Thursday , 25 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

HabariTangulizi

Hofu yatanda Ngorongoro, madiwani wahojiwa CCM

  HOFU imetanda kwa madiwani na watetezi wa haki za binadamu waishio kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, baada ya baadhi ya madiwani kuhojiwa na...

HabariTangulizi

Samia: Uzinduzi daraja Tanzanite ni kumuenzi Magufuli

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema uzinduzi wa daraja jipya la Tanzanite lililopo jijini Dar es Salaam anauchukulia kama sehemu ya kumuenzi mtangulizi...

HabariTangulizi

Mke wa Mrema huyu hapa, aanika utajiri wake, asema hajafuata mali

DOREEN Kimbi, mke wa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Augustino Lyatonga Mrema amesema umri baina yake na mumewe mwenye miaka 77 si tatizo. Anaripoti...

HabariTangulizi

Rais Samia akwamisha kongamano la TCD

  Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesogeza mbele kongamano la haki, amani na maridhiano, hadi tarehe 4 na 5 Aprili 2022, sababu zikitajwa...

HabariMichezo

Kim Poulsen akoshwa na bao la Samatta

  KOCHA wa Timiu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Polusen ameonekana kukoshwa na bao la pili kwenye mchezo wa kimataifa wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Shoo amaliza mgogoro Konde, uchaguzi wafanyika, aliyeng’olewa agoma

MKUTANO Mkuu wa dharura ulioitishwa na kiongozi Mkuu wa kanisa la Kiinjiri la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo umemuondoa kwenye nafasi yake...

HabariMichezo

Waziri Ndumbaro ataja faida za klabu ya Simba kutangaza utalii

  WAZIRI wa Maliasiri na utalii Dkt Damas Ndumbalo ameimwagia sifa klabu ya Simba katika jitihada zao za kutangaza utalii na kuefunguka juu...

Habari za Siasa

Samia azitaka TBA, NHC, Watumishi House kushirikisha sekta binafsi

  KUFUATIA ombi la Wakala wa Majengo Tanzania kutaka Serikali kuiwezesha kupata fedha za kuendeleza maeneo ya kota yaliyotwaliwa na Serikali Kuu kutoka...

Habari za Siasa

Serikali yawapa unafuu wakaazi Magomeni Kota

  SERIKALI imewapa unafuu wakaazi wa nyumba mpya za Magomeni Kota kwa kuwawezesha kununua nyumba hizo kwa mfumo wa mpangaji mnunuzi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Wanaosema miradi haitaendelezwa wana upeo mdogo: Samia

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaofikiri kwamba miadi iliyoachwa na mtangulizi wake haitaendelezwa wana upeo mdogo wa kufikiri. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

TBA yaomba fedha kuendeleza maeneo yote ya kota

  WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) imeiomba Serikali kupitia Wizara ya ujenzi na uchukuzi kuendelea kutoa fedha za kuendeleza maeneo mengine yaliyorejeshwa Serikali...

Habari za Siasa

DPP amwacha huru Abdul Nondo

  MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Divisheni ya Iringa, imeifuta rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kupinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu...

Habari za Siasa

Rais Samia aeleza mafanikio kuanzishwa RUWASA

  RAIS Samia amesema kumekuwepo na mafanikio makubwa katika sekta ya maji baada ya kuanzishwa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Vijijini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ripoti ya uchunguzi sakata la Mto Mara yapingwa

SERIKALI ya Tanzania imeombwa kufanya upya uchunguzi upya ili kubaini chanzo cha kuchafuka kwa maji ya Mto Mara na kufa kwa samaki mtoni...

Habari MchanganyikoTangulizi

DPP amng’ang’ania Abdul Nondo

MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, Kanda ya Iringa, kesho Jumatano, tarehe 23 Machi 2022, inatarajia kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)...

Habari za Siasa

Samia ‘aikopesha’ Dawasa Sh 500Mil. kusambaza maji Chalinze

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ametoa Sh. 500 Milioni kwaajili ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuanza kusambaza...

Habari za Siasa

Mabadiliko Katiba, tume huru: LHRC watoa mapendekezo 14

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimetoa mapendekezo 13 kwa Kikosi Kazi cha Kiratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

TCD kujadili mgomo wa Chadema

  KITUO cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesema kitajadili sababu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kugoma kushiriki kongamano lake la amani, linalotarajiwa...

Habari za Siasa

CCM wamtega Dk. Shein kumwachia Rais Mwinyi uongozi

  WAKATI chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikielekea kufanya mkutano mkuu maalum tarehe 1 Aprili 2022, baadhi ya wanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya, Tume huru zavigawa vyama vya siasa

  MJADALA wa nini kianze kupatikana kati ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, umevigawa vyama vya siasa, baada ‘ya kutofautiana misimamo...

Habari za Siasa

Ubinafsi, kutoaminiana vyatajwa mkwamo maridhiano kisiasa nchini

  KIKOSI kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya siasa za vyama vingi imesema ubinafsi na kutoaminiana ni miongoni mwa changamoto...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuzungumza na Chadema

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema atafanya mazungunzo na vyama vya siasa ambavyo havishiriki katika masuala mbalimbali ya kuamua mustakabali wa...

Habari za Siasa

Rais Samia achomoa ruzuku vyama vyote vya siasa

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kutokukubaliana na mapendekezo ya Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya...

Habari za Siasa

Mkewe Mbowe aeleza siri kanisa walilofungia ndoa

  MKE wa Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe, Dk. Lilian Mtei amesema Baba mkwe wake Aikael Mbowe ndiye aliyekuwa kiongozi wa ujenzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ataja kiapo chake na Rais Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokraria na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kusimama katika misingi ya haki na ukweli ndilo agano aliloweka kati yake...

Makala & Uchambuzi

Ni mwaka mmoja wa uchumi bila vyuma kukaza

MWAKA mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, unawezakuwa ni mwaka wa uchumi ambao hauhitaji sana takwimu kuelezea ukuaji wake, bali ni kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aanika madudu ya Sabaya, ashukuru Polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya alikuwa anatumia ofisi yake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Ngorongoro bado sana, asasi 20 atoa tamko

MGOGORO wa Ngorongoro umechukua sura mpya baada ya mashirika 20 ya kutetea wafugaji wa asili kutoa tamko wakilaani udhalilishwaji unaofanywa na watu wenye...

Tangulizi

Mbowe apokelewa Hai, ng’ombe sita kuchinjwa

MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amewasili nyumbani kwao wilayani Hai, Kilimanjaro na kupokelewa na mamia ya watu ikiwemo viongozi na wanachama...

Habari za Siasa

Hamad Rashid aikosoa Chadema, amtaja Mbowe na Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha ADC, Hamad Rashid amewapa neno wanasiasa wanaokataa kushiriki shughuli za kiserikali na vikao vya kisheria, akisema Baba wa Taifa,...

Habari za Siasa

Spika Dk. Tulia asema nchi imepiga hatua kidemokrasia

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, nchi imepiga...

Habari za Siasa

Mbunge Malleko ampongeza Rais Samia

  MBUNGE wa Viti Maalum, Mkoa wa Kilimanjaro, Esther Malleko amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha mwaka mmoja madarakani kwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ajali yaua 22 Morogoro, Rais Samia awalilia

  WATU 22 wamefariki dunia huku zaidi ya 30 wakijeruhiwa katika ajali ya barabarani ikihusisha basi lenye namba za usajili T 732 ATH...

Tangulizi

Serikali ya Tanzania yavuna bil. 540 taasisi, mashirika ya umma

  OFISI ya Msajili wa Hazina nchini Tanania, imefanikiwa kukusanya Sh.539.3 bilioni kutokana na mapato yasiyo ya kodi kati ya Machi 2021 na...

Tangulizi

Wastaafu mashirika EAC vicheko katika pensheni

  SERIKALI ya Tanzania imefanikiwa kuongeza umiliki wa hisa katika Kampuni ya Madini ya Almasi ya Williamson kutoka asilimia 25 hadi asilimia 37....

Habari za SiasaTangulizi

Ni mwaka mmoja wa uhuru na kuponya makovu

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, inatimiza kipindi cha mwaka mmoja tangu iingie madarakani tarehe 19...

Habari za Siasa

Mbowe aeleza aliyojifunza mahabusu, asema wanahitaji makomando wengine

  MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku 227 alizokaa kwenye mahabusu ya Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam, amejifunza...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wadai Spika Tulia anawafanya mazuzu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kauli ya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, iliyodai Halima Mdee na wenzake 18 wako...

Habari za Siasa

Majaliwa kumwakilisha Rais Samia Qatar, Jordan

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameondoka nchini humo kwenda Qatar na Jordan kwa ziara ya kikazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Taasisi ya urais haiwezi kuendeshwa kwa rimoti: Chongolo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakuna mtu anayeweza kuiendesha taasisi ya urais “kwa rimoti” na kwamba watu wanaofikiria hivyo “ni kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaligomea kongamano la TCD

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakitashiriki kongamano la amani lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai hakioni...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amshangaa IGP Sirro kuwepo madarakani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hapaswi kuwa...

Habari za Siasa

#LIVE- Mbowe akitoa maazimio ya kamati kuu

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanania cha Chadema, Freeman Mbowe anatoa maazimio ya kikoa cha kamati kuu ya chama hicho...

Habari za Siasa

#LIVE- Katibu Mkuu CCM anazungumza na wanahabari

  KATIBU Mkuu wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo anazungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, tarehe 18...

Habari

Chuo cha Mwalimu Nyerere chajivunia siku 365 za Rais Samia

  CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) nchini Tanzania kimesema, Rais Samia Suluhu Hassan katika mambo aliyofanikiwa kuyafanya ndani ya kipindi cha...

HabariKimataifa

Serikali ya Rwanda yashutumiwa kwa kukandamiza uhuru wa kujieleza

MAELFU ya Watu Wamenyanyaswa , kutishwa na kufunguliwa mashitaka kwa kuwa na maoni muhimu kuhusu Serikali ya Rwanda , Humani Raght Watch [HRW]...

Habari

Nitazindua miradi ya Chato mwenyewe: Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataizindua mwenyewe miradi yote inayotekelezwa Wilayani Chato mkoani Geita kama ambavyo angefanya mtangulizi wake Hayati Dk. John Magufuli....

Habari

Zungu aipongeza NMB kuwakumbuka Machinga

  NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ameishukuru Benki ya NMB kwa kuwakumbuka wamachinga na kuwasaidia kukua. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Zungu...

Makala & Uchambuzi

Putin tajiri namba moja duniani, anayeitikisa Marekani

  WAKATI mtandao maarufu duniani wa Forbes ukimuorodhesha Mhandisi na Mjasiriamali Elon Reeve Musk kuwa na tajiri namba moja duniani kwa kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa adaiwa kuwakimbia Malaigwanani Ngorongoro

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anadaiwa kuwakimbia viongozi wa kimila wa Kimasai wanaoishi wilayani Ngorongoro na badala yake kufanya kazi na wenzao wa...

error: Content is protected !!