Categorizing posts based on type of post
SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusudio la kutumia Kiswahili katika kufanya usaili wa watumishi umma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea) Mwigulu ametangaza...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetangaza mkakati wa kubana matumizi kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, ili yaakisi ugumu wa maisha wanayopitia wananchi kufuatia...
By Regina MkondeJune 14, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza wakuu wa mashirika kupatikana kwa ushindani kwa kufanyiwa usaili ili kupata watu wenye sifa....
By Mwandishi WetuJune 14, 2022SERIKALI ya Tanzania imetangaza kusudio la kufuta ada kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita, katika mwaka wa fedha ujao wa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) baada ya kubeza na kupinga maelekezo aliyoyatoa kwa...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema Benki Kuu nchini humo imelazimika kuanza kupunguza kiasi cha ukwasi inachoongeza kwenye uchumi ili kudhibiti hatari ya kuanza...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022MBUNGE Viti Maalum, Esther Matiko, amedai Kituo cha Polisi cha Kigonga, kilichopo wilayani Tarime, katika mpaka wa Tanzania na Kenya, kimekimbiwa na...
By Mwandishi WetuJune 14, 2022BAADA ya kikundi cha vijana wahalifu katika jiji la Dar es Salaam kutikisa kwa jina la ‘Panya Road’, Mbunge wa Viti Maalum,...
By Mwandishi WetuJune 13, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa sera ya utawala wake ni kuicha sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kubakia...
By Mwandishi WetuJune 13, 2022NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu, ameonya wabunge wanaokiuka kanuni za utoaji taarifa bungeni na...
By Mwandishi WetuJune 13, 2022WANAFUNZI wa udaktari wa Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), wamepongezwa na kuzawadiwa kutokana na kufanikiwa kufanya tafiti mbalimbali kwenye masuala ya...
By Mwandishi WetuJune 12, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu kuishi na kutoa wito kwa serikali...
By Mwandishi WetuJune 12, 2022MWENYEKITI wa Timu ya majadiliano ya Serikali ya Tanzania katika mkataba hodhi wa mradi wa kusindika Gesi Asilia (LNG), Charles Sangwene, ameweka...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa sekta binafsi, taasisi za Serikali na wakuu wa mikoa ya Mtwara na Lindi kujiandaa kutumia...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema alipokuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alijaribu kutia mkono kwa lengo la kusukuma...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongela leo tarehe 11 Juni, 2022 amethibisha kutokea kwa mapigano katika wilayani Ngorongoro tarafa ya Loliondo...
By Mwandishi WetuJune 11, 2022MKUU wa wilaya Tandahimba mkoani Mtwara, Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa vijana wakazi wa mikoa na wilaya za mpakani mwa nchi kutokubali...
By Gabriel MushiJune 10, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania leo Ijumaa tarehe 10 Juni 2022, imemwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022HARAKATI za uchaguzi mkuu wa klabu ya Yanga zimeanza kushika kasi, mara baada ya wanachama mbalimbali kujitokeza katika zoezi hilo, huku upande...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022NI kama mchakato wa kumtafuta kocha mpya wa klabu ya Simba umeendelea kupamba moto, kufuatia mpaka sasa uongozi wa klabu hiyo kupokea...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2022MSANII wa muziki nchini Tanzania, Joseph Haule maarufu Prof. Jay ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam alipokuwa...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salama za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Qeen Sendiga kufuatia ajali ya barabara...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022SERIKALI nchini Tanzania imepongeza uwekezaji uliofanywa na Mtandao wa Elimu ya Afya Kairuki (KHEN), kwenye sekta ya elimu ya afya kwani unachangia...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022SERIKALI ya Tanzania, imetangaza kusudio la kuwachukulia hatua watu pamoja na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayochochea mgogoro wa ardhi katika Hifadhi...
By Regina MkondeJune 10, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania leo Ijumaa tarehe 10 Juni 2022 Itatoa hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022WABUNGE Francis Ndulane (Kilwa Kaskazini) na Minza Mjika (Viti Maalum) wamefikisha bungeni kilio cha hama hama ya watumishi wa kipimo cha uchunguzi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, Serikali haijapandisha bei ya umeme huku akiagiza mamlaka kuwachukulia hatua wale wote wanaoneza uvumi...
By Mwandishi WetuJune 10, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametoa siku 90 kwa Serikali kuchunguza malalamiko yaliyotolewa na wabunge dhidi ya mauaji, majeruhi...
By Mwandishi WetuJune 9, 2022BAADA ya kupoteza kwa mabao 2-0, dhidi ya Timu ya Taifa ya Algeria, kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
By Kelvin MwaipunguJune 9, 2022SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), limeipongeza Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kwa kufanikiwa kufuzu kwenye michuano ya kombe la dunia...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya tathimini katika mikoa yote inayolizunguka Ziwa Victoria ili kuanza ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kukata matumizi yake kila mwezi na kutoa ruzuku ya mafuta hadi pale bei...
By Mwandishi WetuJune 8, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ametengeneza mazingira mazuri ya kisiasa na kuifanya...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022SERIKALI imeshauriwa kufanya tathimini ya kina kabla ya kuomba ahirisho la kulipa madeni ya Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Serikali...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022MBUNGE wa Mbogwe, Nicodemas Maganga (CCM) leo Jumanne amemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kutumia mamlaka aliyonayo kuzifutia leseni benki...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022WIZARA ya Fedha na Mipango, imeliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh. 14.94 trilioni, kwa ajili ya matumizi yake katika mwaka wa fedha...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres aliwahi kusema; “Ushirikiano wa kimataifa na diplomasia vimethibitisha kuwa na faida na huduma...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022SERIKALI imeshauriwa kuanzisha “mara moja” akaunti jumuifu kwaajili ya ukusanyaji wa mapato ya muungano ili kuondokana na kero za Muungano katika suala...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema hadi kufikia Aprili 2022, imetumia kiasi cha Sh. 8.0 trilioni, kati ya Sh. 10.6 trilioni, ilizopanga kugharamia deni...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022WAZIRI mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aponea chupu chupu kuondoka madarakani, kufuatia kura ya kutokuwa na imani naye kushindwa kufaulu. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kuiongezea fedha fungu maalumu Ofisi ya Msajili wa Hazina ili iweze kulipa madeni...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, anatarajia kumaliza utumishi wake ndani ya jeshi hilo, mwishoni mwa Juni, 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJune 6, 2022TAASISI ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) inatarajia kukusanya mirabaha yenye thamani ya Sh.1.3 bilioni na kuigawa kwa wabunifu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeikabidhi miradi ya maji ya miji 28, kwa viongozi wa dini, ikitaka iwaombee watu watakaohusika katika utekelezaji wake...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wizara yake inakwenda kuufumua mfumo wa jinai, ili kuangalia namna ya kupunguza msongamano wa...
By Gabriel MushiJune 6, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa hilo ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kwa...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022WABUNGE wameikumbusha Serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, ya kutoa fedha kwa ajili ya...
By Gabriel MushiJune 6, 2022WIKI moja baada ya mwanasiasa nguli nchini, Benard Membe kurejea rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipofukuzwa mwaka 2020, hatimaye ameeleza...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 17, (Serengeti Gilrs), imefanikiwa kutinga kwa mara ya kwanza kwenye fainali za...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani inachangia...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022