Thursday , 28 March 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Mwili wa Lowassa wawasili Arusha, vilio vyatawala

  MWILI wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, umewasili mkoani Arusha, kwa ajili ya kupelekwa nyumbani kwake Monduli, ili...

Habari za Siasa

Malaigwanan waomba Lowassa azikwe kimila

  VIONGOZI wa kimila wa jamii ya Wamasai (Malaigwanan), wameomba aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, azikwe kimila kwa kuwa enzi za...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Sina doa na Lowassa

  MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye alikuwa kinara kumtuhumu kwa ufisadi aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana doa...

Habari za Siasa

Chadema yawaita CCM kwenye maandamano

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wanachama wa vyama vya siasa hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM), kushiriki maandamano waliyoyaandaa kupinga ugumu wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Askofu Malasusa awataka viongozi wa kisiasa kumrudia Mungu

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amewataka viongozi wa kisiasa kufanya ibada kulingana na imani zao ili...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaamuru nyumba ya Mbowe ipigwe mnada

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Chegeni adai ajali za kisiasa zimefupisha maisha ya Lowassa

Mbunge wa zamani wa Busega na rafiki wa karibu aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, Dk. Raphael Chegeni (CCM) amesema huenda mwanasiasa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Ujumbe wa Kwaresma: TEC walia na malezi katika familia, viongozi wasiowaadilifu

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa kipindi cha Kwaresma, huku likihimiza mifumo ya uongozi ya kifamilia na kisiasa iimarishwe ili...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kumuenzi Lowassa kwa maandamano

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ataongoza maandamano ya amani ya kudai katiba mpya, ili kumuenzi aliyekuwa mgombea...

Habari za Siasa

Dk. Mpango aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa Lowassa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaongoza viongozi na wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri...

Habari za SiasaTangulizi

Familia ya Lowassa yafunguka, yamtaja Rais Samia

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, imesema kiongozi huyo mstaafu alipigania uhai wake kabla ya mauti kumkuta. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: Tumejifunza kwa Lowassa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema yapo baadhi ya masuala kimejifunza kutoka kwa aliyekuwa kada wake na waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Lowassa ameacha alama

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema Lowassa alikuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na ameacha alama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Warioba aeleza alivyomtuliza Lowassa baada ya kukatwa CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Hayati Edward Lowassa alikuwa kiongozi mwenye hekima na mvumilivu na kwamba hata alipokejeliwa na kuchafuliwa hakurudisha...

Habari za SiasaTangulizi

Mamia wajitokeza kumuaga Lowassa Karimjee

MAMIA ya watu wamejitokeza katika Viwanja vya Karimejee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaitega CCM kuhusu Lowassa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumuenzi Hayati Edward Lowassa, kwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji katiba...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika ataja sababu kumpinga Lowassa Chadema

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema sababu ya kupinga chama chake kumsimamisha Hayati Edward Lowassa kugombea urais...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete akwepa kuzungumzia alivyomuengua Lowassa 2015

RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa swahiba mkubwa wa Hayati Edward Lowassa kiasi cha kupewa jina la ‘Boys II Men,’ amekwepa kuzungumzia namna...

Habari za Siasa

Rais Samia akutana na Papa Francis

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu tarehe 12 Februari 2024 amekutana na Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis katika mji wa...

Habari za Siasa

Zitto: Tumeridhishwa marekebisho sheria za uchaguzi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeonesha kuridhishwa na marekebisho yaliyofanyika katika sheria za uchaguzi, kikisema masuala sita kati ya 10 yaliyopendekeza katika mchakato huo, yalijumuishwa...

Habari za Siasa

Zitto ataja mambo 3 mwiba kwa Taifa

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Serikali kama haitatatua changamoto sugu zinazowakabili wananchi hususan ugumu wa maisha, migogoro ya ardhi na ukosefu wa ajira kwa...

Habari za Siasa

Mbunge ataka kibano wanaume wanaotelekeza watoto

SERIKALI imetakiwa kuweka mkazo katika utekelezaji sheria zinazowaadhibu wanaume wanaotelekeza familia zao hasa watoto waliozaliwa mapacha kuanzia watatu, ili kuhakikisha wanawake hawabebi mzigo...

Habari za Siasa

Mbunge aonya ongezeko la utasa kwa mabinti kisa matumizi ya P2

MBUNGE Viti Maalum, Dk. Thea Ntara ameitaka Serikali kutoa elimu kwa mabinti juu ya athari za matumizi holela ya dawa za dharura za...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuongoza mazishi ya Lowassa Februari 17

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli...

Habari za Siasa

Babu Duni amlilia Lowassa, akumbuka walivyoshinda uchaguzi 2015

Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji ‘Babu Duni’ ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 alikuwa Mgombea Mwenza wa Hayati Edward,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Nimempoteza rafiki hodari wa mabadiliko

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadem), Freeman Mbowe ameeleza kupokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri Mkuu...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Lowassa: Mwanasiasa aliyetikisa CCM, Chadema

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki Dunia tarehe 10 Februari 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini (JKCI)...

Habari za Siasa

Samia: Tumempoteza kiongozi mahiri

RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kupokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa (70) aliyefariki leo Jumamosi...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa afariki dunia, magonjwa 3 yatajwa

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki Dunia leo tarehe 10 Februari 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini...

Habari za Siasa

Janeth Rithe ajitosa ngome ya wanawake ACT Wazalendo

Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe ametangaza rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Ngome...

Habari za Siasa

Tanzania, Poland kukuza ushirikiano biashara na uwekezaji

SERIKALI ya Tanzania na Poland, zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano katika masuala ya biashara na uwekezaji, katika sekta za kimkakati. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Kero 22 kati ya 25 za Muungano zapatiwa ufumbuzi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amesema tangu kuanzishwa kwa Kamati...

ElimuHabari za Siasa

Prof Muhongo ataka ubunifu mitaala mipya ya elimu

SERIKALI imetakiwa kuhakikisha  maarifa, ujuzi, uvumbuzi na udadisi vinazingatiwa kwenye mitaala mipya ya elimu ili kupata wahitimu watakaoweza kushindana katika soko la ajira...

Habari za Siasa

Esther Matiko ambana Nape bungeni taarifa za wanasiasa kuvuja

MBUNGE Viti Maalum, Esther Matiko, ameihoji Serikali imejipangaje kutatua changamoto za faragha za watu kuingiliwa mitandaoni kutokana na ukuaji wa matumizi ya akili...

Habari za Siasa

Biteko aagiza TANESCO kuacha urasimu katika miradi ya umeme

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kutekeleza miradi mipya ya uzalishaji wa umeme badala ya kutegemea...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema aitwanga barua Bunge akidai marekebisho ya katiba

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aida Khenani, ameliandikia barua Bunge, kwa lengo la kuonesha kusudio lake la kuwasilisha muswada binafsi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yasogeza mbele maandamano Mwanza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesogeza mbele maandamano ya amani ya kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na kudai katiba mpya, hadi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aukacha Urais, ataka kurudi bungeni

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo anayemaliza muda wake, Zitto Kabwe amesema hatogombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake kwenye...

Habari za Siasa

Biteko aagiza wafanyabiashara, makundi maalumu kupewa kipaumbele ununuzi wa umma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Taasisi zote za ununuzi nchini (Serikali na Binafsi) kuhakikisha zinatoa kipaumbele katika...

Habari za Siasa

Hapatoshi uchaguzi ngome vijana ACT-Wazalendo, wajitosa kumng’oa Nondo

JOTO la uchaguzi ndani ya Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, limezidi kupanda baada ya makada wake machachari kujitokeza  kutaka kumng’oa Abdul...

Habari za Siasa

Bei za mafuta zaendelea kushuka

BEI za mafuta zitakazotumika mwezi Februari 2024, zimeshuka ambapo kwa Jiji la Dar es Salaam, imeshuka kwa wastani wa Sh. 33 kwa kila...

Habari za Siasa

Makonda adai kuna watu wanapanga kumuua kwa sumu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amedai kuna watu wanapanga njama za kumuuwa kwa sumu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Samia apangua, ateua wakurugenzi taasisi za umma

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wanne katika taasisi mbalimbali ikiwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kigogo Bakwata akatwa mkono, mtuhumiwa auawa

KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Bukoba Mjini, Hamza Zacharia Abdallah, amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga yaliyomsababishia kupoteza...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Kinana

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema mazungumzo ya maridhiano kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wacharuka bungeni sakata la umeme

SAKATA la uhaba wa umeme limeteka mjadala wa taarifa ya  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwa 2023, baada ya...

Habari za Siasa

Mbunge ataka Serikali iweke ruzuku kutibu wagonjwa kisukari, tezi dume

KUTOKANA na ongezeko la wagonjwa wa kisukari na tezi dume, Serikali imetakiwa kuweka fedha za ruzuku zitakazosaidia kutibu wananchi wasiokuwa na uwezo ili...

Habari za Siasa

Wizara ya fedha yabanwa bungeni miradi ya fedha za UVIKO-19

WIZARA ya Fedha, imebanwa bungeni jijini Dodoma, juu ya hatua ilizochukua kuhusu ubadhirifu uliojitokeza katika miradi iliyotekelezwa na fedha za mkopo nafuu kutoka...

Habari za Siasa

Msuya awataka viongozi CCM kuisimamia serikali

Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilayani Kilombero, wametakiwa kuisimamia serikali ili iendelee kutekeza ilani ya uchaguzi ya chama hicho ipasavyo. Anaripoti Victor Makinda,...

error: Content is protected !!