Saturday , 20 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kikwete afunguka kifo cha Mzee Mwinyi

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema amepokea kwa mshtuko kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kwa kuwa alikuwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mgomo kitita kipya cha NHIF: Serikali yaita hopsitali binafsi mezani

SERIKALI imekiita mezani Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA), ili kutafuta suluhu ya mvutano wao kuhusu matumizi ya kitita kipya cha gharama za...

Habari za Siasa

Wapinzani wamlilia Rais Mwinyi

VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, kilichotokea tarehe 29 Februari 2024, akipatiwa...

Habari za Siasa

Wananchi Dar watakiwa kujitokeza barabarani kumuaga Hayati Mwinyi

WANANCHI wasiokuwa na muda wa kwenda katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Mwinyi kuagwa leo saa 8 Uwanja wa Uhuru

MWILI wa Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi unatarajiwa kuagwa kuanza leo Ijumaa saa nane katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi kuzikwa Machi 2 visiwani Unguja

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, unatarajiwa kuzikwa tarehe 2 Machi 2024, mjini Unguja. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Rais mstaafu Mwinyi afariki dunia

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki dunia leo tarehe 29 Februri 2024 saa 11 jioni katika Hospitali...

Habari za Siasa

Waziri mkuu Ethiopia atua Tanzania

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Dk. Abiy Ahmed Ali amewasili nchini leo tarehe 29 Februari 2024 kuanza ziara...

Habari za Siasa

Babu Owino: Vijana msibaki nyuma

Mbunge wa Embakasi Mashariki nchini Kenya, Paul Ongili Owino maarafu ‘Babu Owino’ amewaasa vijana kuwa chachu ya mageuzi ya kisiasa ili kuwaletea mabadiliko...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Hatutazuia watu kuingia barabarani

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kuruhusu vyama vya siasa vya upinzani kufanya shughuli zake kwa uhuru, ikiwemo kuandamana na kufanya...

Makala & Uchambuzi

Vijana wanavyoandaliwa kuziba pengo la ujuzi sekta ya madini

MOJAWAPO ya sekta ambazo katika miaka ya 2000 hazikuwa na vijana wenye ujuzi wa kutosha kutekeleza shughuli mbalimbali, ni ya uchimbaji wa madini....

AfyaTangulizi

Kitita cha NHIF kuanza Ijumaa, kuwapa wanachama nafuu zaidi

  MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kuanza kutumika kwa maboresho mapya ya Kitita cha Mafao kwa wanachama ambapo yatataanza...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Kuwapa nishati wananchi sio hiari

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa, Sekta ya Nishati ni injini katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mhasibu Serengeti aswekwa rumande kwa madai ya kutafuna mil. 214

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo 3 yateka mdahalo wagombea ngome vijana ACT-Wazalendo

WAGOMBEA Uenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, wamenadi sera zao katika mdahalo wa uchaguzi, wakiwaomba wajumbe wawachague kwenye uchaguzi utakaofanyika...

Habari za Siasa

Hamahama Ngorongoro kutikisa maandamano ya Chadema Arusha

MAELFU ya wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanatarajia kushiriki maandamano ya amani yaliyoandaliwa na chama hicho, kudai katiba...

Habari za SiasaTangulizi

Waliofariki ajalini Arusha kuagwa siku ya maandamano Chadema

MIILI ya watu 25 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo na magari matatu, iliyotokea katika Barabara Kuu ya Arusha-Namanga Ngaramtoni Kibaoni,...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali kuiburuzwa mahakamani ajali iliyoua 25 Arusha

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imeitaka Serikali kupiga marufuku malori ya mizigo kutembea barabarani wakati wa mchana ili kulinda...

Habari za SiasaTangulizi

Samia atoa pole ajali iliyoua 25, kujeruhi 21 Arusha

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella kufuatia vifo vya watu 25 na majeruhi 21...

Habari MchanganyikoTangulizi

25 wafariki dunia katika ajali Arusha

Watu 25 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Biteko afuta likizo watumishi Tanesco, bosi Morogoro yamkuta

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko amekataza watendaji wa TANESCO kwenda likizo kipindi hiki cha changamoto za umeme...

Habari za Siasa

Mbarala ajitosa kumrithi Zitto, aahidi kuipa ushindi ACT-Wazalendo uchaguzi mkuu

KATIBU wa Idara ya Haki za Binadamu na Makundi Maalum wa ACT-Wazalendo Taifa, Mbarala Maharagande ametangaza vipaumbele vyake vinne aliyoahidi kuanza navyo kazi...

Habari za Siasa

Dorothy Semu ajitosa kumrithi Zitto ACT-Wazalendo

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, anayemaliza muda wake, Dorothy Semu amechukua fomu kwa ajili ya kugombea uongozi wa chama hicho taifa, baada...

Habari za Siasa

Bashungwa amuondoa mkandarasi kiwanda cha sukari Mkulazi- Morogoro

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa Mkandarasi wa kampuni ya Kay Bouvet Engineering Ltd. ya nchini India na...

Habari za SiasaTangulizi

‘Asiyeamini sanamu ya Nyerere amuulize Madaraka’

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Mussa Shaib amesema sanamu ya Baba wa Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Mramba: Mgawo wa umeme kuisha muda wowote

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema tatizo kubwa la mgawo wa umeme unaondelea sasa halitokani na udhaifu katika miundombinu ya...

Habari za Siasa

84 mbaroni kuuza sukari bei ghali

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Alhamisi amesema jumla ya wafanyabiashara 84 wamekamatwa kutokana na kupandisha bei ya sukari. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari za SiasaTangulizi

Wazawa kubebwa sasa basi, muswada kutua bungeni

WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hadi kufikia Juni mwaka huu amepanga kupeleka muswada wa sheria ili kuruhusu kampuni binafsi kutoka nje kuingiza...

Habari za SiasaTangulizi

Wahariri wamkaanga bosi bodi ya sukari kwa ububu

Mkurugenzi Mkuu, Bodi ya Sukari Tanzania Prof. Kenneth Bengesi ameonja joto la jiwe kutoka kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari baada ya...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua waziri wa uchumi na uwekezaji Zanzibar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi...

Habari za SiasaTangulizi

Mvua yakatisha mkutano wa Chadema Mbeya

MKUTANO wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliokuwa unafanyika kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe, umeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha....

Habari za Siasa

Sugu atumia maandamano ya Chadema kumfikishia ujumbe Spika Tulia

ALIYEKUWA Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi “Sugu”, ametumia maandamano na mkutano wa hadhara wa chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufikisha...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la DP World na bandari lafufuka upya

SAKATA la mkataba wa kiserikali kati ya Tanzania na Imarati ya Dubai, juu ya ushirikiano wa uwekezaji kwenye baadhi ya maeneo ya Bandari...

Habari za Siasa

Ndolezi ataja vipaumbele 8 akirejesha fomu kugombea uenyekiti vijana ACT-Wazalendo

KADA wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndolezi Petro amerejesha fomu ya kuomba kugombea uenyekiti wa ngome ya vijana ya chama hicho, na kutaja vipaumbele...

Habari za Siasa

Wazabuni Liwale wacharuka, wambebesha zigo Makonda

WAZABUNI waliofanyakazi na Halmashauri ya Liwale na kushindwa kulipwa fedha zao, wamembebesha mzigo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za SiasaTangulizi

Maelfu waitikia maandamano ya Chadema Mbeya

MAELFU ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza katika maandamano ya amani ya kudai katiba mpya na  tume...

Habari za Siasa

Upinzani watakiwa kushiriki uchaguzi bila kinyongo

VYAMA vya siasa vya upinzani vimetakiwa kushiriki chaguzi zijazo hata kama madai yao ya upatikanaji tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hayajafanyiwa...

Habari za Siasa

Selasini: CCM walitunyima vingi kumzuia Lowassa kugombea urais

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, amedai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewafanya watanzania kutonufaika na Hayati Edward Lowassa, kufuatia hatua yake...

Habari za Siasa

Rais Samia: Lowassa hakukubali kuyumbishwa

  ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, hakukubali kuyumbishwa katika utekelezaji wa majukumu yake serikalini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Samia amjibu Mbowe Chadema kutotajwa wasifu wa Lowassa

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kama historia ya Hayati Edward Lowassa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ingewekwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Uvumilivu wamshinda Mbowe, aivaa familia ya Lowassa

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na hatua ya familia ya Hayati Edward Lowassa kuandika historia ya waziri mkuu huyo mstaafu...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Paroko amshukia diwani, mbunge Ulanga

PAROKO wa Kanisa Katoliki la Sali, Padri Charles Kuandika, amemshukia Mbunge wa Ulanga Mashariki, Salim Almasi (CCM) na Diwani wa Kata ya Sali,...

Habari za Siasa

Bunge laahirishwa, kurejea Aprili

  VIKAO vya Bunge, vilivyoanza mwishoni mwa Januari 2024, vimeahirishwa hadi tarehe 2 Aprili mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Kigezo mafunzo JKT kutumika ajira serikalini, chaibua mvutano bungeni

  KIGEZO cha mafunzo katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kutumika katika kuajiri vijana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hasa majeshi, kimeibua...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rostam amuaga Lowassa kwa machozi

  MFANYABIASHARA, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli...

Habari za Siasa

Nchimbi: Tumepoteza mwana Afrika wa kweli

  KATIBU mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emanuel Nchimbi amesema mbali na kumpoteza rafiki, na kaka, pia Taifa na Afrika imempoteza Mwana Afrika...

Habari za Siasa

Wabunge wataka wakaguzi wa ndani wapewe meno kudhibiti ubadhirifu

  SERIKALI imetakiwa kuwaongezea mamlaka wakaguzi wa ndani ili waweze kuzuia ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaofanywa na baadhi ya viongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Mgawo wa umeme kuisha Machi, Bunge laongezea muda

  MGAWO wa umeme nchini unatarajiwa kumalizika Machi 2024, baada ya mtambo namba tisa wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mzee Mwinyi aendelea na matibabu chini ya uangalizi wa madaktari

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, anaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari, huku familia ikiwaomba Watanzania wamuombee...

Habari za Siasa

Mamia waupokea mwili wa Lowassa kimyakimya nyumbani kwake

  HATIMAYE Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, umewasili nyumbani kwake Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kutoka jijini...

error: Content is protected !!