Categorizing posts based on type of post
WAZIRI wa zamani wa maliasili na utalii nchini Tanzania, Balozi Khamis Kagasheki amemwomba Mwenyekiti wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022SHAHIDI wa Jamhuri, Innocent Ndowo (37) ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania kuwa, uchunguzi alioufanya wa mawasiliano...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesogeza mbele vikao vyake kikiwamo cha kamati kuu kutoka jana Jumanne, tarehe 18 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamemhoji Mchunguzi wa Kitengo cha Uchunguzi...
By Regina MkondeJanuary 19, 2022IMEELEZWA kuwa asilimia kubwa ya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini hawana utamaduni wa kuwa karibu na wananchi jambo linalowafanya washindwe kutambua mahitaji...
By Danson KaijageJanuary 19, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amekutana na viongozi wa idara ya kinga na kufanya mapitio ya pamoja kuhusu mafanikio, changamoto na vipaumbele...
By Danson KaijageJanuary 18, 2022JUMBE fupi za maneno (meseji), zinazodaiwa kuwa za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na baadhi ya washtakiwa wenzake, katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeJanuary 18, 2022MKE wa mfungwa, Lengai ole Sabaya, aitwaye Jesca Nassari (28) ameieleza Mahakama kuwa namba ya simu 0758707171 inayodaiwa kuwa ya Sabaya, amekuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MKAZI wa Nyamanoro, Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, Abdul Nassoro (49) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na jukumu zito la kufyeka wagombea 67 kati ya 70...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetambulishwa rasmi kwa jamii huku Waziri mwenye dhamana Dk. Dorothy Gwajima akijinadi...
By Danson KaijageJanuary 18, 2022MWAKA 1961 tulipopata Uhuru wa Tanganyika (sasa Tanzania Bara), Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa maendeleo baada ya Kilimanjaro. Hivi sasa wakati...
By Mwandishi MaalumJanuary 18, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiki wa Chadema na...
By Regina MkondeJanuary 17, 2022UJENZI wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma nchini Tanzania umefikia asilimia 91 na utakamilika Mei 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtaja mambo matatu turufu kwa Rais Samia...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2022TAASISI ya Mwalimu Nyerere inatarajia kukutana kesho tarehe 17 Januari jijini Dodoma kwa lengo la kufanya majumuisho ya maoni iliyokuwa ikiyakusanya kwa...
By Danson KaijageJanuary 16, 2022MGOMBEA nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Hamisi Rajabu amewataka wanaCCM wenzake pamoja wabunge kutompitisha...
By Danson KaijageJanuary 16, 2022WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amezindua rasmi utafiti wa utalii wa ndani na mchango wa sekta hiyo katika uchumi...
By Danson KaijageJanuary 16, 2022DIRISHA la kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa katika nafasi ya uspika kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 15 Januari limefungwa rasmi...
By Kelvin MwaipunguJanuary 16, 2022DIRISHA la kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa katika nafasi ya uspika kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 15 Januari limefungwa rasmi saa...
By Gabriel MushiJanuary 15, 2022Chama Cha ACT Wazalendo kimeutangaza mwaka wa 2022 kuwa mwaka wa kupigania Tume Huru ya Uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea) Pia chama...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni anatarajiwa kuongoza maombi maalumu ya kuliombea Taifa amani na utulivu yanayotarajiwa kufanyika kesho...
By Danson KaijageJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku yakionesha somo la Basic Mathematics ndilo...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku wasichana wakiongoza katika kundi la...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha nne 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha pili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kujipima ya darasa la nne 2021. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022ALIYEWAHI kuwa Katibu wa Bunge la Tanzania, Dk. Thomas Kashililah ni miongoni mwa wanachama 66 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliojitokeza kuchukua...
By Danson KaijageJanuary 14, 2022ULINZI juu ya taarifa za wateja umeteka mahojiano kati ya Meneja wa Kitengo cha Sheria cha Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania PLC,...
By Regina MkondeJanuary 14, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamemhoji shahidi wa Jamhuri, Gladys Fimbari...
By Regina MkondeJanuary 14, 2022KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kumrejesha kiungo wake raia wa Zambia Clatous Chama, mara baada ya kufanikiwa kumsajili tena akitokea...
By Kelvin MwaipunguJanuary 14, 2022TANZANIA imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Sh.864 milioni vitavyosaidia kupambana dhidi ya magonjwa mbalimbali kutoka katika...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022KIGOGO mwandamizi nchini Tanzania, kati ya leo Ijumaa na kesho, anatarajiwa kujitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022NAFASI iliyoachwa wazi ya Uspika wa Bunge la Tanzania na Job Ndugai, imeendelea kushindaniwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wamefikia...
By Danson KaijageJanuary 14, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umehoji kwa nini Meneja wa Kitengo...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022HAMAD Masoud Hamad, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo amesema, iwapo uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho utakuwa huru...
By Jabir IdrissaJanuary 13, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imepokea taarifa za miamala na usajili wa simu, kutoka...
By Regina MkondeJanuary 13, 2022MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamekataa shahidi wa Jamhuri, Meneja wa...
By Regina MkondeJanuary 13, 2022Janny Sikazwe ni mwamuzi ambaye ameyatia doa mashinadano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) yanayoendelea huko nchini Cameroon baada ya kuitibua timu...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wafunda na kuwaonya mawaziri kutambua kuwa urais ni taasisi na sio mtu, hivyo kama hawampendi Samia aliyepo madarakani...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili akiwemo, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Said Shaibu Mussa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mwingine...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, ProfesaAdolf Mkenda amesema atatenga muda wa wiki tatu kuzungumza na watumishi wa wizara hiyo na kupitia...
By Danson KaijageJanuary 13, 2022WANACHAMA 30 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitosa kumrithi Job Ndugai katika nafasi ya uspika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageJanuary 12, 2022MJUMBE wa Halmashauri Kuu CCM Wilaya ya Mkinga na Mjumbe wa kamati ya utekelezaji Baraza la vijana wa chama hicho UVCCM Mkoa...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MBUNGE wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) leo tarehe 12 Januari, 2022 amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022WAZIRI wa Habari, Nape Nnauye, amesema amerudi katika wizara hiyo, ili kusimamia Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya 2016, aliyosimamia...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MBUNGE wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) leo tarehe 12 Januari, 2022 amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania, wameahidi kutoa mchango wa fedha, kwa ajili ya kuzisaidia familia za wanahabari waliopoteza maisha ajalini, wakiwa katika...
By Regina MkondeJanuary 12, 2022