Thursday , 18 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujenzi, Madini meza moja na Barrick

WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi, imeeleza kwamba itakaa meza moja na Wizara ya Madini pia Kampuni ya Barrick ili kujadili ujenzi wa Barabara...

Habari za SiasaTangulizi

TLS waanza kumsaka rais wao

  WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wameanza kujitokeza katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa ngazi za juu za...

HabariSiasaTangulizi

Uchaguzi wa TLS, waibuka na ‘sakata’ la Richmond

  KINYANG’ANYIRO cha kuwania urais ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeibua siri mpya ya “sakata la mkataba tata” wa kufua umeme...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima aeleza kiini cha nchi kukwama

  ASKOFU Josephat Gwaji, Mbunge wa Kawe, Dar es Salaam amesema, Afrika ikiwemo Tanzania haziwezi kuendelea kwa kuwa, hazina utaratibu wa kuendeleza agenda...

Habari za Siasa

Nape: Kukosoa ni silaha, si udhaifu

  NAPE Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM), amesema kwa mujibu wa chama hicho, tabia ya kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na...

Habari za Siasa

Shule sasa kuvuna maji ya mvua

  WIZARA ya Maji kwa kushirikiana na Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI), watakutana kuweka mkakati wa kuhamasisha shule kujenga gata...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali, TLS kukaa meza moja

  Serikali ya Tanzania imewaita mezani viongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa ajili ya kujadili namna ya kuimarisha mahusiano ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Hoseah: Wakiniacha nitawashangaa

  DAKTARI Edward Hoseah, Mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema atashangaa wanachama wa chama hicho wasipomchagua, kwani anawafaa katika...

Makala & Uchambuzi

Askofu Dk. Bagonza: TLS imara ni Hoseah

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, amekitaka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba: Rais Samia alenge Tuzo ya Mo Ibrahim

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, katika utawala wake kulenga Tuzo ya Mo Ibrahim....

Habari MchanganyikoTangulizi

TLS, wagombea urais wavutana

  WAKATI baadhi ya wagombea wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wakijinadi kuthibiti mapato na matumizi  kwenye chama hicho, Kaleb Gamaya ambaye...

Habari za Siasa

Mbunge CCM aivimbia serikali

  NICODEMUS Maganga, Mbunge wa Mbogwe kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM), amegomea majibu ya serikali, kwamba jimboni kwake serikali imechimba visima virefu vya...

Tangulizi

Fukuto lapanda uchaguzi TLS

  CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wa Kanda na Umoja wa Vijana Wanasheria. Anaripoti Regina Mkonde, Arusha …...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Elimu ya sheria kutolewa nchini

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Katiba na Sheria amesema, serikali ina mpango wa kutoa elimu ya sheria kwa makundi yote ya kijamii ili...

Habari za Siasa

CAG apekua BoT

  FEDHA zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kutumika kati ya Januari na Machi mwaka huu, zimeanza kuchunguzwa. Anaripoi Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Hayati Magufuli atetewa bungeni

  LIVINGSTON Silinde, Mbunge wa Mvumi (CCM), ameeleza kukerwa na watu wanaomsema vibaya Hayati John Magufuli. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amesema, anashangazwa...

Habari za Siasa

Ndege tatu mpya kutua nchini

  NDEGE tatu zitatua nchini muda wowote baada ya Serikali ya Tanzania, kukamilisha malipo ya ununuzi wa ndege hizo tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Tutaenzi maono ya Rais Magufuli – Waziri Majaliwa

  KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, serikali itaenzi na kuendeleza jitihada, maono na juhudi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano,...

Habari za Siasa

Wavuvi kicheko, TAFICO kufufuliwa

  SERIKALI imeeleza, ipo kwenye mpango wa kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...

Habari za Siasa

Tozo za bandari kupitiwa upya

  SERIKALI imeeleza, kwamba itafanya vikao na wadau wa bandari ili kuangalia tozo zinazotozwa baada ya kulalamikiwa na wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Mdee ageukwa, Spika Ndugai ‘aokoa’ jahazi

  WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ama wamemchoka Halima Mdee, mbunge asiye na chama bungeni au wamekerwa na kauli yake, aliyosema ‘kuna...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa ujumbe wa Ramadhani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Waislamu wote nchini humo, kutumia kipindi hicho, kufanya toba na kuiomba nchi hiyo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amjibu Mbowe

HOTUBA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ‘imemkera’ Spika wa Bunge, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kwa...

Habari za Siasa

Mzee Mwinyi: Rais Samia ameanza vizuri, tumsaidie

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa nchi hiyo, Ali Hassan Mwinyi huku...

Habari za Siasa

Mto Ruvuma kuzalisha umeme

  MAJI ya Mto Ruvuma, yapo kwenye mpango wa serikali kutumika kuzalisha umeme. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na...

Habari za Siasa

Upembuzi barabara Kinyata kukamilika Sept

  KAZI ya upembuzi wa barabara ya Barabara ya Kinyata kutoka Nyamagana – Usagara, jijini Mwanza yenye urefu wa kilomita 22, inafanyika ili...

Habari za Siasa

Ni miaka 37 kicho cha Sokoine

  EDWARD Moringe Sokoine, aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania, amefikisha miaka 37 tangu alipofariki dunia, Alhamisi ya tarehe 12 Aprili 1984, katika ajali...

Habari za Siasa

Mbowe ataja mambo mawili magumu ya JPM

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema atamkumbuka aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, Hayati Dk....

Habari za Siasa

CCM, wastaafu watakiwa kutubu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  kimewataka viongozi wastaafu na walioko madarakani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  na wa serikali, kuwaomba radhi...

Habari za Siasa

Chadema wabisha hodi Ikulu

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema chama hicho kimemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kuomba kukutana naye....

Habari za Siasa

Chadema kuanza operesheni nchi nzima

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinakusudia kuanza operesheni nchi nzima. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na Watanzania kupitia mitandao...

Habari za Siasa

Iundwe Tume ya Majaji ifanye uchunguzi – Zitto

  ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ya Majaji, ili kuchunguza fedha ‘zilizolipwa’ na watuhumiwa...

Habari za Siasa

Askofu Kinyaiya: Rais Samia ana busara

  ASKOFU Mkuu, Jimbo Kuu la Katoliki Dodoma, Beatus Kinyaiya, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kwamba ni kiongozi shupavu, mkakamavu, jasiri, mtenda haki,...

Habari za Siasa

Zitto aanza kufukua makaburi

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Taifa linalipa gharama ya kuendesha nchi gizani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Zitto...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amuomba radhi CAG Kichere

  ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemuomba radhi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za SerikalI (CAG), Charles Kichere kufuatia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Prof. Assad wapenyeza ‘sms’ Ikulu

  TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Prof. Mussa Assad, aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kenyatta atuma ujumbe Tanzania, Samia atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, amewataka mawaziri na wataalamu wa Tanzania na Kenya wanaounda Kamati ya Ushirikiano wa Pamoja, kukutana mara moja ili kufanyia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Gazeti la MwanaHALISI lawakutanisha Waziri Bashungwa, Kubenea

  WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, amekutana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea kuzungumzia tasnia...

Habari

Mama mzazi wa IGP Sirro afariki dunia

MONICA Nyabyamari, mama mzazi wa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) wa Tanzania, Simon Sirro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, tarehe 10...

Habari za Siasa

CCM wataka NDC ing’olewe miradi Mchuchuma, Liganga

  WABUNGE wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), halina uwezo wa kuendeleza mradi wa chuma cha...

Habari za Siasa

Mrithi wa Dk. Mpango Buhigwe kupatikana 16 Mei

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe 16 Mei 2021, kufanyika kwa uchaguzi mdogo jimbo la Buhigwe, mkoani Kigoma na kata...

Habari za Siasa

NEC yaahirisha uchaguzi Muhambwe, yasitisha kampeni

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetangaza kuufuta uchaguzi mdogo wa ubunge wa Muhambwe, mkoani Kigoma uliokuwa ufanyike 2 Mei...

Habari za Siasa

Nishati: Prof. Muhongo aionyesha njia serikali

  PROFESA Sospeter Muhongo, Mbunge wa Musoma Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameshauri serikali kujikita katika miradi ya nishati mchanganyiko, badala ya...

Habari za Siasa

Wastaafu  wapigwa hela za mafao 400 Mil., Serikali yaingilia kati

  MBUNGE wa Jang’ombe visiwani Zanzibar, Ali Hassan King, amefikisha bungeni kilio cha wastaafu 103, walioibiwa fedha zao za mafao Sh. 400 milioni...

Habari za SiasaTangulizi

CAG abaini madudu CCM, Chadema na CUF

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), nchini Tanzania kwa mwaka 2019/20, imebaini kasoro kwa vyama vya siasa...

Habari za Siasa

CAG ahofia NIDA kupata hasara bilioni 3

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ameonyesha wasiwasi kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), kupata hasara...

Habari za Siasa

Mamilioni yapigwa kituo mabasi mwendokasi – CAG

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2019/2020, imebaini kituo cha mabasi cha yaendayo haraka cha...

Habari za Siasa

Miradi ya uwekezaji yapungua kwa miaka mitano- CAG

  CHARLES Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema miradi mipya inayosajiliwa katika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), imepungua...

Habari za Siasa

CAG abaini ubadhirifu bilioni 23.8 h/mashauri 59, atoa maagizo Takukuru

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini ubadhirifu wa Sh.23.8 bilioni, katika halmashauri 59. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

TRA ilishindwa kukusanya Sh. 17.28 Bil, 2019/20-CAG

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2019/2020, imebaini Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ilishindwa kukusanya...

error: Content is protected !!