Categorizing posts based on type of post
WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan, akisema Serikali imeongeza kodi ya Sh. 100 kwa kila lita moja ya mafuta, ili ipate fedha za...
By Regina MkondeJuly 8, 2021MWENYEKITI wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania- NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema chama chake hakitarudi nyuma katika harakati za kudai Katiba...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewaomba viongozi wa dini nchini humo, kutokutumia nafasi zao kufanya siasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro…(endelea). Rais...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaagiza wabunge wote wa Bunge wa chama hicho, kurejea...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kudumisha amani na kuwaepuka walioanzisha “vichokochoko” kuwapuuza kwani hawawatakii mema. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2021MKAZI wa Kijiji cha Kinole, Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania, Abdallah Mohammed, amejishindia gari jipya aina ya Toyota Fortuner yenye thamani ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 7, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwalika Rais wa Marekani, Joseph Biden kutembelea nchini humo ili kuzidi kuimarisha uhusino uliopo kati ya...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) Taifa, Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitabadili msimamo wake wa kumfukuza Halima Mdee na...
By Regina MkondeJuly 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema zaidi ya Sh. 600 bilioni, zitakazotokana na kodi mpya ya mitandao ya simu, zitatumika katika utekelezaji miradi ya...
By Regina MkondeJuly 7, 2021TIMOTHEO Paul Mzava, mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), amelitishia gazeti la Raia Mwema, kuwa atalifikisha mahakamani kwa madai ya kuchapisha “habari za...
By Hamisi MgutaJuly 6, 2021KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Mselem Ali Mselem amesema hatoweza kujitosa katika mjadala wa Katiba mpya,...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa Sh.10 milioni kwa wafanyakazi bora wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) wa...
By Jonas MushiJuly 6, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amewakosea Watanzania, kufuatia msimamo wake wa kuweka...
By Hamisi MgutaJuly 6, 2021ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amewashauri watu wanaotaka au kupinga...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2021DAKTARI Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibua mjadala makali wa mchakato wa...
By Masalu ErastoJuly 5, 2021NI takribani mwaka na nusu sasa, dunia inateseka kutokana na ugonjwa wa Covid-19, ambao historia inaonesha ulianzia katika mji wa Wuhan nchini...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021BAADA ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kuanza harakati za kudai katiba mpya, Baraza la Wanawake la...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anatarajiwa kuburuzwa mahakamani kesho Jumanne, tarehe 6 Julai 2021, kufuatia kuibuka kwa mgogoro katika ndoa...
By Hamisi MgutaJuly 5, 2021KUFUATIA klabu yake ya Simba kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga, kwa bao 1-0, Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara ameahidi...
By Kelvin MwaipunguJuly 5, 2021MARA baada ya kufanyika kwa mchezo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Simba ambao walikuwa wenyeji mbele ya Yanga na...
By Kelvin MwaipunguJuly 5, 2021KAULI ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali ya kutaka kumnyoa kwa wembe Rais Samia Suluhu Hassan, imezua...
By Hamisi MgutaJuly 4, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza uongozi wa shule, vyuo na taasisi za elimu zenye wanafunzi wengi, ziweke utaratibu wa kuingia kwa awamu ‘Shifting’,...
By Regina MkondeJuly 4, 2021INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka wenyeviti na watendaji wa Serikali za Mitaa, kuibua vitendo vya uhalifu...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2021TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya watani zao Simba, katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021MWANAMKE anayedai kuwa ni mchumba, aliyezaa na kuishi na mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Timotheo Mnzava, anamtuhumu Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili...
By Hamisi MgutaJuly 3, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, imetaka Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, kujikita katika kuandaa ripoti...
By Danson KaijageJuly 3, 2021MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imetoa mwongozo wa kesi ya zuio la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), isikilizwe...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewataka wananchi kila mmoja kwenye nafasi yake, kuhakikisha anatumia muda alionao kufanya mambo yatakayoacha alama pindi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam nchini Tanzania, leo Ijumaa saa 6:00 mchana, itatoa hukumu ndogo ya ama kuzuia uchaguzi wa...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema chama hicho kikitengeneza utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara kwa...
By Regina MkondeJuly 2, 2021KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amekula kiapo cha kusaka katiba mpya, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025....
By Regina MkondeJuly 2, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisikatae marekebisho ya...
By Regina MkondeJuly 1, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekataa ombi la Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan la kutaka...
By Regina MkondeJuly 1, 2021MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na...
By Kelvin MwaipunguJuly 1, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ripoti ya matumizi ya...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuweka kiporo suala la Katiba Mpya na kuendeleza zuio la mikutano ya hadhara ili...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iondoe changamoto za kikodi zinazokabili Asasi za Kiraia nchini (Azaki). Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 1, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi, kimemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kuufikilia upya uamuzi wake kuhusu suala...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA)...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ameahirisha shughuli za Bunge la 12 la Tanzania leo Jumatano, tarehe 30 Juni 2021, jijini Dodoma...
By Hamisi MgutaJune 30, 2021WAKATI wanasiasa, wanaharakati na wasomi wa kada mbalimbali nchini Tanzania, wakitaka mchakato wa Katiba Mpya uendelee, Job Ndugai, Spika wa Bunge la...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Dk Bashiru Ally amesema, unafiki na kukosekana uzalendo kwa baadhi ya watu ni sababu ya mambo yanayokwamisha kufikia malengo....
By Mwandishi WetuJune 30, 2021HATUA ya 16 ya michuano ya Euro imemalizika jana, kwa kigogo mwengine wa soka barani humo, timu ya Taifa ya Ujerumani kutupwa...
By Kelvin MwaipunguJune 30, 2021KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imepitisha jina la Wallace Karia kuwa mgombea peke kwenye uchaguzi mkuu...
By Kelvin MwaipunguJune 29, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, kimesikitishwa na kauli ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya...
By Masalu ErastoJune 29, 2021MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti...
By Masalu ErastoJune 29, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 hadi 2025/26, utakaogharimu Sh....
By Regina MkondeJune 29, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, ana mchango mkubwa katika safari ya maisha...
By Mwandishi WetuJune 29, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Habari-Maelezo nchini Tanzania, Gerson Msigwa amesema, wako tayari kutoa leseni kwa magazeti yote yaliyofungiwa ili yaanze kufanya kazi....
By Bupe MwakitelekoJune 29, 2021