

NEWS-IN-BRIEF: 2 paragraphs.

Burkina Faso: Viongozi wa jeshi wagombania nafasi ya kutawala nchi

Mgawanyiko umetokea kati ya makamanda wa jeshi juu ya nani anaongoza nchi kufuatia kujiuzulu kwa Rais Blaise Compaore aliyekuwa madarakani kwa miaka 27 kufuatia shinikizo la maandamano na fujo zilizofanywa ...

Read More »

Obama kushambulia ISIS kutoka angani

Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza rasmi mvua ya mabomu dhidi ya Dola ya kiislam (ISIS) iliyojitwalia kwa mabavu maeneo ya mipaka ya nchi za Siria na Irani na kuyatangaza ...

Read More »

JUKATA kufunga Bunge Maalum la Katiba

JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limelitaka Bunge Maalum la Katiba kusitisha shughuri zake ndani ya wiki mbili kuanzia June 12, 2014, vinginevyo litahamasisha wananchi kuandamna na kwenda mkoani Dodoma kufunga ...

Read More »

Mwalimu amwaga mimba kwa wanafunzi

Naibu Waziri wa Elimu, Philipo Mulogo

WANAFUZI watatu wa Shule ya Msingi Ussongo, kata ya Nyandekwa, wilayani Igunga mkoani Tabora, wamepatiwa ujauzito. Wanamtuhumu mwalimu wao, Baraka Samsoni. Wanafunzi wanaodai wamepewa ujauzito na Mwalimu Samsoni, ni  Christina Gordwin ...

Read More »

CCM imetaka yote, itakosa yote

Mgogoro wa madiwani Bukoba

BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema wakati wa uhai baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa hapa nchini, kuwa uwepo wa vyama vya upinzani hata kama ni vya ...

Read More »

Kikwete kumfukuza kazi Jaji Warioba

Jaji Warioba na Rais Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete akisaini muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba uliopitishwa na Bunge wiki mbili zilizopita, atakuwa amefukuza kazi Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba

Read More »

Mkono kufilisi nchi

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono

KAMPUNI ya mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono inadaiwa kulipwa na TANESCO, takriban shilingi 18 bilioni kwa huduma ya ushauri, MwanaHalisi Online limegundua. Nyaraka ambazo gazeti hili limeona zinaonyesha ...

Read More »
error: Content is protected !!