Friday , 19 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Madiwani wamng’oa Meya Moshi, yeye aondoka kwa bodaboda

  HATIMAYE Bazara la Madiwani Manispaa ya Moshi Mjini Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania limemng’oa Meya wao, Juma Raibu kwa kumpigia kura ya...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima: Ipo siku tutapata Rais wa ajabu

  MBUNGE wa Kawe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Askofu Joseph Gwajima ameshauri kuanzishwa kwa Dira ya Taifa ili kuwezesha kiongozi...

Habari za Siasa

Kakoso: Bandari Karema haina maana bila reli, barabara

MBUNGE wa Mpanda Vijijini, Selemani Kakoso (CCM) amesema mradi wa wa ujnenzi wa Bandari ya Karema katika Ziwa Tanganyika hautakuwa na maana kama...

Habari za Siasa

Mbunge aitaka Serikali ianzishe kilimo cha makambi

MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza ameishauri Serikali kuanzisha utaratibu wa kilimo cha makambi ili kuongeza uzalishaji mali na ajira kwa vijana....

Habari za SiasaTangulizi

Kinana aonya viongozi wanaopenda kutukuzwa “acheni mbwembwe”

  MAKAMU wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana ameonya viongozi wanaopata nafasi mbalimbali za kuteuliwa au kuchaguliwa kuacha tabia ya kutaka kutukuzwa kwani nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana atangaza ziara mikoa 11

  MAKAMU Mwenyekiti wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana ametangaza ziara ya kichama ya mikoa minne atakayoifanya hivi...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo: Acheni kupanga safu uchaguzi CCM

  KATBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amewaonya wanachama wa chama hicho kuacha kupanga safu katika nafasi mbalimbali za uchaguzi wa chama hicho...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: CCM Dar wakimpokea Kinana

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, leo Jumapili tarehe 10 Aprili 2022, wanampokea Makamu Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Chongolo aomba vitabu vya CCM kuhusu Nyerere viingizwe kwenye elimu

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameomba vitabu vilivyoandikwa na chama hicho kuelezea itikadi zake na matendo ya Baba...

Habari za Siasa

Makongoro Nyerere awatoa wasiwasi CCM kuhusu Kinana

  MKUU wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasiwe na wasiwasi kuhusu Makamu Mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Mama Mongela: Mwalimu alikuwa msikivu wa wanawake

RAIS wa kwanza wa Bunge la Afrika, Mama Getrude Mongela amesema Hayati Mwl. Julius Nyerere alikuwa msikivu wa wanawake na alifanya mambo mengi...

Habari za Siasa

Kupanda bei mafuta: Wasira amkingia kifua Rais Samia

  MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Mzee Stephen Wasira, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ana kazi ya kufanya katika kukabiliana na mfumuko wa bei...

Habari za Siasa

Hamad Rashid asimulia Nyerere alivyomuonya kulinda Muungano, ataja mambo 3

  MWENYEKITI wa Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed amesema miaka michache baada ya kutimuliwa ndani ya CCM na kwenda kumtembelea Mwalimu Julius...

Habari za Siasa

Kanali Simbakalia ashauri mashirika yaliyoanzishwa na Mwalimu Nyerere yaimarishwe

  KANALI Mstaafu, Joseph Simbakalia, ameshauri mashirika yaliyoanzishwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere, kwa ajili ya kuchagiza maendeleo, yaimarishwe ili kuenzi...

Habari za Siasa

Mpina aanza na unyang’anyi wa mifugo bungeni

MBUNGE wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, ameihoji Serikali itatekeleza lini amri za mahakama za zinazoielekeza kurudisha mifugo ya wananchi iliyokamatwa katika hifadhi za...

Habari za Siasa

Kimei aionya Serikali: Tufanye uchambuzi tusije kukopa ili tule

MBUNGE wa Vunjo, Dk. Charles Kimei ameonya Serikali kuhusu ujenzi wa miundombinu ya kijamii bila kuangalia gharama za sasa za uendeshaji. Anaripoti Mwandishi...

HabariHabari za Siasa

Profesa Mkumbo awasha moto bungeni bei mafuta

  MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitiola Mkumbo amewasha moto bungeni kutokana na Serikali kutochukua hatua yeyote juu ya kupanda bei ya nishati ya...

HabariTangulizi

Majaliwa atembelea bandarini, aipa maagizo TICTS

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) kuimarisha utendaji kazi wake ikiwemo kuacha kuchelewesha...

Habari za SiasaTangulizi

Bulembo ataka CCM imshughulikie Mpina

  MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amekiomba chama hicho kumchukulia hatua mbunge wake wa Kisesa,...

Habari za Siasa

Vijana ACT-Wazalendo waomba ‘sapoti’ ajenda tume huru kuelekea katiba mpya

  NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, imewaomba vijana wa vyama vya siasa vya upinzani, waunge mkono...

Habari za Siasa

Mpina ajipanga kutoboa siri bungeni

  MBUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina amesema, atatumia mkutano huu wa Bunge la Bajeti unaoendelea kuelezea...

Habari za SiasaTangulizi

Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta

MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

Serikali yaja na mpango hifadhi ya mafuta ya kitaifa

  WAZIRI wa Nishati, January Makamba, amesema wizara yake imeandaa waraka wa uanzishwaji kanuni zitakazowezesha uundwaji wa hifadhi ya kimkakati ya kitaifa ya...

Habari za Siasa

Samia: Kamilisheni Sheria kulinda taarifa binafsi za watu

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Habari na Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari kuhakikisha inakamilsha Sheria ya kulinda taarifa binafsi za...

Habari za Siasa

Siku za bosi MSD zahesabika

  SIKU za Mkurugenzi Mkuu wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) zinahesabika. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Rais Samia Suluhu leo Jumatano tarehe...

Habari za Siasa

Bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu 2022/23 yaongezeka bilioni 32

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasilisha Bajeti ya Ofisi yake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2022/23 zote zikiwa...

Habari za Siasa

Serikali yaagiza magari ya wagonjwa 258

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika kuboresha huduma za afya nchini Serikali imeagiza magari ya wagonjwa 258 yakiwemo 233 ya kawaida na...

HabariMichezo

Pablo amgalagaza Nabi

  KOCHA wa klabu ya Simba Pablo Franco amechaguliwa kuwa kocha bora wa LigI Kuu Tanzania Bara mwezi Machi mara baada ya kumshinda...

Tangulizi

Majaliwa aonya wapandishaji bidhaa, atoa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuunda jopo la wataalamu ili kufuatilia upandaji wa bei...

Habari

ACT Wazalendo wakosoa Agenda ya Kilimo 10/30, watoa mapendekezo 4

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa mapendekezo manne kwa Serikali ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini na kuwakomboa wakulima katika wingu la umasikini....

Habari

Hizi hapa sababu wabunge kuikataa ripoti uchafuzi Mto Mara

  BAADHI ya wabunge wameomba uchunguzi huru ufanyike dhidi ya sakata la uchafuzi wa maji ya Mto Mara, baada ya kutoridhishwa na ripoti...

HabariTangulizi

Tanzania kufikisha ndege 16, ATCL yajitanua

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, hadi kufikia Februari 2022 Serikali imekwisha kulipa malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mpya...

Habari

Majaliwa abainika mikakati upatikanaji wa maji

SERIKALI ya Tanzania imesema, itaendelea kutoa kipaumbele katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji na usafi wa mazingira vijijini na mijini unakwenda kwa...

Habari

Majaliwa alieleza Bunge hali ya UVIKO-19

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imeendelea kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO- 19) kwa kuanzisha rasmi utekelezaji wa...

Habari

Serikali kutangaza ajira 32,000

  Serikali imesema wiki ijayo itatangaza nafasi za ajira 32,000 katika sekta ambazo zina upungufu mkubwa wa watumishi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)...

HabariMichezo

Chama amfunika Mayele

KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Machi kufuatia kuonesha kiwango bora akiwa...

HabariMichezo

Majaliwa: Simba wameupiga mwingi

  WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Simba kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania...

HabariMichezo

Barbara afunguka sakata la Morrison kuzuiliwa Afrika kusini

  MTENDAJI mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amekili kuwa, huwenda winga wao Bernad Morisson atakosekana kwenye mchezo wa marudiano wa kombe...

Habari za Siasa

Msajili avigeuzia kibao vyama vya siasa madai ya demokrasia

NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amevitaka vyama vya siasa kuimarisha kwanza demokrasia ya ndani, kabla ya kutoka nje. Anaripoti Mwandishi...

HabariMichezo

Simba vitani tena na wasauzi Robo fainali ya shirikisho Afrika

  Klabu ya soka ya Simba Tanzania imepangiwa kukutana na Orlando Pirates ya nchini Afrika kusini katika robo fainali ya kombe la shirikisho...

Habari za Siasa

NEC yajitetea madudu uchaguzi 2020

MKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson Mahera, amesema dosari zinazojitokeza katika chaguzi, zinasababishwa na watumishi wanaoajiriwa kwa...

Habari za Siasa

Kinana, Duni wajadili mkwamo upatikanaji katiba mpya

  WANASIASA wakongwe nchini Tanzania, wamejadili sababu za kukwama kwa mchakato wa upatikanaji Katiba mpya na namna ya kuukwamua. Anaripoti Mwandishi Dodoma, Dodoma...

HabariMichezo

Aucho, Fei Toto kuikosa Azam FC, Bangala Farid hati hati

  VIUNGO wa klabu ya Yanga Feisal Salum ‘Fei Toto’ sambamba na Khalid Aucho hawatakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo kitakachoshuka dimbani...

Habari za Siasa

Jaji Warioba akosoa pendekezo mchakato Katiba mpya kuanza 2025

WAZIRI Mkuu wa zamani, Jaji Mstaafu Joseph Warioba, amekosoa mapendekezo ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia, kuhusu mchakato wa upatikanaji...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba aonya wanasiasa kutumia madhabahu

  WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameonya vitendo vya viongozi wa kisiasa kukaribishwa katika madhabahu ya nyumba za ibada, kutoa salamu za...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana atuma ujumbe kwa Chadema, NCCR-Mageuzi

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyama vya siasa vikubali kushiriki mikutano inayoitishwa kwa ajili ya kujadili masuala ya demokrasia,...

Habari za Siasa

Zitto kukabidhi kwa Kinana uenyekiti TCD

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana, anatarajiwa kupokea kijiti cha uongozi wa kituo cha demokrasia Tanzania (TCD). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

TCD yaomba mabadiliko Sheria Vyama vya Siasa kufikia Julai

  MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe ameiomba Serikali kuhakikisha mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa yanafanyika kufikia Julai...

Habari za SiasaTangulizi

Mkituletea mazito hatutayatekeleza: Samia aionya TCD

RAIS Samia Suluhu Hassan amekitaka kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujadili na kutoa kwa Serikali mapendekezo yanayotekelezeka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari

Maofisa Ughani kumilikishwa pikipiki baada ya miaka miwili

MAOFISA Ughani nchini watamilikishwa pikipiki zinazotolewa na Serikali baada ya kuzitumia kwa miaka miwili katika kutoa huduma kwa wakulima. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hatua...

error: Content is protected !!