Saturday , 20 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari

Spika Ndugai: Mama Samia hatabiriki

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amewataka wateule wa Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuchapa kazi kwani kiongozi huyo...

Habari za Siasa

Dk. Mpango atoa maagizo kwa Mwigulu, Jafo

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, kuongeza mapato ya nchi kutoka...

Habari za Siasa

Mrithi wa Dk. Bashiru aeleza alivyopokea taarifa za uteuzi

  KATIBU Mkuu Kiongozi wa Tanzania, Balozi Hussein Athuman Kattanga, amesema, taarifa za uteuzi wa nafasi hiyo, alizipata akiwa Uwanja wa Ndege wa...

Habari za Siasa

Rais Samia kupangua makatibu wakuu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, atafanya mabadiliko ya makatibu wakuu wa wizara mbalimbali hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaonya wanaousaka urais 2025

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kwa wanasiasa walioanza kujipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 akisema “kila...

HabariTangulizi

Rais Samia awaapisha viongozi aliowateua

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua akiwemo Balozi Hussein Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Tangulizi

Kilio Katiba Mpya chatua UNHRC

  ASASI za Kiraia nchini Tanzania, zimewasilisha kilio cha upatikanaji wa Katiba Mpya katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yasusa uchaguzi Muhambwe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa madai  hautakuwa huru na haki. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mawaziri watatu hawajaguswa tangu 2015 

  LICHA Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko mara kadhaa tangu mwaka 2015, mawaziri watatu na naibu waziri mmoja bado hawajaguswa. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru, wenzake waapishwa bungeni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu akiwemo Dk. Bashiru Ally. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Walioapishwa ni;...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, kwa kuteua mawaziri na manaibu waziri wapya. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk Mpango: Sitakua kama Yuda, niko tayari nitume

  MAKAMU mpya wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuahidi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuwa katika utekelezaji wa majukumu...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru akaa Ikulu siku 32, apewa ubunge

  DAKTARI Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, amehudumu nafasi hiyo nyeti ndani ya Ikulu ya Tanzania kwa siku 32. Anaripoti Matrida Peter,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango aapishwa makamu wa Rais Tanzania

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amemwapisha Dk. Philip Isdor Mpango, kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari

Serikali yatangaza neema makato mikopo ya elimu ya juu

  SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kufanyia mapitio kanuni za sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, ili kuondoa changamoto ya makato...

Habari za Siasa

Nape ataka elimu bure ifumuliwe, Silinde amjibu

  MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, ameishauri Serikali ya Tanzania, ifanyie marekebisho sera ya elimu bila...

Habari

Milioni 128 waambukizwa corona duniani

  MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19), duniani yamefikia milioni 128.8, waliopona milioni 103.9 na waliofariki dunia wakiwa milioni 2.8. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari za Siasa

Mkutano mkuu CCM Aprili 30, Dk. Samizi …

  MKUTANO mkuu maalum wa chama tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), utafanyika tarehe 30 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Mjadala Katiba mpya wawagawa wabunge

  WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamegawanyika juu ya mchakato wa Katiba mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Walikuwa wakichangia...

HabariTangulizi

Takukuru tumekuta milioni 8.5 kwa bosi wa bandari

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, imesema imepekua nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi wanne

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wanne. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Uteuzi huo, ameufanya...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji alikozaliwa, zikwa Mwalimu Nyerere kukosa maji

  MBUNGE Viti Maalumu asiye na chama bungeni, Agnesta Lambart, amehoji lini Serikali itapeleka majisafi na salama katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara,...

Habari za Siasa

Mfahamu Dk. Philip Mpango

  DAKTARI Phillip Isdor Mpango, mtaalamu wa masuala ya uchumi aliyependekezwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan, alizaliwa...

Habari za Siasa

Dk. Mpango kuendeleza miradi ya Magufuli

  MAKAMU wa Rais mteule wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, ameahidi kuiendeleza miradi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, ili...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Dk. Mpango amepoteza sifa ya ubunge, NEC…

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuwa Jimbo la Buhigwe, mkoani Kigoma liko wazi...

Habari za Siasa

Dk. Mpango kuapishwa kesho Ikulu-Dodoma

  DAKTARI Philip Isdor Mpango, kesho Jumatano tarehe 31 Machi 2021, saa 9:00 alasiri, ataapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Habari za Siasa

Wabunge wamchambua Dk. Mpango, wampongeza Rais Samia

  WABUNGE wa Tanania wamemchambua Dk. Philip Mpango (63), kuwa ni mtu sahihi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....

Habari za Siasa

Alichokisema Dk. Mpango baada ya kupendekezwa kuwa makamu wa Rais

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania mteule, Dk. Phillip Mpango, ameahidi kulitoa Taifa katika uchumi wa kati hadi uchumi wa juu katika kipindi...

Habari za Siasa

Bosi Bandari mikononi mwa Takukuru

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, inamshikilia aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit Kakoko, kwa uchunguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ampendekeza Dk. Mpango kuwa makamu wa Rais

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Jina hilo,...

HabariTangulizi

Mambo 6 yajayo Bunge la Bajeti

  SAFARI ya siku zaidi ya 90 ya mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaanza kesho Jumanne saa 3:00 asubuhi,...

HabariTangulizi

Toba ya UVCCM yaibua mjadala

  HATUA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuwaomba radhi Watanzania, imewaibua wanasiasa na wanaharakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

HabariTangulizi

NGO’s zamuahidi Rais Samia mambo 18

  ASASI za Kiraia (AZAKI) na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania, zimemuahidi mambo 18, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan,...

HabariTangulizi

Kufungiwa akaunti: THRDC wampa neno Rais Samia

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia...

Habari

Chadema kubadili msimamo Jimbo la Muhambwe? Mkosamali…

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitaamua ndani ya saa 48, kuanzia leo Jumatatu, kama kitajitosa katika uchaguzi wa ubunge wa Muhambwe,...

Habari

Asasi za kiraia Tanzania zamwangukia Rais Samia

ASASI za kiraia (AZAKI) nchini Tanzania, zimeomba kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kujadiliana nae masuala mbalimbali ikiwemo ufufuaji wa...

Habari za Siasa

UVCCM wawaangukia Watanzania, wataka yaishe

  UMOJA wa Vijana wa Chama tawala Tanzania (UVCCM), umewaomba radhi Watanzania kwa kauli na matendo waliyotoa katika utawala uliopita wa Hayati John...

Habari za Siasa

Rais Samia amuibua Lissu

  HATUA ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, ili...

Habari za Siasa

Maagizo ya JPM yamweka matatani Jafo, Rais Samia amtahadharisha

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo kusema kama ameshindwa kudhibiti upotevu wa fedha kwenye wizara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mifumo ya ukusanyaji mapato kufumuliwa

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameagiza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato ya Serikali, kufumuliwa mara moja, ili kudhibiti mianya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Samia aomba ripoti fedha zilizotolewa hazina Januari-Machi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amtumbua kigogo TPA

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kupokea ripoti za CAG, Takukuru

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumapili tarehe 28 Machi 2021, atapokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

Habari za Siasa

NEC: Uchaguzi jimbo la Muhambwe Mei 2

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma ambao utafanyika tarehe 2 Mei...

Habari

Mbatia: Ashauri Majaliwa ajiuzulu uwaziri mkuu

  JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Janeth Magufuli, ameonesha njia Ikulu

  JANETH, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejiandikia historia yake. Haiba yake, haifanani na watangulizi wake, katika nafasi hiyo,...

Habari za Siasa

Mbatia amzungumzia Hayati Magufuli “alichangia harusi yangu”

  WAKATI maelfu ya wananchi wakishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, yaliyofanyika nyumbani kwao, Chato, mkoani Geita, viongozi mbambali...

Habari za Siasa

Mdee, Matiko walivyomzungumzia Hayati Magufuli

  WABUNGE viti maalumu, Halima Mdee na Esther Matiko wamemchambua aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. John Magufuli (61), wakisema alikuwa kiongozi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kitabu cha John Magufuli chafungwa rasmi

  WEWE ni mavumbi na mavumbini utarudi. Ndivyo unaweza kusema, baada ya mwili wa Dk. John Pombe Joseph Magufuli, kulazwa kwenye nyumba yake...

Habari

Kikwete akumbusha alivyombeba Magufuli 2015

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameeleza ugumu aliopitia katika kumpitisha Hayati John Pombe Magufuli (61), kuwa mgombea urais wa Chama...

error: Content is protected !!