Friday , 19 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yasema bei ya vyakula imepaa, yatoa mapendekezo

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai gharama za maisha zimezidi kupanda huku hali ya uchumi wa wananchi ikiwa ngumu, hususan katika bei ya vyakula...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yataka viingilio Sabasaba vipunguzwe

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametakiwa kuangalia upya...

Tangulizi

Maandalizi Sensa yafikia asilimia 87 zikiwa zimebaki siku 48

  MAANDALIZI Sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti mwaka huu, yamefikia asilimia 87 ikiwa zimebaki siku 48 kufika siku...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yasema uamuzi kesi ya kina Mdee haujakamilika

  MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbivu, mbichi kesi ya kina Mdee kujulikana leo

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19,...

Habari za Siasa

Tunafuatilia miradi hatufanyi mikutano ya hadhara:CCM

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekanusha madai ya kwamba chenyewe kinafanya mikutano ya hadhara huku vyama vya upinzani vikizuiwa, kikisema mkutano inayofanya na...

Habari za SiasaTangulizi

Shaka: CCM hakuna mpasuko

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya chama hicho hakuna mpasuko, kama inavyovumishwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bei ya petroli yapaa, dizeli yashuka

  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Julai ambapo bei ya petroli...

Habari MchanganyikoTangulizi

Shaka atembelea MwanaHALISI, Raia Mwema

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...

HabariMichezo

Injinia Hersi kuanza na uwanja Yanga

  Mgombea wa nafasi ya Urais katika klabu ya soka ya Yanga ya Jijini Dar es salaam Injinia Hersi Saidi leo 5 julai,...

ElimuTangulizi

Shule za Serikali, wasichana wang’ara matokeo kidato cha sita

  SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Jamhuri yakwamisha kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi

  MAHAKAMA Kuu, Masjala ya Dodoma, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi baada ya Mawakili wa Jamhuri kutofika...

AfyaTangulizi

Jengo la mama na mtoto CCBRT kuhudumia wajawazito 12,000 kwa mwaka

  RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...

Habari za Siasa

Sh54 Bil. kugharamia mradi wa maji Chiuwe

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa Sh54 bilioni kwa ajili ya kugharamia mradi wa maji wa Chiuwe utakaohudumia wilaya za Ruangwa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yapewa neno ununuzi treni zilizotumika

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kufikiria upya mpango wake wa kununua vifaa vya treni ya umeme vilivyotumika, maarufu kama mitumba, ili kujua kama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amtumbua Mkurugenzi bandari

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 4 Julai, 2022 ametengua uteuzi wa mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Eric...

Makala & Uchambuzi

Ni bajeti yenye neema kwa Watanzania

NI Bajeti ya viwango inayokwenda kulainisha na kupunguza makali ya maisha kwa wananchi wote. Hii inatokana na vipengele kadhaa vilivyoanishwa na serikali kupitia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siasa, longongo zamchefua Samia utendaji bandari

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tutanunua vifaa vya treni vipya, mtumba

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya treni ya kisasa, huku akisema miongoni mwa vifaa...

Tangulizi

IPRT, Daystar Kenya kuwanoa wadau wa mawasiliano ya umma

TAASISI ya Mahusiano na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania (IPRT) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji (MOU) baina yake na Chuo Kikuu cha...

Habari MchanganyikoTangulizi

BREAKING NEWS-Saba wafariki ajali ya gari, mkokoteni Dodoma

  WATU saba wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Landcruiser yenye namba za usajili STL 9534...

HabariTangulizi

Yanga hawajaacha kitu, yatwaa mataji yote msimu huu

MARA Baada hii leo tarehe 2 Julai 2022, klabu ya soka ya Yanga kufanikiwa kutwaa taji la kombe la Shirikisho la Azam, timu...

HabariMichezo

Sopu aibuka kinara wa mabao ASFC

  MABAO matatu aliyofunga kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga, yamemfanya mshmabuliaji kinda wa Coastal Union, Abdul Seleman Sopu, kuibuka kuwa kinara...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aukataa msamaha wa Mzee Shamte

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amegoma kumsamehe mwanasiasa mkongwe visiwani humo, Mzee Baraka Shamte, akisema hakuomba vizuri msamaha huo, kulingana na...

Habari za Siasa

Majaliwa ammwagia manoti aliyekuwa mraibu dawa za kulevya

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa kiasi cha Sh milioni tano kwa Amina Mshana aliyekuwa mraibu wa dawa za kulevya kwa muda wa...

Tangulizi

Ridhiwa atoa neno kwa watendaji Ardhi Iringa

  NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, amezungumza na maofisa wa Ardhi wa mkoa wa Iringa, pamoja na...

Makala & Uchambuzi

Joseph Selasini: Muongo au msahaulifu?

  ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapacha walioungana vifua watenganishwa Muhimbili

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili leo tarehe 1 Julai, 2022 imefanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na...

Habari za Siasa

Butiku ataka nguvu ielekezwe kwenye maendeleo ya wananchi kuliko vyama

  MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ameishauri Serikali na jamii, kujikita katika mipango ya maendeleo ya wananchi, badala ya...

Habari za Siasa

Kigogo Bavicha mbaroni kwa tuhuma za makosa mtandao

  MRATIBU wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya, anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, kwa tuhuma...

Habari za Siasa

Tanzania itafanya sensa ya mfano kwa nchi zingine: Abdulla

  MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Tanzania itafanya sensa ya aina yake na...

Habari za Siasa

Wasimamizi, makarani sensa watakiwa kuwa wazalendo

  WASIMAMIZI na makarani wote wa sensa yam waka 2022 nchini Tanzania, wametakiwa kutanguliza uzalendo mbele kabla ya mambo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Maeneo yote Tanzania sasa kupatikana kiganjani

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, amesema zoezi la uwekezaji anuani za makazi limefikia asilimia...

Makala & Uchambuzi

Mjue mtunzi; Upande wa pili wa watunzi wa riwaya nchini

SANAA ya filamu na muziki wa kizazi kipya ni miongoni mwa sanaa zenye nguvu na zinazojulikana na wengi zaidi hapa nchini. Ukimtaja Ali...

Makala & Uchambuzi

Joseph Selasini: Muongo au msahaulifu?

ALIYEKUWA mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Rombo, mkoani Kilimanjaro, Joseph Selasini, ameibuka upya na kudai kuwapo mkakati...

Habari za SiasaTangulizi

Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele

LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu aipiga ‘stop’ Wizara upandishaji hadhi Loliondo

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kutoanza kazi ya upandishaji hadhi mapori tengefu ikiwemo Loliondo hadi pale itakapokutana...

Habari za Siasa

Mambo yatakayotumika kuwapima Wakurugenzi, wakuu wa Idara

  SERIKALI nchini Tanzania imesema inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu hususan usimamizi wa mapato na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vigogo wa Bandari kortini Dar, yumo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu

  VIGOGO wanne wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kuisababishia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ampeleka Jenerali Mabeyo Ngorongoro

  HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Chadema wapinga hoja tano za kina Mdee

  MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...

Habari za Siasa

Rais Samia amng’ang’ania Jenerali Mabeyo

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema bado ataendelea kumpa majukumu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kwakuwa bado ana nguvu....

Habari za SiasaTangulizi

Mpina amlipua Waziri Bashe nje ya Bunge

  MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alilidanganya bunge kwa kutoa takwimu mbili tofaui...

Tangulizi

Kina Mdee wawasilisha mahakakani sababu tano kuishtaki Chadema

  WABUNGE viti maalum 19, wakiongozwa na Halima Mdee, wamewasilisha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, sababu tano za...

Habari za Siasa

Majaliwa aagiza utoaji anwani za makazi kuwa endelevu

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara zote, Sekretarieti za mikoa na Serikali za mitaa kuhakikisha zoezi la utoaji anwani za makazi linakuwa...

ElimuHabari za Siasa

Watakao kwamisha mradi wa kuboresha Elimu Sekondari kukiona

  NAIBU Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Davidi Silinde,amesema kwa uzembe wowote utakaofanyika kwa na kukwamisha mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari...

ElimuHabari za Siasa

Fomu kujiunga shule za umma zieleze hakuna michango: Majaliwa

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kuanzia sasa fomu za kujiunga na sghule za umma sharti zipitiwe na makatibu Tawala wa Mikoa na...

HabariMichezoTangulizi

Majaliwa aipongeza Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuanza kuwajibu kina Mdee mahakamani

  MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amteua Mkuu mpya wa majeshi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi(CDF). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

error: Content is protected !!