Categorizing posts based on type of post
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), wamefungua kesi ya kuomba...
By Gabriel MushiApril 23, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hakuna wa kupinga kluwa Tanzania chini ya uongozi wa Hayati Mwl. Julius Nyerere, ilikuwa kinara wa ukombozi wa...
By Gabriel MushiApril 23, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania wajiulize kwa nini Tanzania inaendelea kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius...
By Gabriel MushiApril 23, 2022KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, limemtaka Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini, kuacha “kuingilia mambo ya ndani...
By Mwandishi WetuApril 23, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, awaondoe madarakani viongozi wa umma hasa wa vyombo vya ulinzi...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2022HATIMA ya Halima Mdee na wenzake 18 kuendelea kuwa wabunge wa viti maalumu itajulikana tarehe 11 Mei 2022, wajumbe wa Baraza Kuu...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022VIONGOZI mbalimbali wa Benki ya NMB nchini Tanzania wakiongozwa na Afisa Mkuu wa wateja binafsi na Biashara wa benki ya NMB, Filbert Mponzi...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022KATI ya matamko 425 ya mali na madeni ya viongozi wa umma yaliohakikiwa, asilimia 11 (sawa na matamko 46) yalibainika kuwa na...
By Mwandishi WetuApril 21, 2022MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wa China kwa mashtaka ya mateso aliyowafanyia wanaume wanne aliokuwa akiwachapa huku wakiwa...
By Gabriel MushiApril 21, 2022ASKOFU Mkuu Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amesema uchunguzi dhidi ya chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu...
By Gabriel MushiApril 21, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Gabriel MushiApril 21, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) nchini Tanzania katika ukaguzi wake kwa mwaka 2020/21 amebaini udhaifu wa usimamizi, ufuatiliaji na ukiukwaji...
By Masalu ErastoApril 20, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya...
By Masalu ErastoApril 20, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameshauriwa kuwaomba radhi hadharani viongozi wa Serikali, vyama vya siasa,...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022SERIKALI ya Tanzania imeziagiza halmashauri zote nchini humo ambazo zimepokea kiasi cha sh.50 milioni kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa vituo...
By Danson KaijageApril 20, 2022MBUNGE wa viti maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Josephine Ngezabuke (CCM) ameihoji Serikali na kutaka kujua ni lini itamaliza...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022TIMU ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi F, sambamba na timu za Taifa za Uganda na Algeria katika kuwania tiketi ya kufuzu...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022KLABU ya Soka ya Simba imeziomba mamlaka husika kuwapatia ulinzi wa kutosha wakati wa safari yao kuelekea nchini Afrika Kusini kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022SAKATA la kifo cha Padri Francis Kangwa (49) raia wa Zambia aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano...
By Gabriel MushiApril 19, 2022Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Akson, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuzindua makala maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii nchini...
By Mwandishi WetuApril 19, 2022CHAMA kipya cha siasa nchini Tanzania kinachojinasibisha na ‘Rais wa Wanyonge’, John Magufuli, kimeanza kuleta sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuApril 19, 2022MBUNGE Viti Maalumu, Stella Ikupa, ametishia kushika shilingi katika makadirio ya bajeti ya Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka wa fedha wa...
By Regina MkondeApril 19, 2022Wanajeshi wawili wamewaua raia 15 kwa kuwapiga risasi katika mashambulio tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoApril 19, 2022MBUNGE wa Lupembe, Edwin Swale (CCM), ameishauri Serikali ifanye mabadiliko ya sheria yatakayowezesha asilimia 10 za mapato ya halmashauri zinazotolewa kwa ajili ya...
By Gabriel MushiApril 19, 2022UTATA umeibuka juu ya kifo cha Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano, Dar es Salaam, Padri Francis...
By Mwandishi WetuApril 18, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amesema, ukaguzi alioufanya kwa mwaka 2020/21 amebaini chama kikuu...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere ameonesha hofu kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/21 nchini Tanzania, amebaini kampuni zinazomilikiwa na Chama Cha...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ameeleza mambo mahususi watakayogusia katika mazungumzo yake na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022RAIS Samia haikuwa bahati mbaya kuzindulia filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania duniani, Royal Tour nchini Marekani bali ni kutokana na nchi...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amebaini ufanisi duni kwenye mchakato wa utoaji leseni kwa...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/21 imebaini mashirika ya umma 12 kati 200 yaliyokaguliwa...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MIRADI ya majengo ya afya katika mamlaka 20 za serikali za mitaa, haitumiki licha ya kukamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 15, 2022KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametaja mambo mawili yanayoweza kufanyika ili kupunguza wizi ama...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amebaini ufanisi duni kwenye mchakato wa utoaji leseni kwa waendeshaji...
By Kelvin MwaipunguApril 15, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi watatu akiwemo Mavere Tukai kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)....
By Mwandishi WetuApril 14, 2022BUNGE la Tanzania, limeitaka Serikali litoe taarifa za matumizi ya asilimia 10 za mapato ya ndani ya halmashauri, zilizotolewa kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, imesema mwenendo wa makusanyo ya maduhuli ya mamlaka za Mikoa na Serikali...
By Gabriel MushiApril 14, 2022KLABU ya Orlando Pirates ya nchi Afrika Kusini, mpaka sasa haijatoa taarifa kuwa ni lini inatarajia kuingia nchini, kwa ajili ya mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 14, 2022HALI ya kifedha ya Mfuko ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Mfuko wa Hifadhi za Kijamii (NSSF) ya...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kufuata Katiba kwa kufanya matumizi ya fedha mara baada ya kuwa...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022CHAMA cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali iwalipe watumishi wote malimbikizo ya madai yao mara moja kwa mkupuo...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Kassim Majaliwa, amewasilisha bajeti ya wizara yake, bungeni mjini Dodoma na kumwagia sifa Benki ya Kilimo....
By Saed KubeneaApril 14, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, mvua za masika Machi- Mei mwaka 2022 zinatarajiwa kuwa chini ya wastani hadi wastani...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini mkandarasi aliyepewa kazi ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya...
By Gabriel MushiApril 13, 2022MBUNGE wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai ameituhumu Serikali “inawawekea vikwazo vya kimaendeleo” wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuhamisha fedha za...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini kiasi cha Sh bilioni 22.64 kilichohamishwa kutoka makao makuu ya Mamlaka...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022MBUNGE wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai ameituhumu Serikali “inawawekea vikwazo vya kimaendeleo” wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuhamisha fedha za...
By Gabriel MushiApril 13, 2022OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini kiasi cha Sh bilioni 22.64 kilichohamishwa kutoka makao makuu ya Mamlaka ya...
By Gabriel MushiApril 13, 2022