Categorizing posts based on type of post
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dadi Horace Kolimba kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Karatu mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi...
By Kelvin MwaipunguDecember 4, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wafanya biashara wadogo wadogo ‘machinga’ kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kwa kuwa kazi ya kuwaondoa barabarani...
By Masalu ErastoDecember 4, 2021CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifute kesi zinazowakabili wanasiasa, ikiwemo ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia amesema kuna makundi yaliyopo ndani ya serikali ambayo yanaendekeza ubadhirifu na kugeuka kusema kwamba ufisadi na mambo ya hovyo yamerudi...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MOTO umewaka ndani ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), baada ya Rais Samia...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amekiandikia barua Chama cha Wananchi (CUF), akikitaka kijieleze dhidi malalamiko ya wanachama...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wasaidizi wake, kutowabudhudhi wawekezaji hususan wazawa kwani kufanya hivyo kunachelewesha fursa za ajira....
By Regina MkondeDecember 3, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, nchini Tanzania, imekubali ombi la mwandishi mwandamizi wa habari nchiniwanahabari mkongwe, Saed Kubenea, kuondoa...
By Kelvin MwaipunguDecember 3, 2021ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kutinga mahakamani, kesho Ijumaa, tarehe 3 Desemba 2021, ili kujibu...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatembelea mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Jaji Joseph Warioba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi maadhimisho ya sherehe za uhuru wa miaka 60 Tanzania Bara na kuwataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema ili nchi iondokane na upungufu wa sukari, inahitajika uongozi madhubuti katika kusimamia uzalishaji wake....
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amewaomba Watanzania washirikiane katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga...
By Regina MkondeDecember 1, 2021WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka husika kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kuwanyanyapaa na kuwabagua Watu Wanaoishi na Virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitumia salamu za pongeza timu ya taifa ya soka la wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, kila mwaka kuanzia 2022, wizara hiyo itakuwa ikitoa zawadi kwa wanafunzi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021ALIYEKUWA Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gabriel Samheta Mhina, akitoa ushahidi wake katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya...
By Regina MkondeDecember 1, 2021MJUMBE wa Kamati Kuu, ya Chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, iliyoachwa wazi na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kimesema, iwapo kila Mtanzania atawajibika na kufanya kazi kama yalivyo malengo, mipango na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021Serikali mkoani Mtwara imesema ipo tayari kuonesha ushirikiano zaidi na taasisi pamoja na wadau mbalimbali wenye nia thabiti na mipango inayolenga kuwasaidia...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi imayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamepinga upokeaji wa nyaraka za upande wa...
By Regina MkondeNovember 30, 2021MSHAMBULIAJI wa Psg na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya mchezaji bora...
By Kelvin MwaipunguNovember 30, 2021WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa amesema ipo katika mchakato wa kupima maeneo 96 ili kutatua migogoro ya ardhi iliyopo...
By Danson KaijageNovember 30, 2021BAADHI ya wazee wa kabila la Wachagga wamelaani kauli ya Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei aliyoitoa hivi karibuni Bungeni ya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021LEMBRUS Mchome, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) mkoani Kilimanjaro, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika kutimiza malengo ya Hayati Rais Dk. John Magufuli, Serikali itajenga mabweni, kuongeza nyumba za walimu, barabara na...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021HATUA ya kufunguliwa kesi mahakamani, kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda na mtu binafsi, kumeelezwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea barua ya utetezi katika kesi ndogo...
By Regina MkondeNovember 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amewasili saa 3 asubuhi ya leo...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021Rais Samia Suluhu Hassani amesema amekubaliana na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwamba mawaziri wa kisekta kutoka pande zote mbili wakutane haraka...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amesema Serikali ya Tanzania ameanza mazungumzo ya awali na Serikali ya Uganda kutekeleza mpango wa kupeleka gesi...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021SERIKALI za Tanzania na Uganda zimekubaliana mambo saba katika nyanja mbalimbali kwa lengo la kuimarisha uhusiano pamoja na ushirikiano wa nchi hizo...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MKUU wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, amewaomba wananchi watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama katika kukabiliana na...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021HATIMAYE Paulo Christian Makonda, ameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ba wenzake, wameiomba Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeNovember 26, 2021VIONGOZI wawili wa madhehebu ya Kikristo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo na Mkuu wa...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umemaliza kuwasilisha hoja zao za kupinga...
By Regina MkondeNovember 26, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amebaini kuwa ukuaji wa sekta binafsi umedorora kwa sababu mikopo haiendi sana kwenye sekta hiyo licha ya...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021MOHAMED Abdillah Ling’wenya, ambaye ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya ugaidi inayomkabili yeye na wenzake watatu akiwemo, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umeweka pingamizi dhidi ya kupokelewa kwa...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umefunga ushahidi...
By Regina MkondeNovember 25, 2021Dar es Salaam. Joto la mashindano ya kimataifa ya urembo ya Miss East Africa 2021 limeanza kupanda ambapo washiriki wa mashindano hayo...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021JUMLA ya wanafunzi 907,802 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha mwaka mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoNovember 24, 2021MKUU wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, Prof Shadrack Mwakalila amewataka wanafunzi wa chuo hicho kujiepusha na...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
By Regina MkondeNovember 24, 2021