Categorizing posts based on type of post
SIKU mbili kupita tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya Kumalizika Kikao Cha Halmashauri Kuu kilichofanyika jana Dodoma,...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022CHAMA cha Chadema, kimemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumkumbusha kuhusu utekelezaji wa barua yake ya tarehe 12 Mei 2022,...
By Masalu ErastoJune 23, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Akson, ameitaka Serikali kutoa majibu hoja ya suala la Serikali kushindwa kuagiza magari moja kwa...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022NIKIWA kwa babu miaka fulani hivi nikienda kumjulia hali, tukiwa katikati ya mazungumzo yetu, babu alinishangaza kwa jinsi alivyokuwa anawajua na kuwatambua...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson ameagiza maneno ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022LICHA ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba kufungua kesi...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...
By Danson KaijageJune 22, 2022BAADA ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu kuyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi ya kupinga...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022SERIKALI imesema inaweka mazingira mazuri kuhakikisha kipaumbele kwenye fursa zilizoko kwenye uchumi wa bluu kinakuwa kwa watanzania kabla ya wageni kunyakua fursa...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022Mara baada ya tarehe 15 Juni 2022, kutangzwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Yanga itakabidhiwa rasmi kombe...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2022MARA baada ya kuhudumu katika kipindi cha misimu sita, hatimaye klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza immemruhusu rasmi kuondoka kwenye klabu hiyo,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, amekataa kupokea taarifa ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, iliyoeleza kuwa...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Viti Maalum kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lucy Mayemba amechangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MGOGORO wa kiuongozi unaoendelea ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi umeendelea kukitikisa na upande wa Mwenyekiti, James Mbatia umeibuka na kuzitaka mamlaka zote...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa jimbo la Kilwa Kusini nchini Tanzania, Ally Kassinge, amepinga hatua ya Serikali kutaka kushusha mishahara ya watumishi wanaomaliza nafasi zao...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022HATIMA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kuendelea kuupigania ama kuutema, ubunge wao wa Viti Maalum, wanaodaiwa kuupata kinyemela, utajulikana leo...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ameshauri Serikali ichukue maamuzi magumu wa kufufua viwanda 12 vya kubangua korosho kwa kuwa waliopewa wamegeuza...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022SERIKALI imeahidi kukiwezesha Chuo cha Bahari (DMI), cha jijini Dar es Salaam kwa miundombinu bora na vifaa vya kisasa vya kufundishia ili...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amesema mkoa wa Dodoma sasa ndio mkoa unaoongoza kitaifa kwa migogoro ya...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Esther Bulaya ameitaka Serikali kuachana na kikokotoo kipya cha mafao kinachompa mstaafu asilimia 33 ya mafao yake...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022MBUNGE wa jimbo la Makete nchini Tanzania, Festo Sanga, amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia katika suala la uagizaji mbolea kutokana na...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022MBUNGE Viti Maalum, Mariam Omary amesema bajeti inayotengwa kwa ajili ya sekta ya mazingira ni ndogo, hivyo Serikali ianzishe sheria itakayoelekeza viwanda...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022WABUNGE wa viti maalum, wamehoji mkakati wa Serikali kupunguza gharama za matibabu ya ugonjwa wa figo ili kunusuru wagonjwa wasiokuwa na uwezo...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania,Lengai Ole Sabaya amecharuka mahakamani na kudai mashtaka dhidi yake ni ya...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumanne, tarehe 21 Juni 2022 inakutana jijini...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022CHUO cha Bahari (DMI), kimewataka Watanzania kuchangamkia fursa ya mafunzo ya fani ya ubaharia kwa kuwa ina soko kubwa la ajira ndani...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022IKIWA vuguvugu la marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari likizidi kuongezeka nchini Tanzania, wanahabari wamepaza sauti zao kuhusu uboreshwaji wa uhuru...
By Regina MkondeJune 20, 2022WABUNGE wameiomba Serikali isipunguze kiwango cha mikopo inayotolewa na halmashauri kupitia mapato ya ndani kwa watu wa makundi maalum. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MBUNGE wa Simanjiro (CCM) nchini Tanzania, Christopher Ole Sendeka ameibua sakata la wilaya nne za mikoa ya Arusha na Manyara ambazo zinaweza...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpinga, ameliomba Bunge liunde tume kwa ajili ya kuchunguza masuala mbalimbali yenye tija kwa taifa, ikiwemo Mradi wa...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MBUNGE wa jimbo la Wawi nchini Tanzania, Bakari Hamad Bakari, ameitaka Serikali kufanya marekebisho ya Sheria ili kuruhusu mfumo wa fedha wa...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MBUNGE wa jimbo la Kilosa nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumteua kuwa Mwenyekiti wa Timu Maalumu...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MBUNGE wa jimbo la ziwani nchini Tanzania, Ahmed Juma Ngwali, amesema mpango wa Serikali wa kuweka nyasi bandia katika viwanja vitano, hauendani...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MKUTANO wa saba, Kikao cha 47 cha Bunge la Tanzania kinaendelea leo Jumatatu tarehe 20 Juni 2022 jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022VYAMA vya CUF na Chadema vimesema Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita na Waziri wa Fedha na Mipango,...
By Gabriel MushiJune 19, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi- CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita...
By Gabriel MushiJune 19, 2022KATIBU wa Chadema mkoani Ruvuma, Tasilo Bathlomew Milinga, leo Jumamosi, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha ACT-Wazalendo, huku akitaja sababu zilizopelekea kuchukua uamuzi...
By Gabriel MushiJune 18, 2022KIONGOZI wa chama cha Wiper nchini Kenya, Kalonzo Musyoka, amekutana na udhalilishaji akiwa jukwaani baada ya kundi kubwa la wananchi wanaomsikiliza kumzomea akifanya...
By Gabriel MushiJune 18, 2022BODI ya Wadhamini ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma za kuvunjwa kwa ofisi ya chama hicho, zinazodaiwa kufanywa na...
By Gabriel MushiJune 18, 2022WANANCHI wa Kijiji cha Yakobi, Halmashauri ya Mji wa Njombe wamemkataa mwananchi mwenzao aliyefahamika kwa jina la mzee Gerhad Makinda kuishi kijijini hapo...
By Gabriel MushiJune 18, 2022MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mchungaji Diana Bundala, maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetangaza baadhi ya wajumbe wapya wa Sekretarieti ya chama hicho, baada ya kuvunja iliyokuwa inaongozwa na Mwenyekiti wake, James...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022SERIKALI imesema jumla ya Sh66.86 bilioni zimekusanywa tangu kuanza kutoza tozo za kuvuka daraja la Kigamboni mwaka 2016. Anaripti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Felister Njau, ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Serikali kushindwa kutoa fedha zinazopangwa kupelekwa kwenye balozi za Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeipongeza Serikali kwa kuja na bajeti inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, huku...
By Regina MkondeJune 17, 2022MBUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Leornad Chamriho ameshauri matumizi ya bidhaa zinazotumia malighafi zinazozalishwa hapa nchini ikiwemo...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), afanye ukaguzi maalum kwenye mapato na matumizi...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022