Saturday , 20 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

  JIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania, linatarajiwa kuvunjwa ili kuokoa fedha zinazotumika kuendesha jiji hilo wakati halina miradi ya maendeleo na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli anazindua Daraja la Juu la Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, leo Jumatano tarehe 24 Februari 2021, amezindua Daraja la Juu la Ubungo, jijini Dar es Salaam,...

MichezoTangulizi

Simba yaweka rekodi dhidi ya kocha wa Al Ahly

  USHINDI wa bao 1-0, dhidi ya Al Ahly walioupata Simba kwenye uwanja wa Mkapa, mchezo wa kundi A wa Ligu ya Mabingwa...

MichezoTangulizi

Simba yaifanyia mbaya Al Ahly

  BAO pekee la Luiz Miquison lilitosha kuiangamiza Al Ahly kwenye mchezo wa kombe la Ligu ya Mabingwa Afrika, katika mchezo uliofanyika kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango: Nililetwa hospitali na mtungi wa Oksijeni

  DAKTARI Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, ameeleza namna alivyokabiliana na tatizo la upumuaji, kwamba alifikishwa hospitali akiwa na...

Habari za Siasa

Uwekezaji si lazima pesa nyingi – Dk. Kitila

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwekeza, kwa kuwa uwekezaji si lazima kuwa na pesa nyingi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

CCM yapoteza mwenyekiti wake Simiyu

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo, amefariki dunia leo asubuhi Jumanne, tarehe 23 Februari 2021, Hospitali ya...

Habari za Siasa

Dorothy ‘akabidhiwa’ kiti cha Maalim Seif

  KAMAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu amekaimu rasmi kiti cha uenyekiti wa chama hicho, kilichokuwa kikishikiliwa na Hayati Maalim...

HabariTangulizi

Prof. Ndulu, gavana atakayekumbukwa kwa mengi

  ALIYEKUWA Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndullu (71), amefariki dunia. Prof. Ndullu, alizaliwa tarehe 23 Januari 1950. Anaripoti...

Habari za Siasa

Saa 72 za Magufuli Dar

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu, jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatano hadi Ijumaa, tarehe 26...

Habari za SiasaTangulizi

Mchakato kumtafuta mrithi Maalim Seif kuanza Alhamisi

  CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kitaanza mchakato wa kumpata mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad (77), kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza...

Habari

Mama Samia atoa wito uibuaaji fursa

  WAWEKEZAJI na wafanyabiashara nchini wameshauri wa kuibua fursa zinazofungamana na sekta ya madini ili ajili kukuza uchumi wa Taifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Gavana mstaafu BoT, Profesa Ndulu hatunaye

  ALIYEWAHI kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia leo Jumatatu tarehe 22 Februari 2021, katika...

AfyaTangulizi

COVID-19: Serikali yaja na mambo manane

  WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza mambo manane yanayoweza kumsaidia Mtanzania kujilinda na magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo...

Habari za Siasa

Pigo Chadema, yapoteza ‘kamanda’ wake

  EMMANUEL Lukmai, alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Bagamoyo amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Jitahadharini na corona

  RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujihadhari na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa wito...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aliwahi kupigwa mawe Zanzibar –Ismal Jussa

  SAFARI ya Maalim Seif Sharif Hamad, katika harakati za kisiasa Visiwani, haikuwa rahisi. Ilipitia milima na mabonde; miamba na miba; dhuroba na...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wazidi kukatika, Dk. Likwelile awafuata

  ALIYEKUWA katibu mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango, katika serikali ya Tanzania, Dk. Servasius Beda Likwelile, amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea)....

Habari za Siasa

Chanzo kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

  ALIYEKUWA Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi (64), amefariki dunia kutokana na maradhi ya moyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Likwelile afariki dunia

  ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Servacius Likwelile, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atoboa siri yake na Balozi Kijazi

  SAFARI ya ushirikiano baina ya Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli na aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wake, Balozi John Kijazi, ilianza tangu...

Habari za Siasa

Waziri Mpango mgonjwa, Magufuli asoma ‘sms’ aliyotumiwa

  JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amelazimika kusoma hadharani ujumbe aliotumiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, ili kukanusha taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asema Maalim Seif alifitinishwa

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, aligoma kukubali wito wa kukutana na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangaza siku tatu za maombi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ametangaza siku tatu za maombi kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili tarehe 21 Februari 2021, ili Mungu atokomeze...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aongoza Watanzania kumuaga Balozi Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewaongoza waombolezaji, kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (64), aliyefariki dunia tarehe 17...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif alivyoacha pigo ACT-Wazalendo, Zitto asema…

  KIFO cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, kilichotokea Jumatano tarehe 17 Februari 2021, katika Hospitali ya Taifa...

Habari za Siasa

Maneno ya mwisho ya Maalim Seif kwa Zitto

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, wosia wa mwisho aliopewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad,...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ahitimisha safari ya miezi 927 duniani

  MAALIM Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amehitimisha safari yake ya miezi 927 duniani. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari

Nape aibiwa bastola Dar, yapatikana Mbeya

  BASTOLA ya Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM) iliyoibwa tarehe 15 Februari 2021, katika eneo la Kawe Beach, jijini Dar es Salaam,...

Habari za Siasa

Lowassa: Maalim Seif ameacha ombwe kubwa

  WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowassa amemtaja Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba alikuwa mwanasiasa...

Habari

Hospitali ya Aga Khan matatani, Polisi waichunguza

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linaichunguza Hospitali ya Aga Khani, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma...

Tangulizi

NEC yamteua diwani NCCR-Mageuzi

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), imemteua Renatha Lihange Mizungo, kuwa Diwani Viti Maalumu kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Kigoma....

Habari

Mwili wa Balozi Kijazi waagwa Dodoma, kuzikwa J’mosi Tanga

  MWILI wa Katibu Mkuu Kiongozi nchini Tanzania, Balozi John Kijazi, umeagwa leo Alhamis tarehe 18 Februari 2021, katika Hospitali ya Benjami Mkapa,...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba afukua ya Maalim Seif mwaka 1975

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemueleza Maalim Seif Sharif Hamad kwamba Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilimzuia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kikwete aongoza maelfu ya wananchi kumuaga Maalim Seif

RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameongoza maelfu ya wananchi jijini Dar es Salaam, katika ibada ya swala ya maiti ya mwanasiasa...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi John Kijazi afariki dunia

  KATIBU Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za Siasa

Maalim Seif kuzikwa leo Z’bar

  MWILI wa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, aliyefariki leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...

Habari za Siasa

Simba, Yanga zamlilia Maalim Seif

  TIMU za Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, zimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Jabali la siasa lililoanguka

  MWAMBA wa kisiasa na vuguvugu la demokrasia barani Afrika, umeanguka rasmi na hauwezi tena kurejea ulingoni. Ni Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yaomboleza kifo cha Maalim Seif

  UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umesema, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (77), alikuwa kiongozi anayeweka mbele watu...

Habari

Tufanye toba – Maaskofu TEC

  BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limewataka waumini wake kufanya toba ya kweli ili kubadili mioyo mibovu. Anaripoti Ragina Mkonde, Dar es...

Habari

Kifo cha Maalim Seif: Magufuli atangaza siku 3 za maombolezo

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Jumatano tarehe 17 Februari 2021, ambapo bendera zote zitapepea...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: Ni uchungu kumpoteza Maalim Seif

  CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeshtushwa na kifo cha mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad, kilichotokea leo Jumatano tarehe 17 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amlilia Maalim Seif

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliywekuwa Makamu wa Kwanza wa...

HabariTangulizi

BREAKING NEWS: Maalim Seif afariki dunia

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad (77), Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar, kilichotolea leo Jumatano...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maaskofu Katoliki: Siasa za ubinafsi zinaleta manung’uniko

  BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika...

HabariTangulizi

Waziri Aweso awafyeka vigogo wa maji

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi...

Habari za Siasa

Magufuli amtumbua DED Kinondoni

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni (DED) jijini Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mwamakula aachiwa kwa dhamana

JESHI la polisi jijini Dar es Salaam, limemuachia kwa dhamana, Askofu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la COVID-19: Askofu Niwemugizi ataka ukweli uanikwe

  SEVERINE Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara amehoji, “changamoto ya upumuaji ni kitu gani?” Anaripoti Mwandishi Wetu, Ngara…(endelea). Askofu Niwemugizi amehoji...

error: Content is protected !!