Categorizing posts based on type of post
MKURUGENZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Erick Hamissi, anatajwa kuwa mmoja wa watuhumiwa muhimu kwenye mradi wa kitapeli wa...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2021JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewaonya mawakili wanaotumia mitandao ya kijamii, kushambulia utendaji wa mahakama na uamuzi unaotolewa na majaji....
By Regina MkondeDecember 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuanzisha mradi wa kuiuzia gesi Kenya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo Ijumaa, tarehe 10...
By Kelvin MwaipunguDecember 10, 2021MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, anewataka Watanzania wajiulize kama wana uhuru wa kweli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wanachama na wafuasi wa Chama cha Chadema, kuendelea kupasa sauti zao...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021WAKATI Tanzania Bara ikiadhimisha miaka 60 ya Uhuru, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali kutekeleza mambo manne muhimu ili kurudisha...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021MAKAMU Mwemyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amedai malengo ya wapigania uhuru Tanzania Bara, imesalitiwa katika kipindi cha miaka 60....
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga, Hamis Mgeja wakiwemo makada wengine, wazee wastaafu wa chama hicho na serikali, wamewataka...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021VIONGOZI wa Chama cha Chadema wilayani Kakonko, Kigoma takribani 18 na wanachama wao 35, wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo,...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021JUMLA ya Marais wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara...
By Gabriel MushiDecember 9, 2021BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) nchini Tanzania, limemuomba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo (IGP), Simon Sirro...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021JUMLA ya Marais wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021SERIKALI ya Tanzania, ameshauri kuwaondolea vishawishi majaji, ikiwemo kutowapa teuzi za nafasi za uongozi serikalini, ili watende majukumu yao kwa ufanisi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyofikiwa na Taifa katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, si haba japo kilele...
By Regina MkondeDecember 9, 2021HAPPY Birth Tanganyika. Ndiyo Tanganyika ama kwa sasa Tanzania Bara, leo Alhamisi, tarehe 9 Desemba 2021, inaadhimisha miaka 60 ya Uhuru. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Watanzania wengi hawayajui makucha ya wakoloni kwa kuwa walizaliwa baada ya uhuru wa Tanzania Bara...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021LEO Jumatano tarehe 8 Desemba 2021, saa 3:00 usiku, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari....
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021MWENYEKITI wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali imfutie mashtaka ya ugaidi kiongozi mwenzake wa kisiasa wa...
By Regina MkondeDecember 8, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejinasibu katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, kimefanikiwa kuenzi mfumo...
By Regina MkondeDecember 8, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema, kauli iliyotolewa na mbunge wake, Humphrey Polepole inajadiliwa...
By Regina MkondeDecember 8, 2021KATIBU Mkuu wa Shuraa ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema tatizo la wananchi kutokuwa na uhuru wa kufanya maamuzi ya kisiasa...
By Regina MkondeDecember 7, 2021MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, amesema, mtu anayedhani marekebisho ya katiba yaliyofanyika 1977, yanakidhi matakwa ya uendeshaji wa nchi...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayoshughulika na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameiomba Tanzania, ibadilishe msimamo wake wa kutoyafanyia kazi...
By Regina MkondeDecember 7, 2021RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watanzania kushirikia kikamilifu katika harakati za uwekezaji nchini badala...
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, ameomba neno haki, liongezwe katika wimbo wa taifa hilo, kwani...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Steven Munga, amewakingia kifua wachungaji sita....
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali nchini Tanzania, wamehimiza Watanzania kuwa walinzi wa haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Wito huo...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021RAIS mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume ameeleza kufarijika kuona namna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021MADAI mapya ya ufisadi yaliyoibuliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), hayawezi kumwacha salama,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021BODI ya Ligi kupitia kamati ya waamuzi, imemchagua Herry Sasii kuwa refa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021Mgombea urais nchini Kenya ameahidi mikopo ya kati ya Dola za Marekani 4,400 (Sh milioni 10.1) na 8,800 (Sh milioni 20.20) kwa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021DROO ya nane ya Kampeni ya ‘NMB Bonge la Mpango – 2merudi Tena,’ imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha, ambako Theofrida Masudi...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Mahakama ya Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkurugenzi wa gereza kuu la Kigali, Innocent Kayumba kwa kosa la kuiba...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021MKUU wa Wilaya ya Kinondoni (DC), jijini Dar es Salaam, Godwin Gondwe amewataka wanawake wajasiriamali, kusimamia malengo yao, kuboresha bidhaa wanazozalisha na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021WAANDISHI wa habari na watangazaji wamepata chanjo ya ugonjwa wa maambukizi ya korona (UVIKO-19), huku wakitakiwa kujali afya zao kwanza katika utendaji...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Elsewedy Electric East Africa Ltd kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Mhandisi Ibrahim Qamar amesema katika awamu ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza watendaji wake wawaoneshe wawekezaji kuwa nchi imebadilika, kwa kuwa imeboresha mazingira ya uwekezaji. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuna mambo yaliyoanishwa katika Ilani ya Uchaguzi wa 2020 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hataweza...
By Kelvin MwaipunguDecember 6, 2021BALOZI Fransic Mndolwa, ameshauri wanasiasa wa vyama vya upinzani wasichukiwe bali wapendwe, akisema wana msaada katika Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Kelvin MwaipunguDecember 6, 2021MGOGORO mwingine umelikumba Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya wachungaji watatu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, kumtuhumu Askofu wao,...
By Kelvin MwaipunguDecember 6, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa kuna makundi ndani ya Serikali yanaendekeza ubadhirifu na kuishutumu Serikali yake, imeibua wadau...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwapisha Profesa Adelardus Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na uchakavu wa vivuko vya sasa vinavyotoa huduma kati ya Kigamboni na Kivukoni (Ferry), Serikali imepanga...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Klabu ya Soka Simba imefuzu kwenda hatua ya makundi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kuambulia kipigo cha bao...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kuacha tabia kufungulia chemba za vyoo...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka sekta binafsi iweke kipaumbele na kuzingatia usawa wa kijinsia katika utoaji wa ajira hasa wanawake...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021BARAZA la Vyama vya Siasa, limezungumzia miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, likisema nchi ina Katiba nzuri, pamoja na mihimili iliyo...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameanika ubadhirifu wa kutisha katika mikataba ya ujenzi wa meli tano za Kampuni za kuhudumia Meli Tanzania (MSCL)...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dadi Horace Kolimba kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Karatu mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi...
By Kelvin MwaipunguDecember 4, 2021