Thursday , 28 March 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mdee kusikilizwa siku 14 mfululizo

  HATIMA ya endapo Halima Mdee na wenzake 18 wataendelea kusalia kuwa wabunge itajulikana ndani ya siku 14 za usikilizaji wa shauri namba...

Habari

Viongozi Zanzibar wafurahia ujio wa chuo cha CBE

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kinatarajia kujenga majengo ya Chuo hicho katika eneo la Fumba Zanzibar ambapo ujenzi wake utagharimu Sh....

HabariMichezoTangulizi

Yanga yamaliza Ligi bila kufungwa

  KLABU ya Yanga, rasmi imeingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya timu iliyomaliza Ligi kuu Tanzania Bara, bila kupoteza mchezo wowote katika...

Habari za Siasa

Dk. Tulia awataka Watanzania kuachana na imani potovu kuhusu sensa

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka watanzania kuachana na kauli za baadhi ya watu ambao...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Kina Mdee: Chadema yaondoa mapingamizi, shauri kuanza kusikilizwa

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Wakili wa Chadema, Peter Kibatala, la kuondoa mapingamizi yao dhidi ya kesi...

Habari za Siasa

Mikopo ya Halmashauri kutolewa kwa mtu mmoja mmoja

  SERIKALI ya Tanzania imesema inafanya tathimini ya kuangalia uwezekano wa kutoa mikopo ya Halmashauri kwa mtu mmoja mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Serikali yaja na mifumo mipya kupima utendaji kazi wa watumishi

  SERIKALI imesema mara baada ya kukamilisha mifumo mipya ya kupima utendaji kazi wa watumishi wa umma, itapeleka bungeni Muswada wa Sheria uweze...

ElimuMakala & Uchambuzi

Je, Wamiliki wa kumbi za starehe wanawalenga wanafunzi wa vyuo?

  KUNA usemi usemao “usilolijua ni sawa na usiku wa giza”  na  ndivyo wamiliki wa kumbi za starehe maeneo yaliyo karibu na vyuo...

HabariMichezo

Kocha Mpya Simba na rekodi ya mataji barani Afrika

  KLABU ya Simba siku ya jana ilimtambulisha Zoran Maki Manojlovi, raia wa Serbia kuwa kocha wao mkuu ambaye anakuja kurithi mikoba ya...

HabariTangulizi

Rais Samia afanya uteuzi, yumo bosi TSN

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Tuma Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya...

HabariTangulizi

22 washikiliwa kwa tuhuma za uhalifu wa mitandaoni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 22, kwa tuhuma za kufanya uhalifu kwa njia ya mtandao. Regina Mkonde,...

Habari

Wabunge wachachamaa mgawo ajira watumishi wa afya

  BAADHI ya wabunge wameibana Serikali kuhusu mgawo wa ajira mpya za watumishi wa umma wa kada ya afya, katika maeneo yenye upungufu....

Habari

Mpina ashauri mabadiliko utaratibu wa kupitisha bajeti, Spika ampa darasa

MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania amelishauri Bunge kubadilisha utaratibu wa kupitisha Bajeti ya Serikali kwa kukamilisha kwanza Sheria ya Fedha kisha...

HabariTangulizi

Rais Samia anavyoifunga Tanzania, uwekezaji na mauzo yapaa

  SERIKALI ya Tanzania imesema ziara za mkuu wa nchi hiyo Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zimeongeza uwekezaji wa ndani kwa...

HabariKimataifa

Urusi yajipanga kuongeza ushawishi, uhusiano wake barani Afrika

  BALOZI mpya wa Urusi nchini Tanzania, Andrei Avetisyan, amesema nchi yake imejipanga kuja na mikakati ya kuimarisha uhusiano na ushawishi wake katika...

HabariKitaifa

Majaliwa awapa maagizo mameya, wenyeviti wa h’shauri

WAZIRI MKUU wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri wasimamie ipasavyo matumizi ya fedha zilizokusanywa na zile zinazotoka Serikali Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaweka zuio kina Mdee kutoswa bungeni

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutofanyika chocholate kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka...

Habari za Siasa

Rais Samia atoboa siri Mama Mkapa alivyomuingiza kwenye siasa

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ndiye aliyemjengea uwezo na kumshika...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Mkapa awezesha wanawake kupata Sh trilioni 11

  MWENYEKITI wa Mfuko wa Fursa sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mke wa Hayati Rais Benjamin Mkapa amesema...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kutinga, Dk. Tulia awaruhusu kuuliza maswali

  WABUNGE wa viti maalum nchini Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wasio na chama bungeni, leo Jumatatu tarehe 27 Juni 2022 wameendelea...

HabariMichezo

Yanga waiteka Dar, Pitso awavuliwa kofia

  Klabu ya soka ya Yanga, hii leo tarehe 26 Juni 2022, ilisimamisha jiji la Dar es Salaam, kwa hafla yao ya kusherekea...

HabariMichezo

Simba mambo magumu Mbeya

  KLABU ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu, kufuatia kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukubali kichapo cha bao 1-0,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamng’ang’ania Spika Tulia ajiuzulu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumapili kimemtaka Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ajiuzulu nafasi hiyo kwa kushindwa kuwatimua bungeni wabunge...

HabariTangulizi

Haya hapa majina 16,676 ya Watanzania waliopata ajira Sekta ya Elimu, Afya

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...

HabariTangulizi

Ajira 736 kutangazwa upya baada ya kukosekana waombaji wenye sifa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa amesema nafasi 736 kada za afya zimekosa...

HabariTangulizi

16,676 kati ya 165,948 wapata ajira kada za Afya, Ualimu

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watu 17 wafariki dunia kwa mkanyagano ‘Night Club’

JUMLA ya watu 17 wamepoteza maisha katika klabu moja ya usiku iliyopo katika Mji wa London Mashariki nchini Afrika Kusini, kutokana na hali...

Tangulizi

Ripoti:Viwanda haviweki virutubishi

ASILIMIA 90 ya viwanda 33,000 vya kusindika vyakula vilivyofanyiwa sensa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) vimebainika kutoweka virutubishi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Viongozi CHASO wataja sababu za kuikacha kuhamia ACT-Wazalendo

  BAADHI ya waliokuwa viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (CHASO), wametaja sababu...

Habari za Siasa

LHRC yataja mwarobaini changamoto mchakato wa katiba kuvurugwa na wanasiasa

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimetoa mapendekezo manne juu ya namna bora ya ufufuaji mchakato wa upatikanaji katiba mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Kura ya Bajeti: Kina Mdee washindwa kuamua

  BAADHI ya wabunge wa viti maalum wasio na chama katika Bunge la Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wameshindwa kuamua juu ya...

Habari za Siasa

Serikali yatoa ufafanuzi watumishi kukopeshwa magari, wanaotumbuliwa

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa ufafanuzi kuhusu pendekezo lake la kuwakopesha magari watumishi wa umma, pamoja na kusitisha mishahara ya wanaovuliwa nyadhifa zao...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yataja sababu ongezeko la deni la taifa

  SERIKALI ya Tanzania, imesema ongezeko la deni la taifa linatokana na hatua yake ya kukopa fedha, kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...

Habari za Siasa

Serikali yataja sababu za kuondoa kikokotoo cha mafao 50%

  SERIKALI ya Tanzania, imesema haitarudisha kikokotoo cha zamani cha mafao ya wastaafu cha asilimia 50, kwa kuwa hakileti usawa katika ugawaji wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mme atuhumiwa kumuua mkewe kwa kuvunjwa vufu kwa jembe

  CHANZO cha ugomvi uliosababisha kifo cha Esther Gadeu anayedaiwa kuuawa na mumewe, Godbles Sawe kimetajwa kuwa ni madai ya wivu wa kimapenzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kutinga bungeni, wauliza maswali

  SIKU mbili kupita tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yapongeza ufufuaji mchakato Katiba Mpya

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya Kumalizika Kikao Cha Halmashauri Kuu kilichofanyika jana Dodoma,...

Habari za SiasaTangulizi

CHADEMA yamkumbusha Spika kuwaondoa bungeni wabunge 19

  CHAMA cha Chadema, kimemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumkumbusha kuhusu utekelezaji wa barua yake ya tarehe 12 Mei 2022,...

Habari za Siasa

Wabunge waijia juu Toyota Tanzania, Spika aomba majibu

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Akson, ameitaka Serikali kutoa majibu hoja ya suala la Serikali kushindwa kuagiza magari moja kwa...

Habari za Siasa

Majaliwa awatangazia neema wakazi Ngorongoro wanaohamia Msomera

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha...

Makala & Uchambuzi

Sensa ya watu na makazi Tanzania ni zaidi ya kuhesabiwa

  NIKIWA kwa babu miaka fulani hivi nikienda kumjulia hali, tukiwa katikati ya mazungumzo yetu, babu alinishangaza kwa jinsi alivyokuwa anawajua na kuwatambua...

Habari za Siasa

Spika afuta maneno ya Waziri kwenye kumbukumbu za Bunge

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson ameagiza maneno ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee watinga bungeni, Spika awaruhusu kuuliza maswali

  LICHA ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba kufungua kesi...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yakubali kufufua mchakato Katiba mpya, kesi za kisiasa…

  KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi kina Mdee: Chadema yampa zigo AG, Spika Tulia

  BAADA ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu kuyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi ya kupinga...

Habari

Kongamano uchumi wa bluu laibua fursa lukuki

  SERIKALI imesema inaweka mazingira mazuri kuhakikisha kipaumbele kwenye fursa zilizoko kwenye uchumi wa bluu kinakuwa kwa watanzania kabla ya wageni kunyakua fursa...

ElimuHabari

CoNAS yajivunia kutoa watafiti wengi wa sayansi asilia nchini

KATIKA kutimiza miaka 60 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ndaki ya Sayansi Asilia na Tumizi inajivunia kutoa wataalum wengi...

HabariMichezo

Yanga kukabidhiwa kombe jijini Mbeya

  Mara baada ya tarehe 15 Juni 2022, kutangzwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Yanga itakabidhiwa rasmi kombe...

HabariMichezo

Rasmi Mane amtikia Bayern

  MARA baada ya kuhudumu katika kipindi cha misimu sita, hatimaye klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza immemruhusu rasmi kuondoka kwenye klabu hiyo,...

Habari za Siasa

Mbunge akataa taarifa ya Waziri kuhusu sakata la loliondo,

  MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, amekataa kupokea taarifa ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, iliyoeleza kuwa...

error: Content is protected !!